Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Kubetia Matokeo Sahihi: Yote Unayohitaji Kuyajua

Kama unabetia michezo, kwa hakika unapaswa kufikiria kubetia “Matokeo Sahihi”. Aina hii ya kubeti ni rahisi sana na yenye changamoto wakati huohuo.

Lakini mikeka ya kwenye matokeo sahihi ni nini hasa? “Mikeka ya matokeo sahihi” hurejea kwenye mbinu ambazo wateja hubeti kwenye matokeo sahihi mwishoni mwa mechi au mchezo. Kwa maana hii, kubetia matokeo sahihi huhitaji kwamba wateja wakisie matokeo sahihi au mgawanyo wa magoli kikamilifu. Kuiweka kwa urahisi, kama mechi ya soka imeisha na matokeo ya mwisho ni 3:2 kwenye upande wa nyumbani na uliweka mkeka kwenye 3:2 kwenye upande wa nyumbani — umeshinda mkeka wako. Hata hivyo, kama upande wa nyumbani ungeshinda 3:1, ungepoteza.

Huu hapa ni mfano wa dau sahihi la alama kwenye Parimatch:

Correct score bet on Parimatch

Mara nyingi, utakuta majukwaa mengi ya kubetia ambayo hupenda kutoa dondoo za kubeti matokeo sahihi, kutegemeana na kiwango cha sasa cha timu zote mbili na upinzani wao wa chini. Kwa bahati, Parimatch imefanya iwe ni rahisi kuingia mtandaoni na kuweka mikeka kwenye dondoo za moto ulizozigundua.

Hata hivyo, inaleta maana pia kupata ufahamu katika mada hii. Parimatch imekusanya pamoja muongozo huu wa kina kukupa mchanganuo juu ya maana sahihi ya kubetia matokeo sahihi, jinsi inavyofanya kazi, na jinsi inavyoweza kufanya kazi kwa ajili yako, pamoja na dondoo za kubetia matokeo sahihi. Pia, tunakupa muongozo wa hatua kwa hatua rahisi za kutumia kukupitisha kwenye kuweka mikeka ya matokeo sahihi kwenye jukwaa la kubetia la Parimatch.

Upo tayari kujifunza kuhusu kubetia matokeo sahihi? Hebu twende!

Kubetia Matokeo Sahihi ni Nini?

Kubetia “Matokeo Sahihi” ni mbinu rahisi kuikumbuka — kidokezo chenyewe kipo katika jina lake! Kwa wale wanaotaka kuweka mikeka ya matokeo sahihi, wanahitajika kujaribu na kutabiri matokeo sahihi ambayo mechi itamalizika nayo. Katika soka, kwa mfano, unaweza ukawa unakisia idadi ya magoli yatakayofungwa na kila upande, hivyo utakuwa unabetia kwenye matokeo kama 0:0, 1:0, 2:1, 3:2, na kadhalika.

Mikeka ya matokeo sahihi inaweza kuwekwa katika idadi ya michezo tofauti kwenye tovuti ya kubetia michezo ya Parimatch, kama vile soka, mpira wa magongo kwenye barafu, na mpira wa wavu.

Huu hapa ni mfano wa odds za kubetia matokeo sahihi katika mchezo wa mpira wa wavu kati ya Parnu VK na Saaremaa.

0:3 1.87 1:3 3:05
2:3 6.40 3:2 9.40
3:1 12.00 3:0 24.00

Unahisi kuchanganyikiwa na hizi namba? Soma muongozo wetu juu ya odds za kubetia michezo!

Muda mwingine, unaweza kukuta kuwa ungependa kuweka utabiri juu ya matokeo sahihi na haitokei katika orodha ya mikeka inayowezekana. Hii ni kwa sababu muda mwingine, meneja wa ubashiri haweki odds dhidi ya matokeo yote. Katika mfano huu, kutakuwa na sehemu ya “Nyingine”. Kama utabiri wako husika haujaorodheshwa, unabetia kwenye boksi la “Nyingine”.

Kitu kingine kwenye kubetia matokeo sahihi ni kwamba ni ngumu kutabiri matokeo sahihi ya mchezo. Hii ndiyo maana utakuta kuwa odds ni kubwa kiasi kwa kila kisio. Wakati hili hufanya kubetia kwenye matokeo sahihi kuwe na ushawishi, maana una nafasi ya kuvuna tuzo kubwa, odds zako huwakilisha nafasi zako. Odds kubwa humaanisha hatari kubwa maana kutabiri matokeo sahihi ni ngumu.

Hii ndiyo maana wateja wazoefu hutumia mbinu mbalimbali kuongeza nafasi zao za kushinda mikeka ya matokeo sahihi. Mbinu hizi huhusisha kubetia kwenye matokeo mengi kwa mara moja na kutegemea kwenye miunganiko kutoa hatari ndogo zaidi na uwezekano wa tuzo kubwa zaidi.

Mbinu za Kubetia Matokeo Sahihi

Kubeti matokeo sahihi kuna odds kubwa tu kwa kila matokeo ya matokeo yanayowezekana. Hii ni kwa sababu hatari ni kubwa maana nafasi za kupata kwa usahihi matokeo yaliyotabiriwa ni ngumu. Wakati, ndiyo, unaweza kuzingatia kiwango cha kila timu msimu wote, wachezaji wao walioumia, upinzani wao uliopo na sababu nyingine zote, kuna mabadiliko mengi sana kiasi kwamba kiukweli inaweza kuwa ni ngumu kabisa kujaribu na kuzingatia kila kitu. Sawasawa, unaweza kutumia vipengele vyote vinavyobadilika duniani na kukuta kuwa mchezaji anatolewa au anaumizwa katika njia ambayo kamwe usingeweza kutabiria.

Katika mtindo huu, badala ya kujaribu kuikita mbinu yako ya matokeo sahihi kwenye sifa za timu zinazohusika, ni wazo zuri zaidi kuangalia mahesabu. Wateja wazoefu huelewa kuwa kutawanya mikeka ya matokeo sahihi hufanya iwe rahisi zaidi kushinda kwa ujumla.

Mbinu ya Kubetia Kitakwimu kwenye Matokeo Sahihi

Mbinu ya kitakwimu hutumika wakati unapobeti kwenye mchezo mmoja. Ni muhimu kuelewa wastani wa asilimia kwenye matokeo za mwisho katika mechi zote za mchezo unaoubetia. Kwa mfano, kama unabeti kwenye mechi ya soka, utataka kutafuta matokeo ya mwisho ya mara kwa mara zaidi kwa michezo yote ya mpira wa miguu na kutumia hii kama kiwango kwa mkeka wako wewe mwenyewe. Hivyo, hebu tuchukue takwimu za soka.

Kama ukizisoma namba hizi, utaona kuwa 10% ya muda, mechi ya mpira wa miguu itaishia na 1:0. Tarakimu hiyohiyo pia husimama kwa 1:1 na 0:1 — 10% ya muda haya ndiyo yatakuwa matokeo. Sasa, pindi ukifikiria matokeo yote yanayowezekana, odds hizi ni kubwa sana.

Juu ya hilo zaidi ya nusu ya muda, matokeo yatakuwa moja kati ya yafuatayo: 1:2, 2:1, 0:0. Hivyo, matokeo haya pia ni mazuri sana kuyabetia.

Zaidi, unahitaji kuunganisha takwimu za kiujumla na ujuzi wako wa historia ya timu zinazoshindana na uone jinsi mechi zako zilivyokuwa zikiisha hapo kabla. Ukiwa umejipanga kwa ajili ya mazingira ya mchezo unaofuata, utakuwa na wazo la mikeka sahihi na ya kuaminika.

Mbinu ya Kubetia ya Muunganiko kwenye Matokeo Sahihi

Wazo la mbinu hii ni kuunganisha mfululizo wa michezo tofauti katika mikeka ya parlay ili kwamba miunganiko hiyo ishinde.

Hili hufanyika kwa kuchagua mechi tatu tofauti. Mara nyingi ni vizuri zaidi kuchagua mechi tatu ambapo upande mmoja ni dhahiri kuwa upo vizuri zaidi kuliko mwingine. Sawasawa, una nafasi nzuri zaidi ya kushinda kama upande wenye nguvu upo nyumbani, asante kwa kile kijulikanacho kama “Faida ya Nyumbani”.

Hebu tutumie soka kama mfano wa mbinu hii. Kwa kila mechi, unahitaji kuchagua matokeo matatu. Katika kila mechi, kama unachagua upande ambapo timu ya nyumbani ina uwezekano wa kuwa mshindi, ni wazo la werevu kuchagua matokeo matatu yanayowezekana zaidi, ambayo ni 1:0, 2:0, na 2:1. Kama hauna uhakika kuwa timu ya nyumbani itashinda, lakini bado unawaona kama upande wenye nguvu kidogo (jumlisha faida ya kuwa timu ya nyumbani), utataka kuchagua 1:0, 1:1, 2:1. Kama hauna uhakika kiukweli ni timu ipi itakayoshinda, utataka kuchagua matokeo ya kiujumla yanayowezekana zaidi ya mechi za soka, ambayo ni 1:0, 1:1, 0:1.

Sasa, hebu tufikirie kuwa umechagua michezo mitatu ambapo upande wenye nguvu zaidi ni dhahiri kwamba unacheza nyumbani, hivyo unachagua uchaguzi wa kwanza wa matokeo:

 • Mechi ya 1: 1:0, 2:1, 2:0;
 • Mechi ya 2: 1:0, 2:1, 2:0;
 • Mechi ya 3: 1:0, 2:1, 2:0.

Kwa kusudi la mfano huu, hebu tutumie mechi hizi zifuatazo kati ya Arsenal na Newcastle United, Liverpool na Southampton, na Manchester City na West Ham United.

Kwa Arsenal dhidi ya Newcastle United, odds ni kama ifuatavyo:

1:0 6.40
2:1 7.00
2:0 6.00

Kwa Liverpool dhidi ya Southampton, odds ni kama ifuatavyo:

1:0 7.40
2:1 7.40
2:0 6.00

Kwa Manchester City dhidi ya West Ham United, odds ni kama ifuatavyo:

1:0 11.00
2:1 10.00
2:0 6.60

Wazo ni kuweka mikeka ya parlay kwa kila muunganiko wa matokeo hapo juu. Orodha ya vizidisho ingeonekana kitu fulani kama hiki:

 • 1:0, 1:0, 1:0: Odds=6.40×7.40×11.00=520.96
 • 1:0, 1:0, 2:1: Odds=6.40×7.40×10.00=473.60
 • 1:0, 1:0, 2:0: Odds=6.40×7.40×6.60=312.576
 • 1:0, 2:1, 1:0: Odds=6.40×7.40×11.00=520.96
 • 1:0, 2:1, 2:1: Odds=6.40×7.40×10.00=473.60
 • 1:0, 2:1, 2:0: Odds=6.40×7.40×6.60=312.576
 • 1:0, 2:0, 1:0: Odds=6.40×6.00×11.00=422.40
 • 1:0, 2:0, 2:1: Odds=6.40×6.00×10.00=384.00
 • 1:0, 2:0, 2:0: Odds=6.40×6.00×6.60=253.44
 • 2:1, 1:0, 1:0: Odds=7.00×7.40×11.00=569.80
 • 2:1, 1:0, 2:1: Odds=7.00×7.40×10.00=518.00
 • 2:1, 1:0, 2:0: Odds=7.00×7.40×6.60=341.88
 • 2:1, 2:1, 1:0: Odds=7.00×7.40×11.00=569.80
 • 2:1, 2:1, 2:1: Odds=7.00×7.40×10.00=518.00
 • 2:1, 2:1, 2:0: Odds=7.00×7.40×6.60=341.88
 • 2:1, 2:0, 1:0: Odds=7.00×6.00×11.00=462.00
 • 2:1, 2:0, 2:1: Odds=7.00×6.00×10.00=420.00
 • 2:1, 2:0, 2:0: Odds=7.00×6.00×6.60=277.20
 • 2:0, 1:0, 1:0: Odds=6.00×7.40×11.00=488.40
 • 2:0, 1:0, 2:1: Odds=6.00×7.40×10.00=444.00
 • 2:0, 1:0, 2:0: Odds=6.00×7.40×6.60=293.04
 • 2:0, 2:1, 1:0: Odds=6.00×7.40×11.00=488.40
 • 2:0, 2:1, 2:1: Odds=6.00×7.40×10.00=444.00
 • 2:0, 2:1, 2:0: Odds=6.00×7.40×6.60=293.04
 • 2:0, 2:0, 1:0: Odds=6.00×6.00×11.00=396.00
 • 2:0, 2:0, 2:1: Odds=6.00×6.00×10.00=360.00
 • 2:0, 2:0, 2:0: Odds=6.00×6.00×6.60=237.60

Kama unavyoweza kuona, kuna miunganiko 27. Pindi ikiunganishwa kama hivi, odds za chini zaidi sasa ni 237.60. Kama ungeweka mkeka wa TZs 100 kwenye kila matokeo, dau la jumla litakuwa ni TZs 27,000. Kati ya matokeo yote, kuna matokeo mawili tu ambapo inawezekana ungepoteza:

 • 1:0, 2:0, 2:0: Odds=6.40×6.00×6.60=253.44 — TZs 100 x 253.44 = 25,344 = hasara ya TZs 1656
 • 2:0, 2:0, 2:0: Odds=6.00×6.00×6.60=237.60 — TZs 100 x 237.60 = 23,760 = hasara ya TZs 3240

Kati ya matokeo 25 yaliyobaki, kiasi cha chini zaidi ambacho ungeweza kushinda kingekuwa TZs 27,720 (kutoa dau la TZs 27,000, sawa na ushindi wa TZs 720), lakini kiasi kikubwa zaidi ambacho ungeshinda ni TZs 56,980 (kutoa dau la TZs 27,000, sawa na ushindi wa TZs 29,980).

Jinsi ya Kuweka Mikeka ya Matokeo Sahihi Parimatch

Mbinu ambayo unaitumia kuweka mikeka ya matokeo sahihi huathiri namna ambavyo unaweka mikeka kwa kutumia app ya Parimatch ya kubetia michezo. Ili kutumia mbinu ya kitakwimu, utataka kuweka mkeka mmoja mmoja, wakati, kwa mbinu ya pili, utahitaji kuweka mikeka ya parlay ili kuhakikisha kwamba unaweza kupata odds kubwa zaidi zinazowezekana.

▼ CHANGANUA MSIMBO WA QR AU BOFYA ILI KUPAKUA PARIMATCH APP ▼

Download Parimatch App

Kwa wale ambao wametumia app ya kubetia ya Parimatch kabla au wanafahamu kubetia mtandaoni, mtaona mchakato huu ni rahisi. Kwa urahisi:

 1. Chagua mchezo unaotaka kuubetia.
 2. Chagua ikiwa unataka kubetia kabla ya mechi au michezo mubashara.
 3. Chagua mechi.
 4. Chagua uchaguzi wa matokeo sahihi.
 5. Nenda kwenye tiketi ya ubashiri kuchagua kiasi cha mkeka na kamilisha mkeka wako mmoja.
 6. Weka mikeka zaidi na uiunganishe katika parlays katika tiketi ya ubashiri.

Kama unahitaji taarifa zaidi kuhusu kuweka mikeka ya accumulator (parlay), unaweza kuzipata katika muongozo wetu juu ya kubetia parlay.

Unaweza Kutengeneza Pesa kwa Kuweka Mkeka wa Matokeo Sahihi?

Kwa kifupi, jibu ni ndiyo. Hata hivyo, usidanganyike kwenye odds kubwa. Kama kwingineko katika kubetia, odds kubwa huashiria hatari kubwa au nafasi ndogo za kufanikiwa. Kubetia matokeo sahihi inawezekana ni moja ya aina za mikeka migumu zaidi kuipatia kwa usahihi.

Kwa maana hii, ili kupata pesa kutoka kwenye kubetia matokeo sahihi, unapaswa kutekeleza moja ya mifumo ya hapo juu. Kwa kufanya hivyo, unagawanya odds na wakati unapoweza kutengeneza faida ya chini kidogo zaidi, unapunguza nafasi zako za kutokuwa sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kipi Kingine Unachoweza Kukibetia Ukiwa na Parimatch?

Utofauti wa aina za mikeka uwapo Parimatch ni mkubwa kiukweli. Hii hapa ni sehemu tu ya masoko yaliyopo:

Maneno Machache ya Mwisho

Kubetia matokeo sahihi ni njia ya kusisimua sana ya kuchangamana na mchezo au mechi. Asante kwa app ya kubetia iliyoundwa na Parimatch iliyo rahisi kuitumia, unaweza kuweka mikeka ya matokeo sahihi kwa kubofya mara chache tu — ndiyo maana sisi ni chaguo bora kati ya app za kubetia barani Afrika.

Ikiwa unaipata Parimatch kutoka kwenye simu yako ya mkononi au chombo kingine chochote, utatambua kuwa ni rahisi kupitia sehemu kuu yetu ambayo ni rafiki kwa mtumiaji. Kumbuka kuwa wakati mikeka ya matokeo sahihi inapoweza kuonekana kama ina odds kubwa, kuna kiasi kikubwa cha hatari. Wakati wateja baadhi hupendelea kubetia kwenye matokeo kutoka kwenye dondoo za kubetia matokeo sahihi ambazo wamezisikia mtandaoni, dondoo hizi siyo sahihi sana mara zote. Kama unataka kutengeneza pesa ya kweli kutoka kwenye kubetia kwenye matokeo sahihi, jaribu kutumia moja ya mifumo iliyoainishwa katika muongozo huu.

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, matokeo sahihi yana maana gani kwenye kubeti?

Matokeo sahihi katika kubeti ni mikeka inayowekwa na mdau ili kutabiri matokeo ya mwisho ya mchezo. Kwenye matokeo sahihi, matokeo ya mwisho na ubashiri sahihi wa alama ni lazima iwe kwenye mechi kamili ili ushinde. Ni lazima ubashiri matokeo ya ushindi na magoli kamili ambayo kila timu itayafunga kwenye mkeka sahihi kwa matokeo.

Je, ni tovuti ipi iliyo bora zaidi kwa kubetia matokeo sahihi?

Parimatch ni miongoni mwa majukwaa bora na yenye viwango vya juu vya kubashiri kwenye matokeo sahihi. Parimatch hukuruhusu kuweka dau la matokeo sahihi kwenye mechi mbalimbali za michezo. Hizi ni pamoja na mpira wa miguu, mpira wa wavu, mpira wa magongo kwenye barafu, na mingineyo mingi.

Je, unafanyaje ubashiri sahihi wa soka?

Jambo la kwanza la kufanya ni kuielewa michezo na timu zinazohusika ili uweze kuweka dau kulingana na taarifa sahihi. Unapaswa pia kuzitafiti takwimu za mechi, kufahamu yanayojiri hasa na habari za kila timu, na la muhimu zaidi, uwe na subira, ili usiwe na haraka kuweka mkeka usio sahihi.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.