Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Young Africans S.C.: Ubabe wa Kabumbu la Tanzania

Timu ya Yanga ndiyo mfalme asiye na ubishi na kinara wa soka kwenye ardhi ya Tanzania. Hapa, tunachunguza ubabe wa ajabu wa Young Africans S.C. na uwepo wao kwenye mazingira ya kabumu la Tanzania mwaka 2023.

Habari na Historia ya Timu ya Yanga

Jina Young African Sports Club
Imeanzishwa mwaka 1935
Nchi Tanzania
Jiji Dar es Salaam
Uwanja wa Yanga S.C  Benjamin Mkapa
Ligi Ligi Kuu Tanzania Bara
Mataji 29
Kocha Miguel Angel Gamondi alibadilishwa (Nasreddine Nabi)
Facebook (Wafuasi milioni 1.2) Yanga SC
Instagram (Wafuasi milioni 2.6) Yanga SC
Tovuti Timu ya Young Africans Sports

Young Africans Sports Club, iliyoanzishwa mwaka 1935, ina historia nzuri. Ni timu maarufu kwenye kandanda la Tanzania, inayojulikana kwa ushindi wao wa kusisimua na ushindani mkali.

Kila mara mashabiki wa nyumbani hufurahishwa na utamu wa soka hilo wakati Yanga wakionesha ujuzi wao kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo kwenye kata ya Miburani, wilaya ya Temeke.

Mashabiki wa Yanga wakiwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Mwanzo rasmi wa Young Africans S.C. ilianza mwaka 1935 baada ya umoja wa mashabiki wa soka wa Dar es Salaam.

Jina lao la awali, New Young, lilihamia Dar es Salaam Young Africans SC kabla ya kubadilika na kuwa Young Africans S.C. tunayoifahamu hii leo.

Mechi na Mashindano ya Yanga

Ligi ya Mabingwa Africa

Safari ya Young Africans FC kwenye msimu wa 2022/23 imekuwa ni ya kustaajabisha. Waliweka nafasi yao kwenye Ligi ya Mabingwa Africa kwa kushinda shindano la ndani la mwaka uliopita.

Ingawa walikumbana na kikwazo Raundi ya Pili. Kwa matokeo hayo, walitolewa kwenye hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.

Huu hapa ni muhtasari wa ratiba ya Young Africans na matokeo. Tafadhali kumbuka kwamba ratiba halisi na marekebisho kwa kila mojawapo ni sahihi tu kwenye tovuti rasmi ya mashindano:

  •     Al Hilal Al Sudani 1 – 0 Young Africans
  •     Young Africans 1 – 1 Al Hilal Al Sudani CAF
  •     Young Africans 5 – 0 Zalan CAF
  •     Zalan 0 – 4 Young Africans

Ligi Kuu Tanzania Bara

Kwenye kandanda la Tanzania, klabu ya Yanga inaongoza soka la kisasa. Kwa kuvunja rekodi ya mataji 29 ya kwanza, Young Africans S.C. inawashinda wapinzani wao wakubwa, Simba FC, ambao wameshinda michuano 22.

Kwa kaulimbiu yao “Daima Mbele, Nyuma Mwiko”, ushindi wa hivi majuzi wa Yanga FC msimu wa mwaka 2022/23 unazidi kuuimarisha ufalme wao pale kileleni.

Huu hapa ni muhtasari wa ratiba ya Yanga na matokeo kwenye michezo 4 iliyopita kwenye Premier League. Tafadhali kumbuka kwamba ratiba halisi na marekebisho kwa kila mojawapo ni sahihi tu kwenye tovuti rasmi ya mashindano:

  •     Tanzania Prisons 0 – 2 Young Africans
  •     Mbeya City 3 – 3 Young Africans
  •     Young Africans 4 – 2 Dodoma Jiji
  •     Singida Big Stars 0 – 2 Young Africans

Kombe la Shirikisho Africa

Baada ya kushushwa daraja kwenye Mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga FC ilikuwa hatarini kukosa ushiriki kabisa.

Hata hivyo, wakisukumwa na dhamira na uthabiti wao, wachezaji wa Young Africans walijizatiti na kukabiliana na Club Africain ya Tunisia kwenye pambano la kusisimua na kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya mikondo miwili ya mechi.

Goli hilo la maamuzi lililofungwa na Stephane Aziz Ki dakika ya 79 ya mchezo wa pili, liliifanya Young Africans FC kutinga hatua ya Makundi ya michuano hiyo.

Safari ya timu ya Young Africans Sports kwenye Kombe la Shirikisho Africa ilikuwa ni ya kuburudisha sana walipokabiliana na wapinzani wakubwa kwenye hatua ya Makundi. Walicheza vizuri na kuwapatia nafasi kwenye Fainali.

Ingawa walipoteza kwenye fainali dhidi ya vinara wa Algeria, USM Alger, ilikuwa ni wakati wa ajabu sana kwa klabu hiyo.

Huu hapa ni muhtasari wa ratiba na matokeo ya Yanga FC. Tafadhali kumbuka kwamba ratiba halisi na marekebisho kwa kila mojawapo ni sahihi tu kwenye tovuti rasmi ya mashindano:

  •     USM Alger 0 – 1 Young Africans Ccc
  •     Young Africans 1 – 2 USM Alger Ccc
  •     Marumo Gallants 1 – 2 Young Africans Ccc
  •     Young Africans 2 – 0 Marumo Gallants Ccc
  •     Young Africans 0 – 0 Rivers United
  •     Rivers United 0 – 2 Young Africans

Wachezaji wa Young African S.C

Hii hapa orodha ya wachezaji wa Young Africans. Cha kufurahisha ni kuwa wengi wao huchezea timu ya taifa.

Makipa

  •     Djigui Diarra – Mali
  •     Erick Johora – Tanzania
  •     Abu Talib Mshery – Tanzania

Walinzi

  •     Ally Ally – Tanzania
  •     Ibrahim Bacca – Tanzania
  •     Yannick Bangala – DRC
  •     David Bryson – Tanzania
  •     Ibrahim Hamad – Zanzibar
  •     Muharram Issa – Tanzania
  •     Dickson Job – Tanzania
  •     Yassin Mustapha – Tanzania
  •     Lomalisa Mutambala – DRC
  •     Bakari Mwamnyeto – Tanzania
  •     Djuma Shabani – DRC
  •     Ally Shomari – Tanzania

Wachezaji wa kati

  •     Salum Abubakar – Tanzania
  •     Khalid Aucho – Uganda
  •     Said Bakari – Tanzania
  •     Gaël Bigirimana – Burundi
  •     Zawadi Mauya – Tanzania
  •     Faridi Musa – Tanzania
  •     Feisal Salum – Zanzibar

Washambuliaji

  •     Dickson Ambundo – Kenya
  •     Yusuph Athuman – Tanzania
  •     Stéphane Aziz – Burkina Faso
  •     Tuisila Kisinda – DRC
  •     Heritier Makambo – DRC
  •     Fiston Wisdom – DRC
  •     Ducapel Moloko – DRC
  •     Bernard Morrison – Ghana
  •     Ditram Nchimbi – Tanzania
  •     Denis Nkane – Tanzania

Kocha

  •     Miguel Angel Gamondi ni kocha wa sasa aliyechukua nafasi ya Nasreddine Nabi

Michezo Maarufu kwa Young Africans

Young Africans dhidi ya Simba

“MAPEMAAA…YANGA SC YAWAPIGA MKWARA WAARABU…. FULL HOUSE…, FULL SHANGWE WAJE TUMALIZANE …” Huu ni msemo wao kwenye dimba la Benjamin Mkapa wakati wababe hawa wanakutana. 

Raha ya soka hukua kama Young Africans FC na Simba FC wanakutana na jiandae kwa pambano lao la pili kuu kwenye Parimatch.

“Kariakoo Derby” inaibua vita vikali ambapo timu zote mbili zinakuja na kikosi chao bora ili kumshusha mpinzani wake na kuibuka bingwa kwenye majigambo ya mwisho. Ni mchezo wa kufa mtu ambao huamua msimamo wa Young Africans kwenye msimamo wa ligi kuu.

Yanga Africans na Simba FC wamemenyana kwenye mechi 28 kali. klabu ya Yanga imeshinda mechi 9, Simba 7 huku mechi 12 zikimalizika kwa sare.

Young Africans vs Azam

Wakati wa kubetia hii dabi, mshindi wa moja kwa moja ni ubashiri mgumu ambao huwaacha waandaaji wengi wa mikeka wakitegemea chaguo la nafasi mbili (Double Chance) ili kuongeza nafasi za kushinda.

Miamba hao wawili wamemenyana kwenye mashindano 29. Klabu ya Yanga imeichapa Azam FC mara 12, huku Azam FC imefanya hivyo mara nane. Mechi tisa zimemalizika kwa sare.

Kubeti Kwenye Michezo ya Young Africans – Vidokezo na Utabiri kuhusu Parimatch

Wakati wa kutabiri matokeo ya mechi za mpira wa miguu, uwezekano wa matokeo hauna mwisho. Na Parimatch, tovuti bora zaidi ya kubeti hapa Tanzania na app yao ina ratiba ya kufuata na matokeo ya timu bora za Kiafrica, zikiwemo zile za michezo ya Young Africans.

Ukiwa na sehemu yetu inayofaa sana kwa mtumiaji na utangazaji wa kina wa matukio ya kandanda, unaweza kuona mechi za Young Africans, ratiba zao na matokeo ya hivi punde.

Kama unapendelea kubetia Young Africans moja kwa moja au kwa chaguzi za kabla ya mechi, tumekushughulikia hayo yote.

Moja ya faida ya kutumia Parimatch ni kujitolea kwetu kutoa uteuzi mpana wa masoko ya kubashiria, kukuruhusu kuchunguza chaguzi mbalimbali za kubeti na kupata zile zinazolingana na mapendeleo yako.

Mkeka wa kwenye michezo ya Yanga hapa Parimatch

Jiunge Parimatch leo na ufungue uwezo kamili wa kubetia soka. Changamkia vitu vyako pendwa mtandaoni na upate fursa ya kujishindia mambo mengi.

Muhtasari

Parimatch ina aina mbalimbali za chaguz za kubeti, ofa za kusisimua, na uzoefu wa mtumiaji usio na shida ambao utakufanya upate mafao zaidi. Pata faida ya kuweka mkeka kwenye mechi ya Yanga leo ukiwa na Parimatch!

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara Kuhusu Young Africans

Je, Young Africans inacheza na timu gani leo?

Young Africans Sports Club (Yanga) haijapangwa kucheza mechi yoyote leo. Baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu, klabu ya Yanga sasa imejipanga kujiandaa na mbio za ligi hiyo kwa msimu wa 2023/2024.

Kikosi cha timu ya kandanda ya Yanga FC ni kipi?

Safu hiyo inajumuisha wafungaji; Djigui Diarra – Mali, Erick Johora – Tanzania, na Abutwalib Mshery – Tanzania.

Walinzi ni pamoja na; Ally Ally – Tanzania, Ibrahim Bacca – Tanzania, Yannick Bangala – DRC, David Bryson – Tanzania, Ibrahim Hamad – Zanzibar, Muharram Issa – Tanzania, Dickson Job – Tanzania, Yassin Mustapha – Tanzania, Lomalisa Mutambala – DRC, Bakari Mwamnyeto – Tanzania, Djuma Shabani – DRC na Ally Shomari – Tanzania.

Viungo wa kati ni hawa; Salum Abubakar – Tanzania, Khalid Aucho – Uganda, Said Bakari – Tanzania, Gaël Bigirimana – Burundi, Zawadi Mauya – Tanzania, Faridi Mussa – Tanzania na Feisal Salum – Zanzibar.

Washambuliaji ni pamoja na; Dickson Ambundo – Kenya, Yusuph Athuman – Tanzania, Stephan Aziz – Kenya, Tuisila Kisinda – DRC, Heritier Makambo – DRC, Fiston Mayele – DRC, Ducapel Moloko – DRC, Bernard Morrison – Ghana, Ditram Nchimbi – Tanzania na Denis Nkane – Tanzania.

Wapi pa kutazama michezo ya Young Africans S.C.?

Ili kutazama michezo ya Young Africans S.C. nchini Tanzania, kuna chaguzi kadhaa zinazopatikana. Njia mojawapo ni kuhudhuria michezo yao binafsi kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam au viwanja vingine wanakocheza michezo yao ya nyumbani. Chaguo jingine ni kutazama michezo yao kwenye televisheni. Michezo ya Young Africans S.C. wakati mwingine huoneshwa kwenye StarTimes TV na Azam TV.

Je, kocha wa Young Africans ni nani?

Miguel Angel Gamondi ndiye kocha wa sasa baada ya kuchukua nafasi ya Nasreddine Nabi hivi majuzi.

Je, Yanga FC ipo kwenye nafasi gani barani Africa?

Yanga inajivunia kushika nafasi ya 17 kwenye viwango vya ubora vya CAF Africa.

Ni wapi pa kubetia mkeka kwenye mechi za Young Africans S.C.?

Usiangalie zaidi ya Parimatch kwa jukwaa la mwisho la kubetia gemu za Young Africans SC wakati wowote na siku yoyote.

Soma zaidi:

Simba S.C.: Fahari ya Watanzania na Timu Kubwa ya Soka Africa 

Simba dhidi ya Yanga: Ushindani wa Kibabe kwenye Soka la Tanzania 

Simba dhidi ya Azam: Ushindani Mkubwa wa Soka kwenye Uwanja wa Michezo wa Tanzania

Namna ya Kubeti kwenye Soka: Kuweka Mikeka ya Soka kutoka A hadi Z

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.