Tangu kuanzishwa kwao, futures za kubeti michezo zimekuwa tegemeo la sportsbook za mtandaoni barani Afrika kote — na Tanzania haijaachwa.
Kwa kuzingatia kwamba odds za futures ni za kuvutia sana, haishangazi kwanini watu wengi sana wanajaribu bahati zao na wanaweka mikeka.
Kabla ya kuweza kuamua ikiwa futures za kubeti michezo ni sahihi kwako, unahitaji kuelewa futures ni nini, aina za mikeka ya futures, odds za futures, na faida na hasara. Pindi umelielewa hili, unaweza kujiamini kuwa unabeti katika soko sahihi.
Mikeka ya futures ni njia nzuri ya kujaribu ujuzi wako wa kimichezo na ni rahisi sana kuzielewa. Utabiri mmoja wa baadae ambao una uhakika wa kuja kutokea kweli ni, baada ya kusoma mwongozo huu, utakuwa umepewa zana zote za muhimu ili kuweka mikeka ya ushindi.
Endelea kusoma ili uweze kufanya uamuzi makini juu ya ikiwa mikeka ya futures ni hatua ya kimantiki inayofuata katika safari yako ya kubeti mtandaoni — kama ambavyo imekuwa kwa wabashiri wengi sana wenye mafanikio barani Afrika.
Yaliyomo
Mikeka ya Futures ni Nini?
Mikeka ya futures ni bashiri ya kwenye tukio, tuzo, au mfululizo ambao tu unaweza kuamuliwa vizuri katika wakati ujao.
Fikiria kumbetia mshindi wa ligi, ambaye atashinda tuzo ya MVP au msimu wa kawaida wa timu kushinda asilimia. Haya yote ni machaguo maarufu yaliyopo katika soko la mikeka ya futures.
Tofauti na mikeka mubashara, umuhimu wa futures za kubeti michezo upo katika muda uliopangwa kutoka wakati mikeka imewekwa hadi wakati tokeo linatokea kweli — ndio maana jina hilo.
Kutegemeana na sportsbook, unaweza kubeti katika muda uliopangwa mfupi zaidi, lakini odds zitarekebishwa ipasavyo.
Jinsi Odds za Futures Zinavyofanya Kazi
Kwa kawaida, mikeka ya futures huwekwa kipindi cha kabla ya msimu, ikiwa na odds zisizobadilika kwenye muda wa mikeka.
Kadri msimu unavyokwenda, hali kama vile majeraha au kusimamishwa kwa wachezaji hupelekea katika odds zinazobadilika badilika. Kiukweli ni sehemu ya kwanini futures za kubeti michezo zinaweza kuwa za kuvutia sana.
Kama uliwawekea New York Knicks mikeka ya futures ya NBA kushinda Mashindano ya NBA, inawezekana ungeona odds za desimali 20.0 (kwa sababu wanajulikana sana kuwa vibaya).
Sasa, fikiria katikati ya msimu walipata wachezaji kadhaa nyota kupitia ununuzi. Odds zingeshuka sana, kuakisi vipaji vyao vipya walivyopata.
Lakini bahati nzuri kwako, odds hizi hazibadiliki kwenye muda wa mikeka ikimaanisha, katika hali hii, uwezekano wa malipo ni mkubwa zaidi sana.
Aina Maarufu za Mikeka ya Futures
Mikeka ya future ni mikeka inayoonekana kuwa na uwezekano usio na mipaka. Baadhi ya mikeka hiyo inaweza hata kuwa juu ya hali ya ajira ya kocha!
Angalia nini ambacho wabashiri magwiji barani Afrika kote wanakibetia na kwanini.
Mashindano ya Ligi
Kubeti kwenye mashindano ya ligi ni, bila shaka, mikeka ya futures maarufu zaidi.
Ingawa mikeka ya futures zinapatikana kwa michezo yote, kubeti mashindano ya ligi ya NFL kwa futures kumekuwa maarufu haswa nchini Tanzania.
Tofauti na NBA au MLB, kuna mchezo mmoja tu wa mashindano — The Super Bowl. Kutokana na hili kila mtu anataka kuingia.
Sawia, ni rahisi kiasi fulani kutabiri hivyo wabashiri uhisi kama wana nafasi nzuri ya kushinda.
Mikeka ya futures ya mashindano ya ligi ni rahisi sana kuelewa. Unachagua tu timu ambayo unafikiri itanyanyua kombe mwishoni mwa msimu na kufurahia mchezo.
Tuzo ya Mchezaji wa Thamani Zaidi (MVP)
Kwenye mikeka ya futures ya mashindano ya ligi unakuwa na wasiwasi na kiwango cha timu. Hata hivyo, katika mikeka ya futures ya MVP unakuwa na wasiwasi tu na mchezaji mmoja (na ni mmoja tu).
Inaonekana zaidi katika mpira wa kikapu, NBA yenyewe huwa nzuri sana kutokana na mikeka ya MVP. Hii ni hasa kwa sababu kuna wachezaji watano tu kwenye korti kwa wakati na kwa kawaida watano wanaoanza hubakia katika mchezo kwa ukamilifu wake wote.
Kutokana na kwamba michezo huchezwa mara kwa mara sana (mara mbili hadi tano kwa wiki) na wachezaji wanaowezekana kuwa MVP wanakuwa kwenye korti kwa sehemu kubwa ya mchezo, kiukweli unaweza ukazamia katika mchezo.
Mashindano ya Conference
Sawia na mikeka ya futures kwenye mashindano ya ligi, kubeti kwenye mashindano ya conference ni kama jina linavyopendekeza. Unachagua ambaye unafikiri atashinda daraja la ligi.
Mtindo huu wa kubeti ni maarufu zaidi katika ligi ambapo kuna conferences nyingi, kama vile NCCA. Sababu ya msingi ni kwamba timu za vyuo zenye nguvu zina mifumo iliyowekwa kubakia kileleni.
Pia, mafanikio huzaa mafanikio, na wanariadha bora wa sekondari ya juu kwa kawaida huangalia kucheza kwenye vyuo vyenye rekodi iliyofuatiliwa ya mafanikio ya kujirudia — kufanya iwe rahisi kiasi fulani kuamua washindi wa conference.
Matukio Makubwa
Sio kila mchezo hufuata mtindo wa kitamaduni wa kabla ya msimu, msimu wa kawaida, na baada ya msimu. Kwa mfano, gofu huandaa matukio ya kifahari ulimwenguni kote katika kipindi chote cha mwaka yajulikanayo kama majors.
Kuna michuano mikubwa minne: The Masters, The Open, The PGA Championship, na The US Open. Sawia na kubeti kwenye mashindano ya ligi, wakati wa kubeti kwenye tukio kubwa, kiurahisi ni kuwa unambetia ambaye atashinda tukio zima.
Gofu sio mchezo pekee ambao huandaa michuano au matukio makubwa. Machaguo mengine maarufu ni triple crown in horse racing, grand slams in tennis, na matukio ya kiulimwengu kama Kombe la Dunia au Michezo ya Olimpiki.
Katika ligi ya kitamaduni ya michezo yenye msimu wa kawaida na mechi ya marudiano, bingwa mmoja tu huvishwa taji kwa mwaka.
Mikeka ya futures kwenye matukio makubwa imekuja kuwa chaguo la kuvutia sana kwa wabashiri barani Afrika kote kwa sababu kuna michuano mingi sana katika kipindi chote cha mwaka. Kama ilivyotajwa kabla, gofu ina minne peke yake.
Asilimia ya Ushindi
Msimu wa baseball katika MLB (Major League Baseball) una michezo mikubwa 162. Msimu huu mrefu hujipa uzuri wenyewe kwenye kubetia asilimia ya ushindi ya timu mwishoni.
Ni ya tofauti kidogo na mikeka ya moneyline. Kiukweli yenyewe ni mikeka ya totals, au vinginevyo hujulikana kama mikeka ya over/under kwenye asilimia ya ushindi ya timu mwishoni mwa msimu wa kawaida.
Unabeti kwenye ikiwa unafikiri timu itafikisha asilimia kubwa zaidi (au ndogo zaidi) ya ushindi kuliko tarakimu iliyowekwa kabla na meneja ubashiri.
Kama unataka kujifunza zaidi kuhusu aina tofauti tofauti za mikeka ambazo Parimatch hutoa, angalia makala hizi:
- Mkeka wa Handicap Ni Nini?
- Ubashiri wa Asian Handicap Umefafanuliwa
- Kubeti Kwa Double Chance Betting Ni Nini?
- Moneyline Ni Nini katika Kubeti Michezo?
- Fahamu Mbinu za Kubashiri Matokeo ya 1×2
- Timu Zote Mbili Kufunga Katika Kubeti
- Kubetia Matokeo Sahihi: Yote Unayohitaji Kuyajua
- Mikeka ya Magoli Witiri/Shufwa Imeelezewa
- Mikakati ya Kubeti Halftime/Fulltime Imefafanuliwa
- Kubeti kwa Over/Under (Total) Kumeelezewa katika Maneno Rahisi
- Dondoo na Mbinu 3 za Juu za Kubeti kwa Over/Under
- Ufafanuzi wa Draw No Bet
- Kubeti Sare: Yote Unayohitaji Kuyajua
- Mkakati wa Kubeti Goli la Dakika za Lala Salama Umeelezewa
- Parlays na Teasers Ni Nini?
- Ufafanuzi wa Mikeka ya System
- Nini Maana ya Mkeka Wenye Mechi Nyingi?
- Aina za Mikeka ya Soka Zimeelezewa
Dondoo na Mbinu za Mikeka ya Futures
Daima ni wazo zuri kuwa na mbinu kabla ya kubeti pesa yako uliyoipata kwa shida.
Hizi hapa ni baadhi ya dondoo bora zilizothibitishwa ambazo zitakusaidia njiani.
Weka umakini kwenye takwimu za msimu uliyopita
Dondoo hii kimsingi inafaa kama unaweka mikeka ya futures kwenye sifa binafsi kama tuzo ya MVP. Kama jina linavyopendekeza, mchezaji wa thamani zaidi katika ligi kwa kawaida humaliza kileleni mwa ubao wa wanaoongoza katika moja ya idara (au zote).
Katika mwaka uliyopita, kama mchezaji alimaliza wa pili au wa tatu katika upigaji kura wa MVP, na hakubadilika sana wakati wa nje ya msimu, angekuwa mikeka salama kuibashiria.
Kumbuka umri wa wachezaji
Wachezaji huzeeka na uchezaji wao uwanjani hudorora kuendana na muda. Kumbuka kuwa baba muda hashindwi.
Kama mchezaji alikuwa na msimu mzuri mwaka mmoja kabla lakini anakaribia machweo ya utaalamu wake, haitakuwa na sababu kutarajia kucheza kwenye kiwango kile kile kama alivyofanya akiwa katika ubora wake.
Weka umakini kwenye jinsi wachezaji walivyo hatarini kupata majeraha
Sehemu yenye matokeo zaidi ya timu kukosa mafanikio ni afya ya wanariadha. Wachezaji fulani wako hatarini zaidi kupata majeraha kuliko wengine.
Si busara kuweka mikeka ya futures kwenye tuzo binafsi au mafanikio ya timu wakati mchezaji au timu iko hatarini kupata majeraha.
Ulijuwa kwamba Michael Jordan, mchezaji bora wa mpira wa kikapu wa muda wote (kulingana na wengi), alichaguliwa watatu katika darasa lake? Unajuwa nani alichaguliwa wa pili? Inawezekana sio kwa sababu yeye (Sam Bowie) aliandamwa na majeraha mengi sana kiasi kwamba kipaji chake NBA kiliisha hata kabla hakijaanza.
Kwa wakati ule (1984) sayansi ya kitabibu haikuwa ambapo ipo leo, na ilikuwa ni ngumu kutabiri wakina nani walikuwa hatarini kupata majeraha. Lakini hiyo ilikuwa wakati ule, hii ni sasa. Tumia taarifa zilizopo kuamua wachezaji gani hupata majeraha zaidi mara nyingi.
Fahamu upataji wachezaji katika mapumziko ya msimu
Hili ni kubwa kwa futures za kubeti michezo. Mapumziko ya msimu ni kipengele cha msingi ambacho mameneja ubashiri wanakiwekea umakini wakati wa kupanga odds za futures.
Fikiria kuhusu mazingira yaliyotajwa kabla ya New York Knicks kupata wachezaji katikati ya msimu, na jinsi hilo lilivyobadili odds za futures.
Unahitaji kufahamu yote yanayojiri katika mapumziko ya msimu, ukilenga wachezaji na wafanyakazi.
Kwenye mikeka ya futures, unajaribu ujuzi na uelewa wako dhidi ya mameneja ubashiri. Unatakiwa kufahamu nini wanachojishughulisha nacho ili usiwe kwenye hasara.
Faida za Mikeka ya Futures
Kubeti michezo ni yote kuhusu kupima hatari dhidi ya tuzo.
Hizi hapa ni baadhi ya sababu kwanini watu wengi sana nchini Tanzania wanachukua hatua.
Msimu Mrefu wa Burudani
Kama ilivyotajwa kabla, kwenye msingi wa mikeka ya futures ni hali ya urefu wa mikeka. Badala ya kuweka mikeka nyingi katika kipindi chote cha msimu, unaweza kuweka mkeka mmoja mwanzoni.
Cha zaidi, unaweza kuunganisha mikeka mingi katika parlays na systems kunogesha dili.
Kuongeza leg tofauti kwenye mikeka yako, pamoja na chaguo la kubeti katika michezo mingi, kiukweli hutengeneza uzoefu wa kubeti (na kutazama) wenye tuzo.
Kuna Pesa ya Kushinda
Kama ambavyo ungeweza kukisia, pamoja na ratiba ndefu kama hiyo kutoka kwenye mikeka hadi tokeo, kuna malipo sawia yanayolingana mwishoni kama ukishinda. Isitoshe, ni ngumu kutosha kubeti kwenye tokeo la mchezo mmoja, achilia mbali msimu au mchuano mzima.
Mameneja ubashiri hukutuza vizuri kwa kutabiri baadaye ya vipengele maalum vya msimu au tukio zima.
Odds za futures zinaweza kuwa sababu moja kubwa zaidi kwanini watu wengi sana wanavutiwa na futures za kubeti michezo. Pamoja na odds kubwa kama hizo, zikichagizwa na asili ya msimu mrefu usiyotabirika ni dhahiri kwanini futures zimekuwa maarufu sana.
Hasara za Mikeka ya Futures
Kila mbashiri ni wa tofauti, ambacho ndio sehemu ya sababu kwanini sportsbook za mtandaoni hutoa machaguo mengi sana. Unatakiwa kuuliza, kitu hiki kinastahili kukipigania?
Huu hapa ni mtazamo juu ya nini utakuwa unajitolea kupata nta tamu:
Pesa yako imefungiwa kwa muda mrefu
Kumbuka, mikeka ya futures kwa kawaida huwekwa kabla ya msimu, na chaguo la ushindi halitalipa mpaka kipande cha baadaye cha kampeni ya msimu mrefu. Kimantiki, hii humaanisha pesa yako itafungiwa na rejesho kwenye uwekezaji (ROI) si la kialisia mpaka baadaye iliyo mbali.
Kwa baadhi, hii inaweza kuhisika kama mzigo kutegemeana na uvumilivu wao na salio lao la benki.
Wacheza kamari wengi wanajihusisha nako kwa ajili ya furaha ya haraka, na kutegemeana na jinsi unavyolitazama, mikeka ya futures inaweza kuharibu msisimko unaoutafuta.
Futures za kubeti michezo kiasili ni ngumu
Odds za futures zina uwezekano wa malipo makubwa sana, sababu yenyewe ni kutokana na kwamba matokeo yake si rahisi kutabiri.
Sportsbook za mtandaoni hazina upendeleo, hakuna isiyo na upendeleo zaidi kuliko Parimatch inapokuja kwenye odds za futures. Ambacho hiki humaanisha ni kuwa mameneja ubashiri wa mtandaoni huweka odds ili kwamba uwiano wa hatari/tuzo husawazishwe kadri inavyowezekana karibia na 1:1.
Kutokana na kwamba mikeka yenyewe ni migumu zaidi (hatari kubwa zaidi) malipo ni makubwa zaidi (tuzo kubwa zaidi).
Yoyote mwenye mbinu ya kubeti michezo iliyojikita kwenye kupunguza hatari, mikeka ya futures inawezekana sio njia sahihi kuchukua.
Hitimisho
Futures za kubeti michezo ni maarufu kama hapo kabla na zinapata tu nguvu katika wabashiri wenye matumaini Afrika kote.
Pamoja na burudani ndefu ya msimu na uwezekano wa malipo yenye uwezekano wa kubadilisha maisha, ni dhahiri kwanini watu wengi sana nchini Tanzania wanaijaribu mikeka ya futures.
Pesa inatolewa kwa wingi na hautaki kukosa nafasi yako kudai sehemu yako.
Kabla ya kuweka mikeka, ni muhimu kuelewa kama futures za kubeti michezo ni sahihi kwako. Kwa matumaini baada ya kusoma mwongozo huu una dalili nzuri zaidi ya kama unapaswa kuweka mikeka katika soko la futures.
Baadaye ni yako, ifanye yenye maana na Parimatch.