THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Sababu kuu 6 zinazofanya Parimatch kuwa ni app bora zaidi ya kubeti soka mtandaoni

Matukio ya kusisimua ya soka yako mbele na bila shaka umeanza kupanga mikakati yako ya kubashiri soka ya 2021. Umekaa hapo una jiuliza “Ni app gani bora ya kubeti soka 2021?” ikiwa hujasikia kuwa app bora ya kubeti soka Tanzania ni — Parimatch — utakuwa umepitwa kweli.

Sio tu kwamba Parimatch inawapa wigo mpana watumiaji wake katika chaguzi bora za kubeti barani Afrika, pia huwapa michezo ya kimataifa na Ligi tofauti.

Lakini sio tu mipangilio ya matukio ya soka yanayopatikana kwaajili ya kubeti ambayo hufanya app ya Parimatch kuwa nzuri. Ni huduma nzuri kwa wateja inayotolewa kiujumla, bonasi, urahisi wa upatikanaji pamoja na kuwa ukurasa wa kisasa wa kubetia.

Au huamini kuwa Parimatch ndio app bora na nzuri kwaajili ya kubeti soka?. Hizi hapa ni sababu zitakazo kupasa upakue app ya Parimatch ya kubeti 2021.

Sababu 6 zinazopelekea Parimatch kuwa na app bora ya kubeti soka

Je, ni app gani bora kwa mwaka huu kubeti soka? Ni Parimatch pekee.

Wakati msimu wa soka umeanza, tafuta sehemu ya kuaminika kwaajili ya kubeti soka mtandaoni. Vinginevyo, utaishia kupanga foleni kwa mtoa mikeka na matokeo yake utajikuta umemepoteza lengo lako.

Kwa bahati nzuri, hapa Parimatch, tumeweza kukurudisha. Tunakusudia kutoa huduma bora za beti kwa watu wote, mechi zote maarufu za soka zinapatikana, huku ukiwa unabeti kirahisi na salama.

Ndio maana tunajiamini kwamba app ya Parimatch ya kubeti bora zaidi katika ulimwenguni. Na hii ndio sababu…

1. App yetu ya Android na iOS inapatikana sasa

Parimatch, tunaelewa kuwa unahitaji eneo linalofaa kwaajili ya kubeti soka. Hiyo ndio sababu tumetengeneza app yetu ya kijanja ili kuwasaidia wateja wetu katika msimu huu wa soka. Unaweza kupakua kwa urahisi Parimatch APK kutoka kwa wavuti yetu — www.parimatch.co.tz. App yetu imeundwa kwa kiwango kizuri kwaajii ya kutumika kubeti katika simu za Android na iPhone.

Parimatch, tunajali uzoefu wa watumiaji. Hii ndio sababu tunajaribu kuboresha kurasa zetu, kwa kutumia maoni ili kuongeza uzoefu wa kubeti soka kwa kila mtu — haijalishi kuwa unafahamu masuala ya teknolojia au laa!

Kwa kuanzia kubonyeza hadi wakati unaweka beti, ukurasa wetu wa kubeti ni rahisi kufuata. Imeundwa kwa ufasaha, ukurasa wetu utakuongoza vizuri kupata michezo iliyokuwa mizuri kwajili ya kubeti, chagua odds zilizo sahihi na uwasilishe kila kitu kwa usahihi.

Kwa usalama wa hali ya juu, majumuisho mazuri na kufanya kazi kwa wepesi, ukurasa wetu unawajibika katika matumizi makubwa na kufanya iwe nyepesi na haraka, ya kuaminika na yenye usalama wa kubetia soka 2021.

2. Michezo mbalimbali maarufu na ya mechi teule za kimataifa

Hakuna kitu kinachokasirisha na kukera kama kujaribu kuweka beti kwenye soka kwa kumfuata mbetishaji. Huwezi kupata urahisi wa kubeti soka katika sehemu moja ukiwa sehemu yenye utulivu kama nyumbani?.

App ya kubeti soka kutoka Parimatch hutoa orodha ya kipekee ya michezo ya soka ya kitaifa na kimataifa. Parimatch hutoa utajiri mwingi wa beti kwenye ligi maarufu kama vile, Ligi kuu ya Uingereza, Bundesliga ya Ujerumani au La liga ya Uhispania na mashindano ya kimataifa kama kombe la Dunia la FIFA, kombe la UEFA pamoja na Kombe la FA. Pamoja na hayo, Parimatch hutoa watazamaji wengi zaidi, na upatikanaji wa matukio ya soka kama vile, Michuano ya soka kwa wanawake Australia, michezo ya kirafiki ya Urusi, na michezo ya ligi ya Algeria.

3. Beti za live na Pre-match

Ingia kabla ya mchezo kuanza na uchague wigo mpana wa kubeti pre-match. Unaweza kuweka beti ya soka kwenye machaguo mbalimbali kama vile, kadi, magoli, faulo na hadi over/under.

Parimatch pia hutoa beti za soka Live kwa wigo mpana wa mechi. Fikiria mawimbi yanaweza kugeuka? Fikiria Messi atafunga tena? Unataka kuweka beti kwenye kipindi cha pili cha mapumziko? Nenda kwenye app ya Parimatch kisha ingia kwenye chaguzi

4. Chaguzi za kimkakati kubeti soka

Unapaswa kutumia ujuzi wako vizuri pindi linapokuja suala la kubeti soka, Parimatch inakupa furaha ya mawazo yako katika kufanya chaguzi wakati wa kubeti. Mipango ya kubeti soka, utapata chaguzi zetu zilizoorodheshwa kwa usahihi kwenye kurasa za soka kutoka kwenye tovuti.

Huko utapata chaguzi za mikakati kama vile “double chance”, “over / under”, handicaps, kadi na faulo (kwa pre-match pekee), beti za parlay, beti za system, na nyingine zaidi. Unaweza kujua zaidi juu ya mikakati yetu zaidi kwenye kubeti soka hapa.

5. Njia rahisi za kuweka pesa kwa kutumia simu

Tunaamini katika kutoa ufikiajo wa kila mtu ambaue anataka kubeti soka kwa hela halisi. Hiyo ndio sababu app yetu ni rahisi kwako kuweka pesa kwa kuchagua chaguzi kadhaa za malipo. Tunaruhusu malipo ya simu kutoka katika Tigo Pesa na M-Pesa, tumia hii na uweze kuweka pesa moja kwa moja katika akaunti yako ta kubetii soka.

Jifunze zaidi juu ya kuweka amana yako ya kwanza kwenye Parimatch katika mwongozo wetu wa kina.

6. Huduma kwa Wateja za kuaminika

Ni tofauti na makampuni mengine, Parimatch inaamini katika kuhakikisha uzoefu wa wateja wanaobeti kutumia app ni wa hali ya juu. Hiyo ndio sababu tunakupa chaguzi zote ziweze kukusaidia katika kukuongoza kubeti katika app ya Parimatch pamoja na kwenye ukurasa wetu pindi utakwama kidogo.

Wateja wanaweza kuelekea FAQ yetu ili kujifunza juu ya kuweka pesa, kutoa pesa, aina za beti, mipangilio ya akaunti, na kushughulikia maswali yoyote juu ya matumizii. Ikiwa ungependa kuwasiliana na watoa msaada kwa wateja, tunayo namba ya simu na barua pepe, watoa huduma wetu wamejitolea kutatua changamoto unazokumbana nazo masaa 24 siku 7 za wiki.

Napata kitu gani cha ziada kutoka katika app ya Parimatch?

App ya kubetia soka ya Parimatch imetengenezwa kama duka ambalo ni manufaa kwa wapenzi wote wa soka katika kubeti. Pamoja na upatikanaji wa wigo mpana matukio ya soka kwaajili ya kubeti barani Afrika, Parimatch inaleta maana mpya yenye mipango mizuri katika kubeti soka.

Jifunze utakachopata kabla ya kuendelea na upakuaji wa programu ya Parimatch:

 • Viungo vikuu vya michezo maarufu, kutoka Ligi Kuu ya Uingereza hadi Bundesliga ya Ujerumani
 • Mashindano ya kimataifa na cups, kutoka Kombe la Dunia la FIFA hadi Kombe la ELF
 • Upatikanaji wa chaguzi zenye mkakati wakati wa kubeti, pamoja na double chance, kubeti kipindi cha kwanza, Over/under, Correct score, handicap, beti ya system na beti ya Parlay
 • Upatikanaji wa beti za Live pamoja na pre-match
 • Njia rahisi za malipo
 • Muonekano mzuri na rahisi kwa watumiaji
 • Bonasi ya kukaribisha

Jinsi ya ku-donwload app ya kubetia soka Paarimatch

Parimatch, huamini katika kuweka vitu katika njia rahisi. Hakuna mtu anayehitaji kuendelea kupata usumbufu wa kupanga foleni kwa mtoajii mikeka kuangalia beti sahihi — ndio maana Parimatch tukatengeneza app ili utimize mahitaji yako yote ya kubeti soka.

Kupakua programu ya kubahatisha ya Parimatch ni rahisi.

 • Kwanza, nenda kwenye mpangilio kwenye simu yako na ubonyeze security
 • Ruhusu slider iliyowekwa kama “Uknown Source”
 • Kisha, kwenye simu yako, nenda kwenye tovuti ya Parimatch — www.parimatch.co.tz
 • Bonyeza kitufe cha kati na uchague “Programu za Android / iOS” kwa upakuaji wa APK ya Parimatch
 • Mara baada ya kubonyeza, app itaanza kuji-donwload
 • Mara baada ya kumaliza ku-donwload, bonyeza “Fungua”
 • Kisha, bonyeza “Install”
 • App ya Parimatch itakuwa inaji-nstall moja kwa moja kutokea hapo
 • Mara tu kila kitu kitakapo kuwa sawa, weka pesa katika akaunti yako na uanzae kubeti soka

Jinsi ya kubeti soka kwa mara ya kwanza kwenye Parimatch

Kila kitu umeshaweka sawa?, ikiwa bado, utahitajika ku-donwload app ya Parimatch, jisajili kupata akaunti yako na uweke salio lako la awali. Njia hiyo, itakufanya uweze kubeti soka kwa mara ya kwanza Parimatch.

Kwenye ukurasa wa chini, utakuruhusu kuchagua njia utakayo ya kubeti soka ikiwa ni pre-match kwa kubonyeza ‘Sports’ kwenye menyu au chagua “Live” kwa kubeti Live.

Kwa kuanzia hapo bonyeza “Football” kwenye orodha ili utazame michezo yote. Utapata ligi zote na mashindano ya ubingwa yanayopatikana katika kila nchini ulimwenguni kwaajili ya kubetia. Michezo ya kitaifa na kimataifa inapatikana hapa, pamoja na mechi za kirafiki.

Weka beti yako ya kwanza ya soka Parimatch:

 • Chagua kati ya beti za Live au Pre-match
 • Bonyeza soka kwenye orodha kuu ili kuona michezo yote inayopatikana

Michezo yote imeorodheshwa ikiwa na odds kubwa. Ili kuona odds zaidi, bonyeza kwenye mchezo unaotaka kubeti

 • Mara tu utakapopata mchezo ambao ungependa kubeti, unaweza kubonyeza odds zilizokuwa chini ya mchezo au bonyeza jina la mchezo kuona chaguzi mbalimbali za odds
 • Mara utakapoingia kwenye mchezo, bonyeza kupitia chaguzi za mikakati ya kubeti katika orodha kuu
 • Chagua odds zako na utaona idadi ya namba zinavyoongezeka chini ya “My bets” kwenye orodha ya chini
 • Ili kuweka beti za system, utahitajika kuchagua mechi 3 au zaidi ili uweze kubetia
 • Umemaliza kuchagua beti? Elekea kwenye “My bets” ili kumaliza

Weka parlay au system beti kwenye “My bets”

 • Kwenye “My bets”, unaweza kuchagua parlay au system beti
 • Ikiwa uko tayari, bonyeza “Place bet”

Usisahau bonasi yako ya kubeti soka

Kama tulivyosema hapo juu, tumefurahi kukukaribisha kwenye app yetu ya kubeti mpira wa miguu ya Parimatch — ni app bora zaidi ya kubetia mpira wa miguu barani Afrika. Kurudisha shukrani zetu kwenu, tunawapa wateja wetu wapya wote bonasi ya kujiunga na platform ya Parimatch. Unapofanya amana yako ya kwanza, tutazidisha hadi TZS 1,000,000 kukushukuru.

Usikose kubeti bure soka mtandaoni na vifurushi vyetu vya bonasi. Download app ya Parimatch sasa hivi ili upate bonasi yako ya bure ya kubetei mpira wa miguu!

Kwa hivyo, anza kuweka beti za soka leo!

Parimatch inakaribisha msimu mpya wa mpira wa miguu kupitia app yetu ya kubeti soka iliyoundwa vizuri kwaajili ya kukidhi mahitaji yako ya kubeti mpira wa miguu. Sasa unaweza kufurahia kuweka beti za michezo ya soka ya kimataifa moja kwa moja kwa kubonyeza kitufe, yakiwa na mashindano mbalimbali ya kimataifa.

Pakua APK ya Parimatch, sio tu kwamba utapata kuona aina mbalimbali za mechi za mpira wa miguu, lakini pia utapata kuchagua mbinu mbalimbali ya kubeti soka, ambazo zitakuwezesba kubeti pesa halisi.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.