THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Jinsi Mkeka Wako Unavyofanya Kazi?

Parimatch tumejizatitti kuhakikisha unatumia mfumo wetu kwa urahisi bila usumbufu wowote na kufurahia kucheza kwa utofauti, kuanzia unavyojisajili hadi unapoweka mkeka wako, tunataka ujisikie amanai na furaha kucheza bila kukwama kwama, ndiyo maana sisi ni kampuni namba 1 ya kubeti nchini Tanzania.

Likija swala la kuweka mikeka yako, utapata uhitaji wa kuzunguka kwenye mkeka wako, neno la mkeka au jamvi ni la mtaani lakini watengeneza odds hupenda kuita “betting slip”. Ikionyesha chaguzi zote ulizofanya na ni timu zipi au masoko yapi unataka kubetia, hamna tofauti na kikapu tu ukiwa sokoni.

Tunajua hii ni rahisi kwenye maduka ya nje ambapo unaingia unachagua timu zako cashier anakupa mkeka wako na wewe unampa hela, Parimatch tumejizatiti kukupa urahisi zaidi kuliko wa madukani kwa kutumia mfumo wetu mtandaoni.

Na hii ndiyo sababu kubwa ya kuweka mkeka wetu kuwa rahisi na rafiki kwa watumiaji wetu wote, yaani unaingia kwenye mfumo wetu unachagua timu zako na masoko unayotaka kubetia kisha unabeti bila usumbufu.
Kama utapa shida kwenye uwekaji wa mkeka wako au kukwama kwa namna yoyote ile, tumekuandalia nakala hii fupi ya kukusaidia kujua inafanyaje kazi na itakuwaje msaada kwa upande wako

Mkeka ni Nini?

Kwenye App ya michezo ya kubashi8ri ya Parimatch, tunatumia neno la kuwakilisha mkeka wa kielektoniki kama “betslip” kipengele hiki cha tovuti au app yetu kinaonyesha taarifa zote kuhusu mkeka uliobeti na Parimatch.

Mkeka au tuseme betslip itakupa taarifa zote za mkeka ulioweka, itakuonyesha pia timu zote ulizozipa ushindi au kuzinyima na ukubwa wa odds ulizonazo pamoja na thamani ya mkeka wako kulingana na dau lako ukizangatia masoko uliyocheza mfano 1X2, halftime/fulltime, handicap na mengine mengi uliyoweka kwenye mkeka wako.

Tuchukile mfano kwenye picha hii, hapa unaweza kuona mkeka wa kwanza ni 1X2 bet, kubeti kwa Newcastle UTD U-23 kushinda. Mkeka wa pili ni wa halftime/fulltime bet, ukiwa na ubashiri wa sare kipindi cha kwanza na kushinda mchezo mzim kwa Leicester. Mkeka wa mwisho ni handicap bet ukionyesha Getafe watashinda kwa zaidi ya magoli mawili.

A betslip on Parimatch website

Mkeka wako utakuonyesha odds kwa kila timu upande wa kulia, hii husaidi kufuatilia odds zako na kupiga mahesabu na kujua mabadiliko ya odds hasa ukiwa unabeti live.

Mkeka wako pia una sehemu ya kuonyesha idadi ya matukio au mechi zilizopo kwenye jamvi lako pia unawezakuona kiwango cha kodi ulichokatwa na jumla ya kiwango cha hela utakachoshinda baada ya kukatwa kodi.

Mkeka wako au kitaalamu zaidi betslip utakuwezesha kuhifadhi taarifa zote muhimu unazohitaji kuanzania idadi ya timu, ukubwa wa odds, dau uliloweka, kodi pamoja na pesa zako zote ulizoweka na unazotegemea kushinda.

Mkeka Unafanyaje Kazi?

Kitufe cha mkeka kimewekwa kwenye kona ya kushoto kwenye App yako ya Parimatch au kwenye tovuti ukishamaliza kuchagua timu zako unakibofya tu kukamilisha mkeka wako. Kitufe hiki kitakuongoza kwenye sehemu unayotakiwa kukamilisha mkeka wako.

Kama tulikwisha kueleza awalai kipengele hiki kinakupa fursa ya kukamilisha mikeka yako na kukupa uhifadhi wa kumbukumbu zako muhimu za mkeka wako kwa siku hiyo.

Japo mkeka hauna kazi hizo tu, hii ndiyo sehemu ya kuju kiwango cha pesa unachotumia na kushinda ili ujue kama unapata faida au la na kuweza kuboresha mbinu zako zaidi.

Single bets kwenye Mkeka wako

Kwanza kabisa, kwa wale wateja wanaobeti kwenye mechi moja au tukio moja kwa mara moja, betslip inakupa fursa ya kuhakikisha kama chaguzi yako iko sahihi kabla ya kulipia mkeka wako, vile vile kupitia uwepo wa betslip unaweza kuchagua kiwango cha chini kabisa cha kubeti ambacho kwentu ni TZS 300 au unaweza kuchagua dau kubwa zaidi unalotaka vile vile unaweza kujua utashinda shillingi ngapi kabla na baada yako kodi.

Kwa wale wanaotaka kucheza kwenye mechi nyingi zaidi, unaweza tu kuchagua kuhamia kwenye sehemu nyingine ya betslip yako inaitwa Parley.

Parlay bets kwenye Mkeka wako

Eneo la mkeka au betslip linawawezesha watumiaji wa Application ya Parimatch kuweka parley bets kwa kubofya kwenye kitufe kilichoandikwa “Parlay” kushoto juu ya mkeka wako. Kwa kubofya hivi mkeka wako utaidhinishwa kama Parlay.

Parlay bets in betslip at Parimatch

Je, nini maana ya Parlay bet? Kwa kubofya kitufe cha parlay kwenye mkeka wako unabadilisha kuwa accumulator. Hii inamaanisha chaguzi zako zote zitaungnaishwa kwenye mkeka mmoja na utakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda hela nyinyi zaidi. Kwenye parlay utahitaji tmu zako zote zishinde ili uweze kulipwam tuseme ukiweka mkeka wa mchi zako 6 zikashinda tano bado hautaweza kulipwa. Kwa taarifa zaidi tembelea jinsi ya kucheza parlay bets.

Ili uweze kuchea parlay bets inakubidi uweze kuchagua mkeka zaidi ya mmoja ukicheza na Parimatch, utaona mikeka yako imewekwa chini ya “parlay”.

Mfumo wa System bets kwenye Mkeka wako

Kama hutaki beti zako zote zichanganyike inakubidi uzingatie mfumo huu wa kubeti kwa system. Ukichagua parlay bets inahitaji timu zote zishinde ili uondoke na pesa zako za ushindi lakini ni tofauti ukitumia system kubeti kunatofautiana na idadi ya chaguzi ulizoweka na mfumo unaotumia.

Unaweza ukachagua kuweka mikeka yako kama singles au ukachagua kuweka kama doubles, triples, four-fold, five-fold na mengine zaidi. Mfumo utakaochagua utakuwezesha kushinda kulingana nao.

Mfumo wowote wa ststem bet utakaochagua na kuona unafanya kazi kwako utachagua “System” kwenye upande wa kushoto wa mkeka wako na chaguzi zako zitaorodheshwa zikifuatiwa na kiboxi kitakachokuonyesha mfumo gani unaoweza kuchagua kucheza na kushinda.

Huu ndiyo mfumo mrahisi wa kubeti kwenye system ambapo kuna matokeo mawili tu yanayoweza kutokea hapa, hapa utaona dau lako la ushindi litakuwa dogo zaidi kuliko kwenye parlay bet, hii ni kwasababu mfumo wa kucheza kwa system una uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda.

System bet in a betslip on Parimatch

Nini Maana ya “Add to Betslip”?

Ukiwa unabeti na Parimatch tunataka ujisikia huru na kufurahia safari nzima ya kucheza na kwa urahisi wa hali ya juu, ndiyo maana tunapunguza idadi ya hatua unazotakiwa kufuata kuweka mkeka wako kwenye timu zako pendwa.

Ukiwa unabeti na Parimatch, unahitaji kuongeza kwenye kwenye betslip yako ili mfumo wetu uweze kurekodi chaguzi zako kwa usahihi, hivyo unavyosikia add to betslip plae ambapo unatakiwa kuongeza chaguzo zako kwenye mkeka wako ili ziweze kuongezwa kwenye jumla ya timu zote unazotaka kuzibetia. Ukishachagua add to betslip baadae unaweza kwenda kuchagua kama unataka kucheza parlay au system kwenye slip tab.

Kwa bahati nzuri, tukiwa tunazidi kuboresha na kurahisisha mfumo wa kubeti kwa wateja wetu wote, ni rahisi sana kuchagua ongezea kwenye mkeka au add to betslip, kuleta urahisi kwa wateja wetu, app yenyewe itakuonyesha unapotakiwa kubofya ili kuongeza chaguzo zako kwenye mkeka wako.

Bets placed on Parimatch website

Kama unavoona, box yenyewe inakuwa nyeusi kuonyesha chaguzi zote ulizofanya, utaona chaguzi zako kwenye matukio kwenye mkeka wako

Jinsi ya Kuangalia Mkeka Wako na Parimatch

Parimatch tunajivunia kwa kuwa na moja kati ya application zenye ubora wa hali ya juu kuanzia kwenye mfumo mzima hadi muonekano unaleta urahisi kwa watumiaji wetu, tunajaribu kuhakikisha mikeka yote inawekwa kwa usahihi na mteja hakosei kuweka mkeka wake kutokana na makosa ya kiufundi, ndiyo maana ni rahisi kuangalia mkeka wako.

Kwanza kabisa, kwenye chaguzi za michezo box hubadilika rangi na kuwa nyeusi kwa kila chaguzi unayofanya ili kukujulisha ulichochagua kupunguza uwezekano wowte wa kufanya makosa, unaweza kucagua betslip kwa kubofya kitufe chenye alama ya mkeka wako kulia kwenye tovuti au app yako ya Parimatch.

Kwanini unahitaji kuangalia mkeka wako?

Ukiwa unabeti ni muhimu kujua umechagua vitu sahihi ikiwani pamoja na timu sahihi ili uweze kubeti kwenye matokeo sahihi unayoamini yatatokea, pesa nyingi zinaweza kupotea ukikosea kuweka beti, ukikosea tu kuchagua timu moja inaweza kukuvurugia mkeka wako wote.

Kuangalia mkeka wako kunamaanisha kuingia kwenye orodha ya mikeka yako na kuangalia kila kitu kiko sawa, timu zipo sahihi, masoko unayotaka umeyachagua na kujua kiwango gani cha fedha unachoweka kwa mkeka huo.

Kabla ya kubofya betslip au kumalizia kuweka mikeka yako lazima uwe muangalifu kama umechagua kubeti kwa mfumo wa system au parlay, kitu cha mwisho unachotaka kukosea ni mfumo unaotaka kubetia na kutokutimiza malengo yako, ukichagua system badala ya parley na ukashinda utasdhangaa umeshinda pesa kidogo sana.

Jinsi ya Kutumia Mfumo wa Mkeka na Parimatch

Ukiwa unaweka mkeka wako na Parimatch, ni muhimu kuzoea jinsi mfumo wetu wa mkeka unavyofanya kazi au kwa jina lingine betslip ukiwa unakamilisha mkeka wako, kwa bahati nzuri ni rahisi sanak uanza fuata tu hatua zifuatazo:

  1. Jisajili (Ingia) kwenye website au app
  2. Weka pesa
  3. Chagua mechi zako
  4. Chagua aina ya beti unayotaka kucheza
  5. Chagua matokeo ya timu gani unaamini itashinda
  6. Rudia hatua 3-5 kuongeza idadi ya timu kwenye mkeka wako
  7. Nenda kwenye Mkeka
  8. Chagua kama unataka kucheza single, parlay au system bets
  9. Weka dau unalotaka kuweka kwa umakini
  10. Weka mkeka wako

Mwisho

Kama unavoona, ni rahisi sana kucheza na kushinda na Parimatch, mfumo mzima umetengenezwa kukuwezesha kufikia malengo yako ya kubeti na kushinda kifundi na sisi yakamilike, hivyo sio kitu cha kushangaza kutambulika kwetu kama moja ya kampuni bora zaidi za kubeti nchini, kuanzia hapo chagua singles, parlay, au systems bets.

Kumbuka kwamba mkeka wako ni kumbukumbu ya beti zako zote, kwa kutengeneza mkeka wako na Parimatch, unajiwekeka rekodi ya mikeka yako yote ili uweze kujua mwenendo wako mzima, hivyo ni rahisi hataa kujua kama unahitaji kuboresha mbinu zako au la.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.