Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi kuweka Mikeka ya Basketball kutumia Parimatch

Ikiwa una nia ya kudunda kwenye mikeka ya basketball, basi usipoteze muda wako kupanga foleni kwa mbetishaji, elekea Parimatch. Sio tu kwamba tuna michezo ya basketball ya kusisimua kwaajili yako, bali Parimatch pia inakupa fursa ya kubeti basketball kupitia app yake moja kwa moja kutumia simu yako ya mkononi.

Pamoja na kuwa na wigo mpana wa mikakati ya mikeka pamoja na odds, utapata fursa ya kuchagua mwenyewe pindi linapokuja suala la mikakati ya mikeka.

Je, umeshajaribu kuweka mikeka yako ya basketball kwa kutumia Parimatch? Basi usijali huu hapa chini ni muongozo mchache utakaokuwezesha kubeti.

Jinsi ya kubeti Basketball Parimatch

Kama jukwaa letu lina ubunifu wa hali ya juu, Parimatch imekuandalia njia rahisi zitakazo kuwezesha kuweka mikeka yote ya basketball katika eneo moja — inaokoa muda, pesa, na juhudi. Sio hivyo tu, jukwaa letu pia linakuwezesha kutafuta mechi zote utakazo na kuziwekea mikeka bila shida.

Ni rahisi:

 • Nenda kwenye tovuti ya Parimatch
 • Chagua live, pre-match au virtual betting
 • Chagua mchezo unaohitaji kuwekea mikeka ndani ya “Basketball” kutoka kwenye orodha kuu
 • Chagua mechi kutoka kwenye ukurasa wa basketball
 • Chagua odds zako
 • Weka mikeka yako

Muongozo wa hatua kwa hatua wa namna ya kuweka mikeka ya Basketball Parimatch

Hata kama haupo vizuri kwenye masuala ya teknolojia, Parimatch bado itaendelea kuwa bora kwako. Tumeifanya App yetu pamoja na tovuti ziwe rahisi kusudi sizikupe ugumu katika kuzitumia.

Ikiwa bado unahitaji muongozo kidogo, basi fuata maelekezo haya ili uweze kuweka mikeka ya basketball kwa pesa halisi kwa kutumia Parimatch.

 • Tembelea tovuti ya Parimatch — www.parimatch.co.tz
 • Ikiwa bado haujajisajili, utahitajika kujisajili ili uwe na akaunti ya kubeti ya Parimatch
 • Mara tu utakapo ingia, utahitajika kuweka pesa kabla ya kuanza kubeti Parimatch
 • Umeshaweka pesa? Chagua basketball na uweke mikeka utakayo — live, pre-match au mikeka ya virtual ambayo inapatikana kwenye orodha chini
 • Aina yoyote ya betting unayoenda, chagua “Basketball” kutoka kwenye orodha ya michezo inayopatikana kwaajili ya kubeti
 • Chagua mchezo ambao ungependa kubeti. Mikeka maarufu zinaonyeshwa chini ya jina la mchezo. Ikiwa unapenda chaguzi zingine za bet, bonyeza kwa moja kwa moja kwenye mchezo wa unaopatikana katika mikeka. Bonyeza mchezo kupata chaguzi zaidi ya odds
 • Mara tu utakapochagua odds zako, idadi ya namba kwenye betslip itaongezeka kwenye orodha yako kwa chini
 • Unapochagua mikeka yako yote, nenda kwenye betslip
 • Chagua kati ya “Parlay” au “System” kwenye kipengele cha betslip
 • Angalia mikeka yako na uchague kati ya parlay au mikeka ya system, ukiunganisha hizo mbili kwenye ukurasa wa juu — mikeka ya system inawekwa ikiwa umechagua michezo 3 au zaidi
 • Bonyeza “Place bet” ukiwa umemaliza kila kitu

Je! ni mikeka ya aina gani za basketball hutolewa na Parimatch

Je! Unapenda kubeti Live basketball? Je! wewe ni mpenzi wa virtual basketball? au unapenda pre-match kabla ya mchezo kuanza. Kwa njia yoyote ile, Parimatch inakupa uhuru wa kubeti basketball Live, pre-match na hata virtual.

Pindi utakapokuwa umebonyeza mikeka ya basketball inayopatikana, utaona wigo mpana wa mikeka ya basketball barani Afrika. Tunajivunia kutoa Ligi za mabingwa, mechi na mikeka ya ligi ya basketball kwa ajili ya kubeti. Kutoka kwenye mashindano ya kimataifa kama vile Kombe la Dunia la FIBA ​​na ligi ya Ulaya hadi NBA na mechi za pre-season za NBA, Parimatch inamiliki yote.

Linapokuja suala la chaguzi za mkakati wa betting, sisi ndio tunakuwa juu. tunakupa odds kubwa pamoja na chaguzi mbalimbali katika kusambaza mikeka yako, mikeka katika spread, cherry-pick, mikeka nani ashinde na nyingine nyingi. Usiharibu chaguzi zako linapokuja suala la kubeti basketball kwa kutumia Parimatch.

Vidokezo vya mkakati kubeti basketball kutoka Parimatch

Msimu wa basketball kwa wadau wetu, mkakati unaanza pale unapoweka mkeka wako. Fahamu timu pamoja na historia ya mchezaji, takwimu za alama, kadi za mwisho kupatikana na msimamo wa ligi pamoja na yale yanayohusiana na timu, tunaweza kuweka pamoja mifumo mizuri ya mbinu kwaajili ya kuweka mikeka mizuri zaidi kwenye basketball.

Kwa bahati nzuri, Parimatch imejitolea kuwapa wateja uwezo wa kuweka mikeka katika wigo mpana kwa kuweka mikeka tofauti tofauti za basketball. Mitandao yetu yote ya kubeti inaendana na kizazi cha sasa ambapo inakuruhusu kufikia michezo yote ya ulimwenguni pamoja na chaguzi nyingi.

Je! Unataka kujua mikakati yetu ya kubeti basketball kwa mwaka huu?. Hapa chini kuna mikakati michache inayopendwa kutumiwa katika kubeti basketball.

Beti basketball na cherry-pick ndani ya Parimatch

Cherry-picking ni njia ya ambayo hutumika kuchagua michezo bora ya basketball na mikeka ambayo ina nafasi kubwa ya kulipa vizuri. Hii inaweza kuonekana kama ni sehemu ya mbinu, inahitaji jitihada.

Basketball ni kama michezo mingine, ambapo unaweza kufanya utafiti wa historia mbalimbali. Kwa uelewa mzuri wa kubeti basketball ni Parimatch, unahitaji kupata historia ya mchezaji. Kwa kuongezea na historia ya timu pamoja na matokeo, pambano kali, majeruhi wa sasa, adhabu na tabia na mambo mengine zaidi. Kwa njia hiyo, timu zilivyo kutana, utakuwa umefahamu zaidi uwezo wa timu, au ikiwa mchezo upo wazi unaonesha mshindi.

Kwa bahati nzuri, Parimatch imejitolea kutoa dhahabu katika cherries uliochagua. Tunawapa wateja wetu orodha ya michezo tofuati ya basketball, Ubingwa na ligi ambazo utaweza kubeti. Tumia fursa ya upana wa chaguzi zetu, kutoka over/under na kuongeza upana wa kuchagua. Tumia tafiti zako, uweze kupata msisimko wa kweli ukiwa unabeti basketball Parimatch.

Vidokezo vya kubeti spread Parimatch

Kama ilivyo muongozo wa uwekezaji, ni wazo la busara kutumia mikeka ya spread — kama vile adage inavyosema. Badala ya kuweka pesa zote kwenye mchezo mmoja, mikeka ya spread inamaanisha ni kwamba kuweka mikeka katika michezo tofauti tofauti kwa mara moja. Kwa njia hiyo ikiwa utapoteza pesa kwenye mchezo mmoja, hii inaweza kujilipa na ushindi katika mechi zingine zitakazoshinda katika basketball.

Ni rahisi sana kutumia mikeka ya spread Parimatch. Kwa kubonyeza odds kwenye michezo tofauti, utaona mikeka yako ikikusanywa katika sehemu ya betslip ya jukwaa la Parimatch. Unapokuwa tayari, nenda kwenye betslip na kisha bonyeza mikeka mingi kwa mara moja.

Je! napata pointi ngapi nikutumia mikeka ya spread kwenye Basketball?

Pointi spread (handicap) ni aina ya kawaida ya mikeka ya basketball, hasa linapokuja suala la kubeti basketball mtandaoni.

Pointi spread inawakilisha na idadi ya alama ambazo timu zinapaswa kushinda au kukaa kati. Timu ikifanikisha hii, mikeka inalipwa.

Wakati wa mikeka inayotazamiwa zaidi, utagundua alama kadhaa zilizo kwenye kitabu cha michezo na “-” mbele. Ili mikeka ilipwe, timu inapaswa kushinda zaidi ya namba zilizoonyeshwa.

Ikiwa umebeti kwenye timu yenye uwezo mdogo, hata hivyo, utaona ‘+’ mbele ya nambari ya uhakika uliyopewa. Wakati mikeka yako ikiwa kwenye spread underdogs, timu hiyo inaweza kushinda au kupoteza lakini itakuwa kwenye spread, unapaswa kushinda… au unapaswa kushindwa kwenye spread pointi.

Kama mfano, fikiria kuwa Toronto Raptors na Boston Celtics wanacheza kila mmoja, na Boston Celtics inakuja kama underdog. Spread itakuwa kama hivi:

Toronto Raptors (-4) huko Boston Celtics (+4).

Raptors washinde, wanapaswa kushinda angalau alama 5. Kwa mikeka kwenye Celtics italipwa, watahitajika kushinda au kupoteza chini ya alama 4.

Katika tukio ambalo timu zinamaliza mchezo na kugawanywa na idadi halisi kama spread, hii inajulikana kama “push” na mikeka hurejeshwa kwa pande zote. Ili kuepukana na hili, utaona kwamba mikeka inaonekana nusu kwenye platform ya Parimatch.

Kubeti basketball underdogs

Kama ilivyoelezwa hapo juu, watu wengine wanapenda kubeti underdogs pindi linapokuwa suala la kubeti basketball katika wigo mpana. Wakati hii inaweza kuonekana kuwa haifai, kwa kutumia njia ya pointi spread, unaweza kuongeza kimkakati nafasi zako za kushinda kwenye michezo kadhaa kwa kubeti kwenye underdog.

Kama inavyoonyeshwa hapo juu, mikeka ya underdog inaweza point spread, lazima washinde wazi, au kupoteza ndani ya point spread.

Kuweka mikeka kwenye underdogs kunaweza kukupa faida ikiwa una maarifa ya ndani ya mchezo. Hii inafanya kazi vizuri wakati timu inayoamaniwa kwa bahati mbaya kugeukia underdog. Kwa mfano favorite akawa na nguvu ya kushambulia lakini akawa na udhaifu wa kukaba — underdog ikifanya mashambulizi ya kushtukiza inaweza kutoka na ushindi.

Ikiwa utapenda kuipa ushindi timu moja wapo ya basketball na ukapata odds zake hii inajulikana kama thamani ya mikeka. Ikiwa utashinda mikeka ya value, utakuwa umeshinda zaidi kiukweli odds za timu. Ikiwa unataona underdog amepewa alama 7 lakini unapaswa kufikiria kuwa 4, umepata mikeka ya value or overlay. Hii ndio nafasi ya kushinda vya juu zaidi lakini kumbuka ni hatari kubwa.

Beti kwenye basketball totals Parimatch

Pia inajulikana kama mikeka ya over/under, mikeka ya basketball totals ni mkakati wenye nguvu zaidi kuliko kubeti kuwa eti nani atashinda au kufungwa.

Badala yake, mbetishaji huja na spread points ya msimu au matokeo ya mchezo na uweke mikeka yako ikiwa timu ya basketball itakuwa over au under hii inaendana na kiasi gani

Hii ina odds bora zaidi za kubeti na hukuruhusu kuwa mkakati zaidi ukizingatia alama — kulingana na historia ya mchezaji, mbinu, na quirks, na pia historia ya timu na kiwango na rekodi yao na upinzani.

Ikiwa unataka kuanza kuweka mikeka kwenye totals au mikeka ya over/under, bonyeza “Basketball” na kisha uchague mchezo. Huko utapata chaguzi zote za basketball totals za kubeti over au under.

Nawezaje kubeti moneyline Parimatch

Ikiwa wewe ni hujui vizuri kubeti basketball na unahitaji kuanza mahali fulani, moneyline mikeka inaweza kuwa sehemu nzuri ya kuanzia. Rahisi sana kupata, mikeka ya moneyline ni kiunga ambacho wakamalia wanaweza kubeti timu fulani itashinda au kupoteza mechi, ligi, au mashindano. Ndio, ni moja kwa moja!

Mikeka ya Moneyline inapatikana kwenye pre-match na mikeka ya virtual basketball ndani ya Parimatch. Ingia tu na uenda kwenye ukurasa wa “Pre-match”, “Live” au “Virtual”, chagua basketball uliopendelea, na utapata mikeka ya moneyline zinapatikana kwenye kila skrini ya mchezo.

Taarifa muhimu kuhusu michezo nyingine:

Kwa hivyo, Unasubiri nini?

Iwapo wewe ni shabiki mkubwa wa mpira wa vikapu na unayetamani kucheza pesa halisi kwenye timu yako unayoipenda, Parimatch ina jukwaa la hali ya juu la kamari na programu iliyoundwa kwa ajili yako. Kwa kuenea zaidi kwa michezo ya mpira wa vikapu, mashindano, na chaguzi za kamari barani Afrika, haishangazi kwamba tunapigiwa kura mara kwa mara kama jukwaa bora zaidi la kamari la mpira wa vikapu nchini Tanzania.

Kwa mawazo yetu ya kimkakati, tunafungua milango yetu ili kukuletea maktaba ya chaguo za mbinu za kamari, kuenea kwa pointi, jumla ya kamari, dau za njia ya pesa, na mengi zaidi.

Ikiwa bado hujajisajili, pata akaunti ya Parimatch leo. Kwa kujiunga na Parimatch, hutaweza tu kufikia dau za kiwango cha kimataifa za mpira wa vikapu katika sehemu moja, lakini pia utafurahia huduma zetu bora kwa wateja na programu maridadi ya Android/iOS, inayokuruhusu kuweka dau kwenye mpira wa vikapu moja kwa moja kutoka kwenye vidole vyako!

MMM

Je, unabeti vipi mpira wa kikapu na kushinda?

Kubeti kwenye mpira wa kikapu kunaweza kuwa ni jambo gumu, ila inawezekana ukiwa na mkakati na maarifa sahihi. Kwanza, unatakiwa kuelewa misingi ya kubeti kwenye mpira wa kikapu – aina tofauti za mikeka, mgawanyo wa alama, na odds zilizotolewa. Kisha, fanya utafiti wako (ufanisi wa timu na motisha zake, aina ya wachezaji, mechi). Mwisho, hakikisha unadhibiti mtaji wako kwa kuwajibika wakati unapobeti.

Jinsi ya kubeti kwenye mgawanyo wa alama kwenye mpira wa kikapu?

Ili kubeti kwenye mgawanyo wa alama kwenye mpira wa kikapu, unatakiwa kuzingatiahali ya sasa ya timu zote mbili. Kama timu moja ina nguvu sana, mgawanyo wa alama hautatosha kukabiliana na faida inayoweza kupatikana. Cha nyongeza, ni muhimu kuzijua sheria za mchezo. Pia, waamuzi tofauti wanaweza kuwa na tafsiri tofauti za sheria, ambapo inaweza kuathiri matokeo ya mchezo husika.

Kubetia matokeo ya aina 3 ni nini kwenye mpira wa kikapu?

Kubetia matokeo ya aina 3 kwenye mpira wa kikapu ni aina ya mkeka ambao wateja wanaweza kuchagua moja ya matokeo matatu yanayoweza kutokea. Jambo la muhimu ni kuwa anayetabiri ni lazima achague mojawapo ya machaguo matatu – ama Timu A itashinda, Timu B itashinda, au mchezo utaisha kwa sare.

Je, 1hh ina maana gani kwenye kubetia mpira wa kikapu?

1hh ina maana ya ‘1st half handicap’ ndani ya mkekawa mpira wa kikapu. Ni aina ya mkekaambapo handicap itatumika kwenye kipindi cha kwanza tu cha mchezo. Hii inamaanisha kuwa ukichukua handicap ya -4.5 kwenye timu, utashinda mkeka kama timu hiyo itashinda kipindi cha kwanza cha mchezo kwa zaidi ya alama 4.5.

Soma zaidi:

Jinsi ya Kubadili Odds za Kubeti

Dondoo na Mbinu za Kubeti Mpira wa Kikapu

Muongozo wa Kubashiri Soka Tanzania

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.