Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Timu Zote Mbili Kufunga Katika Kubeti

Inapokuja kwenye kubeti mtandaoni, Parimatch inakupa kila kitu. Tunaamini kwamba watumiaji wetu wanapaswa kunufaika kutoka kwenye mkusanyiko mpana zaidi wa machaguo ya kubeti. Pamoja na machaguo zaidi ya kubeti kwenye vidole vyako unaweza kubuni mbinu nzuri zaidi za kucheza kamari na kuongeza nafasi zako za kupata pesa katika kiasi kikubwa.

Moja kati ya machaguo na mbinu nyingi za kubeti kwenye jukwaa la kubeti michezo la Parimatch ni “Timu Zote Mbili Kufunga”. Mbinu maarufu ya kubeti, Timu Zote Mbili Kufunga huongeza mnenguo wa kusisimua kwenye mechi au mchezo, ambayo hukuweka kushiriki kutoka mwanzo hadi mwisho. Ni mikeka mizuri kama huwezi kuamua mshindi.

Unaweza kuwa umekutana na aina hii ya mikeka imefupishwa na ukashangaa “BTTS ni nini katika kubeti?” Ndio, inamaanisha “Both Teams to Score” yaani “Timu Zote Mbili Kufunga”.

Una nia ya kujua zaidi kuhusu mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga? Sio tu kwamba app ya Parimatch ya kubeti michezo ina uchaguzi mpana zaidi wa machaguo ya kubeti mtandaoni barani Afrika, lakini tuko hapa pia kusaidia. Timu yetu ya wataalamu wa kucheza kamari inayojitoa imejitolea kuhakikisha unapata kilicho bora kutoka kwenye app ya Parimatch. Ndio maana kwa umakini tumetengeneza mwongozo huu wa kina kukupitisha katika kila kitu unachohitaji kujua kuhusu kubeti “Timu Zote Mbili Kufunga”.

Mwongozo huu utakupa muhtasari wa maana ya “Timu Zote Mbili Kufunga”, pia maana ya BTTS. Tutakupa dondoo kali baadhi na mbinu za hatari kwa ajili ya kubeti Timu Zote Mbili Kufunga, wakati tukikusaidia kuamua wakati gani, mahali gani, na kwanini unapaswa kutumia BTTS. Ili uanze kwenye app ya Parimatch ya kubeti michezo, pia tumekupatia mwongozo wa hatua kwa hatua wa kuweka mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga kwa mibofyo michache tu!

BTTS Humaanisha Nini katika Kubeti?

Mikeka za Timu Zote Mbili Kufunga humaanisha kuwa unasema “Ndio” au “Hapana” kwenye ukweli uliyotolewa kwamba timu zote mbili zitafunga walau goli au alama moja katika mechi.

Aina hii ya mikeka imekuwa ikiongezeka umaarufu katika miaka ya karibuni. Hii ni kwa sababu ya elementi iliyoongezwa ya ushirikishwaji wa mbashiri na humaanisha hautakiwi kuchagua upande au tokeo la jumla.

Ni muhimu sana kuelewa kwamba hii haihusishi muda wowote wa ziada. Katika mpira wa miguu, kwa mfano, ungehitaji timu zote mbili kufunga walau goli moja ndani ya dakika 90 zilizotengwa. Hii uhusisha muda wa majeruhi lakini haihusishi muda wa ziada au mikwaju ya adhabu.

Kwa aina hii ya kubeti, kutumia takwimu kunaweza kuwa rahisi. Unahitaji kuelewa timu zipi huwa mara zote zinafunga walau goli moja, na halafu kufikiria wakati zikicheza dhidi ya kila moja. Badala yake, unaweza kuzingatia timu zipi zina safu nzuri za ushambuliaji, lakini zina upungufu katika idara ya ulinzi.

Tuseme kwa mfano kuwa unabeti kwenye Timu Zote Mbili Kufunga katika mechi inayokuja ya Arsenal na Newcastle.

Timu zote mbili kufunga

Ndio 1.88 Hapana 1.86

Kama unavyoweza kuona, odds ni ndogo kiasi fulani kwenye mikeka ya BTTS hapa kwa maana kitakwimu ina uwezekano sana kutokea. Licha ya ukweli kwamba Arsenal ni bora zaidi kuliko Newcastle United pindi ukilinganisha alama za magoli kutoka kwenye mechi 6 za mwisho, unaweza kuona kwamba Arsenal imefunga katika tano kati ya mechi zao sita za mwisho. Newcastle imefunga katika nne kati ya mechi zao sita za mwisho, kufanya iwe rahisi sana kuwa watafunga tena. Newcastle pia imeruhusu magoli katika 50% ya mechi zao sita za mwisho, na Arsenal imeruhusu magoli katika mbili ya tatu ya mechi zao sita za mwisho. Hii hufanya iwezekane kuwa timu zote mbili zitaruhusu goli pia. Kwa maana hii, alama hii ya mikeka ya BTTS ina nafasi nzuri ya kulipa.

Tofauti za Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga

Watumiaji ambao huwa wanabeti kwenye Timu Zote Mbili Kufunga, pia hupenda kuweka mikeka kwenye mbinu nyingine sawia. Hizi hapa ni mbinu baadhi zinazoweza kulinganishwa ambazo pia unaweza kuvutiwa nazo:

  • Timu Zote Mbili Kufunga katika kipindi cha 1/kipindi cha 2 (Ndio/Hapana) — Hii ni mikeka hiyo hiyo ya BTTS lakini inakomea kwenye moja ya vipindi, ambacho huifanya kuwa ngumu kidogo.
  • Goli lifungwe katika vipindi vyote viwili (Ndio/Hapana) — mikeka hii huleta maana kama unaamini kutakuwa na walau goli moja litakalofungwa katika kila moja ya vipindi.
  • Timu A / Timu B kufunga goli (Ndio/Hapana) — Hii ni mikeka tofauti ambapo unakubali au hukubaliani kuwa moja kati ya timu itafunga goli.
  • Timu A / Timu B kufunga katika vipindi vyote viwili (Ndio/Hapana) — Hii hapa ni aina ya mikeka iliyopita iliyofanywa kuwa ngumu zaidi ikiwa na ulazima wa timu fulani kufunga walau mara moja katika kila kipindi.
  • Goli katika kipindi cha 1 / kipindi cha 2 (Ndio/Hapana) — Hii ni mikeka tofauti ambapo unatabiri ikiwa kutakuwa na walau goli moja (kwa timu yoyote) litakalofungwa katika kipindi fulani.
  • Goli (Hapana) — Ni chaguo moja tu hapa na unalibetia kama unaamini hakutakuwa na magoli yatakayofungwa katika mchezo.
  • Goli la 1 kufungwa (Timu A, Timu B) — Hapa, unachagua timu ipi itafunga goli la kwanza.
  • Totals (Over / Under) — Kwenye mikeka hii, unatabiri ikiwa kutakuwa na magoli zaidi au machache katika mechi kulinganisha na namba iliyowekwa.
  • Magoli witiri/shufwa — Hapa unajaribu kukisia ikiwa jumla ya magoli itakuwa namba witiri au shufwa.

Tofauti Kati ya Kubeti BTTS Mubashara na Kabla ya Mechi

Utofauti mkubwa kati ya kubeti BTTS mubashara na kabla ya mechi uko katika odds.

Pindi unabeti kwenye mchezo kabla ya mechi, odds zinabaki vile vile katika muda wote wakati wa mchezo. Odds za kubeti mubashara hubadilika wakati wa mchezo kutegemeana na hatua ya mchezo.

Hii ni kwa sababu odds za kabla ya mechi zinatokana na takwimu kuhusu kila uchezaji wa timu. Odds za BTTS za kabla ya mechi huzingatia kiwango cha timu katika ligi, wachezaji majeruhi, mtindo wa ushambuliaji/kujilinda, na mpango wa mchezo wa meneja. Juu ya hili, odds pia zitazingatia mechi chache za mwisho ambazo timu ilicheza, zikitathmini ikiwa timu (au mchezaji, kutegemeana na mchezo) imefunga walau goli au alama moja. Odds hizi mara zote zitabakia sawia, haijalishi nini hutokea kwenye hiyo siku.

Odds mubashara hubadilika kwa maana zinatokana na kitendo katika mchezo kadri unavyoendelea. Wakati odds za takwimu zinaweza kutabiri nafasi za timu kutegemeana na uchezaji uliyopita, odds mubashara huzingatia matukio halisi yanavyoendelea. Kwa mfano mchezaji anatolewa au hali ya hewa inabadilika ghafla. Labda jeraha linatokea au mtu anajifunga. Sababu zote hizi zinaweza kuiathiri mikeka katika njia zisizotabirika, ndio maana odds za kubeti mubashara hubadilika kadri mchezo unavyoendelea.

Kanuni Zipi Hutumika kwenye BTTS?

Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga ni za msingi sana, kufanya iwe rahisi kwa mwanafunzi yoyote kupata ufahamu juu ya jinsi zinavyofanya kazi. Hilo likiwa limesemwa, ni muhimu kuelewa kuwa aina hizi za mikeka zina kanuni baadhi hasa ambazo zinahitajika kufuatwa. Wakati inaonekana rahisi sana — aidha timu zote mbili zifunge au zisifunge — kuna maeneo machache ambayo kanuni hizi husaidia kuyanyoosha. Hakikisha unafikiria kanuni hizi pindi unaweka mikeka:

  • Hakuna Muda wa Ziada

Ili kushinda kwenye mikeka hii, timu zote mbili zinahitaji kufunga wakati wa muda kamili wa mchezo. Katika soka, hii ingemaanisha kuwa timu zote mbili zingetakiwa kufunga ndani ya kipindi cha dakika 90. Kama mchezo unaishilia kwenye muda kamili na unakwenda muda wa nyongeza, magoli haya hayahesabiki. Kwenye Mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga, unatakiwa kuwa na wasiwasi tu kuhusu hili kama inaelekea muda kamili kwenye alama ya 0-0. Katika kesi hii, mchezo unaweza kwenda kwenye muda wa ziada kuamua nani anashinda mechi. Kwa wewe, kama mbashiri, hata hivyo, ungepoteza mikeka ya BTTS kwa maana hakuna magoli yaliyofungwa katika kipindi cha dakika 90.

  • Muda wa Majeruhi Unajumuishwa

Muda wa ziada hurejelea kwenye muda uliyoongezwa kwenye saa ambayo inatumiwa kuamua timu ipi inashinda. Katika muda huu, timu zote mbili zinatakiwa kujaribu kadri inavyowezekana kufunga alama ya ushindi. Huu ni tofauti na muda wa majeruhi. Muda wa majeruhi hurejelea kwenye dakika zilizoongezwa ambazo zilitumika kutokana na majeraha wakati wa dakika 90. Kwa mfano, kama mchezaji anatakiwa kubebwa kutolewa nje ya uwanja na hili linachukua dakika tano kutoka kwenye dakika 90 kamili, dakika tatu zitaongezwa kwenye saa mwishoni. Hii inahesabiwa katika mikeka ya BTTS. Kama alama ni 0-0 na timu zote mbili zinafanikiwa kufunga katika dakika tano za ziada za muda wa majeruhi, ungeshinda mikeka hiyo.

  • Magoli ya Kujifunga Bado Uhesabika

Timu Zote Mbili Kufunga kinaweza kuonekana kuwa kama kichwa kinachopotosha pindi ukifikiria magoli ya kujifunga. Ikiwa upande mmoja ukifunga goli la kujifunga dhidi yao wenyewe na ukafunga goli dhidi ya timu pinzani, alama itakuwa 1-1, lakini timu zote mbili hazijafunga. Timu moja ndio imefunga magoli yote! Hata hivyo, hii bado uhesabika kwenye mikeka ya BTTS. Kwa maana hii, aina hii ya mikeka huelezewa kwa uzuri zaidi kama timu zote mbili zinaruhusu walau goli moja! Kwa kifupi, kama goli la kujifunga likifungwa, linahesabika kana kwamba timu shambulizi ililifunga.

  • Michezo Iliyohairishwa Bado Inaweza Kuwa Shindi

Fikiria kwamba unaangalia mchezo kwa shauku, umewekeza kikamilifu mikeka yako ya BTTS, na mvua inaanza kunyesha sana. Kiukweli, inaanza kunyesha sana kiasi kwamba mchezo unatakiwa kuhairishwa kutokana na kwamba wachezaji hawawezi kuendelea. Katika mazingira haya, mikeka bado inaendelea kuwepo mpaka wakati mechi inapohairishwa. Kama unabeti kuwa timu zote mbili zifunge na ni moja tu (au hakuna yoyote) ambayo imefunga hadi hatua hii, bado unapoteza dau lako. Hata hivyo, kama timu zote mbili zimefunga na mchezo umehairishwa, bado unashinda mikeka. Upekee unaweza kutokea kama mchezo ulikamilika ndani ya masaa 12 kutoka kuanza kwake. Katika kesi hii, matokeo yanafafanuliwa kwa matunda ya mchezo.

Dondoo na Mbinu za Timu Zote Mbili Kufunga

Kama mbinu zote za kubeti, kuna njia nzuri kuboresha nafasi zako za kuchagua mikeka ya ushindi. Kama ambavyo mwanadondoo yoyote atakavyojua, hii mara nyingi humaanisha kuchimba chini kuziangalia takwimu na kuelewa historia ya hivi karibuni ya uchezaji, au kuzitambua fursa wakati mchezo ukiwa mubashara katika uchezaji.
Hizi hapa ni chache kati ya lulu zetu za busara pindi inapokuja kwenye kuweka mikeka ya BTTS. Wakati hakuna moja kati ya dondoo au mbinu hizi inayokuhakikishia ushindi wa 100%, bali zinakuleta karibu zaidi na malipo.

Jinsi ya Kuchambua Timu Zote Mbili Kufunga

Kama unabeti kabla ya mechi, mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga hutegemea kwenye uchambuzi wa takwimu. Kwa kuelewa timu zipi zina uwezekano zaidi kufunga walau goli moja, utakuwa na nafasi nzuri zaidi ya kushinda. Kwa bahati, kuna rasilimali nyingi mtandaoni kukusaidia kwa hili!

Chambua Takwimu za Timu Zote Mbili Kufunga

Tovuti nyingi za takwimu za mtandaoni hutoa majedwali ya data ambazo hulinganisha timu na michezo yao iliyopita.

Kwenye tovuti hizi, utakuta majedwali ambayo yanaorodhesha magoli ya timu kwa mechi. Mara zote kwenye hili, utaona safu wima kwa ajili ya BTS (au “Both Teams Scored”). Hii itakuonyesha michezo mingapi kila timu imecheza katika msimu uliyopita ambapo matokeo yaliishia kwenye timu zote mbili kufunga.

Both teams to score statistics chart

Source: Soccer Stats

Kama unavyoweza kuona kutoka kwenye jedwali hili, Wolves walikuwa wana michezo 19/25 ambapo timu zote mbili zimefunga. Hii inaifanya iwezekane kuwa mechi za Wolves zitaishia kwenye timu zote mbili kufunga. Hebu tuchukulie mfano wa mechi inayokuja ya Wolves dhidi ya Leicester City. Leicester walikuwa wana mechi 15/25 ambapo timu zote mbili zilifunga. Hii inaifanya iwezekane sana kuwa timu zote mbili zitafunga pindi zikikutana na kila moja katika mchezo wao unaokuja.

Linganisha hii na mchezo unaokuja kati ya Sheffield United na Bournemouth, ambapo tokeo la BTTS limetokea mara 10/25 tu na mara 13/25, vivyo hivyo. Katika kesi hii, kuna uwezekano mdogo zaidi kuwa timu zote mbili zitafunga.

Angalia Ugenini dhidi ya Nyumbani

Aidha timu inacheza nyumbani au ugenini inaweza kuathiri ikiwa ina uwezekano wa kufunga. Faida ya timu ya nyumbani ni sababu makini, na timu baadhi zina uwezekano zaidi wa kufunga nyumbani na uwezekano mdogo zaidi wa kufunga ugenini. Kutokana na hili, unaweza kukuta kuwa timu zina nafasi kubwa zaidi ya timu zote mbili kufunga katika michezo ya nyumbani kuliko katika michezo ya ugenini.

Chukulia mchezo huu unaokuja kati ya Aston Villa na Tottenham Hotspur. Katika michezo 12 ya mwisho ya nyumbani ya Aston Villa, timu zote mbili zimefunga kwenye nafasi nane. Katika michezo 12 ya mwisho ya ugenini ya Tottenham Hotspur, timu zote mbili zimefunga mara nane. Hii hupendekeza kuwa timu zote mbili zitafunga katika mchezo huu.

Zingatia Matokeo ya Hivi Karibuni ya Mechi

Je! Unashangaa “Ninachagua vipi mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga?” Wakati ni vizuri kuangalia msimu mzima uliyopita wa timu, ni muhimu pia kuelewa michezo yao michache iliyopita. Hii ni kwa sababu mabadiliko hutokea katika msimu ambayo yanaweza kuwa na athari mbaya (au chanya) kwenye uchezaji wa hivi karibuni wa timu. Chukulia mfano wa jeraha la mgongoni la Rashford. Tangu hili litokee, Manchester United haijafunga katika 50% ya michezo yao na hata walipoteza kwa Burnley!

Kwa maana hii, ni uerevu kuzingatia historia ya hivi karibuni ya timu. Kama ukilinganisha timu mbili ambazo zote zimeruhusu magoli na zimefunga katika mingi kati ya michezo yao iliyopita, basi kuchagua mikeka ya BTTS ni wazo zuri.

Fikiria Kuhusu Ushambulizi na Ulinzi

Ikiwa unataka kujua jinsi ya kushinda tuzo za mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga, basi unahitaji kufikiria timu shambulizi na timu linzi. Fikiria kuwa, kwenye upande mmoja, una timu shambulizi sana yenye mfunga magoli mzuri, kama Jamie Vardy kwa Leicester City. Kwenye upande mwingine, una timu nzuri sana kwenye ulinzi kama Liverpool, ambayo imeruhusu magoli 15 tu mpaka sasa msimu huu ikiwa haijafungwa michezo 11. Sasa una nguvu isiyoweza kuzuiliwa na mwamba usioweza kusogea. Katika mazingira haya, kuna uwezekano mdogo sana kuwa timu zote mbili zitafunga.

Kaa Mbali na Timu Dhaifu Dhahiri

Wakati mara zote unaweza kutumia mazingira ya timu dhaifu kuipa mikeka njia iliyo wazi, hii sio mbinu bora kwa mikeka ya BTTS. Pindi ukiwa na timu pendwa dhahiri sana, hii ni kwa sababu ni wazi wana ujuzi zaidi kuliko timu nyingine.
Chukulia mechi ya hivi karibuni kati ya Tranmere Rovers na Manchester United, ambayo iliishia 0-6 kwa Man U. Hii ni kwa sababu Man U ni kikosi kizuri zaidi sana. Sio tu kwamba ni wazuri kwenye kufunga magoli, lakini pia ulinzi wao umebana zaidi sana. Pamoja na hili akilini, Tranmere Rovers walikuwa wakihangaika kupambana kufunga dhidi ya Man U. Kwa maana hii, haingekuwa busara kuweka mikeka ya BTTS, kutokana na kwamba timu moja haina uwezekano sana wa kufunga.

Mbinu kwa ajili ya Kubeti Mubashara kwenye Timu Zote Mbili Kufunga

Kitu cha muhimu kwenye kubeti mubashara kwenye BTTS ni kufikiria mbele katika mchezo. Ili kuelewa ikiwa timu zote mbili zitafunga, unahitaji kuzingatia nini kingeweza kutokea katika mchezo wote ambacho kingeathiri hili.

Kadi Nyekundu kwa Timu Pendwa

Fikiria kwamba unatazama mchezo kati ya Manchester United na Watford. Ni wazi, kuna uwezekano zaidi sana kuwa Manchester United itashinda, na pamoja na ulinzi mzuri, inawezekana ikawa ngumu kwa Watford kuitangulia Man U kwa moja.

Sasa fikiria kuwa Man U inashinda 2-0 na ghafla Lindelof anatolewa. Sasa kuna uwezekano zaidi sana kuwa Watford watafunga goli. Katika hali hii, inastahili kuweka mikeka ya BTTS.

Walinzi Waliyojeruhiwa

Mazingira mengine ambapo timu dhaifu inaweza ghafla kupata goli lisilotegemewa yangekuwa kama mlinzi anajeruhiwa wakati wa mchezo. Tuseme, mlinzi pendwa bora anaumizwa, atahitaji aidha kubadilishwa au aendelee kucheza akiwa na jeraha. Katika hali zote hizi mbili, kuna nafasi kubwa zaidi timu dhaifu itapata goli kuitangulia timu pendwa. Hii ni fursa nyingine makini kuweka mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga.

Uchaguzi wa Timu

Mbele ya muda, mameneja ubashiri huwa hawajui timu ipi meneja ataichagua kucheza kwenye siku hiyo. Unaweza kukuta kuwa wakati timu moja huonekana kuwa nzuri zaidi kuliko nyingine, wanaweza kuchezesha kikosi cha pili kwenye siku hiyo. Wakati mwingine mameneja huwatunza wachezaji kwa ajili ya mashindano makubwa zaidi. Hii huongeza nafasi ya timu dhaifu kufunga.

Chukulia mechi inayokuja ya ligi kati ya Arsenal na Newcastle United. Wakati Arsenal ni timu nzuri zaidi sana, lakini wako bize pia wakifanya mazoezi kwa ajili ya Kombe la FA. Katika mtazamo huu, Mikel Arteta anaweza kuchagua kukitunza kikosi chake bora kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la FA unaokuja na kuchezesha timu rahisi zaidi dhidi ya Newcastle. Hii inaweza kufanya iwe rahisi zaidi kwa Newcastle kufunga goli, kuongeza nafasi kuwa timu zote mbili zitafunga.

Kutokana na kwamba hautajua timu ipi inacheza mpaka siku hiyo, mbinu hii inaweza kutumika tu kwa mikeka mubashara ya BTTS.

Unabeti Vipi kwenye Timu Zote Mbili Kufunga kwenye Parimatch?

Kama unahamasika kuweka mikeka yako mwenyewe kwenye Timu Zote Mbili Kufunga, umekuja kwenye sehemu sahihi. App ya Parimatch ya kubeti michezo imebuniwa kuwawezesha watumiaji wote kuweka aina zote za mikeka kwa kubonyeza mara chache. Kiurahisi pakua APK ya app yetu ya kubeti michezo na utakuwa unaweka mikeka ya BTTS ndani ya dakika.

Huu hapa ni muhtasari wa kina kukuongoza katika kubeti BTTS kwenye Parimatch. Kwa kutumia mwongozo huu wa hatua kwa hatua, utakuta ni rahisi kuweka mikeka ya BTTS kutokea mwanzo hadi mwisho.

  1. Kwanza, utahitaji kujisajili kwa ajili ya akaunti ya Parimatch. Unaweza kufanya hili kwa kubofya kitufe cha “Jiunge” juu mwa ukurasa. Pindi umejisajili, ingia kupitia kitufe hiko hiko na hakikisha unaweka pesa.
  2. Pindi umejiunga, unahitaji kuamua ikiwa ungependa kuweka mikeka ya kabla ya mechi, mubashara au ya michezo ya virtual. Unaweza kwenda kwenye sehemu sahihi kwa kubofya moja ya machaguo katika menyu: “Mchezo” kwa ajili ya kubeti kabla ya mechi, “Mubashara” kuweka mikeka mubashara, na “Virtual” kwa ajili ya machaguo ya kubeti michezo ya virtual.
  3. Kinachofuata, utapelekwa kwenye ukurasa ambapo utahitaji kuchagua mchezo ambao ungependa kuubetia. Utaona kuwa tumeweka kwa kufaa ligi maarufu zaidi juu ya ukurasa kwa uvinjari rahisi zaidi wa moja kwa moja. Kama ligi yako haitokei hapa, unaweza kuchagua kitufe cheupe sahihi kikiwa na mchezo wako.
  4. Ukurasa unaofuata utaonyesha nchi zote ambapo mchezo unachezwa. Kama ukibofya nchi ambapo mechi yako inachezwa, menyu mdondoko itatokea ambayo hukuonyesha ligi zote zinazopatikana, michuano, na mashindano yaliyopo kwa ajili ya kubeti.
  5. Chagua ligi au michuano ambayo ungependa kuibetia. Hii itakuchukua hadi kwenye ukurasa unaoorodhesha mechi zote zinazopatikana kwa ajili ya kuzibetia.
  6. Nenda chini kutafuta mechi ambayo ungependa kuiwekea mikeka.
  7. Ili kuweka mikeka ya BTTS, utahitaji kwenda katika ukurasa wa mechi. Unafanya hili kwa kubofya kwenye kichwa cha mechi.
  8. Pindi uko kwenye ukurasa wa mechi, utaona katalogi yenye machaguo yote ya kubeti yanayowezekana. Nenda chini kutafuta “Timu Zote Mbili Kufunga”.
  9. Bofya “Ndio” kama unaamini kuwa timu zote mbili zitafunga. Badala yake, unaweza kubofya kwenye “Hapana” kama una uhakika haitatokea. Boksi lililochaguliwa litabadilika kuwa limewekewa alama na namba ndogo itatokea katika tiketi yako ya ubashiri.
  10. Kama umemaliza kuweka mikeka, nenda kwenye tiketi ya ubashiri kumalizia mikeka ya single. Angalia kuwa mikeka hiyo ni sahihi na weka mikeka yako katika boksi. Bofya kitufe kikubwa kinachosema “Weka mikeka” kumalizia mikeka yako.
  11. Kama unataka kuweka mikeka mingi, rudia hatua 1-9.
  12. Pindi uko tayari kumalizia mikeka Yako, nenda kwenye sehemu ya tiketi ya ubashiri. Utaona kuwa unaweza kuweka mikeka ya parlay (accumulator).
  13. Kama ukichagua kuweka mikeka ya parlay, angalia kuwa taarifa zote za mikeka ni sahihi. Nenda chini kuongeza dau lako na bonyeza “Weka Mikeka”.

Masoko Zaidi ya Kubashiri kwa Ajili Yako

Kutamatisha…

Kubeti kwenye Timu Zote Mbili Kufunga kwa kiasi fulani ni mikeka salama kama unajua nini unachofanya. Hii ndio maana aina hii ya kubeti haina odds kubwa hasa. Ujanja ni kuzijua timu zako na kuchambua historia yao ya mchezo. Kama timu zote mbili ambazo zinacheza dhidi ya kila moja hufunga magoli mengi lakini pia huruhusu magoli mara kwa mara, hii ni mechi nzuri kuweka mikeka ya BTTS. Ni bora kusoma takwimu na kutafuta timu ambazo zimekuwa zina idadi kubwa ya michezo ambapo timu zote mbili zimefunga. Pia, zingatia uchezaji wa timu hizi. Kama timu zote mbili ni shambulizi sana lakini haziko vizuri kwenye ulinzi, hizi ndio mechi nzuri kuziwekea dau la mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga.

Kama unatafuta kuweka mikeka ya BTTS, app ya Parimatch ya kubeti michezo ndio jukwaa zuri la kuweka kwa urahisi aina hizi za mikeka bila shida. App yetu iliyo rahisi kutumia hufanya iwe rahisi kuvinjari kwenye mikeka ya BTTS, wakati jukwaa la Parimatch hutoa mkusanyiko mpana zaidi wa mikeka ya BTTS barani Afrika. Kutoka kwenye mikeka ya BTTS katika vipindi vyote viwili hadi BTTS katika kipindi cha kwanza au cha pili tu, Parimatch hutoa mkusanyiko mzima wa mikeka ya Timu Zote Mbili Kufunga. Ndio maana sisi ni nambari moja nchini Tanzania inapokuja kwenye kubeti mtandaoni!

Hauamini jinsi ilivyo rahisi? Jiunge na Parimatch leo na jiingize kwenye ulimwengu wa mikeka ya BTTS!

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, unatabiri vipi timu zote mbili kupata bao?

Ili kutabiri timu zote mbili kupata bao, utahitaji kuzingatia:

  • matokeo ya siku za karibuni;
  • mlolongo wa ufungaji wa mabao;
  • muda wa kufunga magolil;
  • mlolongo wa kuzuia magoli.

Chaguo la timu zote mbili kupata magoli linafanyaje kazi Parimatch?

Kwa mfano, unaweka dau kwenye mechi ya timu A na B na 1.99 Ndiyo na 1.91 Hapana, uwezekano mdogo zaidi kwenye ubashiri wa BTTS (timu zote kufunga bao). Sasa, ukiangalia takwimu za awali, utagundua kuwa timu A kwa ujumla ni bora kuliko timu B, ikiwa na rekodi ya juu zaidi ya alama. Kwa hivyo, katika hili suala, timu A itakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda.

1X2 na timu zote mbili kufungana inamaanisha nini?

Dau la 1X2 linarejelea kubetia ikiwa na uwezekano wa sare, huku 1 ikimaanisha ushindi wa nyumbani, X kwa sare, na 2 ushindi wa ugenini. Kwa upande mwingine, timu zote mbili za kufungana (au BTTS) inamaanisha kuwa una “Ndiyo” au “Hapana” juu ya ukweli uliowekwa kuhusu timu zote mbili kwenye mechi, hasa kuwa timu zote zitafunga angalau bao au alama moja kwenye mechi hiyo.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.