Unataka kujua jinsi ya kubeti kwenye mechi za CS: GO? Umekuja kwenye sehemu sahihi!
Mfululizo wa michezo ya Counter-Strike ilikuja kuwa wapiga risasi wa mtu wa kwanza inayotambulika sana ikivutia mamilioni ya mashabiki, ikihusisha wachezaji Tanzania.
Katika mchezo huo, timu mbili — Magaidi na Wakabilianaji wa Magaidi — hushindana dhidi ya kila mmoja. Pande zote mbili zinalenga kuondosha upande mwingine au kutimiza kazi maalum. Magaidi hujaribu kutega bomu au kutunza mateka. Muda huo huo, Wakabilianaji wa Magaidi wako tayari kuzuia utegaji wa bomu, kulitegua bomu, au kuwaokoa mateka.
Mashindano mengi sana ya CS GO yamekuwa yakiratibiwa tangu kuachiliwa kwa mchezo huo 2012. Siku hizi, Counter-Strike ni moja ya esports (michezo ya kielektroniki) ya juu ulimwenguni na Parimatch inaongoza njia katika kubeti CS GO.
Tumejitolea kukuimarisha wewe kwa dondoo bora za kubeti michezo ya kielektroniki, na leo tutaangalia jinsi ya kubeti kwenye CS GO. Hebu tuzame!
Yaliyomo
Nini Kinaburudisha sana kuhusu Kubeti Counter-Strike?
Sio siri kuwa kubeti kwenye CSGO kwa ajili ya pesa kunapata umaarufu Afrika kote katika nchi kama Tanzania. Unaweza ukawa unajiuliza mwenyewe, inakuaje?
Hizi hapa ni baadhi ya sababu kubwa kwanini wanaingia na wanaweka mikeka yao mtandaoni na app ya kubeti ya Parimatch.
Kuna pesa ya kushinda!
Namba hazidanganyi. 2016, tasnia ya michezo ya kielektroniki ilizalisha dola milioni 463 katika mapato — sasa imeendelea mbele haraka hadi 2020 na namba hiyo imeongezeka mpaka dola bilioni 1.8. Hata hivyo, huu ni mwanzo tu.
Pesa yote hii inayozunguka katika tasnia nzima ya michezo ya kielektroniki hutafsirika kuwa ni jakpoti kubwa na njia zaidi za kushinda.
Umaarufu wa michezo ya kielektroniki unaongezeka
Mwaka baada ya mwaka tasnia ya michezo ya kielektroniki hujivunia ukuaji mkubwa wa utazamwaji. Tangu 2015 tasnia ya michezo ya kielektroniki imekuwa ina ukuaji wa wastani wa 14% kutoka mwaka uliyopita.
Michezo ya kielektroniki imekuwa maarufu sana kiasi kwamba neno hilo hivi karibuni lilitambulika kama neno rasmi katika kamusi.
Unakumbuka kipindi Facebook ilipoanza kwa mara ya kwanza na ghafla ulianza kusikia kila mtu akiongelea kitu hiki kipya kinachoitwa mitandao ya kijamii? Michezo ya kielektroniki ni ya aina kama hiyo.
Kubeti michezo ya kielektroniki kunahusianishika
Mara nyingi, wabashiri uhisi wametengwa kutoka kwenye michezo wanayoibetia.
Kwa mfano, fikiria mechi ya mpira wa miguu iliyochezwa katika uwanja mzuri wa Allianz Arena, Ujerumani. Isipokuwa kama una bahati sana, inawezekana haujawahi kuwa na nafasi ya kucheza mechi na rafiki zako kwenye kiwanja chenye hadhi kama hiko.
Sasa, wakati wowote unapojisikia kujiliwaza na kujiunga na mchezo wa wachezaji wengi, unahisi mazingira sawia kabisa ambayo wachezaji wataalamu wa michezo ya kielektroniki wanachezea. Hiyo ni nzuri sana, sio?
Cha zaidi ni kuwa baadhi ya mashujaa wakubwa katika michezo ya kielektroniki wanafanana tu na watu wa kawaida. Uwezekano ni kuwa muda usio mrefu walifanya kazi kwenye ajira za kawaida kabla ya kwenda kwenye ustaa. Sikiliza tu moja ya mahojiano ya baada ya mechi na utaelewa.
Kuna aina nyingi sana kwenye kubeti michezo ya kielektroniki
Pamoja na ukuaji unaoongezeka wa tasnia ya michezo ya kielektroniki zinakuja njia nyingi za kubeti kwenye michezo yako pendwa kuliko hapo kabla. Kiukweli inakwenda kwenye chumi rahisi za ugavi na mahitaji.
Kuna mahitaji mengi sana ya njia za kubeti kwenye michezo ya kielektroniki na Parimatch inajibu hilo.
Si kitambo kirefu nyuma ambapo mchezo pekee ambao ungeweza kuubetia ulikuwa ni mchezo mashuhuri wa wachezaji wengi uwanjani, League of Legends. Ukiwa na Parimatch unaweza kubeti kwenye aina mbalimbali za esports kama Counter-Strike, Dota 2, Starcraft 2, na mingi zaidi.
Tamaa ya kujifunza jinsi ya kufanikiwa? Tumeandaa mwongozo wa kina juu ya betting za esports!
Jinsi ya kusoma odds za CS: GO kwenye Parimatch
Michezo ya kielektroniki inawezekana imelivumbua upya gurudumu lakini usiwe na wasiwasi, kusoma na kukokotoa odds kunafanana sana na michezo ya kitamaduni ya kiriadha.
Parimatch hutumia odds zenye desimali ambazo huzifanya kuwa rahisi na haraka kwa watumiaji kuzielewa.
Jinsi ya kukokotoa uwezekano uliyomaanishwa wa CS GO na odds za Parimatch
Kubadili odds za desimali kwenda uwezekano uliyomaanishwa ni rahisi zaidi kuliko kufunga viatu vyako.
Mlinganyo huu ni rahisi:
(1/odds za desimali) * 100 = Uwezekano Uliyomaanishwa
Kukokotoa uwezekano uliyomaanishwa wa ushindi wa Vitality, mlinganyo ungeonekana kama hivi:
(1/1.5*) * 100 = 66.6%
Kwa hiyo, kulingana na odds ya desimali ya 1.50, Vitality ina nafasi ya 66.6% ya kushinda.
Jinsi ya kufahamu CS GO pendwa kutoka kwenye odds za Parimatch
Unaweza kutumia uwezekano uliyomaanishwa kufahamu timu pendwa kwenye CS GO. Hata hivyo, kama unataka njia ya haraka ya kukokotoa inayopendwa bila kufanya hesabu zozote, angalia tu timu ipi ina odds za chini zaidi.
Timu yenye odds za chini zaidi ndio pendwa.
Ufikirie msemo wa zamani “uthubutu mkubwa, rejesho kubwa”. Kama timu ina odds za juu, mikeka hiyo ina hatari kubwa. Kwa hiyo kama timu ina odds za chini, ni hatari ndogo.
Acha tuangalie mfano. Hiyo chini ni mikeka ya Counter-Strike ya kawaida:Â
Kutoka kwenye hii, unaweza kuona kuwa timu ya Vitality ina odds ya 1.5 na timu ya compLexity ina odds ya 2.48.
Katika mfano huu, Vitality ni pendwa.
Jinsi ya kukokotoa shindi zinazowezekana za CS GO na odds za Parimatch
Kukokotoa shindi zako zinazowezekana kwenye Counter-Strike, unaweza kutumia odds za desimali za Parimatch maana zinahusiana moja kwa moja na ukingo wako wa faida unaotarajiwa.
Hesabu hiyo ni rahisi. Kufahamu ni pesa kiasi gani ungeweza kutengeneza kwenye mikeka yako:
- Zidisha dau lako kwa odds zinazoonyeshwa kwenye tovuti ya Parimatch. Hii itakupa marejesho kamili ambayo utapokea.
- Kufahamu faida yako, toa dau la awali kutoka kwenye shindi zako.
Dau lako x odds za desimali = jumla ya rejesho
Jumla ya rejesho – dau lako = jumla ya faida
Huu hapa ni mfano:
Kama ungeibetia Vitality, ungekuwa unabeti kwenye odds ya 1.50.
Kama ungebetia TZS 10,000 kwenye Vitality kushinda, ungezidisha dau lako kwa odds 1.50.
Hii inakupa rejesho linalowezekana la TZS 15,000. Sasa, toa dau lako la awali la TZS 10,000.
Hii inakupa jumla ya faida ya TZS 5,000 kama Vitality itashinda.
10,000 x 1.5 = 15,000
15,000 – 10,000 = 5,000
Aina ya Mikeka katika CS GO na Esports Nyingine
Hapa ndipo ambapo inaanza kuvutia. Kweli unaweza kuweka mikeka ya kitamaduni ya timu moja kushinda, punguo, au mikeka ya jumla lakini umeshawahi kusikia kubeti kwenye aina za mauaji au damu ya kwanza?
Endelea kusoma kwa ajili ya kujichangamsha juu ya njia za kitamaduni za kubeti pia kwa ajili ya mikeka ya CSGO za kipekee kwa michezo ya kielektroniki.
Kubeti kwenye mikeka ya moneyline za CS:GO
Kama tu michezo ya kitamaduni ya kiriadha, pindi unaweka mikeka ya moneyline, unabeti kwenye timu unayofikiri inakwenda kushinda.
Unachagua tu timu ishinde na kama ikishinda, unashinda.
Acha tuiangalie mikeka ya moneyline kwenye Parimatch:
Kutoka kwenye odds hizi unaweza kuamua kuwa Heroic ndio pendwa maana odds zake ni za chini zaidi.
Kama ungebeti TZS 10,000 kwenye Heroic kushinda na wakawashinda Sprout, ungetengeneza faida ya TZS 4,000. Kama kungekuwa na sare, dau lako lingerudishwa. Kama Sprout ikishinda, ungepoteza dau lako la awali la TZS 10,000.
Kubeti kwenye mikeka ya CS:GO
Kubeti punguo humaanisha kutoa au kuchukua shindi za mzunguko kwa moja wapo ya timu zinazohusika hata kabla mchezo haujaanza, ikizifanya odds kuwa karibu zaidi na kuwa zinazofurahisha zaidi kuzibetia.
Njia ya msaada ya kuangalia punguo ni kuifikiria mizunguko inayochezwa katika CS GO kama magoli yanayofungwa katika mechi ya mpira wa miguu. Katika mpira wa miguu, kila goli linalofungwa hukusogeza karibu zaidi na ushindi wakati katika Counter-Strike, kila mzunguko wenye ushindi unakupeleka [hatua moja karibu zaidi na kushinda.
Acha tuangalie mikeka ya punguo ya kawaida ya CS:GO
Unachoona hapa ni kuwa meneja ubashiri alitumia punguo la 1.5 na una machaguo manne ya kuchagua. Unaweza kuchagua Sprout kushinda na punguo la (+1.5), Sprout kushinda na punguo la (-1.5), Heroic kushinda na punguo la (-1.5), au Heroic kupoteza na punguo la (+1.5).
Odds za desimali zinachezeshwa kutegemeana na punguo. Kwa mfano, odds za awali za timu moja kushinda ziliiweka Sprout kwenye 2.80 ikiashiria ni wadhaifu. Baada ya kutumia punguo la (+1.5) odds zinakwenda chini hadi 1.60.
Kama uliiunga mkono Sprout na punguo la (-1.5), odds zinapanda kote mpaka 6.00. Hii ni kwa sababu walikuwa tayari ni dhaifu na sasa pia wanakumbana na upungufu hata kabla mechi haijaanza.
Kama ukimchagua mdhaifu na punguo la (-), unakuwa tayari kushinda jumla kubwa sana ya pesa, lakini pia unachukua hatari kubwa zaidi. Sawia na kinyume ni kweli kama ukiichagua timu pendwa kushinda na punguo la (+) likitumika.
Kubeti kwenye mikeka ya jumla ya CS:GO
Muda mwingine timu mbili zinakuwa zimefanana sana katika ujuzi kiasi kwamba ni ngumu kufanya mikeka ya kujiamini juu ya nani unafikiri atashinda. Hapo ndipo mikeka ya jumla zinaingia.
Pindi unapobeti kwenye CS:GO katika soko la mikeka ya jumla, kimsingi unabeti kwenye urefu kiasi gani unaofikiri mchezo utadumu.
Counter-Strike: Global Offensive inakuwa na mshindi pindi timu moja inaposhinda ramani mbili, vinginevyo inajulikana kama bora kati ya tatu. Katika soko la jumla, utakuwa unabeti kwenye ramani za jumla ngapi unafikiri utahitaji zichezewe ndani yake ili mshindi aweze kuamuliwa.
Chukulia hii kwa mfano:
Unaweza kuona kuwa jumla imepangwa kwenye 2.5 na pia unaona odds za desimali kwa kuiunga mkono over au under. Inayopendwa ni under kwenye odds ya 1.70. Hii humaanisha kuwa meneja ubashiri anaamini kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa moja ya timu kushinda mechi mbili za kwanza, kuiacha mechi ya tatu kutokuwa ya lazima.
Kama ukichagua over inamaanisha unafikiri kuwa timu zitagawana mizunguko miwili ya kwanza na mechi haitaamuliwa mpaka mzunguko wa tatu na wa mwisho umechezwa.
Beti kwenye aina za mauaji za CS:GO
Lengo la msingi katika CS:GO ni kuiondoa timu nyingine, kwa mbinu zozote za lazima. Unafikiria kwamba moja ya timu itamuua adui kutoka timu nyingine kwa kisu? Vizuri, itakubidi ulibetie hilo na Parimatch inakuruhusu.
Hivi hapa ndivyo mikeka itakavyoonekana:
Mapambano ya kupigana kwa karibu ni machache katika Counter-Strike, mauaji mengi yanafanyika kwa bunduki au milipuko kutoka kwenye makombora. Kwa kuangalia kwenye odds hizi kunasema hadithi hiyo. Unaweza kuona kuwa odds za uuaji wa kisu katika ramani ziko kwenye 5.55 ikiashiria kuwa kuna uwezekano mdogo sana kutokea.
Kama unabetia uuaji wa kisu katika ramani kwenye odds ya 5.55 na ulikuwa sahihi — ungetengeneza faida nzuri sana lakini ni hatari kubwa.
Kubeti kwenye mauaji ya kwanza ya CS:GO
Timu gani unafikiri itapata uuaji wa kwanza? Kiukweli ni rahisi kama hivyo. Parimatch inakupa chaguo la kubeti kwenye timu gani unayofikiri itapata uuaji wa kwanza wa mzunguko.
Hivi hapa ndivyo odds zinavyoonekana:
Ni wazi sio rahisi rahisi kutabiri timu gani unafikiri itamuondosha mchezaji wa kwanza. Pamoja na odds za karibu kama hizo, unaweza kuona kuwa mameneja ubashiri wana muda mgumu kuliamua hilo pia.
Kubeti kwenye mbio za CS:GO hadi mizunguko 5 au 10
Katika CS GO, soko la mbio za hadi mizunguko 5 au 10 ni lile ambalo utakuwa unabeti ni timu gani unafikiri itakuwa ya kwanza kushinda aidha mizunguko 5 au 10. Kama unaiunga mkono Heroic kushinda mechi lakini unahisi mashaka kuwa Sprout itakuwa timu ya kwanza kushinda mizunguko 5, basi mikeka hii ni kwa ajili yako.
Mikeka ya mbio ya kawaida hadi mizunguko 5 kwenye Parimatch itaonekana kama hivi:
Hapa unaona kuwa kwa sababu Heroic wana odds za chini zaidi, wanapendelewa kuwa timu ya kwanza kujikusanyia shindi za mizunguko 5.
Kubeti kwenye njia za kumalizia za CS:GO
Kuna njia nne tofauti za mzunguko kumalizika katika Counter-Strike:
- Washiriki wote wa timu wameondolewa
- Timu ya wakabilianaji wa magaidi wanategua bomu
- Timu ya magaidi wanalipua bomu kwa mafanikio
- Muda uliyotengwa umeisha
Katika soko la “njia ya kumalizia”, unabeti kwenye jinsi unavyofikiri mzunguko utamalizika.
Hivi ndivyo inavyoonekana:
Kwa kuangalia kwenye odds hizi unaweza kufikia hitimisho fulani. Unaweza kuona kuwa njia inayowezekana zaidi kwa mzunguko kumalizika katika CS:GO ni kwa timu moja kuwaondoa wachezaji wengine wote.
Kama timu ya magaidi wanatega bomu na halafu timu ya wakabilianaji wa magaidi wanategua bomu tajwa, mzunguko utamalizika. Hii ni njia ya pili iliyozoeleka zaidi kwa mzunguko wa Counter-Strike kuhitimika.
Ingawa si rahisi, muda mwingine timu ya magaidi inafanikiwa katika kutega na kulipua bomu. Odds za bomu kulipuliwa zinategemeana na mbinu za kila timu ya CS:GO.
Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Mechi za CS GO kwenye Parimatch
1. Jisajili au ingia kwenye akaunti yako ya Parimatch.
2. Weka pesa ili kuweka mikeka yako ya kwanza.
3. Kutoka kwenye ukurasa wa nyumbani wa Parimatch au app yetu ya simu ya mkononi, chagua Sports katika sehemu ya juu.
4. Kinachofuata, bofya Esports kutoka kwenye orodha
5. Kwenye ukurasa unaofuata, chagua Counter-Strike.
6. Kwenye orodha ya mdondoko wa chini, chagua shindano gani ungependa kulibetia.
7. Chagua mikeka ipi ungependa kuiweka. Boksi litageuka jeusi pindi ukichagua mikeka yako.
8. Mikeka unayochagua zitaongezwa kwenye tiketi ya ubashiri kwenye upande wa mkono wa kulia wa skrini.
9. Kwa mikeka ya moja, ingiza kiasi ambacho unatamani kubashiria na bonyeza SubmitÂ
10. Kwa mikeka mingi, chagua kati ya mikeka ya Parlay na System
11. Kwa mikeka ya parlay, ingiza kiasi chako cha kubashiria na wasilisha.
12. Kwa mikeka ya system, chagua system, ingiza ubashiri wako, na wasilisha.
Ushauri wa Kubeti CS GO
Kubeti kwenye CS:GO ni njia inayofurahisha na rahisi kupata msisimko. Kwenye Parimatch, hatutaki wewe ubeti tu pesa, tunataka ushinde pesa! Endelea kusoma kupata dondoo baadhi na ushauri wa kubeti CS GO.
Fanya utafiti wako
Michezo mingi ya kielektroniki ina tovuti zilizotengwa kwa ajili ya kufuatilia utendaji wa mchezaji mtaalamu na CS:GO si ya tofauti. Hakikisha unatafiti takwimu za mchezaji kusaidia kukupa picha nzuri zaidi ya nini kila timu inakabiliana nacho.
Weka umakini kwenye habari
Mwisho wa siku, manguli wa michezo ya kielektroniki ni binadamu. Hali zisizoweza kutabirika zinaweza kupelekea mchezaji kuondolewa nje kabla ya mechi.
Kama tu ilivyo michezo ya kitamaduni, mihamisho ya orodha na mabadiliko ya mchezaji ni kawaida katika michezo ya kielektroniki. Hakikisha unafahamu juu ya hali ya sasa ya kikosi.
Jenga maarifa yako ya mchezo
Hata kama una zana nzuri zaidi za kubetia zilizowahi kujulikana kwa binadamu kwenye upande wako, hazitakusaidia sana kama haujui nini kinaendelea katika mchezo.
Moja ya njia nzuri zaidi kuboresha mbinu zako za kubeti Counter-Strike ni kuucheza mchezo. Kama una uwezo wa kuucheza mchezo mwenyewe basi utakuwa na uelewa mzuri zaidi wa nini wataalamu wanakumbana nacho.
Kama haufurahii kucheza au hauna njia za kucheza, badala yake tazama wachezaji wanaojirekodi mtandaoni.
Soma majukwaa
Soma kuhusu maoni ya wabashiri wengine wa mtandaoni. Bila shaka, haupaswi kuweka mikeka ya Counter-Strike bila kufikiri kwa kutegemea maoni ya mtu mwingine, lakini unaweza kugundua mtazamo ambao haukuufikiria kabla.
Kuangalia mchezo kupitia lenzi ya tofauti kutakusaidia kupanua mtazamo wako mwenyewe juu ya nini unafikiri kinakwenda kutokea katika mechi.
Taarifa zaidi kuhusu Kuweka Dau kwenye Esports:
- Dondoo 7 Bora za Kubeti kwenye Esports
- Unabeti Vipi kwenye Dota 2
- Jinsi ya Kubeti kwenye League of Legends
- Ligi ya SRL ni Nini – Muongozo Kutoka Parimatch
- Yote Yanayohusu Kasino ya Parimatch
- Shinda Kitita cha Pesa Unapocheza JetX Parimatch!
Hitimisho
Michezo ya kielektroniki ni tasnia ya dola bilioni na inakua mwaka baada ya mwaka. Kubeti kwenye CS:GO ni njia ya kufurahisha na kusisimua ya kujizamisha mwenyewe katika jambo hili lililoenea duniani.
Sasa umeimarishwa na maarifa na zana zote za muhimu kuweka mikeka ya ushindi ya Counter-Strike na Parimatch.
Ikiwa unapenda kubeti kwenye moneyline au unapenda nafasi za mtu akimmulika adui kwa kokteli ya molotov, Parimatch inakupatia.