Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kwa Kubeti Kwenye Mchezo wa Magongo

Mchezo wa magongo sio maarufu kama ilivyo soka au rugby, lakini bado ni mmoja kati ya michezo maarufu dunianani, hasa Canada na Marekani. Kwa wapenzi wa michezo ya msimu wa barafu, huu mchezo unavutia zaidi kwa kuwa unatumia nguvu, kasi na na mbinu nyingi mno, Parimatch inakueletea michuan yote ya mchezo huu wa magongo kiganjani mwako.

Uwepo wa app ya kubeti ya Parimatch, mashabiki wa mchezo wa magongo nchini Tanzania wanapata fursa ya kubeti kwenye michuano mbalimbali ya mchezo wa magongo, iwe live au kabla ya mchezo kuanza kwenye viganja vyako.

Kwa kujisajili kuanza kucheza na Parimatch, inamaanisha unakuwa umejinga na mafundi wote wa kuziona fursa na kuzitumia ipasavyo maana yake utapa nafasi ya kufurahia michuanao yote ya michezo ya magongo, kuanzia wingi wa masoko, ukubwa wa odds, michuano mingi, Parimatch inakualika kwa mikono miwili kwenye jukwaa lake la kibabe na wewe uanze kufaidi ushindi mkubwa na kila siku.

Sio tu hivo bali, lakini timu ya mafundi wa Parimatch wako tayari kukupa mbinu na tips mbalimbali za kucheza na kushinda kwenye mchezo wa magongo kila siku na kukupa maelekezo ya maneno na misemo yote migumu inayotumika kwenye mchezo wa magongo.

Sasa, unasubiri nini? Jisajili bure sasa kuanza kucheza na Parimatch kwa kuteneneza akaunti yako sasa ili uweze kupata nafasi ya kubeti kjweny michuano yote mikubwa na masoko yote ya kijanja ndani ya Parimatch.

Kubeti kwenye Mchezo wa Magongo ni Nini?

Mchezo wa magongo ni tofauti kidogo na michezo mingine kama soka, inaweza ikawa ngumu kidogo kuelewa jinsi ya kucheza kwenye mchezo huu wa kwenye barafu, lakini kwa bahati nzuri tumekuandalia utaratibu na mbinu zote unazohitaji kuanza kubeti kwenye mchezo huu.

Historia Fupi ya Mchezo wa Magongo Kwenye Barafu

Mchezo wa magongo kwenye barafu ni maarufu zaidi nchini Canada na Marekani,ligi maarufu zaidi mchezo wa magongo duniani ni National Hockey League (NHL),licha ya kuitwa ligi ya kitaifa lakini ina timu zaidi ya 30 kutoka nhi mbili tofauti. Kwa msimu mmoja kila timu kwenye ligi ya NHL inacheza michezo zaidi ya 82; 41 ikichezwa nyumbani na mingine 41 ikichezwa ugenini,kukiwa n michezo ya kutosha wataalmu wa kusuka mikeka wanapat fursa ya kubeti kwenye michezo mingi.

Juu ya NHL, mashindano mengine maarafu ya mchezo wa magongo kwenye barafu ni ni michuano y dunia ya IIHF, kombe la dunia la hockey, na michuano ya ulaya ya Ice hockey, michuano ya mcheoz wa magongo pia upo kwenye michezo ya Asia na Olympics, vile vile kuna michuano mingine maarufu ni Kontinental Hockey League (KHL) na Swedish Hockey League.

Mchezo wa magongo kwenye barafu unajulikana kwa kuwa mmoja kati a mchezo wenye spidi zaidi ya michezo yote duniani, hii ni kwasababu ya mchezo huu unahusihsa kuteleza kwenye barafu, mchezo huu unahitaji spidi na ubora wa hali ya juu, mchezo huu ni maarufu zaidi Maekani na Canada lakini pia unakuwa kwa kasi ya hali juu Ulaya kaskazini na mashariki

Masoko ya mchezo wa magongo kwenye barafu

Mchezo huu unazidi kupata umaarufu na ndivyo hivyo masoko yake yanavozidi kutanuka, hii inaweza kuonekana kwenye App ya Parimatch wateja wetu wanapatafursa ya kucheza kwenye masoko mengi mno yaliyoandaliwa kwajili yao. Wateja wetu wanafaidi kucheza live huku wakiangalia mchezo husika mubashara.

Ndani ya Parimatch, kuna masoko ya kutosha kuanzia 1X2 hadi Draw No Bet, soko la Draw No Bet linamaanisha unaweza kubeti kwa timu yoyote kushinda lakini pasiwe na draw, 1X2 inamaanisha unabeti kwa timu moja au nyingine kushinda au zitoke sare. Parimatch inakupa fursa y kubeti kwenye hatua zote kuanzia kwenye ligi na kwenye michuano mbalimbali, ikihusisha michuano ya kimataifa, mashindano ya dunia ya michezo ya magongo.

Mashabiki wa michezo ya magongo kwenye barafu wanaweza kufurahia aina nyingine ya kubeti kwenye tovuti ya Parimatch, kuanzia kwenye nani atafunga bao la ufunguzi hadi , timu zote kufungana, matokeo sahihi ya mchezo, kuna nafasi nyingi kwa mtu yoyote kucheza na kushinda hata kama ndiyo anajifunza.

Nini kinakuchelewesha kucheza na kushinda sasa? Pakua app yetu ya Parimatch uanze kufaidi kucheza na kushinda kwenye michezo ya magongo, kukiwa na michezo a michuano mingi kuliko kwingine kokote barani Afrika, tunaamini hatuwezi kukuangusha.

Jinsi ya Kusoma Odds Kwenye Mchezo wa Magongo Kwenye Barafu

Ukitaka kuweka odds za mchezo huu wa magongo kwenye barafu na Parimatch ni lazima ujue jinsi mfumo mzima wa uwekaji wa odds unavyokaa. Kuna aina nyingi za upangaji wa odds kutegemeana na kampuni husika, kuna aina ya fractions na aina ya pili ya kimarekani, kwa bahati nzuri ukicheza na Parimatch utatumia mfumo mzuri zaidi wa odds unaoitwa -odds za decimali.

Decimal odds not only make it simple to understand how much you can win if your prediction pays off, this format of odds also demonstrates the implied probability that your bet will pay off.
Mfumo wa odds za decimali unakuwezesha kucheza kiurahisi na kujua kwa urahisi kabisa kiwango utakachoshinda kwa kuangalia odds.

Namna ya Kutumia Odds za Mchezo Wa Magongo kwa Faida yako

Uwezekano mkubwa wa timu kushinda unategemeana na odds walizopewa na bookmaker, na mara nyinyi bookmaker hawezi kuweka odds bila kufanya utafiti vizuri wa kujua historia ya timu mbili zinazocheza, refa wa mchezo pamoja na pmaoja na takwimu nyinyine muhimu zinazoweza kutumika kutabiri matokeo ya mchezo husika.

Ni rahisi sana kujua kiwango cha fedha utakachoshinda kwa kutumia odds za decimali kwa kukotoa unawea kujua ni kwa asilimia ngapi una uwezekano wa kushinda, ni lazima kujua kuwa kila kitu kukiwa sawa kuna uwezekano unaweza kushinda kwa asilimia 100 wala hata ushishangae. Hilo sio kosa kila kitu kiko sawa.

Kukokotoa uwezekano wa kushinda ni rahisi zaidi ukicheza na Parimatch, unagawanya odds za decimali kwa 100, mfano tuchukulie huu mchezo wa magongo kati ya Canada na Germany.

How to make bet on Ice hockey

Kwa kuanza kabla ya kujua timu gani ina uwezekano mkubwa wa kushinda, unaweza tu kuangalia ukubwa wa odds za timu husuka kujua kama ina uwezekano mkubwa wa kushinda au la, odds zikiwa kubwa hii inamaanisha timu hiyo ina uwezekano mkubwa wa kushinda, oods zikiwa ndogo naaamanisha timu hiyo inapewa uwezekano mdogo wa kushinda, kwa hapa odds kubwa ziko kwa Ujerumani hivyo wana uwezekano mdogo wa kushinda na Canada wana odds ndogo hivyo wanapewa uwezekano mkubwa wa kushinda.

Sasa ngoja tufanye mchanganuo kuona uwezekano wa wewe kushinda kwa kubeti kwenye, Canada amepewa odds 1.07 kama ukiamua kugawanya kwa 100 utapata asilimia 93% kwa Canada kushinda, sasa ngoja tuwaangalie Ujerumani wakiwa na odds 20.00, hivyo basi Ujerumani ana uwezekano wa kushinda kwa asilimia 5% tu, kwahiyo Ujerumani9 ndiyo timu ndogo hapa.

Ngoja tutumie mfano wa timu zingine ambazo zina ubora unaofanana, tutumie mfano ufuatao

How to make bet on Ice hockey

Kwenye mfano huu odds zinaendana kwa ukaribu zaidi, odds ni kubwa zaidi kwa Finland kushinda zaidi ya USA, hii inamaanisha kuwa kuna uwezekano mkubwa zaidi wa USA kushinda mchezo huu kuliko Finland, ngoja tufanya mahesabu mahesabu tujue ni kwa asilimia ngapi USA ana uwezekano wa kushinda mchezo huu.

USA ina odds 2.02. Ukigawanya kwa 100 hii inakupa matokoe kuwa USA wana uwezekano wa kushinda kwa asilimia 49.5%, sasa turudi kwa Finland na tujue wao wanapewa asilimia ngapi za kushinda mchezo huu, wakiwa na oddss 2.95 ukigawanya kwa 100 unapata asilimia 39%, cha kuvutia zaidi kwenye mchezo huu ni kwamba timu zote ziko vizuri kiasi kwa kuna utofauti wa asilimia 10% ya tofauti ya kushinda, na tukiendelea kufanya mahesabu yetu utaweza kujua kwamba kuna uwezekano wa asilimia 24% kwa timu hizi kupata sare.

Kutumia Odds za Mchezo Wa Magongo Kujua Kiwango Cha Faida Utakachopata

Odds za Decimali sio tu zinarahisisha kujua ni timu gani ina uwezekano mkubwa wa kushinda lakini pia zinakusaidia kujua ni kiwango gani utachoshinda na pia kuweza kujua kiwango cha faida utakachopata

Kama tulivoona hapo juu, timu yenye uwezekano mdogo wa kushinda inapewa odds kubwa na hii inakupa nafasi ya kushinda dau kubwa huku ukiwa na uwezekano mkubwa wa kupoteza fedha zako, Kupata faida unazidisha dau lako kwa odds kisha unatoa dau lako la awali kujua faida uliyopata.

Chukua huu mfano wa Sweden dhidi ya Czech Republic:

How to make bet on Ice hockey

Kama unavoona Sweden ndiye anapewa uwezekano mkubwa wa kushinda mchezo huu kuliko Czech Republic. Hii inamaanisha ukiwapa ushindi timu kubwa utashinda na kupata faida kubwa kuliko ukiwapa ushindi timu ndogo na timu ndogo ikashinda.

Embu fikiria ukibeti TZS 10,000 kwa Sweden kushinda, utakuwa na uwezekano wa kushinda mkeka huu kwa asilimia 58%. Kama Sweden watashinda utakuwa umeshinda 17,300 TZS. ukitoa 10,000 TZS, utakuwa na faida ya 7,300 TZS.

Lakini sasa embu fikiria ukiwa umebeti Czech Republic kushinda wakiwa na odds 3.65. Utakuwa na asilimia 27% ya kushinda mkeka huu. Hivyo basi kama Czech Republic wakishinda utapata ushindi wa 36,500 TZS na ukitoa ile 10,000 TZS ya dau lako la awali faidia yako itakuwa 36,500 TZS

Jinsi ya kuweka Mkeka Kwenye Mchezo Wa Magongo

Handicap ni staili ya kubeti ambayo hutumika na wazoefu wa mikeka, kwa kutumia Handicap unasawazisha au unatengeneza uswa kwa timu zote mbili zinazocheza, Handicap hutumika zaidi kukiwa kuna tofauti kubwa ya ubora kati ya timu kubw na ndogo za kwenye mchezo husika, kwa kucheza hanicap maana yake unaipa nafasi timu kubwa kushinda au unaipa timu ndogo uwezekano wa kupindua matokeo kwa kutumia faida wanayopata kwenye soko la Handicap.

Kwenye mchezo huu wa magongo Handicap hutumika kwa kuip-a timu ndogo magoli mengi zaidi kabla ya mchezo kuanza, hivyo basi baada ya mchezo unajumilisha au kutoa matokeo a Handicap kutegemeana na kiwango ulichoweka.

Ngoja tutumie mfano mwingine tena kati ya Detroit Red Wings dhidi ya Carolina Hurricanes, ambapo timu ya pili ndiyo ina uwezekano mkubwa wa kushinda, Hizi ni baadhi ya odds za Handicap:

1 (+1) 1.80 2 (-1) 2.01
1 (-2) 7.00 2 (+2) 1.01
1 (-1.5) 4.70 2 (+1.5) 1.15
1 (-1) 4.20 2 (+1) 1.18
1 (+1.5) 1.58 2 (-1.5) 2.28
1 (+2) 1.38 2 (-2) 2.90
1 (+2.5) 1.30 2 (-2.5) 3.30
1 (+3) 1.15 2 (-3) 4.70
1 (+3.5) 1.12 2 (-3.5) 5.50

Kwanza, ni muhimu kujua na kuelewa jinsi ya kusoma handicap bets. Namba nje ya mabano inawakilisha mshindi wa mechi. A “1’’ inawakilisha timu ya nyumbani(iliyoandikwa ya kwanza), kwa upande ‘’2’’ inawakilisha timu ya ugenini, ambayo ni Carolina Hurricanes.

Namba ndani ya mabano zinawakilisha handicaps zinazowakilisha magoli ya ziada yaliyowekwa (namba ikiwa a ‘’+’’) au kuchukuliwa kwenye timu (namba ikiwa a ‘’-’’).

Tuseme umeweka umebeti 10,000 TZS kwa Carolina Hurricanes kushinda hata kama goli moja litatolewa kwenye matokeo yao ya mwisho, sasa tufikirie walishinda kwa 4:2 baada ya kutoa goli moja ushindi wao bado utabaki 3:2. Utashinda 20,100 TZS ambapo faida yako itakuwa 10,100 TZS.

Lakini kama matokeo ya kweli yakiwa 3:2, itabadilika na kuwa sare ya 2:2 baada ya goli la Handicap kutolewa. Hivyo basi utakuwa umepoteza mchezo huu.

Jinsi ya Kubeti kwa Witiri/Shufaa kwenye Mchezo wa Magongo

Odds/evens ni staili flani ya kawaida ya kubeti ambayo haihusishi sana ufundi bali inategemeana na bahati ya muhusika mwenye hapa, kwasababu mbinu hii haihitaji kujua takwimu au historia za timu husika hivyo hata odds zake huwa ni ndogo na zinaendana kwa udogo.

Jinsi ya Kubeti Kupitia Mfumo wa Pointi kwenye Mchezo wa Magongo.

Mfumo wa Pointi ni kuzingatia utofauti wa matokeo ya ushindi yanayopatikana kwa timu iliyoshinda, kwa maneno mengine, bookmaker anakupa pointi ambazo timu flani ina uwezekano wa kushinda nazo, kisha anakupa nafasi ya kubeti kutokana na pointi hizo

Kwahyo hapa unakuwa haubashiri tu ni timu gani itashinda bali unakuwa unabashiri ni timu gani itashinda na itashinda kwa tofauti ya pointi ngapi? Soko hili ni gumu sana kwasababu mara nyingi timu hazitaofautiana sana kwa matokeo

Ngoja tuangalie matokeo ya mchezo huu kati ya Finland na USA:

Finland by 2 8.80 Finland by 3+ 8.60
USA by 1 6.00 Finland by 1 7.00
USA by 3+ 4.50 USA by 2 6.20

Kama unavoona odds zimewekwa kwa timu itakayoshinda na kwa idadi ya pointi ambayo timu hiyo itakayoshinda nayo, kwa mchezo huu inaonekana matokeo yatakuwa yakukaribiana sana kati ya timu hizi mbili, odds zio kubwa sana kwa timu mo0ja kuliko kwa timu ninyine lakini kama utakuwa umegundua odds zinaongezeka kutokana na odds kuwa kubwa zaidi

Fikiria ukiwa umeweka dau la 10,000 TZS na ukabeti kuwa Finland watashinda kwa magoli mawili. Odds za haya matokeo kutokea itakuwa 8.80, maana yake utakuwa kama na asilimia 11% za hili kutokea, hata hivyo matokeo ya mwisho yalikuwa 5-3 kwa Finland, utalipwa 88,000 TZS, na hii itakupa faida ya 78,000 TZS. lakini USA wangefunga goli moja la ziada na matokeo yakawa 5-4, utakuwa umepoteza japo kwenye matokeo ya mwisho utakuwa umeshinda.

Kwasababu hii wataalamu wengi wanaobeti kwenye mchezo huu wa magongo wanapenda kucheza mechi ikiwa live baada ya kuusoma mchezo na kuweza kutabiri matokeo kwa usahihi mkubwa zaidi

Mbinu na Tips za Kubeti Kwenye mchezo wa Magongo

Kama ilivo kubeti kwenye michezo mbalimbali, kujua mbinu na mifumo unayoweza kutumia kubeti na kushinda inasaidia kupata uelewa mkubwa zaidi wa kubeti na kushinda, Hii itakusaudia kujua ni aina gani ya mikeka unatakiwa uweke kubeti na kushinda, moja ya jambo la muhimu zaidi la kuzingatia ni takwimu mbali mbali za mchezo na historia za timu husika.

Hii ni baadhi ya mbinu na mifumo inayotumika na mafundi kibao wanaocheza na Parimatch

 • Kubeti Kwenye Magoli

Mashabiki wengi wa Ice Hockey wanapenda kubeti kwenye magoli, hii ni kwasababu ya ufanano wake na soka, unaweza kubashiri idadi ya magoli itakayofungwa kutegemeana na matokeo yaliyopita, timu nyinyi haziwezi kufunga magoli zaidi ya sita au sabab kwenye mchezo mmoja, mara nyinyi huwa ni vigumu sana kwa timu yoyote kupata idadi kubwa ya magoli zaidi ya hii, timu mbili zenye ubora mkuba zikikutanan basi uwezekano wa kupata magoli mengi zaidi unakuwa mkubwa, mafundi wengi wa kubeti kwenye mchezo wa magongo wanapenda kucheza jumla ya magoli mwisho wa mechi au over na under. (kutegemeana na mkeka wako)

 • Faida ya kuwa Nyumbani

Kama ilivo kwenye michezo mingine yote faida ya kuwa nyumbani ina msaada mkubwa sana au inachangia upatikanaji wa matokeo ya aina fulani, wakati fulani timu bora ndo huwa na timu iliyoko nyumbani, kwahyo kwenye michezo karibia yote adhari ya kuwa nyumbani huwa inaonekana kwa timu ya ugeneini kuwa na nafasi ndogo ya kupata matokeo ya ushindi basi ndivyo hivyo hivyo kwenye mchezo wa magongo, lazima uzingatie kuangalia timu gani inacheza nyumbani kwenye kutafuta matokeo na kupanga mikeka yako.

 • Fanya Utafiti wako na Kuzijua Takwimu Kwa Umakini Zaidi

Kuadhibiwa kwa timu husika ni kitu cha kawaida sana kwenye mchezo wa magongo, hapa mchezaji anaweza kuwekwa nje kwa adhabu iliyotokana na utovu wa nidhamu, hii haina tofauti kubwa na kupewa kadi nyekundu kwenye soka, timu yenye uwezo wa kucheza wakiwa pungufu na kupata matokeo zinakuwaga timu chache, hivyo ni vizuri kuchagua timu ambayo haina wachezaji waliopumzishwa kwasababu za utovu wa nidhamu.

 • Lazima Kuangalia Rekodi ya Nyumbani na Ugenini

Ukiwa unafanya uchunguzi wako wa kutafuta matokeo ya ushindi au kutafuta ni wapi au ni timu gani uipe ushindi ili uweze kufanikisha kushinda kwenye mkeka wako ni vizuri kuangalia rekodi ya matokeo ya nyumbani na ugenini, kuna baadhi ya timu haziwezi kupoteza mchezo zikiwa nyumbani na kuna zingine zinapata wakati mgumu sana zikienda kucheza ugenini,kuna wakati unaweza kukuta timu iko chini sana kwenye msimamo wa ligi hivyo wanaweza kushinda wakiwa ugenini.

Tofauti ya Kubeti Kabla ya Mechi Kuanza na Kubeti Mechi Zikiwa Zinaendelea

Kwa kuendeleza nia yetu ya dhati ya kutengeneza fursa pana za watu kuzidi kubeti na kutengeneza mshiko wa ktosha kupitia kubashiri kwenye michezo mabalimbali, Parimatch inakuwezesha kuweka mkeka wako kabla ya mchezo kuanza na kubeti pia mchezo ukiwa unaendelea, odds hazibadiliki mchezo ukiwa haujaanza ila hubadilika mchezo ukiwa Live.

Kubeti Kabla ya Mchezo Kuanza

Kubeti kabla ya mchezo kuanza kunakuwekezesha kutengeneza mkeka wa kueleweka na kukupa nafasi kubwa ya kushinda zaidi, kabla hujaweka mkeka wako,odds za kubeti kabla ya mchezo kuanza zimewekwa kuendana na timu gani ina uwezekano mkubwa wa kushinda kutokana na uzoefu wake na uwezekano wake wa kushinda. Vitu muhmu vyakuzingatia kabla ya kuweka mkeka wako ni kama, ubora wa hivi karibuni, matokeo ya nyumbani na ugenini, ushindnai baina ya timu husika, majeraha na kadhalika.

Kitu kingine muhimu cha kujua kabla ya kubeti ni kwamba odds hazibadiliki, ukiweka mkeka wako kabla ya mechi kuanza basi odds zitabaki hivo hivo hadi mchezo utakapoisha haijalishi kama kutatokea tukio lingine lolote la kushtukiza.

Mfano kwenye mchezo huu wa Finland na Italy:

How to make bet on Ice hockey

Kama unavoona Italy ndiye anaonekana ana uwezekano mkubwa zaidi wa kupoteza mchezo huu akiwa na asilimia 4% tu za kushinda mchezo huu, umeweka mkeka wa 10,000 TZS kwa italy kushinda kwa odds 25.00%, japo mkeka huu ni wa kutmanisha lakini kuns uwezekano mdogo kwa matokeo haya kuwa kweli

Lakini fikiria kama mchezaji mmoja wa Finland akitolewa kwa kadi nyekundu kwa utovu wa nidhamu, itakuwa kuna uwezekano mkubwa zaidi kwa Italy kushinda mchezo huu, kwasababu kama hii odds za mchezo huu zitashuka kwa Italy kushinda lakini ukiwa umebeti kabla ya mchezo kuanza hautadhirika kwa namna yoyote ile.

Kwa ufupi chochote kile kichakachotokea kati kati ya mechi hakitaweza kuadhiri matokeo ya mchezo kwa namna yoyote ile, odds ulizobetia kabla ya mchezo kuanza utalipwa nazo hivo hivo

Kubeti Live Kwenye Mchezo Wa Magongo

Kubeti live ni kuweka mkeka wako wakati mechi ikiwa inaendelea, kipenga cha kwanzaa mchezo kikipulizwa tu basi hapo hapo unaweza kwanzaa kuweka mkeka wako.

Kubeti Live kuna utofauti kidogo na kubeti kabla ya mchezo kuazna kwani utakuwa unabeti wakati mechi ikiwa inaendelea, hivyo hapa unaachana na takwimu za zamani na unakuwa unaangalia mchozulioko mbele yako na unaweza kutabiri kwa kuangalia unachokiona mbele yako, kwa watu wanaokuwa wanaoangalia mchezo husika mubashara basi wana uwezekano mkubwa wa kushinda kwa kubeti live

Tofauti na kubeti kabla ya mchezo kuanza ambapo odds hazibadiliki mchezo mzima, ukibeti wakati mchezo ukiwa unaendelea basi odds huwa zinabadilika hapa kutokana na kinachoendelea kwenye mchezo wenyewe, hii inamaanisha timu inawezekana kupunguza uwezo wake wa kushinda kwa kuumia au kutolewa kwa mchezaji wao muhimu kwasababu mbali mbali na wewe unaweza kubeti kutokana na unachokiona kuliko kutegemea bahati tu.

Kwahyo basi, unachohitaji ili kufanikiwa kwenyekubeti live ni kuweza kutabiri kinachoweza kutokea kwa kuanglia baadhi ya vitu ambavyo vimeshatokea,kwa mfano ukiwa unaangalia mchezo na timu moja inashambulia muda wote kwa kasi ya ajabu basi ni muda wowote tu goli litapatikana, hivyo ni rahisi kuipa timi flani ushindi.,vile vile unaweza kubeti kwenye idadi ya magoli mfano over 4.5 au 5.5 kabla ya magoli kufungwa ili kuweza kupata odds kali zaidi

Jinsi ya Kubeti Kwenye Mchezo Wa Magongo na Parimatch

Parimatch imejizatiti kutoa huduma ya kipekee na kwa urahisi wa hali ya juu kwenye betting app kuhakikisha kuwa watumiaji wetu hawapati shida yoyote kwenye kutumia na kuweka mikeka yao kwenye mchezo huu wa magongo kwenye barafu, kwa kutumia muonekano wetu wa kipekee ni rahisi kuchambua mechi za ushindi na kubeti ushinde sasa, ingia sasa kwenye betting app yetu uanze kufurahia michuano ya kitaifa na kimataifa ya mchezo wa magongo.

Kama tayari umeshawahi kutumia application yetu basi hautapata shida kuanza kucheza na kushinda kwenye mchezo wa mangonhgo kwenye barafu bila tatizo lolote, ukihitaji msaada hii ni baadhi ya kanuni fupi za kutumia kwa faida yako.

 1. Jisajili kuanza kucheza na Parimatch kwa kubofya kitufe cha “Sign Up” kwenye kona ya kulia, fuata hatua za urahisi za kujisajili.
 2. Ongeza salio kwenye akaunti yako kupitia M-Pesa au Tigo-Pesa.
 3. Chagua kama untaka kuweka mikeka kabla ya mechi kwanzaa au unataka kubeti live kisha bofya “Sport” kwenye meu au chagua “Live”.
 4. Utakuta orodha ya timu mbalimbali na ligi maarufu kisha bofya “Ice Hockey” kama utapata shida kuchagua ligi unayotafuta tumia filters.
 5. Kurasa hiyo itafungua michezo mbalimbali ya ice hockey kwenye mashindnao husika, chagua mechi unayoitaka kisha weka mikeka yako.
 6. Bofya kichwa cha habari cha mchezo husika itakupeleka ndani ya kurasa ya mchezo husika.
 7. Kwenye kurasa ya mchezo huop utakuta aina mbalimbali ya masoko kuanzia Draw No Bet, total, handicap na mengine mengi.
 8. Ukimaliza kuweka mkeka wako bofya kwenye jamvi lako kumalizia.
 9. Kwenye jamvi lako utakuta masoko yote ulichagua, angalia kisha dhibitisha kama iko sahihi kisha bofya “Place bet”.
 10. Ukitaka kuweka mkeka wa mechi nyinyi rudia hatu namba 3-9 kwa mechi nyinyi kadiri uwezavyo.
 11. Unaweza kubeti kupitia parlay (accumulator) au system kwenye app ya Parimatch, chagua “Parlay” or “System” juu ya mkeka wako.
 12. Kwa parlay angalia kama mkeka wakop uko sawa kisha shuka chini kulipia mkeka wako.
 13. Kuweka kwa mfumo wa system bofya kitufe cha betslip, hakikisha mkeka wako kama uko sahihi kisha shuka chini kuweka daun lako na bofya “Place bet”.

Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:

Mwisho

Parimatch imejizatiti kuhakikisha wateja wao wote wanapata fursa kubwa ya kucheza na kubeti kwenye michuano mingi kadri iwezekanavyo, hii ndio maana jukwaa la Parimatch lina michezo kibao kwajili ya wateja wake wote, japo mchezo wa magongo sio maarufu zaidi duniani ila bado unajulikana sana kwa watu wa America ya kaskazini na Ulaya.

Kama wewe ni mpenzi wa mchezo huu basi hii ni bahati yako kwani Parimatch inakupa fursa ya ya kufurahia options kibao kwenye mchezo wa magongo kama NHL na KHL na kwenye mchezo ya barafu kama vile michuano ya dunia ya mchezo wa magongo

Haijalishi uwe na staili gani ya kubeti, Parimatch inakupa fursa ya kubeti kwenye michezo yote kuanzia kwenye masoko marahisi kama “Both teams to score’, odds/evens, na moneyline bets – na masoko magumu kwa wachezaji wazoefu kama total na handicap au matokeo kwa usahihi.

Kwa ufupi, kama wewe ni shabiki wa mchezo wa magongo na unahitaji sehemu ya kubeti bila usumbufu kwenye kiganja chako ndani ya Tanzania na Africa kiujumla basi Parimatch ndiyo mahala sahihi, Jisajili sasa kuanza kubeti na app ya Parimatch kwenye michezo mbalimbali ya mchezo wa magongo.

Maswali ya Mara kwa Mara

Jinsi ya kuweka mkeka kwenye mchezo wa mpira wa magongo kwenye barafu?

Kuweka mkeka kwenye mpira wa magongo kwenye barafu ukitumia Parimatch utatakiwa kufanya hivi;

 • Jisajili kwa kujiunga Parimatch na kuweka pesa kwenye akaunti
 • Kwenye dashibodi yako ya akaunti, amua kama unataka kuweka mkeka wa kabla ya mechi (kupitia menyu ya “Michezo”) au mkeka wa moja kwa moja (kupitia menyu ya “Michezo ya Moja kwa Moja”).
 • Baada ya kuchagua chaguzi za kwenye menyu, utawasilishwa na uteuzi wa michezo, chagua Mpira wa Magongo kwenye Barafu na utumie chaguzi za vichujio ili kuchagua ligi unayoitaka.
 • Kisha, chagua mchezo unaoutaka kutoka kwenye orodha ya michezo ya magongo kwenye barafu inayopatikana ambayo utaelekezwa sehemu nyingine.
 • Chagua jina la mechi unayotaka ielekezwe kwenye ukurasa wa michezo.
 • Kwa kila dau, ambalo ungependa kuweka, kwenye ukurasa wa michezo, chagua chaguo la kamari unalolitaka (hii inaweza kuwa chochote kutoka kwenye jumla ya dau hadi kutoweka sehemu ya dau).
 • Bofya kwenye ubashiri unaotaka kuufanya ili kuona dau kukiwa na namba. Baada ya kumaliza kuweka dau lako, kamilisha mkeka kwa kuangalia kama mikeka yako ni sahihi, ongeza dau kwenye kila kisanduku, na ubofye sehemu ya “Weka Mkeka” ili kukamilisha mchakato huo.

Je, ni ngumu kubetia michezo ya mpira wa magongo?

Mchezo wa mpira wa magongo unaweza kuwa ni mgumu kidogo kuubetia. Hii ni kwa sababu si mojawapo ya michezo maarufu ya kubashiria kwa hivyo kuna taarifa chache kuhusu kubetia aina hii ya michezo. Hata hivyo, kwenye jukwaa kama la Parimatch, mchakato huu unaweza kuwa ni rahisi kidogo unapofuata vidokezo vya kubetia ambavyo vimewekwa.

Je, ni rahisi kubetia NHL?

Ni rahisi kubetia NHL. Kwa kuwa mchezo hauna ushindani kama mpira wa miguu au mpira wa vikapu, una nafasi rahisi ya kushinda. Lakini, soko linaweza lisifae sana kwenye NHL kama ligi nyingine maarufu, ambapo jambo hili linaleta msongamano wa mikeka.

Je, ninaweza kuweka mkeka wapi kwenye michezo ya NHL?

Unaweza kuweka dau kwenye michezo ya NHL kwa urahisi kupitia Parimatch. Ukiwa na jukwaa hili, unaweza kuifikia mikeka ya michezo na ligi nyingi kutoka ulimwenguni kote.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.