Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Soka la Virtual

Kama unavyojua pasipo mashaka, Parimatch ina machaguo mengi kwa ajili ya kubeti soka. Lakini kwa wale ambao hawawezi tu kutosheka na soka, Parimatch ina suluhisho maalum. Kama unapenda kuweka mikeka ya soka, inawezekana unarukia kila mchezo unaoweza kuujaribu. Lakini nini hutokea kama huwezi kupata mechi ambayo ungependa kuiwekea mikeka? Nini hutokea kama unapenda kubeti wakati wa mchezo lakini hakuna mechi za soka mubashara zinazopatikana? Vipi kama hauna muda kwa ajili ya mechi mubashara ya mpira wa miguu?

Kukusaidia dhidi ya tatizo kama hilo, tunatoa mkusanyiko mpana wa machaguo ya kubeti soka la virtual. Sasa unaweza kufurahia katalogi kubwa ya mikeka ya mpira wa miguu wa virtual kutoka Mashindano ya mabingwa ya GoldenRace’s Euro hadi Kombe la Mataifa la Mpira wa Miguu wa Virtual la Betradar’s. Pamoja na mechi za soka kupatikana kwa ajili ya kuzibetia muda wote mchana na usiku, mwaka mzima, hautakiwi tena kukumbana na skrini tupu ya kubetia!

Unataka kuanza kuweka mikeka ya virtual kwenye mechi za soka? Jisajili tu kwenye Parimatch kufurahia matukio yetu mengi ya mpira wa miguu wa virtual, moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako janja. Hauna uhakika jinsi ya kuweka mikeka ya mpira wa miguu wa virtual? Unahitaji kujua kidogo zaidi juu ya maana ya mpira wa miguu wa virtual? Mwongozo huu rahisi utakupitisha kwenye kila kitu unachohitaji kujua kuweka mikeka ya mpira wa miguu wa virtual kwenye Parimatch leo. Ikikupa pitio la hatua kwa hatua la jukwaa letu la kizazi kinachokuja la kubeti michezo mtandaoni, makala hii itakusaidia kuelewa odds za soka la virtual, kukuhabarisha kabla juu ya faida na hasara za kubeti kwa virtual, na kukusaidia kuingia kwenye jukwaa leo.

Kwa hiyo unasubiria nini? Huu hapa ni ushauri bora kutoka kwa timu yetu ya kitaalamu ya kucheza kamari juu ya kubeti kwenye mikeka ya soka la virtual.

Kubeti Soka la Virtual ni Nini?

Kubeti mpira wa miguu wa virtual ni njia ya kubashiri kwenye michezo ya soka iliyoigwa na kompyuta.

Inatofautianaje na kubeti mpira wa miguu kabla ya mechi na mubashara? Wakati makundi haya mawili yanahusiana na michezo ya soka la kweli, kubeti soka la virtual ni kitu tofauti kabisa. Badala ya kubeti dhidi ya michezo inayotokea kwenye maisha ya kweli, wabashiri wa soka la virtual wanabeti kwenye michezo ya mpira wa miguu wa virtual inayozalishwa kielektroniki.

Kwa kutumia picha za kompyuta na kizalishi namba kwa kubahatisha (RNG), programu ya kisasa huzalisha mechi za mpira wa miguu za kielektroniki. Pamoja na RNG na kanuni za kompyuta zilizoamuliwa kabla, michezo yote ya soka la virtual ni ya haki na haina upendeleo. Hii huruhusu Parimatch kuwapa watumiaji wetu mkusanyiko wa michezo ya mpira wa miguu isio na upendeleo iliyozalishwa na kompyuta kuiwekea mikeka dhidi yake. Kwa kutumia teknolojia sawia na ile iliyotumika katika roulette wheel ya mtandaoni, Parimatch inaweza kuwa na uhakika kwamba michezo yote ya soka la virtual tunayotoa ni salama na ya haki.

Michezo ya mpira wa miguu wa virtual inayotolewa kwenye jukwaa la Parimatch ina picha za hali ya kisanaa ambazo zinaiiga michezo ya mpira wa miguu wa kweli. Muda huo huo, hakuna uhitaji wa kusubiria wachezaji wa kweli kucheza mechi katika mazingira ya kweli. Usiwe na wasiwasi, hautahisi hutendewi haki. Programu ya kubeti soka la virtual imekuja kuendelezwa isivyoweza kuaminika, na Parimatch ikitoa machaguo bora ya kubeti kwa virtual katika Afrika yote. Pamoja na ufafanuzi mubashara wa kweli, mwendo laini kwenye skrini, na picha za kina, hutaamini unaangalia kompyuta!

Ni muhimu kuelewa kuwa mechi za soka la virtual hazifanani na matukio katika maisha ya kweli. Na zinazalishwa kwa kutumia kizalishi namba kwa kubahatisha, matokeo ni ya kubahatisha kabisa. Wakati hili huzifanya kuwa za haki, inamaanisha huwezi kutumia takwimu katika maisha ya kweli kujaribu kuamua matokeo ya michezo hii.

Kiukweli, kama ukitazama kwa ukaribu, utagundua kwamba timu hizi haziitwi majina yao ya kawaida. Hutaona majina ya mara kwa mara ya timu za Ligi Kuu kama Arsenal au Wolverhampton Wanderers. Badala yake, utaona majina mbadala au vifupi kama vile ARS au WOL. Hii ni kwa sababu kisheria timu hizi za virtual hazifanani na timu za kwenye mazingira ya kweli na michezo na mikeka inayohusiana nayo ni kwa ajili ya kujifurahisha tu — sio matukio ya katika mazingira ya kweli. Muda huo huo, kubeti kwenye mpira wa miguu wa virtual ni kweli kabisa, kwa hiyo una nafasi ya kushinda pesa ya kweli kwa njia hii.

Tofauti nyingine kubwa kati ya kubeti soka la katika mazingira ya kweli na mikeka ya soka la virtual huja katika muda unaotakiwa kusubiri kuona kama umetengeneza faida. Mechi za soka la virtual ni za haraka zaidi pia kuliko mechi za mpira wa miguu za kawaida. Wakati mechi ya soka katika maisha halisi itachukua dakika 90, jumlisha muda wa majeruhi, muda wa ziada, na mikwaju ya adhabu, mechi za soka la virtual ni fupi zaidi. Kiukweli, mechi za mpira wa miguu wa virtual zina urefu wa dakika tatu tu.

Muhimu: usichanganye mpira wa miguu virtual na ligi ya ukweli iliyoiga (SRL). Soka ya SRL pia imetengenezwa na kompyuta lakini inategemea takwimu halisi za maisha. Kwa hivyo, SRL mpira wa miguu unafaa zaidi kwa wale wanaofuata mechi halisi na kujua yote juu ya timu, wakati mpira wa miguu virtual ni bora kwa wale ambao wanapendelea kutegemea bahati nzuri.

Jinsi ya Kusoma Odds za Soka la Virtual kwenye Parimatch

Kama tulivyotaja tayari, kwa kubeti kwenye michezo ya soka la virtual una nafasi ya kushinda faida ya kweli na halisi. Hata hivyo, kufanya hili kwa mafanikio, ni muhimu kwamba uelewe jinsi ya kusoma odds za soka la virtual kwenye jukwaa la Parimatch.

Kwa wale wenye uelewa wa kubeti soka kabla ya mechi na mubashara, mnaweza kuona ni rahisi kuelewa juu ya jinsi ya kuweka mikeka ya soka la virtual kwenye Parimatch, kuzielewa odds kadri unavyokwenda. Kwa wale walio wapya kwenye mchakato huu, ni muhimu kuelewa kuwa Parimatch hutumia odds za desimali kwa ajili ya kubeti mpira wa miguu wa virtual kwenye app yetu ya kizazi kijacho ya kubeti michezo.

Kuna aina tatu za odds zinazotumika wakati wa kubeti — odds za fractional (mara nyingi hasa kwa ajili ya mameneja ubashiri Waingereza), odds za desimali (zile zinazotumika kwenye Parimatch), na odds za American (muda mwingine huitwa “odds za Moneyline”).

Odds za fractional mara nyingi zitaonekana kama hivi – 3/1 au 3-1, ambayo hutajwa tatu-kwa-moja. Aina hizi za odds humaanisha kuwa kama ungeshinda, ungepata $3 kwa kila $1 uliyoweka, na ungepata dau lako tena. Katika odds za fractional, 3/1 humaanisha tukio lina implied probability ya 25%.

Sasa, odds za American ni ngumu kidogo zaidi. Kama kuna alama ya kutoa mbele, hii inajulikana kama pendwa na hukwambia ni pesa kiasi gani unatakiwa kuwa nayo kuiweka ili kupokea $100 kama mikeka yako ni sahihi. Hivyo odds za -300 zingemaanisha ungeweza kushinda $100 kama uliweka dau la $300. Kama kuna alama ya kujumlisha mbele ya odds (au hakuna alama), hii huonyesha kiasi gani utashinda kwa kila $100 unayoweka. Kwenye odds za 3/1, hii ingekuwa +300 katika odds za American, ikimaanisha ungeweza kushinda $300 kwa kila $100 unayoweka.

Kwa bahati, kuweka mikeka ya soka la virtual kwenye Parimatch ni rahisi zaidi kuliko usimbuaji wote huu mgumu wa odds! Kwenye Parimatch, tunatumia odds za desimali kwa michezo yetu yote ya virtual, kufanya kuwa rahisi zaidi kuamua kushinda kwako. Chukua tu odds unazoona, zinazowakilishwa kama namba yenye hadi sehemu mbili za desimali — kama vile 2.75 au 4.00 — na zidisha hii kwa dau lako. Hii hukupa malipo ya jumla kama ukishinda. Toa dau lako kutoka kwenye malipo ya mwishoni na utakuwa na faida yako. Kwa maana hii, odds ya 3/1 ingekuwa 4.00, hivyo kama dau lako lilikuwa TZS 10,000 na ukashinda, ungepokea TZS 40,000. Sasa, toa dau lako la TZS 10,000 na shindi zako zingekuwa TZS 30,000.

Mechi za soka la virtual ni za haraka zaidi kuliko mechi za mpira wa miguu za kawaida, pamoja na mchezo mzima kuonyeshwa ndani ya dakika chache tu. Kwa maana hii, kama unataka kuweka mikeka ya kabla ya mechi kwenye mechi ya soka la virtual, unahitaji kuingia kwa haraka, kabla ya mchezo kuanza. Programu hii ya virtual itakupa hesabu ya muda gani umebakisha kwa ajili ya kubeti kabla ya mchezo kuanza. Usiwe na wasiwasi, kama ukiukosa, utakuwa na uwezo wa kubeti kwenye mzunguko unaofuata kipindi kifupi baada ya hapo.

Ili kuwa na ufahamu zaidi na dhana ya odds, tunaipendekeza kwako makala hii juu ya jinsi ya kusoma odds za soka.

Utofauti Kati ya Odds za Kubeti Kabla ya Mechi na Mubashara katika Soka la Virtual

Moja kati ya vitu vikubwa kuhusu kubeti soka la virtual kwenye Parimatch, ni kwamba hutoa moja ya huduma halisi zaidi za kubeti mpira wa miguu zinazopatikana kwa ajili ya mechi za soka za kikompyuta. Moja ya sababu kubwa ambayo hulifanya soka letu la virtual liwe halisi sana ni odds zetu.

Kwa kutumia majukwaa matatu bora ya michezo ya virtual — GoldenRace, Betradar na Leap — Parimatch hufanya kubeti soka la virtual kabla ya mechi, kwa uhitaji, na mubashara kupatikane kwa wabashiri wetu wote. Hii humaanisha kuwa unaweza kufurahia kuweka mikeka kabla ya mechi kuanza, kukuwezesha kupumzika na kuyapata mashindano yoyote yaliyo mchezoni. Badala yake, unaweza kubeti mubashara kwenye mechi za soka la virtual, ukiangalia picha mubashara za mechi zinazozalishwa na kompyuta kupata wazo jinsi mchezo huu unavyochezwa.

Ni muhimu kuelewa kwamba odds za soka la virtual za kabla ya mechi hufanya kazi tofauti kidogo na odds za soka la virtual mubashara — kama tu katika maisha halisi. Odds za soka la virtual za kabla ya mechi na kwa uhitaji hufanya kazi sawia. Aina hizi za odds hufanya kazi kwa kutoa odds zisizo badilika zilizoamuliwa kabla na meneja ubashiri ambazo hazibadilika katika mechi yote. Haijalishi nini kimetokea, odds zitabaki vivyo hivyo. Hii humaanisha kama unabeti kwenye odds ya 4.00 kabla ya mchezo na odds ikadondoka hadi 1.60 kwa sababu kadi nyekundu imetolewa, bado ungelipwa kwenye odds yako ya 4.00 ya kabla ya mechi.

Odds mubashara hufanya kazi kwa utofauti katika mengi sana maana hubadilika kadri ya uchezaji wa mchezo. Muhimu, mechi za soka la virtual hudumu kwa dakika tatu tu kwa kipande, hivyo kubeti mubashara ni kwa haraka sana. Kwa wale wanaovutiwa katika hatua ya haraka ya kubeti soka mubashara, wanaweza kuziinua odds zinazobadilika kadri mchezo unavyoendelea. Katika kubeti kwa virtual mubashara, uchezaji uwanjani utaweza kusababisha odds kubadilika kulingana na hili. Kwa kuchukua mfano wa hapo juu, kama timu pendwa imepata kadi nyekundu, odds za timu dhaifu kushinda zitadondoka sasa, maana kuna nafasi kubwa zaidi ya hili kutokea pindi kadi nyekundu imetolewa.

Faida na Hasara za Kubeti Soka la Virtual

Kubeti soka la virtual si kwa ajili ya kila mtu. Lakini kwa wale ambao hawawezi tu kutosheka na mashindano ya katika mazingira ya kweli au wale wanaotaka kuweka mikeka nje ya msimu, kubeti soka la virtual kwenye app ya michezo ya Parimatch ni njia nzuri ya kuweka mguu mmoja kwenye uwanja wa soka.

Ikiwa hauna uhakika kama kubeti soka la virtual ni kwa ajili yako, angalia orodha yetu ya mazuri na vikwazo vya kina ambayo inaorodhesha faida na hasara za kubeti soka la virtual.

Faida za Mikeka ya Soka la Virtual

  • Beti kwenye Soka Nje ya Msimu

Kama ilivyo michezo yote, soka lina msimu ambapo huchezwa. Wakati mashindano ya soka yanaonekana kusambaa muda mzima siku hizi, michuano fulani hutokea tu kwenye mida maalumu ya mwaka. Kubeti soka la virtual huwezesha watumiaji kuweka mikeka kwenye timu zao pendwa nje ya tarehe za michuano zilizoainishwa.

  • Weka Mikeka ya Soka Mchana na Usiku

Michezo ya soka kwa kawaida huchezwa kwenye mida fulani ya mchana au usiku, kutegemeana na ukanda wako wa saa na nchi ambapo mchezo huo unachezwa. Kwa baadhi yetu, michezo hii iko nje ya masaa yetu ya kawaida ya kuamka hivyo sio rahisi sana kwetu kuiangalia. Kwa bahati, pamoja na kubeti mpira wa miguu wa virtual, wabashiri wanaweza kuweka mikeka kwenye mechi sawia kwa kutumia mitindo ya virtual badala yake.

  • Kubeti Kusiko na Kikomo

Kwa mikeka ya kawaida za kabla ya mechi kwenye mazingira ya kweli ya mpira wa miguu, unaweza kuweka mikeka kabla ya mechi kuanza. Hata hivyo, unaweza ukasubiri siku chache kwa ajili ya mechi yenyewe kuchezwa. Kwenye kubeti soka la virtual, unaweza kutazama michezo ya kwa uhitaji ambayo huanza wakati wowote unapokuwa tayari au unaweza kuweka mikeka kwenye moja ya michezo mingi isiyo na mwisho. Kama ukiweka mikeka ya kabla ya mechi kwenye mechi ya michuano ya soka la virtual, unatakiwa tu kusubiri kwa dakika chache kabla ya mechi kuanza. Kama ukiikosa, unatakiwa tu kusubiri kwa dakika kadhaa mpaka utakapoweza kuweka mikeka kwenye mechi inayofuata — kubeti kusiko kikomo kweli!

  • Uchaguzi Mpana wa Mechi

Kwenye kubeti soka katika mazingira ya kweli, unatakiwa kusubiri timu mbili zicheze katika maisha halisi kabla ya kuweza kuubetia mchezo. Kwenye michuano mikubwa ya kimataifa, hili linaweza kutokea mara moja tu kwa mwaka, kama hivyo. Sawia, baadhi ya timu zinaweza zisicheze dhidi ya kila moja kwa miaka mingi, kama ilivyo kwa Kombe la FA. Kwa shukrani, kubeti soka la virtual hukomesha hilo kwa kutoa chaguzi nyingi za mechi za kuzibetia. Unaweza kupata michezo mingi yenye timu zako pendwa, hata kama hazichezi mara kwa mara dhidi ya kila moja kwenye maisha ya kweli.

  • Shindi za Haraka na Mikeka ya Soka la Virtual

Inapokuja kwenye kubeti soka katika mazingira ya kweli, kama unabeti kwenye matokeo ya mwisho, matokeo ya muda kamili, magoli ya kuchelewa, au mikeka sawia, unatakiwa kukaa mpaka mwisho wa mechi ya soka. Hii huchukua dakika 90 nzima, jumlisha muda wa majeruhi (na muda mwingine muda wa ziada au mikwaju ya adhabu). Kwenye kubeti soka la virtual, mechi ya virtual huchukua dakika tatu tu. Hii humaanisha unaweza kuweka mikeka yako na kujua kama umeshinda ndani ya kipindi cha dakika tano kama unataka. Kasi hii ya haraka hukufanya kusisimue, lakini pia kukupe faida za haraka kama ukishinda.

  • Sababu za Katika Mazingira ya Kweli Haziingilii

Hakuna kitu kibaya kuliko kuweka mikeka kwenye timu yako pendwa kushinda, kuja kukuta mshambuliaji wako mzuri zaidi yuko nje kwa kuumia ndani ya dakika tano za kwanza. Ni mbaya pia unapoona timu yako ikiteseka kwa sababu ya hali ya hewa mbaya au kiwanja wasichokifahamu. Kwa sababu soka la virtual hutumia ubahatishaji unaozalishwa na kompyuta kuamua matokeo ya michezo, sababu hizi haziangaziwi katika mechi. Hautakuwa na mtu akibebwa kwenye machela au mchezo kuhairishwa kutokana na mvua. Pamoja na hili akilini, unaweza kupumzisha akili yako dhidi ya sababu za ziada zenye kutia wasiwasi ambazo kwa kawaida huathiri mechi za mpira wa miguu za katika mazingira ya kweli.

  • Mikeka ya Soka la Virtual Huangazia Odds Kubwa

Kutokana na kwamba mikeka ya soka la virtual hazizingatii sababu za katika maisha ya kweli, ni ngumu kidogo kutabiri. Kwa maana hii, odds ni kubwa zaidi ikimaanisha unaweza kutengeneza faida ya maana kutoka kwenye kubeti soka la virtual kama ukiweka mikeka sahihi.

Vikwazo vya Kubeti kwenye Soka wa Virtual

  • Ni Ngumu Kutabiri Washindi

Kama ilivyotajwa juu, sababu za kawaida haziathiri matokeo ya michezo ya soka la virtual. Kutokana na hili, hutakiwi kuwa na wasiwasi kuhusu wachezaji kupata majeraha au hali ya hewa mbaya. Hata hivyo, hili pia hufanya kuwa ngumu sana kufahamu nani anaweza kuwa na faida maana huwezi kuchambua mchezo katika namna sawa. Wakati inawezekana kukawa na takwimu chache zinazoonyesha matokeo ya michezo michache iliyopita, hili halina msisitizo kama kujua uchezaji wa mchezo na historia ya timu katika maisha ya kweli.

  • Mchezo wa Haraka unaweza Kupelekea Upotezaji wa Haraka

Kama ilivyo kwenye shughuli zote za kubeti, kujifundisha nidhamu ya kucheza kamari ni muhimu. Kutokana na kwamba kubeti soka la virtual kuna kasi ya haraka, mara nyingi inaweza kukupa moyo kubeti zaidi kuliko unavyotakiwa kurudisha hasara. Kuwa na tahadhari ya kiasi gani unachochezea kamari na kamwe usiende juu ya kiwango chako cha chini.

  • Sio ya Kusisimua kama Mpira wa Miguu wa katika Maisha ya Kweli

Watu wengi wanaobeti kwenye mechi za soka wana kiasi fulani cha dau binafsi. Kwa kuhusika moja kwa moja kwenye mchezo, unaweza kuwa na msukumo wa kihisia juu ya vipi unataka mchezo uwe. Wakati unabeti kwenye soka la virtual, matokeo hayafanani na ligi au michuano ya soka ya katika mazingira ya kweli, hivyo kuna chembe ndogo zaidi ya kihisia. Kwa maana hii, soka la virtual linawezekana muda mwingine lisiwe maarufu sana maana haliamshi mhemuko wa adrenalini sawia na michezo ya soka la katika maisha ya kweli ambapo timu unayoiunga mkono inaweza kweli ikashinda au ikapoteza!

Dondoo na Mbinu za Kuweka Mikeka ya Soka la Virtual

Wakati kuweka mikeka ya soka la virtual ni tofauti kidogo na kuweka mikeka ya mpira wa miguu wa kawaida, bado kuna mkusanyiko mzuri wa dondoo na mbinu ambazo wabashiri hupenda kuzizingatia ili kujaribu na kupata matokeo mazuri. Hizi hapa ni baadhi za dondoo na mbinu ambazo ni maarufu kwa wabashiri soka la virtual.

  • Mbinu ya Martingale

Mfumo huu ni njia ya kubeti ambayo hutumai kurudisha tena hasara zozote kutoka kwenye uwekaji dau uliyopita dhidi ya michezo ambayo ilikwenda vibaya. Hii inafanyika kwa kuongeza dau lako kila muda — aina ya uongezaji dau endelevu. Aina hii ya kubeti hufanya kazi tu kwa mikeka ambayo ina matokeo mawili, kama vile bashiri ya Draw No Bet. Hii huondoa chaguo la sare, kukupa tu ushindi kwa ajili ya Timu ya 1 au ya 2. Hii pia ingefanya kazi kwenye kubeti kwa Odd/Even au aina nyingine yoyote ya mikeka yenye matokeo mawili tu (hasa yaliyogawanywa sawia). Wazo ni kuwa mbashiri anaweka dau dogo kwenye mikeka ya kwanza, tuseme TZS 300. Kama mbashiri akishinda, anadai tuzo yake. Kama mbashiri akipoteza, anarudufu dau lake kwenye mchezo unaofuata. Hii itamaanisha kwamba kama akishinda mchezo unaofuata, anarudisha dau lake kwenye mchezo wa pili na dau alilopoteza kutoka kwenye mchezo wa kwanza. Wakati hili linaweza kuonekana kama wazo zuri, ni muhimu kuzingatia kuwa unaweza kupoteza pesa nyingi sana haraka kama ukipitia mfululizo wa kupoteza — hivyo beti ipasavyo.

  • Beti Mara kwa Mara na Kidogo

Wakati mechi za mpira wa miguu wa virtual zinapimwa kutoa hisia za kuiga michezo ya ukweli, kiukweli hufanya kazi na kizalishi namba kwa kubahatisha. Hivyo wakati ni kweli, toleo la virtual la Manchester United linawezekana kuonekana zuri zaidi kuliko toleo la virtual la Norwich, mchezo huwa unaamuliwa kibahati kwa kanuni za kikompyuta. Kwa maana hii, huwezi mara zote kutabiri jinsi mchezo unavyokwenda kuwa. Ni busara zaidi kubeti viwango vidogo kwenye michezo mingi kuliko kuweka madau makubwa kwenye mchezo mmoja au miwili. Hii ni kwa sababu inawezekana kuwa ngumu sana kufahamu mchezo upi utalipa maana unaweza kutumia takwimu kuamua matokeo yanayowezekana.

  • Ziunge Mkono Timu Pendwa Mara Nyingi Zaidi

Timu pendwa kwa kila mchezo zinapimwa tofauti na timu dhaifu. Hii humaanisha kuwa wakati matokeo yanazalishwa kwa kompyuta, kanuni hizi zina uwezekano zaidi wa kuamua timu pendwa kuwa mshindi. Kwa maana hii, wakati odds zinaweza kuwa ndogo zaidi, timu pendwa kwa kawaida inawezekana zaidi kulipa.

Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Soka la Virtual kwenye Parimatch

Parimatch imedhamiria kufanya app ya kubeti michezo ya Parimatch rahisi kutumia kadri inavyowezekana. Hii ndio kwanini dashibodi yetu ya uelewa wa kubeti michezo ni rahisi kupitia kwa wale wanaobeti soka la virtual.

Virtual football betting on Parimatch app

Kama unafahamu app ya kubeti michezo ya Parimatch, hutakuwa na tatizo kutafuta mechi za soka la virtual kuzibetia. Fuata tu hatua hizi rahisi:

  1. Ingia katika Parimatch (au jisajili) na weka pesa;
  2. Nenda kwenye sehemu ya “Virtual sport” kutoka kwenye menyu ya chini;
  3. Tafuta “football” au chagua moja kwa moja kutoka kwenye menyu ya virtual sports;
  4. Chagua shindano au ligi ya kuibetia;
  5. Tafuta mchezo ambao ungependa kuuwekea mikeka na chagua odds;
  6. Nenda kwenye “Betslip” kumalizia mikeka yako.

Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:

Kufupisha Kubeti Soka la Virtual kwenye Parimatch

Njia bora ya kubeti kwenye soka mchana au usiku, au muda wowote wa mwaka, kubeti soka la virtual daima kunapatikana kwenye app ya kubeti michezo ya Parimatch. Rahisi kutumia na linalopatikana kwa ajili ya wabashiri, jukwaa la Parimatch hufanya kuwe rahisi kubetia matukio ya soka la virtual katika mtindo wa bila kikomo.

Ikiwa unatafuta kuweka mikeka mubashara, kabla ya mechi au kwa uhitaji za soka la virtual, Parimatch ina teknolojia ya kisasa unayohitaji kuweka bashiri za kweli kwenye mechi za soka la virtual za haki na zisizo na upendeleo.

Wakati kubeti soka katika maisha ya kweli uhitaji ujue historia na takwimu za mechi za mchezaji wako, kubeti soka la virtual kwa Parimatch hakutumii sababu hizi kukokotoa matokeo ya mwisho. Badala yake kizalishi chetu cha namba kwa kubahatisha chenye hali sanaa na teknolojia ya kisasa hukupa picha bora na mechi za soka za kweli, bila usumbufu wa wachezaji walioumia au hali ya hewa mbaya.

Hivyo unasubiria nini? Nenda kwenye Parimatch leo kujitafutia mechi za soka la virtual ambazo zinakufaa!

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, unabetije kwenye mchezo wa kandanda mtandaoni?

Ni lazima uweke pesa taslimu kwenye akaunti yako ya Parimatch ili kuweka dau kwenye mchezo wa kandanda mtandoani. Baada ya kumaliza, kwenye dashibodi ya akaunti yako, gusa sehemu ya Virtuals (Michezo ya kukisia mtandaoni). Ukiwa hapo, unaweza kuchagua mchezo unaotaka, weka dau, na uanze kuweka mikeka.

Je, unaweza kushinda kwenye soka la mtandaoni?

Ndiyo, unaweza kushinda kwenye soka la mtandaoni. Licha ya yote, tofauti na michezo ya moja kwa moja ya kandanda, soka la mtandaoni linapatikana kwa muda wa 24/7 mwaka mzima, huku ikikuruhusu kuweka dau, kucheza na kushinda wakati wowote. Unaweza pia kutoa pesa za ushindi wako wakati wowote unapotaka kufanya hivyo.

Je, michezo ya mtandaoni inaweza kutabirika?

Ni rahisi sana kuitabiri michezo ya mtandaoni ikilinganishwa na michezo ya moja kwa moja. Baada ya yote, tofauti na michezo ya moja kwa moja, sio lazima kutegemea mambo ya kibinadamu na mambo mengine. Matokeo ya kwenye michezo ya mtandaoni yameathiriwa sana na kanuni za kompyuta zinazoendesha michezo. Kwa hivyo, njia bora ya kufanya utabiri ni kusoma takwimu za zamani kwenye timu na wachezaji husika.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.