Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kuweka Pesa Parimatch kupitia Vodacom (M-Pesa)

Parimatch siyo sawa na jukwaa lolote lingine la zamani la kubashiri. Jukwaa la kubashiri michezo la Parimatch likiwa na programu ya kisasa ya Android / iOS imeundwa ili kutoa ufikiaji wa kipekee wa chaguzi pana zaidi ya chaguzi bora za kubashiri nchini Tanzania – haijalishi upo wapi.

Ili kuhakikisha wateja wetu wote wana uhuru wa kupata aina mbalimbali za hafla za michezo, tumeshirikiana na Vodacom ili kuwaruhusu wateja wetu wote kulipa kwa kutumia M-Pesa. Huduma inayofaa kwa kulipa kupitia simu yako ya mkononi, M-Pesa inawezesha watumiaji wa Parimatch kufanya miamala na pesa kutoka popote walipo.

Ikiwa na chaguzi nyingi za kubashiri na kubetia kwa michezo ya hali ya juu, watumiaji wanaweza kufurahia kubashiri kila kitu kutoka kwenye hockey hadi volleyball, kutoka soka hadi esports. Kutumia M-Pesa kama njia yako ya malipo inamaanisha unaweza kubashiri kwenye aina mbalimbali za mashindano yetu ya kitaifa na kimataifa ya michezo, mashindano, na mechi kwa kubonyeza mara chache tu. Ikiwa upo kwenye mchezo wa mapema, wa moja kwa moja, au wa michezo mingineyo, tumeunganisha malipo ya M-Pesa ili uweze kubashiri mchana na usiku, bila shida yoyote.

Ikiwa unataka kujua jinsi ya kuweka miamala kwa Vodacom, tumeweka pamoja muongozo huu uliyo rahisi ili kukusaidia hatua kwa hatua!

Muongozo wa Haraka wa Kuweka Pesa kwenye Parimatch kwa Kutumia M-Pesa

Ikiwa umekuwa ukitumia Vodacom na M-Pesa kwa muda mrefu, unaweza kuwa tayari unajua utaratibu. Ikiwa sivyo, timu yetu ya huduma kwa wateja imeweka muongozo huu wa haraka wa jinsi ya kuweka akaunti za wachezaji kwenye Parimatch kupitia Vodacom:

  • Hatua ya 1 – Piga Vodacom kwa * 150 * 00 # au nenda kwenye menyu ya M-Pesa ya simu
  • Hatua ya 2 – Baada ya kupiga simu, chagua chaguo 4 kulipa kwa kutumia M-Pesa au bonyeza “Lipa bili” kwenye menyu yake
  • Hatua ya 3 – Weka namba ya biashara ya Parimatch – 351144
  • Hatua ya 4 – Ingiza namba ya kumbukumbu – namba yako ya Vodacom
  • Hatua ya 5 – Ingiza jumla ya pesa ambayo ungependa kuiweka*
  • Hatua ya 6 – Ingiza namba yako ya siri ya tarakimu 4
  • Hatua ya 7 – Thibitisha malipo kwa kubonyeza 1
  • Hatua ya 8 – Sasa upo tayari kucheza!

*Kumbuka kuwa miamala ya chini ni TZs 100 na kiwango cha juu ni TZs 500,000.

Angalia video hii ili kukuongoza kupitia mchakato wa kuweka pesa na M-Pesa:

Ikiwa baadhi ya hatua hizi zinaonekana kuwa wazi kwako, soma hapa kwa taarifa zaidi.

Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Vodacom M-Pesa kwa Kuweka Pesa kwenye Parimatch

Kwa watumiaji wa Vodacom, M-Pesa ni njia nzuri zaidi ya kulipia vitu unavyovipenda. Kukupa ufikiaji wa malipo ya mtandaoni, akaunti ya M-Pesa hukuwezesha kuweka miamala kwenye Parimatch kupitia simu yako ya Vodacom. Ikiwa haujui jinsi ya kufanya hivyo, unahitaji kusajili akaunti ya M-Pesa. Vodacom hutoa akaunti ya M-Pesa kwa kila mteja mpya anayetumia laini yake.

Wateja waliopo ambao hawajasajiliwa wanaweza kutembelea duka la Vodacom na kujiandikisha. Baada ya kukamilika kwa usajili wa elektroniki – mtu atapata uwezekano wa kuanzisha akaunti ya M-Pesa.

Muongozo wa Kina wa Jinsi ya Kuweka Pesa kwenye Parimatch Kupitia M-Pesa ya Vodacom

Ikiwa umejiandikisha tu kwenye akaunti yako ya Vodacom M-Pesa, unaweza kuwa siyo mtaalam wa jinsi ya kulipa kwa kutumia malipo ya mtandaoni. Unapoweka pesa kwenye Parimatch kupitia M-Pesa, utakuwa unatumia njia hii ya malipo ya mtandaoni. Ingawa inaweza kuwa ni ngumu sana kupata mwanzo mzuri mwanzoni, ni njia ileile ya kila wakati, kwa hivyo inakuwa ni rahisi!

Mara tu unapoweka miamala, unaweza kuanza kubashiri kwenye jukwaa letu la mtandaoni au programu yetu ya kubashiri ya kizazi kipya cha Android/iOS.

  • Hatua ya 1 – Piga simu Vodacom au nenda kwenye menyu ya M-Pesa

Chaguo 1.  Piga simu Vodacom kwa * 150 * 00 # kupata sehemu ya malipo. Hii itakuunganisha moja kwa moja na jukwaa linalowezesha malipo ya mtandaoni kwa simu.

Chaguo 2.  Vinginevyo, nenda kwenye menyu ya M-Pesa kwenye simu yako. Mara moja kwenye menyu, chagua “Lipa na M-Pesa”.

  • Hatua ya 2 – Chagua kulipa bili

Mfumo wa simu wa elektroniki wa Vodacom utakupa chaguzi kadhaa. Unatakiwa kuelekea chaguo la nne ili kulipa bili. Hii hukuwezesha kulipa kwa kampuni za nje kama vile Parimatch. Bonyeza 4 kuelekea “Lipa Bili”.

  • Hatua ya 3 – Ingiza namba ya biashara ya Parimatch

Chaguo 1. Mfumo wa simu utakuchochea kupiga 4. Hii itakupeleka kwenye sehemu ambayo utaingiza namba ya biashara ya kampuni ambayo ungependa kulipia. Katika suala hili, unahitaji kuingiza namba ya kipekee ya kumbukumbu ya biashara ya Parimatch, ambayo ni 351144.

Chaguo 2. Kwenye skrini ifuatayo ya menyu ya M-Pesa, utahitaji kuingiza namba ya biashara ya Parimatch – 351144.

Chaguo lolote unalolitumia, lazima uipige namba ya biashara kwa usahihi. Ukiingiza vibaya namba ya kumbukumbu, utapata kuona kwamba pesa hizo zinarudi nyuma au zinaelekea kwenye akaunti tofauti ya biashara!

Hatua zifuatazo ni sawa kwa chaguzi zote mbili za kuweka (kupiga simu au menyu ya skrini).

  • Hatua ya 4 – Ingiza namba yako ya akaunti ya mtandaoni

Katika hatua inayofuatia, mfumo utakuuliza uweke namba yako ya kumbukumbu au namba yako ya akaunti ya mtandaoni. Hii ndiyo namba ya simu ya mtandaoni iliyounganishwa na akaunti yako ya Vodacom. Hii inawasaidia Vodacom kutambua malipo yanatumwa kutoka kwa nani. Kwa kuingiza namba yako ya simu, unathibitisha malipo yanatumwa kutoka kwako kwenda Parimatch.

  • Hatua ya 5 – Ingiza kiasi cha muamala

Mfumo utakuuliza ni kiasi gani ungependa kukiweka kwenye akaunti yako ya Parimatch. Fikiria kwa uangalifu juu ya hii kwani labda hautaki kuendelea kurudia mchakato mzima mara nyingi. Unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Parimatch kwa wakati unaocheza tu. Kwa usawa, hata hivyo, usichukuliwe tofauti. Unapaswa kubetia tu kile unachoweza kukimudu kupoteza.

Kumbuka kuwa unaweza kuweka jumla yoyote ya pesa kutoka TZs 100 hadi TZs 500,000.

Jaza kiasi ambacho ungependa kuweka kwenye akaunti yako ya Parimatch. Tumia kitufe cha kuongeza namba nzima.

  • Hatua ya 6 – Ingiza namba yako ya siri

Kama ilivyoelezewa hapo juu, unapojiandikisha kwenye akaunti yako ya Vodacom M-Pesa, utatakiwa kusajili namba ya siri na akaunti yako. Hii inaifanya akaunti yako kuwa salama na inawazuia wadukuzi kuipigia simu kampuni na kulipia bidhaa na namba yako ya simu. Ni muhimu kuweka namba hii sehemu salama iwe mbali kutoka kwa wengine, lakini usisahau, vinginevyo, hautaweza kuweka pesa kwenye jukwaa la kubashiri la Parimatch.

  • Hatua ya 7 – Thibitisha malipo yako

Shida moja ya juu ambayo huduma ya wateja inashughulika nayo ni watu kusahau kuthibitisha malipo yao. Unapitia mchakato mzima wa M-Pesa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Parimatch, lakini wakati wa mwisho, uliiweka kwenye simu kwa haraka sana.

Chochote unachokifanya, usisahau kuthibitisha malipo yako kwenda Parimatch kwa kubonyeza 1 (kwenye mfumo wa kupigia simu) au kwa kubofya “Ok” (kwenye menyu ya skrini). Uthibitisho huu unatuma pesa moja kwa moja kwenda Parimatch, kwa hivyo tunaweza kuongeza akaunti yako ya kubashiri.

  • Hatua ya 8 – Pata kuibetia!

Kwa kuthibitisha malipo yako, unatuma pesa zako moja kwa moja kutoka Vodacom hadi kwenda kwenye akaunti yako ya kubashiri ya Parimatch. Unapaswa kuziona pesa zilizoongezwa kwenye akaunti yako ya Parimatch kwenye programu ya Android/iOS au jukwaa la mtandaoni. Fedha zinapaswa kuonekana ndani ya masaa kadhaa.

Ikiwa umesubiri kwa masaa 24 na bado hakuna muamala kwenye akaunti yako ya Parimatch, wasiliana na timu yetu ya huduma kwa wateja. Wafanyakazi wetu wana huduma za kirafiki na watafurahia kukusaidia kupata pesa. Unaweza kuwasiliana nasi kupitia Live Chat, tupigie simu muda wa masaa 24/7, au tuma barua pepe.

Je, muamala wangu wa Vodacom utachukua muda gani kuonekana katika akaunti yangu ya Parimatch?

Malipo ya M-Pesa yanapaswa kutokea mara moja. Mara tu unapoweka maelezo yako na kuthibitisha malipo kwa Parimatch, inaelekea sawasawa na muda huohuo. Tunapokea malipo na tunakuelekeza kuongeza pesa kwa akaunti yako ya kubetia ya Parimatch. Hii inapaswa kutokea karibu mara moja au ndani ya masaa kadhaa.

Muamala wangu wa M-Pesa hauonekani katika akaunti yangu ya Parimatch

Ikiwa muamala wako wa M-Pesa haujaoneshwa kwenye akaunti yako ya Parimatch, unatakiwa kuhakikisha kuwa ilitumwa hapo kabla! Rudi kwenye akaunti yako ya M-Pesa ili kuhakikisha malipo yalitumwa. Kama tulivyosema hapo awali, mara nyingi watu hupuuza kubonyeza 1 au “Ok” ili kuthibitisha na malipo kamwe hayatatumwa.

Ikiwa hii siyo shida, inafaa kusubiriwa kwa muda wa masaa 24. Hii inahakikisha kuwa mfumo unapangiliwa kikamilifu na muamala wowote uliowekwa kwenye akaunti umepewa kwa akaunti sahihi.

Ikiwa umefanya haya yote hapo juu na bado hauoni malipo kwenye akaunti yako ya Parimatch, unahitaji kuwa na mazungumzo na timu yetu ya huduma kwa wateja.

Daima tupo pamoja na wateja ili kuhakikisha kuwa wateja wetu wanapata uzoefu bora wa utumiaji, unaweza kutupata kupitia Live Chat kwenye tovuti. Ikiwa ungependa kupiga simu, namba yetu ni 0-800-75-02-08, na laini zipo wazi masaa 24 kwa siku, siku saba kwa wiki. Pia, tuna anuani ya barua pepe ya moja kwa moja –  [email protected] – ambapo unaweza kuifikia huduma kwa wateja na mtu wetu ataijibu barua pepe yako ndani ya masaa 24. Njia nyingine mbili za kutufikia ni – Telegram bot @Parimatch_TANZANIA_bot au Whatsapp +255 766 880 026.

Kwanini nifanye miamala kwenye Parimatch kupitia M-Pesa?

Ikiwa wewe ni mtu wa mambo ya zamani kwa malipo ya mtandaoni, utajua faida ambazo M-Pesa inaweza kuleta kwako. Hautawahi tena kupatwa tena na shida bila njia ya malipo popote pale ulipo. Kutoa laini salama na ya moja kwa moja ya kulipia bidhaa na huduma, M-Pesa hufanya njia ya kulipia vitu iwe ni rahisi zaidi.

Ikiwa bado haujui ni kwanini unapaswa kuweka pesa kwenye Parimatch kupitia M-Pesa, hapa kuna vidokezo vichache vya kwanini mfumo huu ni mzuri sana. Kwa kuunganisha programu ya kubashiri ya Parimatch na malipo ya M-Pesa, nyote mna ufikiaji wa utajiri wetu wa michezo ya kubashiri ya ulimwenguni kutoka mahali popote pale ulipo. Piga tu Vodacom na uweke kwenye akaunti yako ya kubetia ya Parimatch ili kuanza kuweka mikeka yako!

Hii ndiyo sababu tunafikiria unapaswa kujiandikisha kwa M-Pesa na uweke miamala kwenye Parimatch leo:

  • Usajili ni rahisi

Kujiandikisha kwenye akaunti ya M-Pesa, lazima tu upigie simu Vodacom na ufanye njia yako kupitia mfumo wao wa moja kwa moja. Tofauti na kusajili akaunti ya benki, mfumo wa Vodacom hauna makaratasi magumu au ada ya gharama kubwa. Unawaita tu Vodacom na unakuwa umemaliza kazi kwa dakika chache!

  • Ni teknolojia ya hali ya juu

Wakati majukwaa mengi ya malipo hutoa teknolojia ya polepole sana, jukwaa la Vodacom M-Pesa ni la kisasa. Hii inaruhusu kukabiliana na muingiliano mwingi, kuzuia mfumo kutoka kwenye yale yaliyopo. Malipo hufanywa karibu mara moja na dashibodi ni thabiti na rahisi kuitumia.

  • Ada ni ndogo

Kuhamisha pesa kwenda benki inaweza kuwa ni ghali sana. Mara nyingi kadi za malipo pia hubeba ada ya ziada. Tofauti na M-Pesa ni kwamba unaweza kulipia bidhaa na huduma, kama vile kubashiri Parimatch, bila kuhisi kuelemewa na ada ghali zilizopo.

  • Inapatikana kila mahali

Hautakuwa tena hewani bila ya njia ya malipo. Shukrani kwa M-Pesa, unaweza kuongeza akaunti yako ya kubetia ya Parimatch wakati wowote, mahali popote. Hii inakupa ufikiaji wa dau la ulimwenguni wakati ukiwa nje na karibu zaidi.

Fahamu Zaidi Juu ya Kuweka Miamala kwenye Parimatch

Tunatumai umejifunza jinsi ya kuweka pesa Parimatch ukiwa na Vodacom (M-Pesa)! Lakini unajua unaweza kuweka miamala kwa kutumia Tigo Pesa, Airtel, au HaloPesa? Angalia muongozo wetu wa kina juu ya kuweka miamala ya kwanza kwenye Parimatch ikiwa unapata shida yoyote au unahitaji tu maelezo zaidi. Weka pesa kwa urahisi kwenye akaunti yako ya Parimatch moja kwa moja kutoka kwenye simu yako ya mkononi, ukipata huduma zetu za aina mbalimbali za kubetia mara moja kutoka kwenye sehemu zote nzuri. Sasa ni wakati wa kubeti na kushinda!

Na wakati wowote unapohitaji msaada, unaweza pia kuwasiliana na timu ya msaada kwa wateja ya Parimatch!

Soma Zaidi:

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, ninawekaje pesa Parimatch?

Ili kuweka pesa Parimatch, kwanza ni lazima ujisajili kupata akaunti. Baada ya kujisajili, unaweza kuweka pesa taslimu kwenye akaunti kwa kutumia pochi ya malipo ya simu, kama vile Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, au Halopesa.

Je, ninawezaje kuweka pesa Parimatch kwa Airtel Money yangu?

Kuweka pesa taslimu kwenye akaunti yako kwa kutumia Airtel Money, piga *150*60# kwenye simu yako. Nenda kwenye chaguo la 5 (Fanya Malipo) na uchague chaguo la 4 ili kuweka namba ya biashara ya Parimatch (351144). Kisha utatakiwa kuingiza kiasi unachotaka kuweka (kiwango cha chini ni TSh.500) na uthibitishe muamala kwa kuweka neno lako la siri la Airtel Money.

Unatoaje pesa Parimatch?

Ili kutoa pesa kutoka Parimatch, ingia kwenye akaunti yako na uguse sehemu ya Fedha kwenye kona ya juu kulia. Bofya kwenye sehemu ya Toa pesa, chagua chaguo hilo la kutoa pesa na uthibitishe utoaji huo wa pesa.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.