THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Kubeti Kwa Double Chance Betting ni Nini?

Parimatch tumejizatiti kuwapa wateja wetu burudani kupitia michezo ya kubashiri kwa wateja wetu wote barani Africa, kuwapa fursa ya kubeti kwenye michezo yote mikubwa dunaini kupitia betting app ya kisasa zaidi iliyotengenezewa kukidhi mahitaji yako yote.

Kuwapa wateja wetu fursa ya kufurahia kubeti kwenye machaguop mengi zaidi ya kubeti nchini Tanzania, tunawapa wateja wetu nafasi ya kufurahia odds kubwa na za kuvutia kwenye mechi nyingi kpita maelezo.

Kwa wale wanaotaka kubeti kisasa Parimatch iko upande wako, Double Chance ni moja ya mbinu nyinyi za kubeti na kukuwezesha kushinda na ni moja tu kati ya masoko yanayopatikana ndani ya Parimatch.

Kama unataka kujua zaidi kuhusu kubeti na Double Chance, tumekuandalia maelezo kwenye makala hii kukupa mbinu zitakavokuwezesha kucheza na kushinda na Parimatch kupitia Double Chance.

Tips za Kubeti Double Chance

Double chance ni mbinu nzuri ya kupunguza uwezekano wa kuchana mikeka yako na kukuongezea uwezekano na kushinda na kuondoka na mshiko wa kutosha, double chance sio mbinu nzuri tu ya kupunguza uwezekano wa kupoteza bali ni moja ya mbinu rahisi zaidi kujifunza na kuelewa, kabla ya kuanza shika kwanza vitu hivi kichwani:

 • Double Chance ndiyo mbinu bora zaidi ya kujiokoa na uwezekano wa kupoteza hela zako kwani hapa unabeti kwa matokeo mawili kwa mara moja
 • Kwa kuwa ni rahisi sana kushinda mikeka ya Double chance kwakua una nafasi mara mbili, hii inamaanisha pia faida yako itakuwa ndogo kwenye mikeka ya moneyline bets.

Double Chance ni Nini?

Kubeti kwa ni rahisi kama inavyojieleza yenyewe, ukiwa unawezka mkeka kwenye kubeti kwenye mashindano yoyote unakuwa na nafasi mara mbili ya kushinda,ni muhimu kuelewa kuwa japao una nafasi mara mbili ya kushinda, unapunguza nafasi ya odds zako na faida yako.

Inafanya kazi kiurahisi sana fikiria mchezo wowote wenye matokeo matatu; timu A kushinda, timu B kushinda na matokeo kuwa ya sare, Double Chance inakuwezesha kwenye matokeo mawili unayoamini yana uwezekano mkubwa wa kutokea, kwa mfano unaweza kubeti timu a itshinda na kutoa sare au unaweza kubeti timu b itashinda au kutoa sare kwenye mchezo husika.

Tuchukue mfano wa uhalisia kwenye mchezo huu ambao tunauona kati ya Wolverhampton Wanderers (Wolves) and Aston Villa (Villa):

1 or draw 1.22 No draw 1.27 2 or draw 1.81

Wolves inawakilishwa na ‘’1’’ na Villa kwa ‘’2’’ . Unaweza kubeti kwa kuchagua Wolves kushinda au kutoa sare. Unaweza kubashiri pia Wolves na Villa kushinda bila kuwa na droo. Au mwisho kabisa unaweza kubeti Aston Villa kushinda au kutoa sare.

Kwa wale waliobeti kwa wolves kushinda au kutoa sare (“1 or draw”),odds zake in 1.22. Hii inamaanisha ukibeti 50,000 TZS na Wolves wakashinda,utapata 61,000 TZS — na faida ya 11,000 TZS. Kama Wolves watapata sare basi hii itabaki hivi hivi, na kama Villa utapoteza 50,000 TZS ya dau lako

Ukibeti kwa Wolves au villa kushinda, unakuwa unabeti kwamba hakutakuwa na draw kwenye mchezo huu. 0dds zake zitakuwa 1.27,maana yake utapata faida ya 13,500 TZS endapo mchezo hautaisha kwa sare

Kwa urahisi zaidi kama Villa atashinda au kupata sare kutawawezesha waliobeti kushinda na kupata faida kubwa ya 40,500 TZS kwa dau la 50,000 TZS.

Masoko ya kubeti kwa Double Chance ukibeti na Parimatch

Parimatch inawazawadia wateja wake fursa ya kubeti kwenye masoko kibao, kwenye timu za soka na kwenye michezo mingine kibao, kwa mikeka ya double chance, ni moja ya chaguzi nyinyi kwenye jukwaa la Parimatch, uwepo wa double chance unatuwezesha kuwapa fursa wateja wetu kubeti kwenye michezo mingi kadri wawezavyo ndani ya Parimatch, sio hivyo tu bali tunaruhusu double chance kwenye michezo ya live na michezo ya virtual.

Michezo gani unaweza kucheza Double Chance ndani ya Parimatch.

Moja ya vitu vya kuvutia zaidi kucheza na Parimatch ni jinsi ilivyo rahisi kutumia mfumo, kwa wale wanaohitaji kucheza kutumia double chance, ni rahisi kutembelea app ya Parimatch na kutumiza lengo lako kiurahisi kabisa.

Haijalishi ni mchezo gani ambao unataka kucheza, Parimatch inakupatia options rahisi za double chance, wewe ni shabiki wa ice hockey? Kwanini usiweke mkeka wako wa double chance kwenye NHL?

Labda wewe ni shabiki wa soka? Usijali kuna michezo kibao ya soka ya kucheza double chance.

Pengine labda wewe ni shabiki wa michezo ya kishua zaidi kama rugby. Cheza double chance kwa kujidai kabisa kwenye mashindano ya English Rugby Union Premiership na Parimatch.

Mbadala, Kwanini usiajirbu kubeti na double chance kwenye mashindano ya kibabe zaidi barani ulaya ya handball?

Weka Beti Kabla ya Mechi, Live na Cheza Double Chance kwenye michezo ya Virtual

Parimatch ni mfumo unaomuwezesha shabiki wa soka wa karne ya 21 kucheza na kujihusisha na michezo mbali mabali ndani ya jukwaa moja, kuweka beti kidigitali kunamaanisha unaweza kufurahia kuchezan Parimatch ukiwa mahalaa kokote, hakuna haja ya kupanga foleni kwenye maduka, Parimatch inakupatia kila kitu unachohitaji kubeti kwenye mchezo wowote. Utofauti mkubwa kwa Parimatch ni kwamba kila kitu kipo kazi yote inabaki kwako kufanya maamuzi ya unataka kushinda wapi?  Iwe ni live au kabla ya mechi tuko kwajili yako.

Kwa wale wanaopenda mzuka, kucheza double chance mchezo ukiwa live kutakupa msisimko wa tofauti kabisa, tofauti kubwa ya kubeti double chance mchezo ukiwa live na kucheza kabla ya mchezo kuanza ni ukubwa wa odds, ukicheza mchezo ukiwa live odds zitapungua nak uongezeaka kutokaanan na matukio yanayoendelea ndani ya mchezo lakini ukicheza kabla ya mchezo kuanza mara nyingi odds hazibadiliki. Ukitaka kucheza live kwenye app yetu ya kisasa bofya kitufe cha cheza “Live”

Endapo hautatosheka kubti kwa double chance kwenye michezo mbali mabli, app yeti ya kisasa inakupa fursa ya kubeti kwenye michezo ya virtual, ingia kwenye ulimwengu wa virtual na uwekek mkeka wako wa double chance bila ya kuwa na haja ya kusubiri mchezo wenyewe, tembelea kwenye eneo lililoandikwa “virtual” kwenye app ya parimatch kupata nafasi ya kucheza double chance.

Kwanini watu wanacheza Double Chance?

Kubeti kabla ya mechi kunakuwezesha kufanya ubashiri wa mchezo husika kabla haujanza, sahau kuhusu mkeka kisha sikiliza matokeo ya mechi ujue kama umeshinda au la

Kubeti live ni tofauti kidogo, japo ni aina ya mikeka yenye mzuka wa aina yake, ukiwa unabeti live, unatumia hali halisi ya mchezo husika kubashiri namna ya kuweka mikeka yako. Kama michezo ya live inavyoendelea na matukio kubadilika, lakini vivyo ilivyo kwa odds za live nazo hubadilika kila muda.

Kwa mfano, fikiria kipa wa timu A ametolewa nje kwa kadi nyekundu ndani ya kipindi cha kwanza, odds za double chance kwa timu A kushidna au kutoa sare zitaongezeka maradufu, kwakuwa uwezekanao wa timu A kushinda unakuwa umepungua mno hapo, kwa wale walioweka mkeka wa ushindi kwa timu A kabla ya mechi kuanza, hawatafaidika na kubadilika huku kwa odds endapo timu A itashinda kwa miujiza.

Jinsi ya kuweka mkeka wa Double Chance na Parimatch

Parimatch ikijiamini kwa kuwa na app bora zaidi ya michezo ya kubashiri barani Afrika, kila kitu kipindi cha kuundwa kwake kinazingatia uhitaji wa mtumiaji na kutengezwa kuhakikisha hata mtu ambaye hana uzoefu na technologia anataumia kwa urahisi.

Hii ni hatua kwa hatua ya kucheza na kushinda kwenye double chance na Parimatch:

 • Kwanza kabisa, kama hauna akaunti ya kubeti ya Parimatch, itakubidi ufungua akaunti mpya mara moja, utahitajika kusign up, unaweza kwa kuanza kujisajili kwa kwenda kwenye app ya Parimatch au kwenye tovuti www.parimatch.co.tz. Kisha bofya kitufe cha “Sign up”
 • Ukishamaliza kujisajili na kuweka deposit, unakuwa uko tayari kutengeneza double chance ndani ya Parimatch.
 • Bofya kitufe cha  “Sport” kwenye menyu, hii itakusaidia kuingia kwenye kurasa ambayo kuna michezo yote unayotaka kubetia.
 • Baada ya kuchagua mchezo utaona nchi zote ambazo mchezo huo unapatikana, orodha hii ndefu inadhibitisha ni kwa jinsi gani Parimatch wamejizatiti kukupatia chaguzi zote unazotaka
 • Chagua nchi ambayo mchezo unaoutaka unapatikana kisha baada ya hapo chagua ni mshindnao gani mchezo huo upo kabla ya kuweza kubeti.
 • Bofya kuchagua cup, championship, au league ambayo utahitaji kuweka mkeka wako wa double chance.
 • Select the match you’re interested in betting on. When you click it, you’ll be led to the match’s betting page, complete with all the available wager options.
 • Chagua mechi unayotaka kuweka mkeka wako, ukibofya itakupeleka kwenye page ya kubeti, kamilisha kwa chaguzi unazotaka
 • Baada ya kuchagua mikeka yako nenda kwenye bestslip yako kukamilisha beti zako
 • Unaweza kuchagua moja ya mifumo hii system au parlay kama una timu zako za kutosha
 • Angalia beti zako zote kisha shuka chini kwenye kitufe cha “weka mkeka”

Faida za Kubeti kwa Double Chance

Faida ya kwanza na kubwa zaidi ya kucheza double chance ni kwamba uwezekano wa kushinda unaongezeka maradufu, kukiwa na matokeo matatu kwenye kila mchezo, ukicheza double chance unakuwa umechagua matokeo mawili hivyo uwezekano wa wewe kushinda kwa kuchagua matokeo matatu unaongezeka zaidi.

Hii inafanya double chance kuwa moja ya mbinu rahisi zaidi za kubeti na kushinda, njia rahisi ya watu wanaoanza kucheza au kujifunza kubeti ni hii.

Wataalamu wa kubeti waajua kutumia double chance kwa timu ndogo, fikiria Man U inacheza mchezo wa UEFA Champions Cup jumatatu, lakini wikiendi hiyo hiyo Man u wanacheza na Wolves, hivyo kulinda wachezaji kwaajili ya UEFA Man U watachezesha wachezaji wadogo kulinda kikosi chao, watalaamu wanatumiaga nafasi hii, kubeti double chance kwa wolves kushinda na kuondoka na ushindi wa uhakika.

Hasara za kucheza Double Chance

Hasara kubwa ya kubeti na double chance ni kwamba odds zake ziko chini sana, kwakuwa unakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda kuliko kucheza na kubeti kwenye mikeka ya kawaida, odds za timu yenye uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda ni ndogo zaidi kuliko kwenye timu ambayo haipewi nafasi ya kushinda.

Faida za kucheza Double Chance na Parimatch

Tukiwa na jukwaa kali zaidi la kubeti barani Afrika, Parimatch inajigamba kwa kuwa na huduma za kipekee na app bora kuliko zote.

 • App rafiki kwa mtumiaji

Parimatch imetengeneza app kali mno kwa watumiaji wa vifaa vyote vya Android/iOS ambayo inawawezesha watumiaji na wateja kubeti kwenye mechi na michuano mbali mabli duniani kote, ikiwa imeundwa kwa kumfikiria mteja na uhitaji wake, hivyo ni rahisi sana hata kwa watu wanaojifunza.rahisi sana kupakua huku ukiweza kuweka pesa na kubeti chap chap tu.

 •  Wingi wa michezo ya kucheza Double Chance

Parimatch imejizatiti kuwaletea wateja wake michezo mingi na nafasi kubwa ya kuchagua ni aina gani ya michezo,michuano na timu gani unazotakak kubetia, utakuta ofa yako ya kucheza double chance kwenye michezo kibao kwanzaa handball hadi soka na hockey, Parimatch inakuruhusu kuweka double chance kwenye michezo yote hii.

 • Beti Double Chance 24/7

Jukwaa letu la kubeti limetengenezwa kwa namna ambayo mteja anapata michezo anayotaka kubetia muda wote na wakati wote, tunatoa huduma za wewe kuweza kubeti usika na mchana, na huku hauwezi kuchelewa kwani unaweza pia kubeti kwenye mchezo unaoutaka hata kama ukiwa live.

 • Huduma bora kwa wateja

Tumejizatiti kuhakikisha wateja wetu wanapata huduma za thamani muda wote na utofauti wa kipekee kucheza na parimatch, watoa huduma wetu wako tayari kukuhudumia muda wote ndani ya masaa yote 24 kwa siku na siku zote 7 za wiki iwe kwa email, simu au kuchati wako kwaajili yako.

Parimatch inavyochakataaje odds za Double Chance?

Kama utakavokua umeshagundua odds za double chance ni ndogo zaidi ya odds za kawaida au tuseme ni ndogo kuliko odds za single bet, hii ni kwasababu una nafasi mara mbili ya kushinda unapocheza double chance, mchakato wa kupata odds za double chance sio mgumu kama watu wengi wanavoyfikiri

Ili uweze kupata odds za kubeti kwa double chance, unachukua odds za matokeo hayo mawili yakiwa tofauti kisha unazidisha, kisha unagawanya majibu ya kuzidisha kwa majibu ya kujumlisha namba hizo mbili .

Timu A kushinda au kutoa sare = Timu A odds * draw odds( Timu A odds + odds za draw)

Je,kutakuwa na faida kuweka mikeka miwili tofauti?

Kwanza kabisa lazima ujue huwezi kuweka matokeo mawili tofauti kwenye tukio moja kwa kuwa huu utakuwa udanganyifu, ndiyo maana hakuna hili soko

Licha ya hivyo embu ngoja tufikirie mambo yangekuwaje kama hili lingeruhusiwa, tuchukulie mfano huu wa Norwich City vs Watford FC.

1×2 bet

1 2.65 Draw 3.55 2 2.55

Double chance bet

1 or draw 1.47 No draw 1.28 2 or draw 1.43

Odds za kwamba Norwich atashinda ni 2.65, na Watford kushinda ni 2.55,huku sare ikiwa na odds za 3.55, imagine umeweka dau la 100,000 TZS, na huu ukawa mkeka wa timu moja tu, japo ukitaka kupunguza risk yako kwa kuweka matokeo mawili (Norwich kushinda au kutoa sare) mkeka wa double chance una faida sana.

Embu fikiria kama unawabetia Norwich kushinda au kutoa sare, unagawanya 100,000 TZS kwenye mikeka miwili ya 50,000 TZS kila mmoja kubeti au kutoa sare. unaweka mkeka mmoja kwa Norwich kwa beti moja ya 2.65, na 50,000 TZS bet on a draw at 3.55 odds, tuseme Norwich wakitoa sare utashinda 177,500 TZS. Japo kupata faida inakubidi utoe kiwango cha awali cha 100,000 TZS hii inakuacha na faida ya 77,500 TZS.

Tuseme Norwich wakashinda kwa upande mwingine, utaishia kupata 132,500 TZS. na kukuacha na faida ya 32,500 TZS.

Sasa fikiria sasa uliweka beti kwenye double chance kwa Norwich kushinda au kutoa sare. Odds zako ni 1.47 na ukaweka 100,000 TZS kwenye matokeo haya. Hapa Norwich akishinda au akitoa sare utashinda faida ya 47,000 TZS.

Kama unavoona mwenye kubeti kwa double chance kuna faida zaidi kusawazisha ulingo kwa timu ndogo, ili kuja utashinda kiasi gani lazima uwe mwangalifu kwenye odds.

Double Chance ni kwajili ya mafundi au hata kwa watu wanajifunza

Double chance ndiyo mbinu rahisi zaidi kubeti na kushinda kwa kuwa unapata nafasi kubwa zaidi ya kushinda kwa kuwa una nafasi mara mbli ya kucheza na kushinda, kwa maana hii double chance huwag inaonekana kama mbinu ya watu wanaojifunza,mara nyinyi mafundi wengi hawajisumbui kutafuta odds ndogo.

Mafundi wengi wanapenda kuchagua mechi nyingi kwa double chance na kuweka dau kubwa sana ili waweze kuona faida, wataalamu wengi wa hizi kazi wanatumiaga double chance kujazilizia odds kwenye mikeka yao.

Kubeti kwa double chance kunaweza kuwa kwa faida yako, kujitahidi kubeti kwa timu ndogo ila unaweza double chance kupunguza uwezekano wa kupoteza na kuongeza uwezekano wa kushinda mkeka wako.

Pata nafasi mara mbili na Parimatch

Unasubiri nini? Sasa ambapo unajua kila kitu kinachohusiana na kucheza double chance, kama bado unajiuliza kama kubeti kwa double chance ni kwajili yako, jiulize kama unatosheka na kupata faida kidogo, kama unatosheka basi, hii ni ya kwako kabisa.

Double chance pia hutumikaendapo unataka kuipa ushindi timu ndogo lakini unataka kupuguza uwezekano wa kupoteza hela zako na uwezekano mkubwa wa kushinda pia, vile vile kama una uwezo wa kuweka madau makubwa makubwa hii ni kwajili yako.

Pakua app ya Parimatch leo kupata fursa ya kufurahia kucheza kwenye mechi nyinyi za kucheza double chance kwenye handball, soka na michezo mingine mingi mno! Usipitwe na fursa ya kubeti kwenye michuano mingi ya kukupa hela kwenye double chance baranai Afrika, jisajili leo!

 

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.