THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Parlays na Teasers ni Nini?

Parlays na teasers ni njia nzuri ya kuongeza shindi zako zinazowezekana kwa ajili ya rejesho kubwa zaidi. Kiukweli, beti za parlay zina malipo yanayowezekana makubwa kuliko aina ya beti nyingine yoyote.

Sio kila sportsbook ya mtandaoni hutoa kubeti michezo kwa teaser na parlay, lakini kwa bahati Parimatch imekupatia. Pamoja na malipo makubwa na aplikesheni ya kubeti yenye hali ya kisanaa, watu wengi zaidi ya hapo kabla wanaweka beti zao na Parimatch.

Unaweza kuwa unajiuliza mwenyewe, “Kubeti kwa parlay ni nini?” au “Kubeti kwa teaser ni nin?” Usijali, ni rahisi kuelewa.

Endelea kusoma kupata mwongozo wa kina juu ya parlays na teasers na jinsi unavyoweza kuzitumia kushinda jumla kubwa za pesa.

Parlays katika Kubeti ni Nini?

Beti ya parlay ni beti rahisi ambapo mbashiri huweka dau moja kwenye machaguo mengi. Kwa beti ya parlay kulipa, matokeo yote lazima yachaguliwe kwa usahihi.

Unaweza kuweka beti ya parlay pindi unapochagua machaguo mawili au zaidi. Kwa kila chaguo la nyongeza, shindi zako zinazowezekana huongezeka. Hata hivyo, hatari pia huongezeka.

Kwenye kubeti michezo kwa parlay, unaweza hata kuunganisha machaguo mengi kutoka kwenye masoko mbalimbali ya matukio tofauti ya kimichezo. Kwa mfano, ungeweza kubeti kwenye moneyline katika mechi ya soka, spread (handicap) katika mchezo wa mpira wa kikapu, na over/under katika mechi ya mpira wa magongo.

Kila tokeo la nyongeza unalounganisha kwenye mfululizo wako wa machaguo linajulikana kama “leg”. Kwa beti yako ya parlay “kusimama” (kulipa) matokeo yote lazima yachaguliwe kwa usahihi.

Kwa mfano, kama ungekuwa na beti ya parlay yenye “legs” tano na ulikisia kwa usahihi kwenye legs nne kati ya tano, beti yako yote itapotea.

Badala yake, kama ulichagua matokeo yote matano kwa usahihi, ungeshinda kwa kiasi kikubwa kuliko kama ukibeti kwenye kila tokeo moja moja.

Kwenye parlays, bahati hupendelea wenye ujasiri.

Beti Zipi Hazipatikani kwa ajili ya Parlay?

Kuna idadi isiyohesabika ya miunganiko kwa ajili ya beti ya parlay, lakini kuna kizuizi kimoja kikubwa. Kwenye kubeti michezo kwa parlay, huwezi kuweka aina nyingi za beti kwenye tukio hilo hilo.

Kwa mfano, huwezi ku parlay moneyline na spread (handicap) ya mchezo huo huo. Kama sehemu ya parlay imeunganishwa moja kwa moja na tokeo jingine, basi liko nje ya mipaka.

Bets on the same event can not be united in a parlay

Kama ukijaribu kuunganisha matokeo mengi kwenye tukio hilo hilo, tiketi ya ubashiri itakujulisha kiotomatiki na kukuzuia kuendelea.

Malipo ni Kiasi gani kwa Parlays?

Kubeti michezo kwa parlay ndio chaguo bora kwa wabashiri wanaotafuta malipo “yanayobadili maisha”. Kila tokeo unaloongeza kwenye tiketi yako ya ubashiri huwa kama kizidishio cha jumla ya shindi zako zinazowezekana.

Kadri unavyoongeza parlays zaidi kwenye beti yako, ndivyo malipo yako yanayowezekana yanavyokuwa makubwa zaidi. Hata hivyo, kwenye Parimatch, kuna cap, inayowekwa kwenye odds zisizo kubwa zaidi kuliko 2000.

Kukokotoa malipo yako, zidisha tu odds za desimali kwa dau lako la mwanzo. Kanuni ya parlay ya 3-leg huonekana kama hivi:

(odds 1 * odds 2 * odds 3) * jumla ya dau = jumla ya malipo yanayowezekana

Huu hapa ni mfano wa parlay ya moneyline ya 3-leg:

Betting on 3 football matches for a parlay on Parimatch

Timu ya nyumbani imechaguliwa kushinda katika mechi zote tatu tofauti.

Kinachofuata, zidisha odds tatu za desimali za beti ya parlay.

(1.58 * 3.80 * 2.44) = 14.65

Namba inayogawanyika kutoka kwenye machaguo yako matatu huwakilisha odds zako za msingi kwa beti yote ya parlay. Katika kesi hii, odds kwamba matokeo yote matatu yatatokea ni 14.65.

Kinachofuata, zidisha odds ya parlay (14.65) kwa dau lako lolote lilivyo. Katika mfano huu, beti ni TZS 300.

14.65 * TZS 300 = TZS 4,394.93 = jumla ya malipo

Hivi ndivyo tiketi ya ubashiri inavyoonekana kwenye aplikesheni ya kubeti ya Parimatch:

Betting on 3 football matches in a parlay in betslip on Parimatch

Huu hapa ni mfano wa parlay ya 7-way ambapo timu ya nyumbani imechaguliwa kushinda katika kila mechi. Gundua jinsi malipo yanayowezekana yalivyo makubwa kwa beti moja ndogo ya TZS 300.

Betting on 7 football matches for a parlay on Parimatch

Kwa beti ya TZS 300 ungeweza kushinda karibu TZS 250,000!

Aina Gani za Beti Unaweza Kuzijumuisha katika Parlay kwenye Parimatch?

Mifano iliyopita ilionyesha beti za moneyline za three-way, zijulikanazo pia kama kubeti wa 3-way. Moja ya vipengele vizuri vya kubeti michezo kwa parlay ni kwamba unaweza kufululiza pamoja aina nyingi za beti za michezo tofauti.

Unataka kubeti kwenye “over” katika mchezo wa mpira wa kikapu wa mtandaoni na timu ya nyumbani “kushinda” katika mechi ya soka live? Hakuna tatizo. Kama unajihisi mwenye ujasiri, kwanini usijilipue na utupe “map 1 grenade kill” kutoka CS:GO? Hakika, unaweza kufanya hivyo pia.

Hivi ndivyo tiketi ya ubashiri ambavyo ingeonekana:

Betting on different events in a parlay on Parimatch

Aplikesheni ya kubeti ya Parimatch hutoa chaguo kujumuisha aina zake zote za beti katika beti ya parlay (moneyline, handicap, totals, beti maalum, n.k.) La upekee tu ni, huwezi ku parlay aina nyingi za beti kutoka kwenye tukio hilo hilo.

Aina Gani za Beti za Parlay Ni Maarufu Zaidi?

Wabashiri kwa kawaida huunganisha beti zifuatazo katika parlays:

  1. Moneyline: Kubeti kwenye tokeo la mwisho la mechi
  2. Handicap: Kubeti kwenye spread ya alama
  3. Totals: Kubeti kwenye jumla ya kiasi cha “kitu fulani” kutokea
  4. Beti maalum: Beti za kipekee kwa mchezo maalum

Una uhuru wa kujumuisha beti nyingi kadri ambavyo ungependa au unaweza kushikilia tu beti moja ya nyongeza. Kumbuka kuwa cap ya odds ni 2000.

Kuongeza parlays baada ya odds hizo kufikiwa itaongeza tu hatari unayochukua — sio malipo yanayowezekana.

“Push” Huathiri Vipi Parlay Yako kwenye Parimatch?

Kumbuka, ili kubeti michezo kwa parlay kulipe, unahitaji kuchagua kila tokeo kwa usahihi. Hivyo nini hutokea kama moja ya matokeo unayochagua linaishia katika beti ambayo haijashinda wala haijapoteza pesa?

Kama moja ya “legs” zako inapelekea katika push (sare au beti ambayo haijashinda wala haijapoteza hela), Parimatch itarekebisha odds za sehemu hiyo maalum ya parlay kwenda kwenye 1.0. Hii inaitwa “kupanga odds”.

Ingawa haukuchagua tokeo kwa usahihi, hautapoteza parlay yako. Hata hivyo, utapoteza kizidishio kutoka kwenye odds kwenye sehemu hiyo ya parlay.

Kwenye sportsbook za mtandaoni nyingi, push katika matokeo ya parlay hupelekea katika hasara ya jumla. Parimatch hutoa suluhisho rafiki zaidi ambalo huleta maana zaidi.

Teasers Ni Nini katika Kubeti?

Beti za parlay zinaweza kuwa changamoto ukizingatia lazima uchague kwa usahihi walau matokeo mawili kushinda beti. Kubeti kwa teaser kumewekwa kwa wale wanaotamani ku parlay, lakini hawataki kuchukua hatari sana.

Teaser ya kubeti michezo huruhusu wabashiri kurekebisha spread ya alama na/au line ya over/under (jumla) katika upendeleo wao. Katika maneno mengine, unapata “kumchezea meneja ubashiri” na kuchezesha namba ili zifanye kazi kwa manufaa yako.

Tokeo la mwisho ni beti nyingi zenye nafasi kubwa zaidi ya kufanikiwa, kwa kubadilishana kwa malipo kidogo zaidi yanayowezekana.

Sportsbook fulani hukuruhusu kurekebisha spread (kuichezesha spread) katika mwelekeo wao. Kwa ujumla, kubeti teasers hurejelea kwenye kufanya marekebisho ili uwezekano wa wabashiri kushinda parlay yao huongezeke.

Kubeti kwa teaser hakujabuniwa kuongeza malipo yako lakini kuongeza uwezekano wako wa beti yenye mafanikio.

Kuchagua kwa usahihi kwenye beti zaidi ya moja kamwe si rahisi, haijalishi spread ya point. Hata hivyo, wabashiri wanaweza kupata kujiamini kidogo zaidi katika beti zao na lines “zilizochezeshwa”.

Wakati hakuna teasers kwenye Parimatch, tuna uchaguzi mkubwa wa spreads (handicaps) na totals, hivyo unaweza kuchagua chaguo bora kabla na kulihusisha katika beti yako ya parlay. Tokeo zuri ni kuwa hutahitaji kurekebisha kitu chochote na kupunguza odds!

Teasers za Sweetheart au Monster ni Nini?

Teaser ya Sweetheart, inayojulikana kivingine kama teaser ya monster, ni aina maalum ya teaser “iliyoongezwa”. Hufanya kazi sawia na kubeti kwa teaser kwa kiwango ikiwa na tofauti ndogo kadhaa.

Teaser ya Sweetheart Hufanya Kazi Kivipi?

Kubeti kwa teaser kiutamaduni hukuruhusu kurekebisha spread au jumla ya alama kwa alama 6, 6.5, au 7 na uhitaji tu matokeo mawili ya kuunganisha.

Teaser ya sweetheart hukuruhusu kurekebisha lines kwa alama 10 au zaidi, lakini unahitaji kuchagua walau matokeo matatu yaliyounganishwa. Kila leg ya teaser ya sweetheart inatakiwa kurekebishwa katika kuwapendelea wabashiri kwa kiasi sawa cha alama.

Teaser ya monster ya kawaida zaidi ni mtindo wa timu-3 alama-10. Bado, ni kawaida kwa wabashiri kusogeza spread kwa alama 13 au kuhusisha legs zaidi ya 3.

Teaser ya Sweetheart ni Beti Nzuri?

Kanuni ya msingi ya teaser ya sweetheart ni kurekebisha lines kwa kiwango kikubwa kwa upendeleo wako. Huonekana kama si ya kutumia akili katika mtazamo wa kwanza, si ndio? Kwa baadhi ndio, wakati wengine hufikiria kwa marefu na sana kabla ya kuingia eneo la teasers za monster.

Kwa bahati mbaya hakuna jibu la pande mbili kwenye swali hili — jibu ni inawezekana. Yote hutegemea kwenye kiwango chako cha utulivu na hatari na uwezo wako wa kutambua thamani katika soko.

Kumbuka, ili teaser ya sweetheart kulipa, kila leg lazima ichaguliwe kwa usahihi. Hata kwa odds zikichezeshwa kwa alama 10 katika upendeleo wako, bado unatakiwa kushinda kwenye nafasi kubwa sana ili tu kulinda faida.

Halafu tena, ni rahisi zaidi kufanya chaguo sahihi na line zilizorekebishwa, hivyo inaweza kuwa inastahili.

Njia nzuri ya kuamua kama unataka kuweka teaser ya monster ni kwa kukokotoa implied probability ya wastani ya kila beti binafsi. Kinachofuata, linganisha implied probability ya wastani ya beti binafsi dhidi ya implied probability ya teaser ya sweetheart.

Implied probability yoyote iliyo kubwa zaidi inaweza kuwa ndio mwelekeo sahihi wa kwenda. Unahitaji msaada kukokotoa implied probability? Nenda kwenye makala yetu juu ya kukokotoa odds za kubeti michezo.

Kuna Njia Nyingine za Kupunguza Hatari?

Njia nzuri ya kubeti kwenye matukio mengi na kusawazisha hatari ni kubeti kwa system. Unachagua matukio matatu au zaidi na kuyaunganisha katika system katika tiketi yako ya malipo. Pia unachagua tabiri ngapi kati ya hizi zinatakiwa kuwa sahihi kwa ajili ya system ya ushindi. Kwa mfano, unaweza kuchagua “2 kati ya 3”. Kwa njia hii, kama zozote mbili kati ya tabiri zako zikiwa sahihi, unashinda beti! Hukosi kila kitu kwa sababu ya dosari moja.

Systems zina machaguo mengi na zinastahili jaribio la karibu zaidi. Kama umevutiwa, angalia mwongozo wetu juu ya beti za system kwa kina.

Parlays Zinastahili Kuweka?

Kila leg ya nyongeza ya parlay yako uhitaji jitihada zaidi na utafikiria hatari zaidi.

Hivyo kwanini watu wengi sana wanashiriki katika kubeti michezo kwa parlay? Kwa wengi, jibu ni rahisi sana. Malipo makubwa yanayowezekana ambayo huja na parlays kiuhalisia yanaweza kubadili maisha yako.

Faida za Kubeti kwa Parlay

  • Rahisi Kuongeza

Parimatch hutoa machaguo mapya ya kubeti kila siku. Hii humaanisha kuna timu kubwa pendwa kila siku. Kubeti kibinafsi kwenye timu pendwa kwa ujumla ueleweka kama mbinu ya muda mrefu isiyo fanisi kutokana na malipo kidogo. Hata hivyo, kuweka timu zote pendwa pamoja katika parlay kungeweza kuleta siku ya malipo yenye kuheshimika sana.

  • Malipo Makubwa

Faida kubwa ya beti yoyote ya parlay ni uwezekano wa malipo ya juu. Kwa asili, parlays ni beti ya riba muunganiko, hivyo beti ndogo ya TZS 100 inaweza kwenda mbali sana. Katika maneno mengine, huhitaji kujaribu mawazo mapya kwa kubetia jumla kubwa kupokea malipo makubwa. Lakini kama unapendelea beti kubwa, malipo ya jumla yanayowezekana yanaweza kuwa ya juu — hasa katika parlays zenye legs tano au zaidi.

Hitimisho

Parlays na teasers ni njia ya kusisimua ya kunogesha maisha yako ya kubeti. Unaweza kushinda jumla za pesa ambazo hushinda mishahara ya wanariadha wa kulipwa ambao unawabetia.

Na, ni furaha tele tu kutengeneza mkeka mzuri wa beti ambao wote hushinda vikubwa. Pindi ukishinda parlay kubwa, hisia hiyo ni kubwa pasi kifani.

Kwenye aplikesheni ya kubeti ya Parimatch, unaweza kuweka beti yako ya parlay ndani ya sekunde wakati uko bize.

Nenda kwenye tovuti ya Parimatch na jionee mwenyewe jinsi ilivyo rahisi kuweka beti ya parlay. Kumbuka, bahati hupendelea wenye ujasiri!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.