Likija kwenye swala la michezo ya kubashiri lazima upangilie kila kitu mapema, lazima ujifunze historia za timu husika na ubora wa wachezaji, kupitia takwimu mbalimbali. Kuna mbinu nyingi za kubeti lakini hapa utajifunza kuhusu nadharia ya zig-zag, kama hujawahi kuisikia mbinu hii leo ni nafasi yako kujifunza kitu kipya. Huwezi jua inaweza ikawa mbinu itakayokuwa inakupa ushindi.
Yaliyomo
Nadharia ya zig-zag ni nini kwenye michezo ya kubashiri?
Nadharia ya zig-zag ni maarufu sana kwenye NHL na NBA na hua inasema: timu ikipoteza mchezo, inabidi uipe ushindi kwenye mchezo unaofuatia.
Ukiwa shabiki wa NHL au NBA kuna uwezekano mkuwa umeshaisikia kuhusu mbinu hii. Hivyo basi mbinu hii mara nyingi hutumika kubeti kwenye hockey au kikapu kwa sababu michezo yote inatumia mfumo wa mtoano.
Nadharia ya zig-zag inafanyaje kazi?
Kwa urahisi tu, matokeo ya kila mchezo yanategemeana na matokeo ya mchezo uliopita, Hivyo basi mbinu hii inakutaka uipe ushindi timu iliyopoteza mchezo uliopita kwa kuwa ndiyo yenye nafasi kubwa ya kuibuka kidedea.
Lakini hautakiwi kufuata mbinu hii ukiwa umefunga macho. Lazima ukumbuke kuwa kabla ya kuweka mikeka yoyote lazima ujiridhishe kwa kuangalia mambo yafuatayo, ubora wa timu zote mbili, historia yao ya ushindi, n.k. Iwapo timu ote ziko zawa kwenye kila kitu mara nyingi kupoteza mchezo kunafuatiwa na ushindi.
Mbinu hii ya nadharia ya zig-zag inatumika sana kubeti kwenye michezo ya NHL na NBA, michezo hii inafanan kwa kufuata mfumo wa mtoano.
Kwanini mara nyingi nadharia ya zig-zag inafanya kazi? Siri kubwa ipo kwenye saikolojia,timu iliyofungwa inakuwa na uchu wa ushindi zaidi kuliko timu iliyoshinda mchezo uliopita. Sababu nyingine ni kuwa kwenye kiwanja cha nyumbani kunakuwa na mzuka wa tofauti.
Je, mikeka ya zig-zag ina faida? Ipi ndio faida kubwa zaidi ya kucheza kwa mbinu hii ya kubeti? Kama tulivokwisha kusema awali ukifuata mbinu hii kwa kufumba macho unaweza kupoteza nafasi yako ya kushinda. Kwa urahisi tu unaweza usitengeneza faida kubwa sana kwenye mbinu hii ila zipo namba unaweza kupata faida kubwa.
Kwa ufupi, nadharia hii hutumika kwenye michezo ya mtoano ambayo inafahamika kama “faida ya kuwa nyumbani” maana yake, timu husika ina uwezekaano mkubwa wa kushinda ikiwa kwenye uwanja wa nyumbani na ni kweli kwa kuwa takwimu zinaonyesha kwenye NBA timu ya nyumbani ina uwezekano wa kushinda kwa 65%.
Lakini inakubidi uwe makini mara nyingi mzuka wa mchezo husika unaweza kuadhiri matokeo hivyo lazima uwe makini kufuata mbinu hii.
Nadharia ya zig-zag kubeti kwenye NBA
Sasa, kwa kuwa tayari umeshajua jinsi ya kutumia mbinu hii ya kubeti, tujifunze sasa inaweza kutumikaje kubeti na kushinda kwenye NBA, faida ya kuwa nyumbani ndiyo kigezo kikubwa cha matumizi ya mbinu hii, tunamaanisha nini hapa, mfano: timu moja ikipoteza 0-2 kwenye mzunguko ikiwa ugenini ni lazima ikipaa nafasi kucheza nyumbani, wajaribu kadri wawezavyo kupindua matokeo kwenye mchezo wa 3, uwezekano za wao kushinda zinakuwa kubwa zaidi.
Timu ya ugenini ikishinda kwenye mchezo husika kuna kuwa na uwezekano mkubwa kwa timu ya nyumbani kushinda mchezo unaofuatia, ikitokea tim yenye nguvu zaidi imeshinda michezo miwili mfululizo ni bora zaidi uendelee kuwapa ushindi.
Unataka kujifunza zaidi kuhusu kubeti kwenye NBA? Soma makala ifuatayo jinsi ya kubeti kwenye kikapu.
Nadharia ya zig-zag kubeti kwenye NHL
Likija swala la kubeti kwenye NHL, huwa haijalishi sana timu zinachezea wapi.Ila kuwa nyumbani badi kuna faida kubwa sana,hapa mbinu ya kucheza inakuwa hivi: timu ya nyumbani ikishinda mchezo husika timu inayofuatia ina faida kubwa ya kushinda mchezo unaofuatia lakini sio kwamba ni uhakika itakuwa hivi, kwa kutumia uzoefu timu ikifungwa michezo 0-2 huwa ni kawaida kushinda mchezo wao wa nyumbani unafuatia.
Lakini kuna kitu pia lazima ukiweke kichwani, usidharau timu yoyote ya mchezo wa magongo iliyopoteza michezo miwili au mitatu iliyopita. Wanaweza kufanya vizuri sana kutokana na presha kutoka kwa mashabiki wao, watu wengi huwa hawazibeti timu zilizopoteza michezo mingi lakini hii inaweza kukupotezea nafasi ya kushinda mshiko mwingi.
Kuzidi kujiongezea nafasi za kushinda kwenye NHL, soma makala hii jinsi ya kushinda kwenye hockey.
Nini cha kuzingatia kuhusu nadharia ya zig-zag?
Nadharia ya zig zag imetawaliwa na hesabu za uwezekano na takwimu za kihistoria. Lakini kuna vitu vingine muhimu vya kuzingatia kwenye nadharia hii. Hivi ni baadhi ya tulivyokuandalia leo.
Historia ya timu
Historia ya timu zote mbili ni kutu muhimu sana cha kujiuliza unakuwa unatumia nadharia hia, Hiki ni kitu cha kwanza unachotakiwa kuangalia kabla ya kuweka mkeka wako ili kuzidi kujiongezea nafasi ya kushinda na nadharia hii.
Takwimu
Hiki ni kitu kingine cha muhimu sana kuangalia kabla ya kuweka mkeka wako na kujitengenzea mazingira mazuri ya kuzidi kushinda na kupata faida kubwa, kwa kuangalia takwimu unaweza kujua ubora wa timu husika na ubora wa mchezaji mmoja mmoja.
Wachezaji walioko nje kwa adhabu
Hiki ni kigezo kingine muhimu cha kuzingatia unapokuwa unatumia mbinu, wachezaji muhimu wanapokuwa nje kutumikia adhabu, huadhiri matokeo ya timu, lazima uzunguke mtandaoni kutafuta takwimu za timu husika inaadamwa na adhabu.
Majeraha
Hata kama wewe sio mzoefu wa kubeti lazima uelewe hili jamba vizuri, kabla ya mchezo kwanza lazima ukague timu zote mbili kuhakikisha hakuna majeraha yoyote kwenye timu zote mbili, yaani ukichukua muda kidogo kugoogle kunaweza kukuokolea hela nyingi sana. Majeraha hayaepukiki kwenye michezo na yanaweza kuharibu mikeka yako.
Mzuka wa timu
Kufuatilia takwimu za timu zote mbili ni kitu muhimu, lakini lazima uangalie mzuka wa timu yenyewe kiujumla. Hapa tunamaanisha morali ya timu inaingia kwenye mchezo husika ipoje? Hapa unaweza kuangalia timu nzima inavyoelewana.
Soma zaidi:
- Reverse Line Movement Ni Nini?
- Push Humaanisha Nini Katika Kubeti Michezo?
- Kubeti Dhidi ya Umma: Jinsi ya Kutumia Mkakati Huu
- Kubeti Dhidi ya Spread Ni Nini?
- Faida ya Timu Iliyopo Nyumbani: Ni Kitu Gani Hufanya kuwa Muhimu Sana?
- Kwanini Msaada kwa Wateja kwenye Kubeti Michezo ni Muhimu?
- Jinsi ya Kupata Tovuti Salama za Kubeti Kwenye Michezo
- Jinsi ya Kubeti Kijanjani kwa Kutumia Uniti za Kubetia
- Jinsi ya Kupata Pesa Mtandaoni Tanzania
Kumalizia kuhusu kubeti kwa zig-zag
Kwa ujumla, nadharia ya kubeti ya zig-zag ni rahisi kutumia na haihitaji uzoefu wowote wa kipekee, hata kama ni mbinu rahisi ya kubeti,usifuate mara zote kwa sababu kuna wakati haifanyi kazi na ina ikikakupoteza.
Kama zilivo mbinu nyingine za kubeti, hii pia inaweza kukuongeea nafasi yako ya kushinda zaidi kwenye harakati zako za kusuka mikeka yako, siri ya mafanikio ya kubeti ni uzoefu,utafiti na uelewa.
Ukitaka kujaribu bahati yako ya ushindi kwenye mbinu hii ya kubeti za zig-zag. Pakua Parimatch betting app. Hapa, utpa kila kitu kama unajifunza kubeti au kama wewe tayari ni mzoefu.