Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Kutoka kuwa Mwanafunzi hadi Mtaalamu: Mwongozo Wako Kamili ili Kuelewa na Kukokotoa Odds za Michezo

Karibu kwenye ulimwengu wa kubetia michezo nchini Tanzania, ambapo msisimko na fursa hukutana!

Aidha wewe ni mpenzi wa muda mrefu au ndio unajaribu tu kuingia katika ulimwengu wa odds za michezo, makala hii ni kiingilio chako cha kuwa mtaalamu wa kubeti kwenye jukwaa la Parimatch. Kaa tayari kuzifahamu siri za kuelewa na kukokotoa odds za michezo zilizoandaliwa kwa kina kwa ajili ya manguli wa kubeti Tanzania. Makala hii kamili inafumbua mafumbo yalio nyuma ya zile namba zinazoonekana kuwa ngumu sana na za kuchanganya, kukupa nguvu ya kufanya maamuzi ya kubeti kwa kujiamini ukiwa unajuwa ufanyacho.

Kutoka kwa mashabiki kindakindaki wa Simba Sports Club hadi kwa wafuasi wa Yanga waliokunywa maji ya bendera, ujumbe huu ni kwa ajili ya uwanja mpana wa michezo ambao unaiunganisha Tanzania.

Je! Upo tayari kukuza uwezo na mbinu zako za kubeti kufikia viwango vipya?

Hebu tuanze mara moja na tukubadilishe kutoka kuwa mwanafunzi wa kubeti jukwaani Parimatch hadi kuwa mtaalamu mzoefu kadri tunavyozifichua siri zilizofichika za kuelewa na kukokotoa odds za michezo zilizoandaliwa kwa upekee kwa ajili ya wapenzi wa michezo Tanzania.

Tukiwa wa kweli na kile tusemacho, tuna bonasi kwa ajili yako pindi ukijisajili nasi leo. Zaidi ya hili, tunakuongoza kwa ukamilifu juu ya jinsi ya kusoma na kukokotoa odds za kubetia michezo ili kuongeza zaidi na kuendeleza mfululizo wa kushinda.

Aina Kuu za Odds

  1. Odds za sehemu – pia zijulikanazo kama odds za traditional au za Kiingereza mara nyingi huandikwa kama sehemu au uwiano kama vile 6:2 au 6/2
  2. Odds za desimali – huwakilisha jumla ya kiwango utakachoshinda Parimatch kwa kila Shilingi ya Tanzania utakayoweka. Kwa mfano, ikiwa unaibetia Simba Sports Club kushinda kama odds ni 2.45, malipo yako ni Tsh 245 kwa kila Tsh 100 unayoweka.
  3. Odds za Marekani – pia zijulikanazo kama odds za Moneyline, hurekodiwa kwa alama ya jumlisha (+) au kutoa (-). Alama ya kujumlisha ni kwa ajili ya matokeo yenye uwezekano mdogo zaidi, yanayopelekea malipo makubwa zaidi.

Hisia za kuzidiwa na chati za odds zinazochanganya na maneno ya kushangaza ni mambo yaliyokwisha kupitwa na wakati. Hebu tukupitishe kwenye vitu vya msingi, tukufafanulie misamiati migumu, na tukupe maelezo yanayoeleweka, ya moja kwa moja ambayo mtu yoyote anaweza kuyaelewa.

Utakuwa na maarifa na ujuzi unaotakiwa zaidi ili kuingia kwenye ulimwengu wa kubeti kama mtaalamu muda baada ya kumaliza.

Odds za Desimali

Muundo wa odds za desimali umezoeleka barani Ulaya na nchi nyingine kama vile Canada, New Zealand, na Australia. Hapa Parimatch, odds za desimali bila shaka ndio bora, hasa kwa wale wasio na muda wa kufanya utafiti na uchambuzi wa kina.

Decimal odds on Parimatch

Kutoka kwenye mfano wa beti ya 3- way iliyochukuliwa Parimatch hapo juu, unaweza kusema kwa haraka timu yenye nafasi kubwa ya kushinda papo hapo kwa kuangalia namba. Na unajuwa nini? Muda mwingi huwa inafanya kazi.

Hivyo unapataje odds hizi? Husiofu. Tutakuelezea. Kwa kanuni ifuatayo, unaweza kujitoa wasiwasi wako na kufanya maamuzi madhubuti ya kubeti.

Kanuni hii hapa:

“(1/odds za desimali)* 100 = Uwezekano unaopendekezwa”

Uwezekano unaopendekezwa wa Timu ya 1 kushinda ni 66.2%

Odds za Marekani

Hapa Parimatch, tunajuwa changamoto za kukufunga kwenye muundo mmoja wa kubeti. Hivyo, tunakupa machaguo mengine. Kwa mfano huo huo kutoka kwenye tovuti yetu, angalia jinsi Odds za Marekani zinavyoonekana.

Team 1 Draw Team 2
-196 +410 +470

Hapa milinganyo miwili tofauti inatumika kupata uwezekano unaopendekezwa wa timu pendwa na timu dhaifu.

Mlinganyo kwa ajili ya odds hasi (-)

“Odds / (odds – 100) = Uwezekano unaopendekezwa”

Kwa kutumia odds za Marekani za -196 (Timu ya 1 kushinda), kanuni ingeonekana kama hivi:

-196 / (-196 – 100) = 66.2%

Mlinganyo kwa ajili ya odds chanya (+)

100 / (odds + 100)

Kwa kutumia odds za Marekani za +470 (Timu ya 2 kushinda), kanuni ingeonekana kama hivi:

100 / (470 + 100) = 17.5%

Odds za Sehemu

Odds za sehemu ni muundo unaopendwa zaidi na tovuti za ubashiri za Ireland na Uingereza. Kwa kawaida huwa tunaziwekea kistariungio (-) au mkwaju (/), kama inavyoonekana kwenye rejeleo letu la timu ya mpira wa miguu ya Parimatch hapo chini.

Team 1 Draw Team 2
0.51/1 4.1/1 4.7/1

Pindi unapotumia odds za sehemu, siri ipo katika kukokotoa uwezekano unaopendekezwa. Hii ni kwa sababu matokeo yenye asilimia kubwa zaidi ndio yanawezekana kuwa pendwa. Wakati inaweza kuonekana ngumu kama sayansi ya roketi, sio ngumu ki hivyo, kama inavyoonekana hapo chini.

“Namba ya chini / (namba ya juu + namba ya chini)”

Uwezekano unaopendekezwa wa Timu ya 1 kushinda ni 66.2%

1 / (0.51 + 1) = 66.2%

Uwezekano unaopendekezwa wa Timu ya 2 kushinda ni 17.5%

1 / (4.7 + 1) = 17.5%

Aina Nyingine za Odds za Kubetia

Muachano wa Alama

Odds za muachano wa alama ni maarufu pia kwenye tasnia ya michezo ya gemu. Kwa muachano wa alama, unaweka dau kwenye aidha timu yako pendwa katika mechi itashinda na itatwaa ushindi kwa magoli au alama zaidi kuliko tovuti ya ubashiri ilivyokadiria.

Kwa mfano, unaweza kuweka dau kwa Simba FC kushinda kwa magoli + 2, 3, au 4 hivyo kupelekea jina “Muachano.”

Totals

Totals kwa kawaida huitwa odds za Over/Under. Totals ni dau unazoweka kwenye timu fulani, aidha matokeo ya mchezo yawe juu au chini ya kile tovuti ya ubashiri ilichotabiri.

Parlays

Wakati odds hizo juu zinatumika tu kwenye matukio moja moja, Parlays inahusisha kuweka beti nyingi na kuzikusanya kutengeneza beti moja. Kila bashiri inaweza kutengeneza pesa zaidi, lakini kuna hatari. Unapoteza dau zima la parlay hata kama moja tu ya beti zako sio sahihi.

Kama ilivyo kwenye odds zote za kubetia zilizoelezewa katika makala hii, kadri hatari yako inavyokuwa kubwa zaidi, ndivyo malipo yako yanavyokuwa makubwa zaidi. Kwa bahati fulani, unaweza kulenga malipo makubwa kiasi kwa kutumia parlays kuunganisha beti nyingi.

Huge winnings on Parimatch

Futures

Hadi hapa, odds zote za kubetia zilizojadiliwa katika makala hii zinahusisha kuweka dau kwenye tukio moja moja katika siku, wiki moja, au mbili. Kama jina linavyopendekeza, futures ni odds unazoweka kwenye matukio yajayo.

Kwa mfano, unaweza kuweka beti ya Future kwa Simba FC kushinda Ligi ya Mabingwa Afrika CAF katika msimu ujao wa 2023/2024.

Je! Odds Zinafanya Kazi Vipi katika Kubeti?

Kubeti ni sanaa. Hii ndio inatenganisha wale wanaoshinda kila siku Parimatch na wanaopoteza kwingine. Inasisitiza pia namna ya kuweka mipango kimbinu ambako kunaendana na lengo na kuweka mkazo usiotetereka.

Aidha ni kubeti kwenye michezo, kasino, au michezo ya gemu ya mtandaoni, ni muhimu kuelewa jinsi odds zinavyofanya kazi. Ni rahisi tu kama hivyo. Hapa ndipo tunapoingilia kati kwa sababu tunaelewa hitaji la kukupa mwanga juu ya kuwa mtaalamu kwenye odds za kubetia.

Tunalenga kukupa uwezo wa kusoma na kutafsiri miundo mbalimbali ya odds na uweze kufanya maamuzi sahihi kabla.

Ungana nasi kwenye safari hii ya kusisimua, ambapo tunachunguza odds za michezo nje ndani, tunafichua mbinu za thamani, na kushirikisha dondoo za ndani kukusaidia kupiga hatua moja mbele kwenye tasnia hii.

Je! Kwanini Odds Hubadilika?

Aidha wewe ni mwanafunzi au mcheza kamari mzoefu katika matukio ya michezo, ukiwa na jicho makini wakati unapochambua odds za kubetia, jicho hilo litakwambia kwamba odds zinabadilika. Je! Umeshawahi kamwe kujiuliza ni nini kinasababisha odds kubadilika muda hadi muda?

Vizuri, odds za kubetia hubadilika kwa sababu mbalimbali, kama vile matukio halisi wakati wa mchezo, kama kadi nyekundu zisizotarajiwa, majeruhi ambao wanalazimisha mabadiliko ambayo hayakupangwa kwa wachezaji muhimu, na mikwaju ya penati.

Sababu nyingine uhusisha hali ya hewa kabla ya mechi na mshtuko wa kutokuwepo wachezaji fulani kwenye vikosi kutokana na kuumwa ghafla. Pia, marekebisho ya makisio ya pesa ya awali huathiri odds za kubetia.

Hivyo, ni sheria, kuzitazama mara kwa mara, kuzitazama kujihakikishia na kuzitazama tena timu zako ili ufahamu mabadiliko yoyote katika matukio yasiyotabirika kuelekea michezo.

Hivyo Unaweza Kufaidika Vipi kutoka kwenye Odds za Kubetia

Odds za kubetia zinakuweka katika nafasi ya faida. Hii ni kwa sababu tovuti za ubashiri, muda mwingine, hukosea kabisa. Wakati tunahakikishiwa kupata kilicho bora kutokana na kile wanachoweza kutoa, huwa hawako sahihi muda wote.

Bet and win with Parimatch Tanzania

Wachambuzi ni watu pia. Hivyo, kuna mida, wanakosea katika mechi kadhaa. Tovuti za ubashiri hulenga na kuweka nguvu kwenye ligi kubwa na zinazoongoza kufuatiliwa huku zikiweka umakini mdogo au zisiweke kabisa kwenye ligi ndogo na zinazochipukia.

Kunaweza kuwa na makosa, na odds zinaweza zisiwe bora zaidi. Kufahamu wapi pa kuweka beti ni bonasi zaidi.

Bahati hutengenezwa pindi kiwango kikubwa cha pesa kikiwa katika sehemu moja, kitu kinachotengeneza nafasi kwako kubeti na kupata mapato yenye faida. Hii inapaswa kuongezwa kwenye sheria zako za kubeti ambazo haujaziandika.

Hitimisho

Tunavyohitimisha, tunatumaini tumekupa maarifa na hali ya kujiamini kupambana na ulimwengu wa odds za michezo nchini Tanzania. Kumbuka, unabeba ufunguo wa kufungulia uwezo wako wa kushinda!

Tumeangazia kila kitu kutoka kuzielewa aina tofauti tofauti za odds hadi kukokotoa malipo yanayowezekana. Lakini maarifa pekee hayatoshi. Kufanyia kazi kile ulichojifunza na kufuata mbinu yenye nidhamu kwenye jitihada zako za kubeti ni muhimu.

Unavyoianza safari yako ya kubeti, kumbuka kwamba mafanikio uhitaji mbinu, utafiti, na kiasi kidogo cha bahati nzuri. Pata habari kuhusu taarifa za hivi karibuni za timu, chambua kiwango au uchezaji uliopita na chunguza data za kitakwimu zilizopo.

Kufanya hivyo kunakufanya ufanye maamuzi sahihi na kuwa mbele ya tasnia. Daima kumbuka kwamba kubeti kwa kiasi na nidhamu ndio msingi wa uzoefu wa kuridhisha kwenye kubeti. Jiwekee vikomo, simamia salio lako la benki kwa busara, na kamwe usiweke pesa kubwa zaidi ya ile unayoweza kumudu kuipoteza.

Asante kwa kujiunga Parimatch kwenye safari hii. Beti zako zijazo zijazwe na msisimko, kuridhika, na, bila shaka, shindi nono. Beti kwa furaha!

Jifunze Zaidi:

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je! Odds za michezo ni nini?

Odds za michezo zinawakilisha uwezekano wa tukio kutokea katika tukio la michezo. Zinaashiria malipo yanayowezekana unayoweza kupokea ikiwa beti yako itafanikiwa. Kwa kawaida odds huwekwa katika miundo tofauti tofauti, kama vile desimali, sehemu, au moneylines.

Je! Ninasoma vipi odds za desimali?

Odds za desimali zinawakilisha jumla ya kiasi utakachopokea, ikihusisha dau lako la awali, ikiwa beti yako itashinda. Kwa mfano, kama odds ni 2.50 na unabeti 10, malipo yako yanayowezekana yatakuwa 25 (10 x 2.50). Ni muundo rahisi kuuelewa unaotumika sana katika nchi nyingi, ikihusisha Tanzania.

Je! Odds za sehemu ni nini, na ninazitafsiri vipi?

Odds za sehemu kwa kawaida hutumika nchini Uingereza na huwakilishwa kama sehemu, kama vile 2/1 au 5/2. Namba ya kwanza huonesha faida inayowezekana unayoweza kutengeneza, wakati namba ya pili huwakilisha dau linalohitajika. Kwa mfano, kama odds ni 2/1 na unabeti 100, faida yako inayowezekana itakuwa 200 (100 x 2).

Je! Ninakokotoa vipi uwezekano unaopendekezwa kutoka kwenye odds?

Ili kukokotoa uwezekano unaopendekezwa kutoka kwenye odds, gawanya 1 kwa odds zilizo katika desimali. Kwa mfano, ikiwa odds ni 2.50, uwezekano unaopendekezwa utakuwa 0.40 au 40%. Inakusaidia kufahamu uwezekano wa matokeo kulingana na odds zilizotolewa.

Je! Ninaweza kukokotoa shindi zangu zinazowezekana kwa odds za moneyline?

Unaweza kukokotoa shindi zako zinazowezekana kwa odds za Moneyline. Odds pendwa za moneyline huonesha faida inayowezekana unayoweza kutengeneza kwa dau la 100, wakati odds hasi za moneyline huwakilisha kiasi unachohitaji kubeti kushinda 100. Kwa mfano, odds pendwa ya +200 inamaanisha unaweza kupata faida ya 200 kwa beti ya 100. Kumbuka, odds zinaweza kutofautiana kati ya tovuti za ubashiri, hivyo daima inashauriwa kulinganisha odds na kuchagua zile zilizo rafiki kwa ajili ya beti zako.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.