Umeshawahi kamwe kushangaa push ni nini katika kubeti michezo au labda jinsi ya ku push katika kubeti michezo? Hauko peke yako.
Push ya mikeka si tokeo la mara kwa mara sana, lakini hutokea muda hadi muda. Ni muhimu kuelewa wakati gani mikeka ya push inaweza kutokea ili usiachwe umechanganyikiwa.
Ni kitu kizuri kuwa push katika kubeti michezo ni rahisi sana kuelewa. Baada ya kusoma makala hii, utajua jinsi ya kuigundua mikeka ya push inayokaribia kutokea haraka sana.
Endelea kusoma ili uweze kujifunza mikeka ya push ni nini, kwanini hutokea, na haswa jinsi ya kuziepuka wakati wa kubeti mtandaoni.
Yaliyomo
Push Humaanisha Nini katika Kubeti Michezo?
Push katika kubeti michezo ni wakati mbashiri na sportsbook wanatoshana nguvu. Katika maneno mengine, wakati mikeka inaishia katika sare, huitwa push.
Kwenye kubeti michezo mtandaoni, ni mechi kati ya mbashiri na meneja ubashiri. Mikeka ya push sio lazima imaanishe mechi au tukio la ukweli lililomalizikia katika sare — ni mikeka tu.
Push ya mikeka sio lazima iwe kitu kibaya kwa mbashiri, ingawa inaweza kuwa ya kufadhaisha.
Pindi ukiwa na mikeka ya push, sportsbook ya mtandaoni itarudisha pesa yote iliyobetiwa bila ada za ziada. Ni kana kwamba mikeka hiyo kamwe haikutokea katika sehemu ya kwanza.
Push Hufanya Vipi Kazi?
Push katika kubeti michezo inaweza kuonekana ni rahisi kueleweka, na kwa sehemu kubwa, ndio hivyo. Hata hivyo, kuna mambo ambayo bado unapaswa kuyazingatia.
Kwa mfano, sio kila aina ya mikeka (moneyline, handicap, over/under) inaweza kuishia katika push. Push ya mikeka inaweza tu kutokea ndani ya kundi maalum la mazingira.
Pia, sportsbook za mtandaoni hazitaki mikeka kuishia katika push kwa sababu hawatatengeneza pesa yoyote.
Kama ukifikiria kuhusu hilo, sportsbook hutumia rasilimali kupanga lines, kurudisha pesa, na gharama zingine zinazohusiana na ufanyaji kazi wao. Pindi mikeka ya push ikitokea, sportsbook ya mtandaoni kinadharia hupoteza, wakati mbashiri huondoka na mfadhaiko kidogo tu.
Jinsi ya Ku Push katika Kubeti Michezo
Sasa kwamba una wazo zuri zaidi juu ya mikeka ya push ni nini, inawezekana unashangaa jinsi ya ku push katika kubeti michezo. Huu hapa ni mtazamo kwenye aina tatu za mara kwa mara za mikeka ambapo push ya mikeka inaweza kutokea.
Mikeka ya Spread (Handicap)
Kama haufahamu, kubeti spread ni wakati mbashiri anabeti kwenye ikiwa au la utofauti wa alama uliopangwa na meneja ubashiri ni sahihi au sio.
Kama unahisi meneja ubashiri aliupatia, basi unabeti kwa spread. Kama unafikiri utofauti wa alama ni mkubwa sana, ungebeti dhidi ya spread.
Kwa mfano, fikiria mchezo wa mpira wa kikapu wa NBA kati ya New York Knicks na Miami Heat. Unaweza kuona line kama:
- New York Knicks (-5) dhidi ya. Miami Heat (+5)
Spread ni pointi 5, na alama ya (-) huashiria kuwa New York Knicks ndio timu pendwa.
Kwa New York Knicks kuifunika spread, wangehitaji kushinda kwa walau pointi 6.
Kwenye upande mwingine wa line, Miami Heat wangehitaji aidha kushinda moja kwa moja au kutokupoteza kwa zaidi ya pointi 5.
Lakini nini kitatokea kama New York Knicks wangeshinda kwa 5? Umeikisia, mazingira haya yangeishia na push ya mikeka.
Mikeka ya Over/Under (Total)
Mikeka ya push katika soko la over/under hufanya kazi vile vile kama kwenye mikeka ya spread. Tofauti ya kiukweli pekee ni aina ya mikeka yenyewe.
Pia hujulikana kama mikeka ya total, mikeka ya over/under ni wakati mbashiri anatabiri kama jumla ya alama ya mwisho ya mechi itakuwa juu ya au chini ya tarakimu iliyopangwa kabla na meneja ubashiri.
Huu hapa ni mfano kutoka kwenye Mpira wa Magongo wa kwenye Barafu kwenye Parimatch:
Mtengeneza odds kapanga jumla kwenye magoli 5.
Tuseme mechi iliisha 3-2, ikiwa jumla ya magoli 5 yakifungwa katika tukio hilo. Kutokana na kwamba jumla ya magoli haikuwa juu ya au chini ya 5, haijalishi chaguo gani ulichagua, ingemalizikia katika mikeka ya push.
Mikeka ya Parlay
Push katika parlay hufanya kazi kwa tofauti kidogo kuliko aina nyingine za mikeka iliyotajwa awali.
Kwanza, mikeka ya parlay ni wakati mbashiri akiunganisha kwa pamoja mikeka mingi kwa dau moja. Kwa mikeka kulipa, mikeka yote katika parlay inatakiwa kuwa sahihi.
Hivyo nini hutokea kama ukiweka parlay ya njia-3, na mawili kati ya machaguo ni sahihi, lakini moja linaishia katika push?
Ni rahisi sana, bashiri yako isingeishia kwenye mikeka ya push. Badala yake odds zingekokotolewa tena kana kwamba ilikuwa parlay ya njia-2. Katika maneno mengine, bado ungepokea malipo, kidogo tu.
Kimantiki, kama mikeka yako yote mitatu katika parlay yako ziliisha kwa push, parlay nzima ingepelekea katika mikeka ya push.
Jinsi ya Kuepuka Push
Push katika kubeti michezo inaweza kuwa ya kufadhaisha. Baada ya utafiti wote ambao umefanya, inahisika kama upotezaji muda pindi mikeka ya push ikitokea.
Kwa bahati, Parimatch ina suluhisho. Tunaongeza tu pointi ya desimali kwenye lines, kufanya sare isiwezekane.
Angalia kwa ukaribu zaidi kwenye mfano huu kutoka Parimatch:
Line hii ni kutoka kwenye soko la over/under (total) linalohusu mchezo wa NBA. Unaweza kuona meneja ubashiri alipanga jumla kwenye pointi 222.5.
Katika mpira wa kikapu, timu zinaweza kufunga kwa namba nzima tu. Kwa kuongeza pointi ya desimali, push inakuwa haiwezekani.
Njia nyingine ya kuepuka push katika kubeti michezo ni kwa kusogeza line. Sportsbook baadhi hukuruhusu kununua nusu ya pointi.
Tena, pindi kukiwa na desimali iliyohusishwa, mikeka ya push inakuwa tokeo lisilowezekana.
Soma Zaidi:
- Reverse Line Movement Ni Nini?
- Kubeti Dhidi ya Umma: Jinsi ya Kutumia Mkakati Huu
- Kubeti Dhidi ya Spread Ni Nini?
- Nadharia ya Zig-Zag kwenye Kubashiri na Utaitumiaje kwa Faida Yako
- Faida ya Timu Iliyopo Nyumbani: Ni Kitu Gani Hufanya kuwa Muhimu Sana?
- Kwanini Msaada kwa Wateja kwenye Kubeti Michezo ni Muhimu?
- Jinsi ya Kupata Tovuti Salama za Kubeti Kwenye Michezo
- Jinsi ya Kubeti Kijanjani kwa Kutumia Uniti za Kubetia
- Jinsi ya Kupata Pesa Mtandaoni Tanzania
Muhtasari
Push katika kubeti michezo sio lazima iwe nzuri au mbaya. Ni — vizuri — push tu.
Mikeka ya push inaweza kuwa inafadhaisha, lakini kwa bahati hautakiwi kuwa na wasiwasi kuhusu kupoteza pesa yako. Ni hadithi tofauti kwa meneja ubashiri, bado ataingia gharama ya kupanga lines na kukurudishia pesa.
Ona — ingeweza kuwa mbaya zaidi.
Sehemu ya kwanini wabashiri waerevu Afrika kote, hasa nchini Tanzania, wanaingia kwenye app ya kubeti ya Parimatch ni ili waweze kuepuka mfadhaiko huu wa kubeti michezo.
Kama unataka kuangalia odds za stellar zinazonekana vipi kwenye Parimatch, unaweza kwenda kwenye tovuti yetu au kupakua app yetu ya kubeti ya bure. Inafurahisha, rahisi, na muhimu zaidi, si ya kupendelea!