Wanacheza โ€“ Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Beti ya Accumulator: Mwongozo Kamili juu ya Kuweka Beti Nyingi

Je! Unafurahia misisimko na hatari za kubetia michezo? Jaribu beti za accumulator kwenye Parimatch leo! Kwa miaka, hapa Parimatch, tumedumisha sifa yetu kama aplikesheni namba moja ya kubetia michezo nchini Tanzania, tukiwapa mashabiki odds shindani zaidi na kuchunguza mkusanyiko mpana wa masoko ya kubetia michezo.

Lakini kabla haujaingia katika ulimwengu wa beti za accumulator uliojawa amsha amsha, kuna vitu muhimu unahitaji kufahamu. Kwa bahati nzuri, sisi hapa Parimatch tumekuja na mwongozo kamili uliojawa dondoo na mbinu muhimu kukusaidia katika safari yako ya kubetia accumulator kwenye aplikesheni ya Parimatch. Usisubiri zaidi; anza kuweka beti za accumulator kwenye Parimatch leo!

Je! Beti ya Accumulator ni Nini?

Beti ya accumulator ni aina ya beti ambayo inaunganisha beti mbali mbali kila moja peke yake katika beti moja. Katika beti za accumulator, odds binafsi za beti zote moja moja zinaunganishwa, na hii huongeza malipo yanayowezekana. Wakati hii inamaanisha kwamba una uwezekano wa kushinda pesa nyingi zaidi, ni hatari zaidi kwa kiwango kikubwa pia kwa maana tabiri zote zinatakiwa kuwa sahihi ili kushinda chochote kitu.

Beti za accumulator zinakuwa maarufu kwa kasi kati ya wanaobetia michezo nchini Tanzania kwa sababu inawapa nafasi ya kushinda pakubwa kutokana na madau madogo. Aina hizi za beti pia zinajulikana kwa majina mengine kama beti za Combo, beti za multi-bets, beti za Parlay, na Accas.

Huu hapa ni mfano wa beti za accumulator katika mpira wa miguu. Hebu tuseme unaweka beti kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, UEFA. Katika mechi zifuatazo, unatabiri kwamba Barcelona, Liverpool, Juventus na Sevilla watakuwa washindi katika mechi zao.

Accumulator bets on Parimatch website

Ungeweza kuweka beti nne moja moja kwenye kila matokeo haya. Hii inamaanisha kwamba unaweka beti kwenye kila mechi peke yake. Katika mazingira haya, ikiwa mbili tu kati ya beti zako ndio zinakuwa sahihi, ungepata malipo kiasi kwenye mbili kati ya hizo beti.

Hata hivyo, ikiwa ungeweka beti ya accumulator, na kubetia matokeo yote manne kwa mara moja, matokeo yote manne ni lazima yawe sahihi ili kushinda. Kwa kuongezea, shindi zako zinakuwa kubwa zaidi kuliko beti moja moja.

Je! Beti za Acca Zinafanya kazi Vipi?

Beti za accumulator zinafanya kazi kwa utofauti ukilinganisha na beti moja moja, kumruhusu anayebeti kushinda malipo makubwa zaidi yanayowezekana. Hata hivyo, kama ilivyotamkwa hapo juu, malipo makubwa zaidi huja na hatari kubwa zaidi kuliko ile ambayo ungekuwa nayo kama ungeweka beti moja moja za kawaida. Hebu tuangalie mfano ule ule kama wa hapo juu.

Pindi unapoweka beti moja kwenye matokeo hayo hapo juu, kila beti inachukuliwa kivyake vyake, ikimaanisha bado utapata malipo hata kama baadhi ya machaguo si sahihi. Hata hivyo, kwenye beti za accumulator, tabiri zote nne ni lazima ziwe sahihi ili kujipatia ushindi wowote vinginevyo dau lako lote linapotea.

Kwa kutumia mfano uliopita, kama tabiri zako juu ya mechi za Barcelona, Liverpool, na Juventus ni sahihi, lakini ukapoteza beti kwenye mechi ya Sevilla, utapoteza dau lako lote. Hata hivyo, ikiwa upo sahihi juu ya matokeo yote manne, unashinda pakubwa!

Lakini unashinda pesa nyingi kiasi gani? Ili kuelewa kiasi unachoweza kushinda kwenye beti ya accumulator, unahitaji kupata ufahamu juu ya namna odds za beti ya accumulator zinavyokokotolewa.

Je! Odds za Beti ya Accumulator Zinakokotolewa Vipi?

Pindi unapoweka beti za accumulator kwenye jukwaa la Parimatch, ni muhimu kuelewa jinsi odds zinavyofanya kazi, kwa maana hii itakupa wazo la ni pesa halisi kiasi gani unaweza kushinda. Ili kukokotoa odds za accumulator, zidisha odds binafsi. Accumulator zina shindi kubwa zaidi zinazowezekana kuliko beti moja moja kwa maana odds hujumlishwa. Parimatch husimamia mahesabu yote, ili uweze kujikita tu kwenye tabiri zako.

SOKO

MATOKEO ODDS
Kubetia 3-way BARCELONA kushinda

2.37

Kubetia 3-way

LIVERPOOL kushinda 2.17
Kubetia 3-way SEVILLA kushinda

2.46

Kubetia 3-way

JUVENTUS kushinda 2.02
JUMLA YA ODDS:

25.56

Kama unavyoweza kuona, jumla ya odds ni 25.56, kutokana na kuzidisha: 2.37 x 2.17 x 2.46 x 2.02.

Ili kufahamu shindi zako zinazowezekana, zidisha dau lako lote kwa 25.56, halafu toa dau la awali. Kwa dau la TZS 40,000, malipo yanayowezekana ni TZS 825,795. Ukitoa dau, faida utakayopata ni TZS 785,795!

Beti moja kwenye matokeo hayo hayo ingekupa TZS 50,200, kulinganisha na TZS 785,795 ya beti ya acca, unaweza kuona kwamba inawezekana kutengeneza faida mara 15 zaidi katika beti moja!

Je! Beti za Accumulator Ni Hatari Kiasi Gani?

Beti za accumulator zina hatari kubwa zaidi kuliko beti moja moja, na ili kufanikiwa katika kucheza accas, unahitaji kuelewa hatari hizi na jinsi zinavyoathiri shindi zako.

Huu hapa ni mfano kuonesha jinsi hatari inavyotofautiana kati ya beti ya parlay na beti moja moja. Hebu tuchukulie unataka kuweka beti ya accumulator kwenye mechi nne za masumbwi:

Mchezaji 1 Odds Mchezaji 2 Odds
Carl Frampton 2.20 Jamel Herring 1.78
Dillian Whyte 1.22 Alexander Povetkin 3.25
Mairis Briedis 1.39 Yunier Dorticos 2.75
Daniel Dubois 1.18 Joseph Joyce 4.45

Kwa beti moja moja, hatari hukokotolewa kwa kila beti kwa sababu bado utapata malipo hata kama utapoteza beti baadhi. Uwezekano unaopendekezwa unatumika kuamua uwezekano wa wewe kushinda beti na unakokotolewa kwa kugawanya 100 kwa odds za desimali.

Kwa mechi za masumbwi hizo hapo juu, uwezekano unaopendekezwa wa kushinda kila moja ya beti hizi ni kama ifuatavyo:

Herring โ€” 56%
Whyte โ€” 82%
Briedis โ€” 72%
Dubois โ€” 84%

Kwa kuangalia viwango hivyo, inaonekana ni salama zaidi kuchagua wanamasumbwi pendwa na kuweka beti moja. Hata hivyo, kuweka dau la TZS 10,000 kwenye kila matokeo kunaweza kukupa TZS 15,700 tu wakati beti ya accumulator kwa dau la TZS 40,000 unaweza kupata malipo ya TZS 102,400. Hiyo ni faida mara 6.5!

Lakini kwa kutumia uwezekano unaopendekezwa, tunaona kwamba hatari ni kubwa zaidi. Zidisha odds kupata uwezekano unaopendekezwa wa accumulator.
Hapa: 1.78 x 1.22 x 1.39 x 1.18 = 3.56.
Gawanya 100 kwa 3.56 = Nafasi ya kushinda ya 28%

Hiyo hapo! Beti moja moja zinakupa usalama na uwezekano mkubwa unaopendekezwa na malipo kwa sehemu. Accumulator zina nafasi ya 28% ya zote kuwa sahihi lakini faida mara 6.5. Hatari kubwa zaidi, malipo makubwa zaidi!

Kuweka Beti za Accumulator kwenye Soka

Tumeona mifano ya jinsi beti za accumulator zinavyofanya kazi na jinsi odds zinavyokokotolewa. Sasa, huu hapa ni mwongozo wa kina wa jinsi ya kuweka beti za soka za accumulator kwenye Parimatch

  • Nenda kwenye tovuti au aplikesheni ya Parimatch kuunda akaunti na kuingia.
  • Bofya kwenye mpira wa miguu na chagua nchi, ligi, au mashindano.
  • Weka tabiri zako kwa kubofya kwenye tabiri hizo, na chagua nyingi kadri iwezekanavyo. Unaweza kuchagua aina zote za beti za parlay, kutoka bashiri za โ€œGoli la Kwanzaโ€ hadi beti za โ€œOdd/Evenโ€, kutoka kubetia โ€œTotalsโ€ hadi bashiri za โ€œHandicapโ€.
  • Bofya kwenye mkeka, ambao umewekewa rangi ya njano chini ya skrini.
  • Pitia tena machaguo yako uliyochagua, unaweza kuongeza au kuondoa machaguo hapa.
  • Shuka chini kuweka kiasi chako cha dau, akaunti yako ni lazima iwe na pesa.
  • Bofya kwenye beti, na upo tayari kuendelea!

Je! Ni Beti Zipi za Soka za Accumulator Zinapatikana kwenye Parimatch?

Aplikesheni ya kubetia michezo ya Parimatch imejitoa kwenye kuwapa wateja mkusanyiko mpana zaidi wa machaguo ya kubetia michezo. Tunatoa beti za accumulator kwenye michuano yote ya mpira wa miguu, ligi, na mashindano yanayofanyika kwenye jukwaa la Parimatch. Kutoka Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) na Kombe la Ulaya au Kombe la UEFA hadi ligi na michuano ya kitaifa.

Mashabiki wa soka wa Parimatch pia watapendezwa kwamba aplikesheni hii ya kubetia michezo inawaruhusu watumiaji kuweka beti za accumulator kabla ya mechi na wakati wa mchezo (laivu) kwenye mechi za soka za kitaifa na kimataifa. Pia kuna soko hai kwa ajili ya mashabiki wa soka la michezo ya kielektroniki yaani esports.

Je! Ninaweza Kuweka Beti ya Accumulator kwenye Michezo Tofauti kwa Pamoja?

Ndio, inawezekana kuweka beti za accumulator katika michezo yote tofauti kwa wakati mmoja kwenye aplikesheni ya kubetia michezo ya Parimatch. Si hilo tu, watumiaji wanaweza kufurahia kuweka beti za accumulator laivu au kabla ya mechi kwa wakati mmoja!

Shinda Beti za Accumulator kwa Dondoo na Mbinu Hizi

Kuweka beti za accumulator kwenye aplikesheni ya kubetia ya Parimatch inaweza kuwa ni kitu cha kufurahisha na kusisimua, lakini ili kushinda na kushinda pakubwa, utahitajika kufanya maamuzi sahihi. Hizi hapa ni dondoo baadhi muhimu kuongeza nafasi zako za kushinda.

  • Chagua Timu Pendwa

Kuchagua odds zenye thamani na salama zaidi zenye nafasi kubwa zaidi ya kushinda ni bora kuliko kuchagua zilizo dhaifu na zenye hatari kubwa. Zilizo dhaifu zinaweza kuongeza odds zako na malipo unayoweza kupata lakini pia zitapunguza nafasi zako za kushinda.

  • Fikiria Kuhusu Utofauti

Kwa kuongezea kwenye kuchagua timu pendwa mara zote, hakikisha unatafuta machaguo ambapo kuna utofauti wa wazi katika ujuzi kati ya timu mbili. Hii kwa kiasi kikubwa itapunguza nafasi za timu dhaifu kufanya maajabu na kukuharibia beti yako.

  • Mechi Zaidi, Hatari Zaidi

Kuwa makini kutokuongeza mechi nyingi sana kwenye beti yako ya accumulator kwa sababu wakati zinaweza kuzidisha odds na malipo utakayopata, zitaongeza pia hatari na kupunguza nafasi zako za kushinda. Chagua tu mechi unazoziamini, na kumbuka kwamba hata mechi mbili na tatu hutoa malipo makubwa pia.

  • Ongeza Beti Zenye Thamani Nzuri Tu

Wakati ni vizuri kutafuta timu pendwa na odds fulani fulani, ni muhimu kutafuta odds ambapo timu pendwa ni zina uwezo wazi, lakini zina odds za 1.50 au kubwa zaidi. Kuongeza mechi zenye odds ndogo kwa sababu ya kubahatisha inaongeza tu hatari kwenye beti bila ya kuongeza thamani kiuhalisia. Badala yake, nenda kwenye timu ambazo zina uwezekano zaidi wa kushinda lakini bado zina odds kubwa; beti zenye thamani nzuri na odds kubwa.

Ili kuelewa jinsi gani timu pendwa iko karibu kimakali na timu dhaifu, angalia utofauti katika odds kati ya timu hizo mbili. Ikiwa timu moja ina odds za kati ya 1.00 na 3.00, wakati timu nyingine ina odds za 4.00 kwenda juu, unaweza kuona utofauti kati ya timu hizo mbili. Chagua timu yenye uwezekano mkubwa kushinda huku ukifurahia odds kubwa. Huu hapa ni mfano mzuri wa beti yenye thamani nzuri:

Scotland 1.77 Draw 3.40 Israel 4.50

Scotland ina uwezekano mkubwa kushinda, na odds zitazidisha odds zako za accumulator kwa 1.77.

  • Chagua Masoko Bora

Ngโ€™angโ€™ana kwenye masoko bora, kama vile 1X2, winner bets, na โ€œBoth Teams to Score.โ€ Wakati inawezekana kuweka beti za accumulator kwenye handicaps, totals, na mifumo mingine ya juu zaidi ya kubetia, ni vizuri zaidi kubakia kwenye beti rahisi.

  • Usichague Beti za Kukisia

Epuka beti ambazo zimeegemea kwenye bahati, kama vile odd/even, na bashiri za kwenye magoli ya muda, kwa maana zinaweza kuharibu mtiririko wako wa ushindi moja kwa moja ambao unatokana na takwimu halisi.

Je! Kwanini Uweke Beti za Accumulator kwenye Parimatch?

Parimatch ni aplikesheni namba moja ya kubetia nchini Tanzania kutokana na urahisi wake wa kutumia, machaguo mbalimbali yasiyolinganishika, odds shindani sana, na huduma bora sana kwa wateja. Je! Kwanini unapaswa kuchagua Parimatch kuweka beti zako za michezo za acca? Hii ndio kwanini:

Historia

Inapokuja kwenye kubetia michezo, daima ni vizuri kwenda kwenye tovuti ambazo ni za kutegemea na zinazoaminika. Parimatch ni brandi inayotambulika vizuri yenye rekodi nzuri ya huduma bora kwa wabashiri wengi ulimwenguni kote.

Machaguo Mbalimbali

Aplikesheni ya kubetia michezo ya Parimatch inajivunia machaguo yake mengi. Ikikupa michezo mingi zaidi kuliko aplikesheni nyingine yoyote za kubetia barani Afrika. Jukwaa letu linawaruhusu watumiaji kuweka beti za parlay kwenye kila mchezo unaoweza kufikirika, hata michezo ya kielektroniki yaani esports.

Kubeti Laivu na Kabla ya Mechi

Parimatch inatoa machaguo mbalimbali kwa ajili ya kubetia accumulator, ikihusisha michezo ya kabla ya mechi na laivu. Kwa beti za parlay zinazopatikana katika aina zote za kubetia michezo, unaweza kuchanganya na kulinganisha beti za accumulator za laivu na kabla ya mechi kukidhi mapendeleo yako.

Aplikesheni ya Parimatch ya Kubetia Michezo

Kwa wale wanaopenda kutokuchezea nafasi ya kuweka beti nzuri ya accumulator, aplikesheni ya Parimatch ya kubetia michezo sasa inakuruhusu kuweka beti za acca moja kwa moja kutoka kwenye simu yako janja popote ulipo.

Jinsi ya Kuweka Beti ya Accumulator kwenye Parimatch

Kama tayari una akaunti ya Parimatch, fuata mwongozo wa haraka hapo chini juu ya jinsi ya kuweka beti za accumulator. Kama sio hivyo, hakikisha unatazama maelekezo haya juu ya kujisajili na kuweka pesa kwenye Parimatch.

  • Ingia;
  • Chagua kubetia michezo laivu, kabla ya mechi, au kwa mtandao yaani virtual;
  • Chagua mchezo wako;
  • Chagua nchi na michuano;
  • Weka beti nyingi kadri unavyopenda;
  • Nenda kwenye mkeka yaani betslip;
  • Bofya โ€œParlayโ€ katika vijisehemu vya juu;
  • Tazama beti zako na ziweke.

Masoko Zaidi ya Kubashiri kwa Ajili Yako

Muhtasari

Beti za accumulator huunganisha beti moja moja mbili au zaidi kwa pamoja, kuzidisha odds zake na kuongeza malipo unayoweza kupata. Bashiri hizi zinatoa nafasi ya kushinda pakubwa, lakini pia zinabeba hatari kubwa.

Ili kuongeza nafasi zako za kushinda, lenga beti bora zaidi ya zile ngumu ngumu na chagua timu pendwa zaidi kuliko zile dhaifu. Kumbuka kwamba machaguo yako yote yanahitajika kuwa sahihi kushinda, hivyo zingatia kuweka beti za mfumo kama ndio usalama wako.

Kama mbashiri wa Kitanzania, pakua aplikesheni ya Parimatch ya kubetia michezo kwa upataji rahisi wa beti za parlays katika michezo na mashindano yote mbalimbali. Furahia beti za accumulator za laivu, kabla ya mechi, na za mtandaoni yaani virtual kwa mbofyo tu.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je! Beti ya Parlay katika Parimatch ni nini?

Huu ni muunganiko wa beti moja moja ambapo odds zinazidishwa kutoa malipo makubwa zaidi.

Je! Lipi ndio chaguo bora kwa ajili ya kubeti mpira wa miguu?

Zote mbili, beti za moja moja na parlay ni machaguo mazuri. Hutegema kwenye upendeleo na machaguo yanayopatikana.

Je! Parlay hukokotolewa vipi?

Ili kukokotoa parlay, zidisha odds za kila beti moja moja kwa pamoja.

Je! Unashinda vipi beti nyingi kila siku?

Hakuna njia ya moja kwa moja ya kushinda beti nyingi kila siku. Hata hivyo, kutumia mbinu sahihi kunaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa nafasi zako za ushindi.

Je! Nini kitatokea kwenye accumulator yangu ikiwa mchezo umehairishwa?

Mchezo huo husika hautahesabika tena katika odds za jumla za acca, na beti yako itajumuisha machaguo yaliyobakia.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.