Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Moneyline ni Nini katika Kubeti Michezo?

Mikeka ya moneyline ndio aina rahisi zaidi ya kubeti michezo kwa wale wanaotafuta kushinda malipo makubwa kwa urahisi kiasi fulani. Odds za moneyline ni rahisi sana kuelewa, kiasi kwamba kiukweli si cha kushangaza jinsi zilivyo maarufu kwa wataalamu wa kimsimu na wanafunzi sawia.

Odds za moneyline ndio kundi la kwanza la odds ambalo wabashiri wenye faida zaidi hulitafuta pindi wakiamua wapi pa kubetia pesa zao — na kwa sababu nzuri.

Unaweza ukawa unashangaa mikeka ya moneyline ni nini au jinsi ya kusoma odds za moneyline. Usiwe na wasiwasi, umekuja kwenye sehemu sahihi.

Mwongozo huu utaangazia moneyline ni nini, jinsi ya kusoma odds za moneyline, jinsi ya kukokotoa malipo ya moneyline, na fahamu nyingine muhimu.

Endelea kusoma ili uweze kujidhatiti kwa kujiamini kwa ujuzi wote wa muhimu kuanza kufurahia kampeni yenye matunda ya kubeti michezo.

Moneyline Humaanisha Nini katika Kubeti?

Mikeka ya moneyline humaanisha unabetia tu juu ya yapi yatakuwa matokeo ya mechi.

Hata kama kamwe haujawahi kubeti rasmi kwa sportsbook, kuna nafasi nzuri umeweka mikeka ya moneyline hapo nyuma.

Umeshawahi kamwe kusema kwa rafiki kitu fulani kama, “Ninakubetia Manchester City watawafunga Manchester United”?

Kama umewahi, basi ulipendekeza mikeka ya moneyline.

Kutegemeana na mchezo au tukio, kwa kawaida kuna matokeo matatu ya mechi yanayowezekana. Timu inaweza kushinda, kupoteza, au sare. Muda mwingine, sare inaweza isitokee au isiwezekane.

Chukulia mpira wa miguu, kwa mfano, kama ni mchezo wa mtoano basi sare (bila bila) haiwezekani. Katika kesi hii, mikeka ya moneyline kwenye sportsbook zingewasilisha odds za moneyline za njia-2.

Sasa fikiria mechi ya soka ya msimu wa kawaida ambapo, tofauti na mchezo wa mtoano, mechi inaweza kutamatika katika sare. Odds za moneyline kwenye sportsbook zingewasilisha machaguo matatu ya kuyabetia — kivingine hujulikana kama mikeka ya moneyline za njia-3 au mikeka ya “kushinda” za 1X2.

Kutegemeana na sportsbook, unaweza kuona mikeka ya moneyline zimewasilishwa kama mikeka ya “kushinda”. Usiwe na wasiwasi, ni aina hiyo hiyo ya mikeka — ni neno tofauti tu.

Mikeka ya Moneyline Hufanya Vipi Kazi?

Kama uko katika soko la moneyline (kushinda), unaombwa kuchagua matokeo ya mechi unayoifikiria. Kama ukikisia kwa usahihi, utashinda mikeka yako — ni rahisi kama hivyo.

Kila matokeo yanayowezekana ya mechi yatakuwa na odds za moneyline zinazohusiana nayo.

Angalia mfano huu kutoka kwenye moneyline ya kubeti michezo kwenye Parimatch:

Kagera Sugar vs Coastal Union moneyline bet on Parimatch

Unaweza kuamua kuwa hii ni moneyline ya kubeti kwa njia-3 (1X2) kwa sababu sare ni matokeo yanayowezekana. Odds za moneyline ni namba zinazofuata baada ya kila tokeo. Kama ukichagua Kagera Sugar kushinda, na wakashinda, utapokea malipo yanayoakisi odds za desimali.

Kuelewa Odds za Moneyline

Odds za moneyline huashiria mambo matatu muhimu, ambayo wabashiri wote waerevu lazima wayazingatie kabla ya kubeti. Kwa kuangalia kwenye odds za moneyline kutafichua timu pendwa/timu dhaifu, malipo yanayowezekana, na implied probability.

Timu pendwa/timu dhaifu

Dhana ya msingi kwenye kubeti michezo ni kupima hatari dhidi ya tuzo.

Mikeka ya moneyline kwenye timu pendwa ni zenye hatari kidogo zaidi hivyo zina tuzo kidogo zaidi. Kinyume chake, mikeka ya moneyline kwenye timu dhaifu zina hatari zaidi na hutoa malipo makubwa zaidi.

Timu (matokeo) yoyote yenye odds za desimali ndogo zaidi mbele ya jina lao ndio timu pendwa. Kimantiki, timu yenye odds kubwa zaidi ndio timu dhaifu.

Muda mwingine chaguo la sare ndio tokeo pendwa (lenye uwezekano mkubwa kutokea).

Malipo yanayowezekana

Inawezekana sehemu muhimu zaidi ya odds za moneyline ni malipo ya moneyline. Isitoshe, malipo sio sababu tosha kwanini wabashiri wanabeti?

Kwa mahesabu fulani rahisi sana, unaweza kukokotoa malipo ya jumla ya moneyline (na faida) kwa kuhusisha odds za moneyline.

Kama mahesabu sio kitu chako, husiofu, sportsbook nyingi za mtandaoni kama Parimatch hukokotoa kiotomatiki malipo kwa ajili yako.

Kama una shauku jinsi ya kanuni inavyofanya kazi, ni hii hapa:

Dau lako * Odds za Desimali = Jumla ya Malipo

Jumla ya Malipo – Dau Lako = Jumla ya Shindi

Kwa mfano, kama uliibetia TZS 10,000 timu ya nyumbani kushinda kwenye odds za desimali za 2.0 kanuni ingeonekana kama hivi:

TZS 10,000 * 2.0 = TZS 20,000 (jumla ya malipo)

TZS 20,000 – TZS 10,000 = TZS 10,000 (jumla ya shindi)

Kama ulichagua kwa usahihi, ungepata faida ya TZS 10,000 au katika maneno mengine, ungerudufu pesa yako.

Implied probability

Odds za moneyline ndio njia pekee ya kuamua implied probability ya mechi.

Kama hauna uhakika implied probability inamaanisha nini, hauko peke yako. Wabashiri wengi wa mara ya kwanza wanaweza kuchanganyikiwa, lakini kiukweli ni rahisi sana kuelewa.

Implied probability ni nafasi tu ya tokeo kutokea kulingana na mtengeneza odds. Wakati ukikokotoa implied probability kwa kutumia odds za moneyline, utaweza kuelewa vizuri zaidi kiasi cha hatari cha mikeka.

Kwa mfano, baada ya kukokotoa implied probability utakuja na asilimia ambayo huonyesha nafasi — yaani Barcelona ina nafasi ya 90% kushinda.

Kanuni ni hii hapa:

(1/odds za desimali) * 100 = Implied Probability

Huu hapa ni mfano kwa kutumia odds za moneyline kutoka kwenye Ligi Kuu kwenye Parimatch:

Young Africans vs Dodoma Jiji FC moneyline bet on Parimatch

Implied probability ya Young Africans kushinda:

(1/1.30) * 100 = nafasi ya 76.9%

Implied probability ya sare kutokea:

(1/5) * 100 = 20%

Implied probability ya Dodoma Jiji FC kushinda:

(1/9.2) * 100 = nafasi ya 10.8%

Unaweza ukawa umegundua kuwa pindi ukijumlisha implied probability zote, namba inakuwa juu ya 100%. Hii ni ya kukusudiwa na mtengeneza odds. Asilimia inayobakia ni kifuta jasho cha meneja ubashiri — kwa kawaida hujulikana kama “juisi” ya meneja ubashiri.

Angalia mwongozo wetu wa kina kama unataka kujifunza zaidi kuhusu jinsi ya kusoma na kukokotoa odds za kubeti michezo.

Faida za Mikeka ya Moneyline

Kuna aina mbalimbali nyingi za mikeka zinazotolewa kwenye Parimatch. Hizi hapa ni baadhi ya sababu kwanini kubeti michezo kwa moneyline ni maarufu zaidi miongoni mwa wachezaji ulimwenguni kote.

Urahisi

Mpaka sasa inawezekana umegundua jinsi mikeka ya moneyline zilivyo rahisi. Chagua timu kushinda na umemaliza.

Mtindo huu wa msingi wa kubeti ni wa kuvutia sana kwa wabashiri. Kwanini kuufanya kuwa mgumu zaidi kuliko unavyotakiwa kuwa?

Bila shaka, aina nyingine za mikeka iliyopo zinavutia pia lakini, kadri mikeka inavyokuwa ya kutatanisha, ndivyo kuna nafasi zaidi kwa makosa.

Pia, kadri mikeka inavyokuwa rahisi zaidi, ndivyo unavyotakiwa kuiwekea umakini kidogo pindi ukiwa unatazama tukio mubashara. Isitoshe, wabashiri wengi wa michezo wanatafuta njia ya kuongeza msisimko fulani zaidi kwenye mechi — na mikeka rahisi ndio njia bora ya kufanya hivyo.

Njia rahisi ya kutafuta thamani

Wabashiri wenye mafanikio zaidi hawabeti kwa kukisia, hubeti kwenye thamani. Hii humaanisha kuwa hupitia odds na kuweka “mikeka yenye thamani kubwa”.

Kwa kuzingatia mikeka ya moneyline zilivyo rahisi, ni rahisi zaidi kugundua thamani kwenye odds za moneyline kulinganisha na aina nyingine za mikeka (handicap, totals, alama sahihi).

Fikiria aina ya mikeka ya “matokeo sahihi” kwa mfano, ambapo unaombwa kutabiri alama sahihi kabisa ya mechi. Ni dhahiri kuwa kutabiri tokeo hili kwa usahihi ni ngumu sana. Matokeo yake, ni ngumu zaidi kujua kama umepata mikeka yenye thamani.

Sasa fikiria kuhusu mikeka ya moneyline, ambapo yote unayotakiwa kufanya ni kutabiri moja kati ya matokeo matatu (muda mwingine mawili). Kokotoa tu implied probability ya odds za moneyline na ilinganishe dhidi ya utabiri wako mwenyewe. Kama unafikiri implied probability hiyo ni ndogo zaidi kuliko ulichotabiri, umejitafutia mwenyewe mikeka yenye thamani.

Malipo makubwa kwenye wasiwasi mkubwa

Ingawa mikeka ya moneyline ni rahisi na nzuri kwa wanaoanza, haimaanishi huwezi kushinda jumla kubwa za pesa. Kiukweli, wabashiri wataalamu baadhi hubeti tu kwenye odds za moneyline.

Kama unatafuta kutengeneza pesa zaidi kwa mikeka ya moneyline, utahitaji kuzitambua mechi ambazo zitapelekea katika wasiwasi. Hivyo ni kusema, odds zipi za moneyline si onyesho sahihi la unachoamini kitatokea.

Watengeneza odds hawawezi kupata tabiri zao kwa usahihi 100% ya muda. Wajibu wako kama mbashiri ni kutafuta odds za moneyline ambazo hupingana na tabiri zako mwenyewe.

Pindi ukiiunga mkono timu dhaifu ya meneja ubashiri, odds zitakuwa kubwa zaidi — kupelekea katika malipo makubwa. Katika maneno mengine, wasiwasi unavyokuwa mkubwa zaidi, ndivyo malipo yako yatakuwa makubwa zaidi.

Mikeka ya moneyline ni njia nzuri sana ya kushinda pesa nyingi lakini sio njia pekee unayoweza kuchukua. Hizi hapa ni baadhi ya aina nyingine za mikeka maarufu (na zenye faida) zaidi ambazo Parimatch hutoa:

Hitimisho

Mikeka ya moneyline bila shaka ndio aina maarufu zaidi ya mikeka karibia katika kila sportsbook ya mtandaoni.

Kutokana na kwamba mikeka ya moneyline ni rahisi kuelewa na kiasi fulani rahisi kushinda, haishangazi jinsi zilivyokuwa maarufu kwenye Parimatch.

Kama unavutiwa katika kuona odds za moneyline zinaonekana vipi kwenye Parimatch, pakua app yetu sikivu ya kubeti ya simu ya mkononi yenye lugha mbili au angalia tovuti yetu.

Hauhitaji akaunti kuona odds za moneyline, lakini kama unataka kujiunga, ni bure kupakua app yetu ya kubeti.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.