Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Dondoo na Mbinu za Kubeti Mpira wa Kikapu

Ni dhahiri kuwa mpira wa kikapu ni moja ya michezo maarufu sana na inayopendwa leo Tanzania. Ndio maana ni mchezo mzuri kutengeneza pesa kwenye kubeti NBA. Ikiwa ni kabla ya mechi au kubeti mubashara, mamilioni ya wacheza kamari huweka mikeka kila siku na kushinda!

Moja ya vitu vikubwa zaidi ambavyo unahitaji kujua kuhusu kubeti mpira wa kikapu ni kuwa kuna njia nyingi za kutengeneza mbinu sahihi na yenye faida zaidi ya kubeti mpira wa kikapu. Huwezi kuweka mikeka bila kufikiria; unapaswa kutengeneza mbinu yako mwenyewe fanisi ambayo kwa hakika itakusaidia kufikia matokeo bora.

Wakati kanuni za mpira wa kikapu ni rahisi na mikeka kwenye mchezo huu ni rahisi pia, muda mwingine, inachanganya kidogo kuweka mikeka yako ya kwanza kwa sababu hauna wazo wapi pa kuanzia. Kwa sababu hiyo, tumetengeneza mwongozo huu ambao utakusaidia kutengeneza mbinu sahihi ya kubeti. Dondoo zote hizi za kubeti mpira wa kikapu zimekusudiwa kuwa sehemu ya mbinu yako mwenyewe.

Tunakwenda kupitia dondoo bora na fanisi zaidi za kubeti lakini haupaswi kuifanya dondoo moja kuwa ndio njia pekee ya kuchagua mikeka yako! Zitumie kutengeneza mbinu yako mwenyewe fanisi kutegemeana na uzoefu na ujuzi wako katika eneo hili. Kuwa na utulivu na utazame!

1. Tafuta Thamani Kwanza

Kumbuka kwamba kama unatamani kuwa mbashiri wa kulipwa, kuchagua washindi hakutoshi. Kwa bahati mbaya, wabashiri wengi bado hawaelewi hili. Hata kama una rekodi ya kushinda, bado unaweza ukawa unapoteza pesa kama shindi zako hazikuletei kipato sana na mpotezaji wako anakugharimu sana. Lengo lako ni kutafuta thamani na kuongeza mikeka yako wakati thamani yako inakua kubwa zaidi. Thamani ya kubeti ni wakati ukipata mikeka yako ambayo inawalipa washindi kwenye kiwango kizuri sana zaidi kuliko inavyopaswa.

Kumbuka kuwa sportsbook hazilipi mara zote jumla sawa kwenye kila mikeka. Malipo yanaelezewa kwa odds za kubeti. Kama timu unayoibetia ni timu dhaifu, unaweza kushinda jumla kubwa tu. Kama timu yako ni timu pendwa, inawezekana ukapata malipo kidogo zaidi. Kitu chenyewe ni kuwa kuwabetia washindi wanaowezekana katika michezo kunavutia na sportsbook hujua hilo!

Kubeti mpira wa kikapu hakuhusu tu kuchagua mshindi, kunahusu zaidi kubetia thamani. Katika kubeti mpira wa kikapu, unahitaji kutafuta mikeka ambayo italipa vizuri zaidi kuliko unavyotarajia. Lakini daima hakikisha kuwa hatari inastahili tuzo ya mwisho.

2. Gundua Msogeo wa Line

Dondoo hii ni ya muhimu kama ilivyo iliyopita. Zaidi ya hilo, unapaswa kuzingatia vipengele vyote viwili wakati wa kuweka mikeka yako. Hebu tuchambue vitu vya kipekee vya dondoo hii kwa msaada wa mifano.

Kwa mfano, kuna mchezo kati ya Mavericks na Rockets. Unaona kuwa timu ya kwanza ni timu dhiafu na sportsbook inatoa odds ya 3.00. Hii humaanisha implied probability yao kushinda ni karibu 33% na unaweza kupata shindi sawia na dau lako kuzidisha kwa 3. (Tunajuaje? Fahamu kutoka kwenye mwongozo wetu juu ya kusoma na kukokotoa odds).

Hata hivyo, ndani ya siku chache, habari zitakuwa na minong’ono kuhusu Rockets, zikisema jinsi walivyo vizuri na jinsi wanavyokwenda kuwashinda Mavericks. Uma wa kubeti huiitikia habari hii na huanza kuweka mikeka mingi kwa Rockets.

Matokeo yake, sportsbook watachezesha lines zao; odds za Rockets sasa ziko chini zaidi na odds zilizosasishwa za Mavericks ni 3.20. Sasa ni muda wa kuweka mikeka hii! Bila upendeleo, Mavericks si wadhaifu kutokana na mijadala ya uma. Lakini sasa unaweza kushinda zaidi ukiwabetia! Kama unaamini kwa uthabiti katika ushindi wa timu hii, huleta maana kubeti baada ya line kusogezwa na odds kuongezeka.

Kitu chenyewe ni kuwa lines za kubeti mpira wa kikapu mara kwa mara zinasogea na sio mara zote kwa sababu sahihi. Unahitaji kuamua uko tayari kuweka mikeka kwenye matokeo gani.

3. Angalia Ratiba ya Timu

Wakati wa kuchambua mbinu zote fanisi za kubeti mpira wa kikapu, hatukuweza kuipitia hii. Kuangalia ratiba ya timu ya mpira wa kikapu iliyochaguliwa ni kitu cha kwanza ambacho unahitaji kufanya. Hebu tuelezee kwanini.

Kwanza, unahitaji kuweka akilini kuwa uchovu unaweza kushawishi mafanikio ya timu kwa kiasi kikubwa. Kitu chenyewe ni kuwa timu za mpira wa kikapu kwa kawaida hucheza michezo mingi na muda mwingine ratiba zao zinaweza kuwa bize sana. Kwa hiyo, kabla ya kuweka mikeka yako, unahitaji kuangalia michezo mingapi walicheza kabla. Kwa mfano, kama timu yako pendwa ya mpira wa kikapu ilicheza michezo mitano ndani ya siku sita, ni ushahidi kuwa wamechoshwa kabisa na wana uchovu. Kwa hiyo, hawana uwezekano wa kucheza vizuri.

Kuna kipengele kingine unachohitaji pia kuweka akilini. Angalia eneo la michezo yote hii. Sababu ya kusafiri kwa umbali mrefu inaweza pia kushawishi kiwango cha timu (na muda mwingine hata zaidi kuliko ratiba yao). Kwa mfano, kama mchezo mmoja uko Los Angeles na mchezo unaofuata uko Washington, kwa hakika watakuwa wamechoka.

4. Zingatia Nguvu ya Timu Dhaifu ya Nyumbani

Muda mwingine, wabashiri wasio wazoefu hawawekei umakini sababu hii, lakini kiukweli, humaanisha mengi! Hakuna timu ya mpira wa kikapu inataka kupoteza mchezo nyumbani. Wanaelewa kuwa wanafamilia wao, marafiki, na wenzao wako hapa, wanawatazama wakicheza. Hawataki kupoteza mbele yao. Ndio maana timu kama hizo hufanya liwezekanalo kufanya vizuri zaidi nyumbani, hasa pindi wakiwa ndio timu dhaifu. Bila shaka, hakuna anayeweza kusema haswa ikiwa timu fulani itashinda, lakini wana nafasi zaidi kuziba spread.

Hii ni bila kutaja kuwa timu dhaifu zina odds kubwa zaidi, hivyo shindi zako zitakuwa kubwa. Hii inaendana kikamilifu na mbinu yetu #1.

5. Ziunge Mkono Timu Pendwa Zinazocheza Ugenini Baada ya Kupoteza

Ni mbinu ya kubeti inayofahamika vizuri ambayo hukuruhusu kujipatia pesa! Timu ya ugenini inapocheza baada ya kupoteza kwa maumivu haiwezekani kuwa mshindi kwenye mtazamo wa kwanza, si ndio? Hata hivyo, takwimu huonyesha kuwa timu kama hizo hushinda mara kwa mara tu. Kama bado zinafikiriwa kuwa timu pendwa, nafasi ni kuwa kuzibetia kutatuzwa.

Kwanini hivyo? Kweli zilizotajwa hapo kabla huthibitisha timu ina uwezekano mkubwa na hamu ya kushinda. Hata hivyo, unahitaji bado kutumia muda kiasi kuzisoma taarifa kuhusu timu yako uliyochagua, historia yao ya shindi na kupoteza. Walicheza vipi mara ya mwisho walivyokuwa kwenye hali kama hiyo?

6. Beti Kinyume na Uma

Ni mbinu nyingine ya kubeti ambayo inaweza kuleta kipato kizuri! Unapaswa kufanya nini? Kama ukiona timu ya mpira wa kikapu ambayo inaungwa mkono sana na uma, unapaswa kufikiria kubeti kwenye timu pinzani.

Kitu chenyewe ni, mapendeleo ya uma mara nyingi hutengenezwa kwa sababu zisizo na mantiki. Wabashiri huwa na tabia ya kuunga mkono majina makubwa na kupiga kura kwa mioyo yao. Kwa njia yoyote, tabia katika machaguo ya uma huathiri odds na hapo ndipo unaweza kuchukua fursa. Pindi unapoweka mikeka yako kinyume na uma, unaweza kutumia odds kubwa zaidi, ambacho humaanisha una nafasi ya kupata rejesho zuri!

7. Ongeza Shindi Zako na Mikeka ya Parlay

Mikeka ya parlay (au accumulator) ni njia ya kuunganisha mikeka yako katika mkeka mmoja. Kwa mikeka ya parlay kushinda, tabiri zako zote lazima ziwe sahihi. Vinginevyo, unaipoteza yote. Lakini pindi uko sahihi kuhusu machaguo yako, odds zinazidishwa na unapata malipo mazuri kiukweli.

Hivyo, kama una uhakika kabisa kuhusu matokeo ya michezo kadhaa ya mpira wa kikapu, kwanini usizijaribu mikeka ya parlay?

Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:

Muhtasari

Kama unavyoweza kuona, kubeti mpira wa kikapu ni nafasi yako kushinda pesa! Lakini weka akilini kuwa mengi hutegemea kwenye jukwaa ambalo unachagua kwa ajili ya kubeti. Mtandao umeelemewa na majukwaa mbalimbali ya kubeti kwa ajili ya wacheza kamari wanaoanza na wazoefu ambapo unaweza kutazama mechi, kudhibiti shindano, na kuweka mikeka ya muda halisi. Lakini kwa bahati mbaya, sio yote kati yao ni vyanzo vyenye sifa ambavyo uhakikisha malipo ya haraka na mawekezo ya chini.

Kama kwa sasa unatafuta jukwaa la kuaminika kwa ajili ya kubeti, kwanini usitumie Parimatch? Sisi ni jukwaa linaloaminika lenye zaidi ya miaka 26 ya uzoefu katika tasnia ya kubeti michezo. Hizi hapa ni sababu kubwa ambazo zinaweza kuondoa mashaka yako kuhusu Parimatch:

  • Tuna app ya kubeti ya nguvu, rahisi kutumia kwa ajili ya kubeti kwa utulivu ukiwa bize. Unaweza kuipakua app hii katika chombo chochote cha mkononi na kuweka mikeka muda wowote.
  • Tuna mkusanyiko mpana wa aina za mikeka na michezo ya kuibetia. Kuwa huru kuchagua moja ambayo inafaa mahitaji yako na mwishowe jizamishe katika ulimwengu wa ajabu wa kubeti!
  • Tuna timu ya msaada ya kitaalamu ambayo daima iko tayari kukusaidia. Kama una maswali yoyote yanayohitaji ufafanuzi, wasiliana na sisi 24/7.

Kubeti na Parimatch ni rahisi sana. Bado, kama unahitaji dondoo juu ya wapi pa kuanzia, angalia mwongozo wetu juu ya kubeti mpira wa kikapu na Parimatch.

Juu ya hilo, Parimatch ni chanzo kinachoaminika Tanzania. Maelfu ya wacheza kamari tayari wameshajaribu ufanyaji kazi wa jukwaa letu na baadhi yao hata kushinda jakpoti! Sasa, ni zamu yako kujaribu kubeti mpira wa kikapu!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.