THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Aina za Beti za Soka Zimeelezewa

Soka (au mpira wa miguu) ni mchezo wa kutumia nguvu wenye vitendo vingi vinavyofanyika uwanjani. Hii ni moja ya sababu kwa nini kubeti mpira wa miguu kunasisimua sana. Mchezo wowote mmoja hutoa fursa zisizohesabika kujaribu bahati yako na kutabiri nani atashinda, magoli mangapi yatafungwa, kuna yoyote atapata kadi nyekundu, nakadhalika.

Parimatch hukupa aina nyingi za beti kwa ajili ya mechi mbalimbali za mpira wa miguu kila siku. Kwenye mechi bora, inawezekana kiuhalisia kukawa na mamia ya machaguo ya kubeti. Hakika hili hufanya utazamaji wako mpira wa miguu kuhamasika zaidi lakini muda huo huo unaweza kuhisi umepotea katika fursa zote hizi.

Ili kukusaidia kujihisi kuhakikishiwa kuhusu kubeti mpira wa miguu, tumeandaa muhtasari huu wa aina za kubeti zinazopatikana kwenye Parimatch na namna zinavyofanya kazi kwa wabashiri soka.

Hata hivyo, kama unataka kuanza na misingi, unaweza ukarejea kwanza kwenye mwongozo wetu juu ya kubeti soka.

Pia, njia nzuri zaidi ya kuelewa aina za beti za soka ni kwa kuzifuatilia kwenye mifano ya maisha halisi. Kwenye tovuti ya Parimatch au katika aplikesheni yetu ya kubetia ya simu ya mkononi, unaweza kuona kwa urahisi jinsi beti za mpira wa miguu zinavyofanya kazi.

Sasa hebu tuziangalie aina maarufu zaidi za beti za soka, pia zijulikanazo kama masoko ya kubeti.

Beti za 1X2 (Beti ya Three-Way)

Huenda ni moja ya aina maarufu zaidi za kubeti kwenye aplikesheni ya kubetia mtandaoni ya Parimatch, aina hii ya beti inajulikana kwa majina mengi. “Beti ya Three-way”, “three-way moneyline” au “beti ya 1X2” yote hurejelea kwenye chaguo hili la kubeti. Beti ya three-way imepewa jina kama hivyo kwa sababu kuna matokeo matatu yanayowezekana.

Wakati wa kubeti kwenye three-way moneyline, unabeti kwamba aidha timu ya nyumbani ishinde, timu ya ugenini ishinde, au kuna sare. Beti hizi pia zinaitwa beti za 1X2, maana matokeo hayo matatu yanarejelewa kwa namba na alama hizi wakati wa kuweka beti. “1” hurejelea kwenye timu ya nyumbani kushinda, “2” hurejelea kwenye timu ya ugenini kushinda, na “X” hurejelea kwenye sare.

Germany vs Spain Parimatch football betting

Ni muhimu kukumbuka kwenye beti za three-way moneyline, kuwa sare huchezesha odds za beti. Wakati timu pendwa iko salama dhidi ya odds, kuna matokeo matatu na sio mawili tu. Hii humaanisha kuwa una nafasi mbili za kupoteza pesa yako na nafasi moja tu ya kushinda. Kama ungeibetia Ujerumani, ungepoteza dau lako kama matokeo yangekuwa ni ushindi kwa Hispania au sare.

Unahisi hauna uhakika kuhusu kuelewa aina za odds? Angalie mwongozo wetu juu ya jinsi ya kusoma odds za soka.

Beti za Double Chance

Beti ya double chance ni kama jina lake linavyosema. Hukupa nafasi mbili za kuwa sahihi kati ya tatu. Katika mechi ya mpira wa miguu, matokeo yanaweza kuwa ushindi, kupoteza, au sare — nafasi tatu.

Hii humaanisha unaweza kuchagua aidha Timu ya 1 kushinda au sare, ya 2 au sare, au ya 1 au ya 2. Katika mfano ambao umechagua ya 1 au sare, kama Timu ya 2 ikishinda — utapoteza. Kama Timu ya 1 ikishinda au kuna sare, utalipwa. Kutokana na kuwa kuna nafasi kubwa zaidi za wewe kupata tuzo katika mazingira haya, odds kwa kawaida zinakuwa chini zaidi.

Chukulia mfano huu:

Fulham vs Everton Parimatch football betting

Odds za aidha Fulham kushinda au sare ni 1.93. Kama ukichagua chaguo hili na Fulham ikashinda, utalipwa TZS 19,300 kwenye beti ya TZS 10,000. Kama kuna sare, pia utalipwa TZS 19,300. Kama Everton ikishinda, hushindi chochote na unapoteza dau lako la TZS 10,000.

Beti ya Total (Over/Under)

Kama hauna uhakika timu ipi uibetie, daima unaweza kubeti kwenye jumla. Aina hii ya beti inaweza pia kujulikana kama goal-lines, soccer spreads, au over/unders.

Huu ni moja ya mitindo maarufu zaidi ya kubeti soka, hasa kama hakuna timu pendwa dhahiri au kama hutaki kubeti dhidi ya timu yako mwenyewe wakati ikiwa ndio dhaifu. Badala yake, kubeti kwenye jumla humaanisha kwamba unaweza kubeti kwenye idadi ya jumla ya magoli yatakayofungwa katika mechi, kwa kipindi kimoja au kwa timu.

Katika kubeti kwa goal-line, unabeti kwenye idadi ya jumla ya magoli yatakayofungwa na timu zote mbili (isipokuwa ikiainishwa). Hii humaanisha kuwa kama alama ya jumla ya mwisho ya mechi ni 3-2, jumla ingekuwa 5. Kama alama ya mwisho ya mechi ilikuwa 2-2, basi jumla ya alama ingekuwa 4.

Wazo la kubeti over/under ni kuwa unaweka beti kwenye ikiwa idadi ya jumla ya magoli ni juu ya au chini ya tarakimu ambazo meneja ubashiri ametoa. Meneja ubashiri atatoa mkusanyiko wa namba tofauti pamoja na odds zinazotofautiana, na unaweza kubeti ikiwa unafikiri timu zote mbili zitafunga magoli mengi zaidi au machache kuliko yaliyoainishwa.

Hebu tuangalie tena mfano ule ule wa Ujerumani dhidi ya Hispania:

Totals

Under 0.5 8.00 Over 0.5 1.06
Under 1.5 3.15 Over 1.5 1.33
Under 2.5 1.74 Over 2.5 2.02
Under 3.5 1.28 Over 3.5 3.50
Under 4.5 1.09 Over 4.5 6.60
Under 5.5 1.02 Over 5.5 11.00

Kama unavyoweza kuona, unaweza kuweka beti za goal-line kwenye alama juu ya au chini ya jumla ya idadi ya magoli iliyotolewa na meneja ubashiri.

Unaweza kugundua kuwa alama hizo zimetolewa kama namba nusu, kama vile 0.5, 1.5, 2.5. Hii ni kwa ajili ya kuepuka mkanganyiko. Kama ungetakiwa kubeti kwenye namba nzima, ingekuwa ngumu kuamua over na under. Kwa mfano, kama ungetakiwa kubeti kwenye “juu ya magoli 2”, magoli 2 yangehesabiwa au yasingehesabiwa?

Kuepuka mkanganyiko huu, namba zinaandikwa kama namba nusu. Katika njia hii, mameneja ubashiri na wabashiri wana uhakika kuwa “juu ya 2.5” ingemaanisha magoli 3 au zaidi.

Kwa kuangalia kwenye mfano wa Ujerumani na Hispania, kama uliamini kuwa jumla ya idadi ya magoli ingekuwa 3, ungeweza kubeti kwenye under 3.5, under 4.5, na under 5.5 au ungeweza kubeti kwenye over 0.5, over 1.5, over 2.5.

Ukiangalia kwenye odds katika hali hii, inaonekana kuwa wote Ujerumani na Hispania wanatarajiwa kuwa pande nzuri kiasi kwa kufunga. Odds zinaonyesha kuwa nafasi za jumla ya idadi ya magoli kuwa chini ya 2 ni finyu sana, maana odds hizo ni kubwa kiasi zikilinganishwa na alama zingine.

Odds hizo pia zinaanza kupanda pindi tukiangalia kwenye idadi ya magoli juu ya 2.5. Hii humaanisha kuwa meneja ubashiri anafikiri kwamba kuna uwezekano kutakuwa na magoli mawili kiujumla katika mchezo huu.

Kuna mitindo michache ya kubeti kwa total katika soka. Mtindo uliyozoeleka zaidi wa kubeti kwa totals ni kubeti kwenye jumla ya idadi ya magoli katika mechi nzima kwa timu zote mbili. Hii uhusisha muda wa nyongeza uliyoamuriwa na mwamuzi.

Aina nyingine za kubeti kwa goal-line uhusisha jumla ya idadi ya magoli kwenye muda wa mapumziko, pia jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa na kila timu peke yake. Unaweza pia kuweka beti kwenye jumla ya idadi ya magoli yatakayofungwa na kila timu peke yake katika kila kipindi kimoja.

Kwa wale wanaopenda kuweka beti za muunganiko, unaweza kuunganisha kubeti kwa totals na beti za 3-way na beti za double chance.

Beti za Magoli Kamili na Alama Sahihi

Kama unapenda kujaribu na kukisia matokeo ya mechi za mpira wa miguu, kubeti magoli kamili au beti za alama sahihi zinaweza kuwa kwa ajili yako. Hizi ni aina mbili za beti tofauti, zenye viwango vya hatari vinavyotofautiana. Wakati idadi kamili ya magoli ni ngumu kutabiri, alama sahihi ni ngumu zaidi kukisia.

Dhana nyuma ya kubeti magoli kamili katika soka ni rahisi sana. Unatakiwa tu kujaribu na kukisia idadi kamili ya magoli ambayo yatafungwa katika mechi na timu zote mbili.

Magoli kamili

0 9.80 1 4.20
2 3.30 3 4.00
4 6.00 5 12.00
6+ 18.00

Kama unavyoweza kuona, odds ni kubwa sana kwenye beti hizi maana ni ngumu sana kukisia idadi kamili ya magoli. Kama kanuni ilivyo, kuwepo magoli zaidi ya matatu katika mchezo ni nadra na alama ya mwisho iliyozoeleka zaidi ni 1-0.

Aplikesheni ya kubetia ya Parimatch pia hukupa chaguo la kuweka beti kwenye magoli kamili kwa timu. Kama unatafuta beti ya haraka zaidi kuliko dakika 90 nzima, unaweza pia kuweka beti kwenye magoli kamili kwa kipindi kimoja.

Beti za soka za alama sahihi ni ngumu zaidi kutabiri. Si tu unatakiwa kujaribu na kukisia idadi kamili ya magoli, lakini pia unatakiwa kuzingatia mgawanyo wake. Katika kubeti alama sahihi, unajaribu kufahamu magoli mangapi yanafungwa kwa kila muda sawasawa. Kwa maneno mengine, unabeti kwenye ikiwa mechi itamalizika kwa 1-0, 2-3, 2-2, nakadhalika.

Alama sahihi

1:1 5.20 1:0 6.40
0:1 7.40 2:1 7.80
0:0 8.00 2:0 9.00
1:2 9.20 2:2 12.00
0:2 13.00 3:1 17.00
3:0 19.00 1:3 23.00
3:2 29.00 0:3 30.00
2:3 35.00 Other 35.00
4:1 50.00 4:0 60.00
3:3 70.00 4:2 80.00
1:4 80.00 0:4 101.00
2:4 101.00 3:4 101.00
4:3 101.00 4:4 101.00

Odds kutoka kwenye mfano wa Ujerumani na Hispania zinaonyesha tu ni ngumu kivipi kukisia alama sahihi. Odds ni kubwa kwa sababu vitu vingi sana vinaweza kuamua alama sahihi ya mechi, kuzifanya aina hizi za beti kuwa hasa kazi ya kukisia.

Unaweza pia ukapata machaguo mengine ya kubeti soka kwa alama sahihi kwenye tovuti ya Parimatch. Unaweza kubeti kwenye alama sahihi muda wa mapumziko na alama sahihi katika kipindi cha pili. Moja ya beti ngumu zaidi ambazo hulipa vizuri sana kama ukiipatia kiusahihi, ni kubeti kwenye alama sahihi kote kwenye muda wa mapumziko na kwenye muda kamili.

Beti za Handicap

Kubeti kwa handicap ni moja ya mbinu za kisasa zaidi za kubeti. Wazo la handicap ni kujaribu na kuweka usawa. Mara nyingi zaidi, watu huweka beti za handicap katika mazingira mawili tofauti.

Kwanza, kama hakuna timu dhahiri pendwa, kubeti kwa handicap hukuwezesha kuongeza umbali kidogo baina ya timu, kufanya kuwa rahisi zaidi kwa moja kushinda.

Sababu nyingine ya kubeti kwa handicap ni wakati unataka kubeti kwenye timu yako mwenyewe ya mpira wa miguu, lakini ndio timu dhaifu. Kwa kutumia kubeti kwa handicap, unaweza kuweka usawa na kuipa beti yako nafasi ya kupigana kushinda bila ya kutakiwa kuwabetia wapinzani.

Kubeti kwa handicap hufanya kazi kwa kuipa timu moja handicap. Hii humaanisha kuwa pindi mchezo unapomalizika, aidha unai handicap timu moja kwa kuondoa magoli kwenye idadi yao ya mwisho, au unaongeza magoli kwenye alama ya timu nyingine.

Wazo ni kuwa unabeti kwamba timu moja itaibuka na ushindi wakati bado ukitumia handicap hii mwishoni mwa mechi.

Kwa maneno mengine, katika mfano wa Ujerumani dhidi ya Hispania, kama ungei handicap Ujerumani kwa magoli mawili, ungechukua magoli mawili kutoka kwa Ujerumani kabla ya mechi kuanza.

Hivyo, fikiria kuwa unaibetia Ujerumani na handicap ya (-2) na matokeo ya mwisho yakawa 3-2 kwa Ujerumani. Wakati Ujerumani wangeshinda katika maisha halisi, bado ungepoteza beti yako ya handicap. Hii ni kwa sababu ungeondoa magoli mawili kutoka kwenye jumla ya mwisho ya Ujerumani, kukupa 1-2 kwa Hispania.

Beti za muda wa mapumziko/muda kamili

Kubeti kwa muda wa mapumziko/muda kamili (HT/FT) katika soka ni wakati unajaribu kufahamu nani atakayekuwa anaongoza mechi muda wa mapumziko na kwenye muda kamili. Ili beti hii ilipe, lazima upatie matokeo yote kiusahihi.

Beti za muda wa mapumziko/muda kamili huzingatia matokeo yote yanayowezekana. Hii humaanisha kuwa unaweza kubeti kwamba timu ya nyumbani au timu ya ugenini ishinde kwenye muda wa mapumziko na kwenye muda kamili, au kwamba kuna sare.

Machaguo yanayowezekana kwa beti hii ni:

  • 1 / 1
  • 1 / 2
  • 1 / sare
  • 2 / 1
  • 2 / 2
  • 2 / sare
  • Sare / 1
  • Sare / 2
  • Sare / sare

Kumbuka kuwa kama timu ya nyumbani inaongoza kwenye muda wa mapumziko, kuna zaidi ya nafasi ya 80% kwamba watashinda mechi nzima. Katika kesi hii, kama timu ya nyumbani inaonekana kama timu pendwa sana, basi beti ya 1/1 ni wazo zuri.

Beti za Odd/Even

Kubeti kwa odd/even ni beti ya soka inayofurahisha kuweka. Wakati mbinu za kubeti soka nyingine nyingi uhitaji kwamba uwe na kiwango cha kuelewa uchezaji wa mchezo na historia za kilabu, kubeti kwa odd/even kimsingi ni kazi ya kukisia.

Wazo nyuma ya beti hizi ni kuwa unaweka beti kwenye ikiwa jumla ya alama ya mwisho itakuwa namba witiri au namba shufwa. Alama hii ya mwisho huzingatia magoli ya timu zote mbili na haihusishi muda wa ziada au mikwaju ya adhabu.

Kwa mfano, kama alama ya mwisho ilikuwa 3-2, jumla ya idadi ya magoli ingekuwa 5. Hii ni namba witiri hivyo beti hii ingelipa kama ulibeti dhidi ya odds. Kama ulibeti dhidi ya evens ungepoteza dau lako.

Parimatch hupenda kuwapa wateja vitu mbalimbali. Hii ndio kwanini aplikesheni ya kubetia ina machaguo mbalimbali ya kubeti kwa odd/even kwa mechi za soka. Unaweza kuweka beti za odd/even kwenye mechi nzima pamoja na alama za timu zote mbili zikihusishwa, au unaweza kuweka beti kwenye timu moja au kwenye alama ya mwisho ya timu nyingine. Vinginevyo, weka beti za odd/even kwenye kila kipindi.

Aina Nyingine za Beti za Soka kwenye Parimatch

Parimatch huwapa watumiaji aina mbalimbali zaidi za kubeti soka katika Afrika nzima. Ikitoa upatikanaji usiofananishwa wa kubeti mpira wa miguu mtandaoni, sio tu utapata beti zako zote pendwa za soka zilizotajwa hapo juu, lakini pia utapata nyongeza nyingi maalum. Angalia mechi unayovutiwa nayo kuona nini unaweza kukibetia katika mchezo huu hasa.

Jukwaa la kubeti michezo la Parimatch ndio jukwaa bora la kubeti kwa wabashiri soka wanaotafuta mkusanyiko bora wa fursa za kubeti. Pamoja na mkusanyiko mpana wa aina za beti, mashabiki wa soka wanaweza kufurahia kuweka beti za kabla ya mechi, mubashara, na virtual kwenye michezo yote inayopatikana kwenye Parimatch. Na aplikesheni yetu ya kubetia ya simu ya mkononi iko hapa kufanya kubeti kwako soka kuwa rahisi zaidi.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.