Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Mbinu za Kubeti Soka

Mashabiki wa michezo Tanzania mara kwa mara wanashinda pesa nyingi sana kwa kubeti kwenye soka na Parimatch. Moja ya sababu kubwa ya mikeka yao yenye mafanikio ni katika matumizi ya mbinu mahiri ya kubeti soka.

Kama unataka kuongeza odds zako za kuweka mikeka ya ushindi, utahitajika kujifunza mbinu rahisi zinazofanyiwa mazoezi kwa bidii na wabashiri Afrika yote.

Ikiwa wewe ni mgeni kwenye kubeti michezo mtandaoni au ni mtaalamu wa msimu, katika makala hii utajifunza njia bora za kubeti soka, zilizothibitika kufanya kazi 2023.

Kwanini Mbinu za Kubeti Soka ni Muhimu?

Fikiria uko kwenye mtoko wa kwanza na mtu unayempenda. Inawezekana ungefuata miongozo kadhaa ya msingi kuboresha nafasi zako za mtoko wa pili. Kubeti kwenye soka hakuna utofauti, una mtoko mkali na meneja ubashiri na ni muhimu kuwa na mbinu kwa ajili ya mafanikio ya muda mrefu.

Mbinu ya kubeti soka ni mkusanyiko wa kanuni na miongozo iliyoamuliwa kabla ambayo, pindi ikifuatwa, husaidia kukuongoza kuelekea lengo lako. Kwa kufuata kanuni hizi kwa moyo, utapunguza hatari zinazowezekana za mikeka inayochochewa kihisia. Badala yake, utakuwa unaweka mikeka yako kwa mbinu zenye mantiki.

Kufuata njia ya kimbinu itakusaidia pia kupitia sportsbook ya mtandaoni kwa haraka zaidi, kupelekea kwenye uzoefu mzuri zaidi. Mwanzoni kabisa utakuwa na uwezo wa kuondoa mikeka ambazo haziendani na wasifu wako wa uthubutu.

Kadri muda unavyokwenda, unaweza kufanya marekebisho madogo na kuimarisha mbinu yako kuboresha zaidi nafasi zako za kuweka mikeka yenye mafanikio.

Mwisho wa siku hakuna muujiza kwa ajili ya kushinda kila mikeka lakini tu kuwa na mpango uliyowekwa vizuri hukusaidia kuwa mwenye faida katika kipindi kirefu.

Mbinu Bora za Kubeti Soka kwa ajili ya Kuweka Mikeka Mikali

Kuna mbinu nyingi tofauti zinazofanya kazi, lakini siri ya kweli ni kutafuta mbinu ya kubeti ambayo inakufaa wewe. Mbinu baadhi zinalenga kwenye marejesho makubwa zaidi yanayowezekana, wakati nyingine zinalenga kwenye kupunguza hatari.

Angalia mifumo iliyothibitika ya kubeti soka ya 2023 na ona kama unaweza kulenga njia ambayo itafanya kazi vizuri zaidi kwako.

1. Kubeti kwa Thamani

Mbinu hii hulenga kwenye kuweka mikeka yenye thamani kubwa. Katika maneno mengine, mikeka ambapo nafasi za kitu fulani kutokea ni kubwa kuliko pendekezo la odds.

Kumbuka kuwa odds za soka huwakilisha uwiano kati ya hatari na tuzo. Mikeka ya thamani ya kawaida, kwa viwango vyovyote vya wabashiri, ni ile ambapo kuna hatari ndogo na uwezekano wa malipo makubwa.

Odds za kweli hasa haziwezekani kukokotoa, kwa kuzingatia kuwa haiwezekani kurudufu tukio hilo hilo la kimichezo idadi za kutosha (maelfu) kwa kanuni ya kitabiri iliyo sahihi kwa 100%. Maana ya hili ni kuwa wakati odds zilizowakilishwa kwenye sportsbook zinaweza kuwa karibu na odds za kweli, haziwezi kuwa sahihi kabisa β€” hivi ndivyo odds nzuri zinavyopatikana.

Njia rahisi zaidi ya kutafuta mikeka ya thamani ni kwa kukokotoa implied probability ya odds kwenye sportsbook na halafu kuifananisha dhidi ya uwezekano uliyokuja nao kutegemeana na ujuzi wako mwenyewe binafsi. Kadri utofauti kati ya implied probability kutoka kwa meneja ubashiri na utabiri wako mwenyewe binafsi unavyokuwa mkubwa, ndivyo thamani katika mikeka inavyokuwa kubwa zaidi.

Mfano wa kubeti kwa thamani katika mazoezi ungekuwa mtu anayebeti tu kwenye odds ambazo zina utofauti wa 20% au zaidi, kutoka kwenye implied probability ya meneja ubashiri, hadi kwenye utabiri wake mwenyewe wa uwezekano.

Kama haufahamu jinsi ya kukokotoa implied probability, angalia mwongozo huu juu ya jinsi ya kusoma odds za soka kwenye Parimatch.

2. Kuweka Dau Kutegemeana Na Thamani

Kwa mbinu ya thamani ya kubeti soka, mbashiri kimsingi hulenga kwenye odds zipi za kuzibetia, wakati katika mbinu ya kuweka dau kutegemeana na thamani, mbashiri kimsingi hujishughulisha na kiasi gani cha kubeti.

Kwa njia hii, mbashiri ataweka kiasi fulani dau kwenye odds sawia na thamani zake zinazofikiriwa. Kwa mfano, kama uliona odds kadhaa mbaya sana za moneyline ambazo haziendani kabisa na tabiri zako, basi ungeweka dau kiasi kikubwa maana hii inafikirika kuwa mikeka yenye thamani kubwa sana.

Vivyo hivyo, kama uliona odds ambazo zinaendana karibu sana na tabiri zako mwenyewe, ungeweka dau kiasi kidogo zaidi katika jitihada za kupunguza hatari yako.

Katika maneno rahisi, kwa mbinu ya kuweka dau kutegemeana na thamani, unabeti kiasi kutegemeana na thamani za odds. Kuweka mikeka yenye faida, kadri thamani ya odds inavyokuwa kubwa zaidi, ndivyo unavyobeti zaidi, na kinyume chake.

3. Mbinu ya Kubeti Soka Kwa Hali

Parimatch ina app ya kubeti soka iliyo rafiki sana kwa mtumiaji ambayo hukuruhusu kuweka mikeka katika masoko mbalimbali ndani ya sekunde. Ndio maana Parimatch inafaa kwa mbinu ya kubeti kwa hali, maana utahitaji sportsbook yenye aina nyingi za mikeka tofauti.

Kwa mifumo ya soka ya kubeti kwa hali, unaangalia mikeka ambayo inapendwa zaidi kwenye hali au mazingira hasa yanayoizunguka mechi ya mpira wa miguu. Kadri aina nyingi ya mikeka inayotolewa, ndivyo hali nyingi zaidi unavyoweza kufikiria.

Kwa mfano, kama kwenye siku ya mechi hali ya hewa inakuwa ya pepo za ghafla (hii ndio hali), fikiria kuhusu hiyo inaweza kuathiri vipi kiwango cha wachezaji uwanjani. Kwa kawaida pepo kubwa humaanisha ufangaji mdogo wa magoli. Tumia ujuzi huu kwa faida yako kwa kuchagua aina ya mikeka ya soka ambayo hufanya kazi vizuri na matukio yenye ufungaji mdogo.

Katika kesi hii, unaweza kufikiria kuweka mikeka ya jumla kwenye β€œunder” kuzingatia hali zisizo nzuri.

Kuna hali nyingine kadhaa za kuzingatia, kama vile ripoti ya kuumia, umuhimu wa mechi, kiwango cha karibuni, n.k. Kwa kulenga kwenye muktadha wa mechi ni moja ya mifumo bora ya soka inayotumika kukusaidia kuamua aina ya mikeka ipi itakupa fursa bora ya kushinda.

4. Kubeti kwenye Timu Dhaifu ya Nyumbani

Kubeti kwenye timu dhaifu daima hutoa malipo makubwa zaidi yanayowezekana kuliko timu pendwa. Isitoshe, hawatarajiwi kushinda, hivyo odds zitakuwa kubwa zaidi. Odds kubwa zaidi humaanisha malipo makubwa, lakini pia humaanisha hatari kubwa zaidi.

Lakini labda hiyo hatari kiukweli ni uongo kama timu dhaifu ndio timu ya nyumbani. Mashabiki wa timu ya nyumbani hutengeneza mazingira ya uungaji mkono ambayo kiukweli yanaweza kushawishi mchezo.

Kwa mbinu hii ya kubeti soka, wabashiri wanategemea mashabiki wa nyumbani kuwapa mashujaa wao nyongeza ya nguvu katika kiwango uwanjani. Nadharia hii ni kwamba pamoja na uungwaji mkono wote wa shauku kutoka kwa mashabiki, timu ya nyumbani itakuwa yenye mafanikio zaidi, kuweza kuchezesha odds kwa manufaa ya timu dhaifu.

Kubeti kwenye timu dhaifu ya nyumbani kushinda ni njia rahisi sana na bado yenye ufanisi mkubwa kwa kubeti kwenye odds za mpira wa miguu. Kwa kawaida hufanya kazi vizuri zaidi pindi odds zikiwa karibu kutosha kiasi kwamba msukumo kidogo kutoka kwa mashabiki unaweza iweka timu dhaifu ya nyumbani juu.

Hata hivyo, si busara kubeti kwenye timu dhaifu ya nyumbani kushinda pindi odds zikiwa mbali mbali sana.

5. Mbinu ya Kubeti Soka ya Bounce Back

Mbinu hii rahisi sana ya kubeti soka imejikita kwenye wazo kuwa timu hutaka kujikomboa yenyewe. Kama timu imekuwa kwenye upande wa kupoteza, mara nyingi wanachochewa kuweka rekodi tena. Hii huwasukuma kujituma zaidi, kucheza vizuri zaidi, na kutafuta ushindi.

Kwa mfano, fikiria ndio Kombe la Dunia na Hispania yenye nguvu ndio timu pendwa kushinda mashindano yote. Hata hivyo, katika mechi dhidi ya Marekani (ambayo ni timu dhaifu dhahiri), Hispania inapoteza kwa goli moja kutokana na mkwaju wa adhabu.

Sasa jiulize mwenyewe, ungetaka kuwa timu inayofuata kukutana na Hispania baada ya matokeo kama hayo. Jibu ni hapana kubwa β€” hapana usingetaka. Kwanini? Kwa sababu Hispania ingekuwa kwenye njia ya vita kushinda.

Nadharia hii ni kwamba kikosi kitaonyesha maboresho ya wazi katika kiwango kama karibuni walipoteza bila kutarajia,walifungwa vibaya, au walipoteza katika dakika za lala salama za mchezo.

Mbinu hii ya kubeti mpira wa miguu imejikita kwenye dhana kwamba vikwazo fulani vitaongeza kiwango katika mechi inayofuata kwa sababu mbili.

Kwanza, wameamua zaidi kushinda. Pili, wataichambua mechi kinaga ubaga kutafuta mapungufu yao β€” na kulenga kwenye kuhakikisha hawafanyi makosa hayo hayo tena.

Si kila timu ina uhakika wa kupindua meza baada ya mechi ya kukatisha tamaa hivyo ni muhimu kuelewa timu zipi hufanya hivi na zipi huendelea kushindwa baada ya kupoteza. Kwa kufanya hivyo utakuwa unaamini zaidi katika uwezo wa timu (au ukosefu wake) kujikomboa yenyewe katika mechi inayofuata.

6. Mifumo ya Soka ya Double Chance

Kama jina linavyopendekeza, kwa kufuata mbinu hii ya kubeti mpira wa miguu, mbashiri kwa ufanisi hurudufu odds zake za kushinda, kwa kuweka mkeka mmoja kwenye matokeo mengi. Mbinu hii rahisi hupendwa na wabashiri wasiopenda mabadiliko ambao wanalenga kwenye kupunguza hatari zao.

Kuna matokeo matatu yanayowezekana ya mechi ya mpira wa miguu: timu ya nyumbani kushinda, timu ya ugenini kushinda, au sare. Wakati wa kuweka mikeka ya double chance, mbashiri huchagua mawili kati ya matokeo matatu yanayowezekana ya mechi ya mpira wa miguu β€” kupunguza hatari yake inayofikirika hadi 33% tu.

Mikeka ya double chance kwa kawaida haitoi malipo makubwa zaidi, lakini hiyo ni SAWA kwa sababu hauchukui sehemu kubwa ya kamari. Kama ukifuata mbinu ya kubeti mpira wa miguu ya double chance bila kuyumba, unaweza kuwa na uhakika italipa katika kipindi kirefu.

Mifumo ya mpira wa miguu ya double chance ni mizuri kwa wanaoanza kujifunza tu kuupitia ulimwengu wa sportsbook za mtandaoni. Kwa kuanza na njia ya double chance, hautakiwi kuwa na wasiwasi kuhusu kufikiria tani ya hatari. Mwishowe utahitimu kwenye mikeka ya moneyline ambapo unachagua tokeo moja tu, lenye malipo ya kuvutia zaidi.

Kujifunza jinsi ya kubeti kwenye soka kunaweza kuwa kugumu mwanzoni. Mbinu ya double chance ya kubeti mpira wa miguu itakusaidia kujifunza wakati ikizuia maumivu yako ya kupoteza.

Ikiwa Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Kamari ya Soka, Soma Makala Haya:

Hitimisho

Ikiwa unataka kubeti kwenye soka au unataka kuzamisha vidole vyako katika soka la virtual, Parimatch ina machaguo zaidi ya kubeti mtandaoni Afrika yote.

Pamoja na mkusanyiko mzuri wa machaguo ya kubeti, yote yakipatikana kwa urahisi kupitia app yetu ya bure ya kubeti ya simu ya mkononi, haijawahi kuwa rahisi zaidi kuchukua hatua na Parimatch.

Soma mbinu ambazo zimethibitishwa kuwa za mafanikio 2023 na jiimarishe kwenye moja ambayo inaendana vizuri zaidi na wasifu wako wa hatari. Kwa kufanya hivyo, sio muda utakuwa mbashiri mwenye faida.

Rekebisha mifumo yako ya soka kadri inapobidi na pindi ukishajiamini, anza kuweka mikeka yako ya mpira wa miguu ya ushindi!

Uko tayari kuweka mikeka kwenye soka kwa kutumia mbinu hizi kali za kubeti mpira wa miguu?

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, ni mkakati gani bora wa kubeti kwenye kandanda?

Mbinu bora ya kamari kwenye kandanda ni kuweka mkeka wa thamani. Mkakati huu unahusisha mdau kuweka mikeka ya thamani ya juu (dau lenye uwezekano mkubwa wa tukio kutokea kuliko uwezekano unavyopendekeza kuwa itakuwa hivyo).

Kwa mfano, unaweza kuweka dau kwenye matumaini ambayo yana tofauti ya 30% tu au zaidi kutoka kwenye uwezekano uliodokezwa wa mpangaji wa odds hadi ubashiri wako wa uwezekano wa tukio kutokea. Lakini, kuweka dau kwenye thamani sio mbinu pekee yenye mafanikio unayoweza kuitumia kwenye kubetia kandanda.

Mikakati mingine bora ni pamoja na;

  • Uwekaji dau la thamani
  • Dau la kubetia kawaida
  • Kumbetia kibonde akiwa nyumbani
  • Kubetia gemu kwa njia ya kawaida
  • Kubetia matokeo ya aina mbili

Kulingana na waweka dau wengi wenye uzoefu, mfumo wa kandanda wa kubetia matokeo ya aina mbili ndio mkakati ambao ni salama zaidi kwenye kamari. Nafasi maradufu pia ndiyo rahisi zaidi, ikihusisha matokeo mawili yanayowezekana. Kwa kawaida, utachagua ushindi wa nyumbani au sare, ushindi wa ugenini au sare au ushindi wa nyumbani au ugenini. Kwa hivyo, ikiwa dau lako litashinda, matokeo ni ushindi (pesa) au sare (kurudishiwa pesa).

Je, ninabetije na kushinda kila siku?

Kando na mfumo wa kamari wa kubetia nafasi mbili, unaweza pia kutekeleza mkakati wa martingale wa kushinda kila siku. Mbinu ya martingale hukuruhusu kuweka dau mara mbili kila unapopoteza, huku kunakuruhusu kurejesha pesa ambazo ungezipoteza na hata kupata faida baada ya hapo.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.