Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Masumbwi

Kwa wale ambao hupata furaha yao kutoka kwenye mapigano ya usiku, Parimatch hutoa jukwaa bora kwa yeyote barani Afrika kuweka beti kwenye mechi bora za masumbwi kutoka ulimwenguni kote. Kama jukwaa namba moja la kubeti mtandaoni nchini Tanzania, Parimatch inajivunia kuwasilisha mweneo mpana zaidi wa matukio ya mapigano ya kiulimwengu kwa ajili ya wewe kubashiri dhidi ya mshindi.

Unaweza kuwa na nafasi ya kuweka chini pesa ya ukweli kwa mpiganaji bora ambaye unafikiri atashinda. Kwa kutumia kani na nguvu kubwa pamoja na wepesi na kasi, masumbwi ndio mchezo bora kuwatazama watu wawili wakikabiliana ana kwa ana kuonyesha uhodari wa kimwili ulingoni.

Tofauti na wakati uliyopita, Parimatch huwapa watumiaji nafasi ya kuweka beti za masumbwi kutoka popote walipo kwa mbofyo wa kitufe. Asante kwa app yetu ya kisasa ya kubeti mtandaoni, unaweza kuweka beti za masumbwi moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako janja, bila ya kusubiria kwa shida katika foleni kwa mameneja ubashiri.

Bila kujali kundi la uzito, kutoka kwenye uzito wa bantam hadi uzito mkubwa, Parimatch inakuletea mkusanyiko wa kustaajabisha wa matukio ya masumbwi kwenye jukwaa letu lililo rahisi kutumia. Ikiwa na majina yote bora, kutoka Tyson Fury hadi Scott Quigg hadi Anthony Joshua, Parimatch ndilo jukwaa kamilifu la kubeti mtandaoni kwa ajili ya kuziwekea beti glavu shindi za masumbwi.

Hivyo unasubiria nini? Nenda kwenye jukwaa la Parimatch leo na jisajili kwa ajili ya akaunti ya kubeti mtandaoni ili kwamba uweze kufurahia mkusanyiko mpana wa beti za masumbwi ulimwenguni barani Afrika kote.

Kubeti kwenye Masumbwi

boxing, sport, boxing match

Pindi ukibeti kwenye mechi ya masumbwi, unambetia mwanamasumbwi ambaye atashinda mechi nzima. Wakati kanuni hizi zinaweza kuonekana rahisi kufuata, kubeti kwenye masumbwi kunaweza kuwa kunachanganya kwa maana haubeti mzunguko kwa mzunguko na haujui alama za majaji mpaka mwishoni kabisa mwa mechi.

Katika masumbwi, kuna uwezekano wa mpaka mizunguko kumi na mbili katika mechi ya masumbwi. Hata hivyo, kunaweza kuwa na mizunguko michache zaidi. Kama anapigwa na kudondoka au anajisalimisha, mechi ya masumbwi humalizika. Hii inaweza kutokea katika mzunguko wa kwanza kabisa!

Kitu kingine cha kukumbuka ni kuwa licha ya ukweli kwamba majaji huwapa alama wanamasumbwi, hii sio lazima iwe na mashiko yeyote kwenye matokeo ya mwisho. Wakati majaji wanaweza kumpa Mwanamasumbwi A alama za juu zaidi katika mizunguko mitatu ya kwanza kama Mwanamasumbwi B atampiga Mwanamasumbwi A na kumdondosha katika mzunguko wa nne, Mwanamasumbwi B anashinda, licha ya kuwa na alama za chini zaidi katika mizunguko iliyopita. Hii ni muhimu hasa kujua wakati ukimbetia mwanamasumbwi kwa maana unaweza ukawa haumbetii yule ambaye atafanya vizuri zaidi katika kila mzunguko. Badala yake, unaweza kumjua yule mwanamasumbwi mwenye ngumi ya kuua ambayo ingeweza kumtoa mchezoni mpinzani wake kama akiachilia pigo la kishindo. Kwa maana hii, unaweza kumbetia mwanamasumbwi huyu kwa maana anahitaji tu ngumi moja nzuri kumtoa mpinzani wake mchezoni na kushinda mechi nzima.

Sasa kwa kuwa tumeshashughulika na vitu vya msingi, hebu tufikirie jinsi utoaji alama kwenye masumbwi hufanya kazi kivipi kwa maana hii itakusaidia kuelewa jinsi ya kubeti kwenye masumbwi kutokana na kwamba inaweza kubadili namna unavyoweka beti yako — hasa kama unabeti mubashara. Kama unaweza kutunza vizuri zaidi wazo lako mwenyewe la alama, una uwezekano zaidi wa kuchagua mshindi.

Utoaji Alama Kwenye Masumbwi Hufanya Kazi Vipi?

Kama tunavyojua tayari, mechi za masumbwi zinaweza kuwa na hadi mizunguko kumi na mbili na mara nyingi mechi huisha kabla ya mizunguko kumi na mbili yote. Hata hivyo, inawezekana kufika mizunguko kumi na mbili bila ya mpinzani kupigwa na kudondoka au kujisalimisha. Katika kesi hii, mshindi wa mechi ya masumbwi huamuliwa kwa alama zilizotolewa na majaji. Kuna majaji watatu kwa kila mechi kuhakikisha kuwa utoaji alama si wa kupendelea na kuwa hakuna msuguano utakaotokea.

Mfumo wa utoaji alama unaotumiwa katika masumbwi hujulikana kama 10-Point Must System. Kwa ujumla, mchezaji mmoja hupewa alama 10 kwa mzunguko, wakati mwingine anapewa tisa, isipokuwa akifanya vibaya sana basi anaweza kupewa alama chache zaidi. Kwa maana hii, mizunguko mingi huishia 10-9 kwa mwanamasumbwi mwenye nguvu.

Kwa ujumla, kama Mwanamasumbwi A akipigwa akadondoshwa chini, anapoteza alama. Kama Mwanamasumbwi A akipigwa akadondoshwa chini mara mbili, atapoteza alama ya pili. Hata hivyo, kwa upande mwingine, kama Mwanamasumbwi B akipigwa akadondoshwa chini baada ya Mwanamasumbwi A kuwa amepigwa na kudondoshwa chini, alama zao zilizopotea zinajisawazisha. Hivyo fikiria kuwa Mwanamasumbwi A amepoteza alama mbili na ana alama nane hadi kumi, basi kama Mwanamasumbwi B akipigwa akadondoshwa chini, alama hiyo hujirudisha hadi 9-10 kwa maana kupigwa na kudondoka chini hujisawazisha.

Inawezekana kwa mwanamasumbwi mmoja kupata alama kumi wakati mwingine kupata alama nane hata bila kupigwa na kudondoka kokote lakini hii hutokea tu kama mpiganaji mzuri zaidi huutawala mzunguko kabisa.

Mizunguko inaweza kuchukuliwa kama sawia na majaji. Katika kesi hizi, majaji watawatuza wanamasumbwi wote wawili alama kumi.

Jambo lingine muhimu kukumbuka kwenye mfumo huu wa utoaji alama ni kuwa mwamuzi pia anaweza kupunguza alama kama mwanamasumbwi huendelea kucheza vibaya. Faulo zinaweza kuwa sababu ya alama kupunguzwa hivyo kama unajua kuwa mwanamasumbwi mmoja hupigana vibaya, inastahili kuzingatia alama hizi zinazopotea wakati wa kuweka beti.

Mwamuzi kwa ujumla atapunguza alama tu kama faulo ni ya kukusudiwa. Katika kesi ambayo faulo si za kukusudiwa, waamuzi huwa wanatoa onyo. Hata hivyo, kama mwanamasumbwi huendelea kucheza faulo katika namna hii ya kutokukusudia, mwamuzi anaweza kupunguza alama kwa sababu ya mwenendo mbaya katika namna hii pia.

Wakati wa kutoa alama, waamuzi wanaangalia mambo machache tofauti. Mambo haya ni ngumi nzito na zisizopanguliwa, juzi za kujilinda, udhibiti ulingoni, na ushambulizi fanisi. Alama hupatikana kutokana na shambulizi juu ya mkanda kwa sehemu ya konzi ya glavu au kwa mbinu za kujilinda, kama vile kujikinga, kukwepa, au kuponyoka kutoka kwenye shambulizi la mpinzani. Wakati wa kubeti kwenye masumbwi, hasa mubashara, hizi zinapaswa kuwa sifa unazoziangalia katika mpiganaji mshindi. Kama ukiona mpiganaji anayeonyesha vipaji hivi, ana uwezekano mkubwa zaidi kushinda kulingana na majaji; ili mradi asipigwe akadondoshwa chini.

Alama Huamua Vipi Tokeo la Mwisho katika Masumbwi?

Kama ilivyoelezwa hapo juu, mshindi wa mechi ya masumbwi anaweza kuamuliwa kwa haraka kama mchezaji mmoja atapigwa na kudondoshwa au mpinzani akijisalimisha. Kama Mwanamasumbwi A atampiga na kumdondosha Mwanamasumbwi B, Mwanamasumbwi A kiotomatiki atashinda mechi hiyo ya masumbwi, bila kujali alama za mizunguko iliyopita. Kama Mwanamasumbwi A atajisalimisha, Mwanamasumbwi B kiotomatiki anashinda, bila kujali majaji wameipa alama vipi mizunguko iliyotangulia.

Hata hivyo, kama wanamasumbwi wote wawili watafanikiwa kupita mizunguko yote kumi na mbili ya masumbwi, tokeo la mwisho huamuliwa na majaji watatu. Kwa bahati mbaya, wale wanaotazama kamwe hawaoni alama hizo kwa hiyo mizunguko kabla uamuzi wa mwisho kufanywa.

Kuna majaji watatu katika masumbwi kuhakikisha kuwa kamwe hakuna mazingira ambapo kuna msuguano juu ya nani ni mshindi; mara zote kuna kura ya uamuzi ya walau majaji wawili kwa mmoja. Kuna matokeo sita yanayowezekana ya mechi ya masumbwi wakati tokeo likiamuliwa na majaji:

  • Uamuzi wa Pamoja Hushinda

Uamuzi wa pamoja ni wakati majaji wote watatu hukubaliana kuwa mwanamasumbwi husika ameshinda mechi nzima kutegemeana na alama walizompa kila mwanamasumbwi katika mizunguko yote.

  • Uamuzi wa Wengi Hushinda

Uamuzi wa wengi hufikiwa wakati majaji wawili kati ya watatu hufikiri kuwa Mwanamasumbwi A ameshinda, wakati jaji wa tatu hufikiri mechi ilikuwa sare kutegemeana na alama walizotoa katika mizunguko yote. Katika mazingira haya, Mwanamasumbwi A hushinda mechi hiyo kwa “Uamuzi wa Wengi”.

  • Uamuzi wa Kugawanyika Hushinda

Tukio hili hutokea wakati majaji wawili kati ya watatu hufikiri kuwa Mwanamasumbwi A ameshinda, wakati jaji wa tatu hufikiri kuwa Mwanamasumbwi B ameshinda. Katika kesi hii, Mwanamasumbwi A hushinda kwa “Uamuzi wa Kugawanyika”.

  • Sare ya Uamuzi wa Pamoja

Hii ni wakati majaji wote huamini kuwa pigano hilo ni sare kutegemeana na alama walizompa kila mpiganaji katika mechi yote ya masumbwi.

  • Sare ya Uamuzi wa Wengi

Hii hutokea pindi majaji wawili wakiipa mechi alama ya sare wakati jaji mwingine humpa moja ya wapiganaji alama kama mshindi.

  • Sare ya Uamuzi wa Kugawanyika

Hili ni tokeo lenye utata sana na hii hutokea wakati jaji mmoja akimpigia kura Mwanamasumbwi A kushinda, jaji mmoja akimpigia kura Mwanamasumbwi B kushinda, na jaji wa tatu akiipigia kura sare. Hiki ndicho kilichotokea kwa Tyson Fury na Deontay Wilder mwaka 2018.

Jinsi ya Kusoma Odds za Masumbwi kwenye Parimatch

Wakati wa kubeti kwenye masumbwi kwenye jukwaa la kubeti mtandaoni la Parimatch, unaweka beti kwenye mpiganaji yupi anakwenda kushinda dhidi ya mpinzani wake. Wakati kubeti kwenye aina nyingine za michezo kuna aina nyingi ngumu za kubeti, beti za masumbwi kiurahisi huamua yupi kati ya wapinzani wawili atashinda.

Katika mtazamo huu, odds ambazo zinaonyeshwa kwenye Parimatch ni za mwanamasumbwi mmoja kushinda mechi nzima juu ya mwingine. Kama ilivyoonyeshwa hapo awali, ushindi unaweza kupatikana kupitia kupigwa na kudondoshwa, kwa kujisalimisha, au kwa kutegemeana na alama za majaji baada ya mizunguko kumi na mbili ya masumbwi.
Hebu tuchukulie pigano hili kati ya Anthony Joshua na Kubrat Pulev:

Odds juu ya Anthony Joshua kushinda ni 1.06 ukilinganisha na odds za 6.40 kwa Kubrat Pulev. Hii huonyesha kuwa Anthony Joshua ana uwezekano mkubwa zaidi kushinda.

Kwa kuanza, ni muhimu kujua nani ni nani wakati unaweka beti za masumbwi. Mpiganaji upande wa kushoto huwakilishwa kwa 1 na mpiganaji upande wa kulia huwakilishwa kwa 2. Wakati katika michezo mingine, kama mpira wa miguu, 1 huwakilisha timu ya nyumbani na 2 huwakilisha timu ya ugenini, hii sio kesi katika masumbwi, kwa maana wanamasumbwi huwa hawana ulingo wa “nyumbani”. Kiukweli, mapigano yanaweza kufanyikia popote na huwa hayana uhusiano na ambapo yeyote kati ya wapiganaji anapotokea.

Kwa maana hii, wakati wa kuweka beti kwenye jukwaa la kubeti la Parimatch, 1 husimama kwa ajili ya mwanamasumbwi wa kushoto (yule aliyetajwa kwanza) na 2 kwa ajili ya mwanamasumbwi wa kulia (yule aliyetajwa wa pili).

Namba za desimali zinazohusiana na kila mwanamasumbwi humuonyesha mbashiri odds. Odds hukupa wazo zuri la jinsi mwanamasumbwi alivyo na uwezekano wa kushinda. Kadri namba inavyokuwa ndogo zaidi, ndivyo inavyowezekana zaidi kwa mwanamasumbwi kushinda. Kadri namba inavyokuwa kubwa zaidi, ndivyo anavyokuwa na uwezekano mdogo zaidi kushinda. Kwa maana hii, mwanamasumbwi pendwa huwa na odds ndogo zaidi za kubeti. Utatengeneza pesa kidogo kutoka kwa mwanamasumbwi pendwa lakini una nafasi kubwa zaidi ya kushinda beti.

Kwenye Parimatch, tunatumia odds za desimali kwa sababu ni rahisi zaidi kuzikokotoa kuliko nyenzake, fractional odds na American odds (soma zaidi kuzihusu katika mwongozo wetu wa odds). Odds za desimali, kama odds zote, uhusiana na nafasi ambazo mwanamasumbwi atashinda mechi. Hii hujilikana kama “Implied Probability” na huonyesha meneja ubashiri hufikiria inawezekana kiasi gani mwanamasumbwi atashinda mechi kutegemeana na mkusanyiko mzima wa takwimu na historia ya mechi iliyopita.

Kwa mfano, kama mwanamasumbwi amewapiga wanamasumbwi wengi maarufu na wagumu kuwapiga, atakuwa na odds za chini zaidi. Kama mwanamasumbwi ana mfululizo mrefu wa kutokupigwa, atakuwa na odds ndogo zaidi. Kama mwanamasumbwi ni mpya kwenye tasnia na bado hajawahi kuwa na nafasi ya kujithibitisha, atakuwa na odds kubwa zaidi.

Hebu tuchukulie pigano hili kati ya Anthony Joshua na Kubrat Pulev. Odds kuwa Anthony Joshua atashinda ni 1.06 kulinganisha na 6.40 kwa Kubrat Pulev. Hii papo hapo huionyesha hadhira kuwa Anthony Joshua ana implied probability kubwa zaidi ya kushinda. Kama ungetaka kukokotoa implied probability hii kimahesabu, unaweza kufanya hili kwa kutumia odds. Kiurahisi unagawanya 1 kwa odds za desimali zilizoonyeshwa na kuzidisha jibu kwa 100. Hii itakupa asilimia ya nafasi ya mwanamasumbwi huyo kushinda mechi.

Katika kesi hii, implied probability ya Anthony Joshua ni:

(1 / 1.06) * 100 = 94.34%

Implied probability ya Kubrat Pulev ni:

(1 / 6.40) * 100 = 15.62%

Ni muhimu kuelewa kuwa meneja ubashiri mara zote huongeza asilimia ya ziada juu ya 100% kwa maana hivi ndivyo mameneja ubashiri wanavyotengeneza pesa. Licha ya hili, ni wazi bila shaka kuwa Anthony Joshua ana uwezekano mkubwa zaidi kushinda mechi hiyo.

Kitu kinachofuata kukikokotoa ni kiasi cha pesa ambacho kinaweza kutengenezwa kutoka kwenye kubeti kwa mpizani yeyote. Wakati odds ni ndogo kwa mpinzani kama Anthony Joshua, bado kuna kiasi kidogo cha pesa cha kutengenezwa. Hata hivyo, kutokana na kwamba Anthony Joshua ni mwanamasumbwi pendwa wazi, washindi hawana uwezekano wa kutengeneza pesa nyingi kwa maana odds hizo ni ndogo sana. Kwa upande mwingine, kama ungembetia Kubrat Pulev, hakuna nafasi kubwa kuwa utatengeneza pesa yeyote kabisa kwa maana ana uwezekano mkubwa wa kupoteza.

Hebu tuchukue mfano mwingine wa mechi ya masumbwi inayokuja kati ya David Avanesyan na Joshua Kelly:

how to make a bet on boxing2

Kama inavyoweza kuonekana kutoka kwenye odds, David Avanesyan ana uwezekano zaidi wa kushinda, lakini tu kwa sehemu. Joshua Kelly ana odds za 1.94 kuwa atashinda, kumpa nafasi ya 51.55% ya kushinda. Kwa upande mwingine wa ulingo, David Avanesyan ana odds za 1.71, kumpa nafasi ya 58.48% ya kushinda. Kwenye odds zilizo karibu karibu kama hivi, kuna nafasi nzuri kuwa matokeo yanaweza kwenda upande wowote, aidha kwa sababu ya kujisalimisha au kupigwa na kudondoka chini, hivyo kuubetia upande wowote ni sahihi.

Katika kesi hii, kumbetia David Avanesyan kutakupa odds za 1.71. Ili kukokotoa shindi zako zinazowezekana kwa kutumia odds za desimali kwenye Parimatch, unahitaji kuzidisha dau lako kwa odds na halafu kutoa dau la awali.

Kwa mfano, kama ungebeti kuwa David Avanesyan angeshinda, ungekuwa unabeti kwenye odds za 1.71. Kama ungebeti TZS 10,000 kwa David Avanesyan, ungezidisha 1.71 kwa 10,000, kukupa TZS 17,100. Kama ukitoa dau lako la awali kutoka kwenye hii, shindi zako za faida zingekuwa TZS 7,100.

Kama ungebeti kuwa Joshua Kelly angeshinda hii mechi, ungekuwa unabeti kwenye odds za 1.94. Tuseme kuwa pia unabeti TZS 10,000. Kama Joshua Kelly angeshinda, ungetengeneza faida ya TZS 9,400, mara ya kuwa umetoa dau lako la TZS 10,000 kutoka kwenye malipo.

Kwa kifupi, Parimatch hutumia odds za desimali kwa sababu ndio rahisi zaidi kusoma na kukokotoa shindi zako kutoka kwenye odds hizo. Kumbuka, kukokotoa implied probability yako, gawanya 1 kwa odds na zidisha kwa 100. Kukokotoa shindi zako, zidisha dau lako kwa odds na toa dau lako la awali.

Utofauti Kati ya Odds za Kubeti za Kabla ya Mechi na Mubashara katika Masumbwi

Utofauti kati ya kubeti kabla ya mechi na kubeti mubashara uko kwenye wakati unaoweka beti yako. Beti za kabla ya mechi huwekwa kabla ya kuanza kwa mechi ya masumbwi. Kubeti mubashara hutokea wakati wa mechi ya masumbwi.

Inapokuja kwenye odds, kuna utofauti mkubwa kati ya aina hizi mbili za kubeti. Odds za kubeti za kabla ya mechi hubakia hivyo hivyo katika mechi nzima, bila kujali nini hutokea. Odds za kubeti mubashara zitabadilika kutegemeana na tukio ambalo linaendelea katika mechi ya masumbwi.

Chukulia mechi ya masumbwi hapo juu kati ya David Avanesyan na Joshua Kelly. Odds zilizoonyeshwa katika mfano huo ni odds za masumbwi za kabla ya mechi. Kama unavyoweza kuona, ziko karibu karibu sana, na tokeo la mechi ni kisio la yeyote. Beti za kabla ya mechi za aina hii huwekwa kutegemeana na historia ya wachezaji na sifa zao mpaka pointi hii.

Hata hivyo, pindi mechi ikianza, kila kitu kinaweza kubadilika. Joshua Kelly anaweza akawa alikuwa akifanya mazoezi sana kuliko yeyote alivyofikiria na anaweza kuleta ushambulizi kwenye mechi ambao mameneja ubashiri wasingeweza kutabiri. Hii inaweza kubadili mwenendo wa mechi, ambacho kinaweza kuwakilishwa katika odds mubashara. Wakati wabashiri wa kabla ya mechi wanaweza wakawa wameweka beti kwa Joshua Kelly kushinda kwa odds za 1.71, tabia ya Kelly katika mechi inaweza kumfanya kuwa mwanamasumbwi pendwa kadri mechi inavyoendelea. Katika kesi hii, odds zitakuwa chini zaidi. Yeyote ambaye aliweka beti kabla ya mechi bado angelipwa kwenye odds zake za awali, wakati wabashiri wowote mubashara wangepokea odds mubashara, ambazo zingekuwa ndogo zaidi.

Kwa mfano, fikiria kuwa Joshua Kelly anapigwa ngumi nzito wakati wa mzunguko wa tatu. Hii inamtoa David Avanesyan nje ya msawazo, ikiharibu sana uchezaji wake anavyoelekea katika mzunguko wa nne. Kama hili lingetokea, implied probability ya Joshua Kelly kushinda inaweza kutoka 51% hadi 75%, kufanya odds zake za desimali kuwa 1.33.

Kama ungebeti TZS 10,000 kwenye beti ya kabla ya mechi kwenye odds za 1.94, ungetengeneza faida ya TZS 9,400. Hata hivyo, kama ulisubiri na kugundua kuwa Joshua Kelly alikuwa anashinda kwenye mzunguko wa nne, na odds zimedondoka hadi 1.33, ungetengeneza tu faida ya TZS 3,300 kwenye beti ya TZS 10,000.

Kwa kifupi, odds mubashara zinaweza kubadilika, wakati odds za kubeti kabla ya mechi hazibadiliki. Kama ukiibetia mechi kabla haijaanza, odds hizo kamwe hazibadiliki. Hata hivyo, kama ukiibetia mechi mubashara, unabeti kwenye odds zinazobadilika ambazo hucheza kutegemeana na tukio ambalo linatokea wakati wa mechi ya masumbwi.

Kipi cha Kukipa Umakini Wakati wa Kubeti Mubashara kwenye Masumbwi

Ni kweli kwamba mechi nzima ya masumbwi inaweza kumalizika kwa ngumi moja. Kupigwa ngumi na kudondoka kunaweza kupelekea kwenye mwisho wa mpinzani katika masumbwi, kama unavyoweza upiganaji wa kishambulizi, kumuacha mpinzani mmoja kuomba kujisalimisha.

Katika kesi ambayo mpinzani anapigwa na kudondoshwa au anajisalimisha, mechi nzima ya masumbwi humalizika. Hata hivyo, kama hili halitokei, wapiganaji watakwenda mizunguko kumi na mbili uso kwa uso na tokeo litaamuliwa kwa alama za majaji. Katika kesi hii, kwa hakika inastahili kutazama mechi kwa ukaribu kuamua alama ambazo zinawezekana kutolewa na majaji.

Hivyo ni nini hasa ambacho majaji huangalia wakati wakiipa alama mechi ya masumbwi?

Alama zinatolewa kwa kushambulia na kujilinda. Inapokuja kwenye kushambulia, majaji waangalia kuona ni mwanamasumbwi yupi anadhibiti tukio la kila mzunguko. Hii inaitwa “Ring Generalship” na hurejelea kwenye dhana ya mpiganaji kuonyesha udhibiti wa ujumla juu ya mpinzani wake katika ulingo, akilazimisha mtindo na matakwa yake mwenyewe. Hii kwa kawaida huonekana kwa mpiganaji mmoja kuwa mshambulizi zaidi, akimlazimisha mpiganaji mwingine kuendelea kujilinda bila ya kusukuma ngumi zozote.

Majaji pia wanaangalia ushambulizi fanisi. Kwa ujumla, ni wazo zuri kuwa mpiganaji mshambulizi wakati wa mechi ya masumbwi. Wakati wapiganaji hawapendi kujichosha, wanataka kupata udhibiti juu ya wapinzani wao. Hilo kuwa limesemwa, hakuna maana ya kuwa mshambulizi kama tukio hilo la ushambulizi halilipi. Hii humaanisha majaji wanaangalia wapiganaji ambao wanasukuma ngumi kwa wapinzani wao na wanaepuka ngumi ambazo wanatupiwa. Mwanamashumbwi ambaye hutupa ngumi mara kwa mara lakini hasukumi yeyote kumfikia mpinzani atajichosha tu mwenyewe.

Zaidi ya hilo, ili kupata alama katika masumbwi, wanamasumbwi wanahitaji kusukuma ngumi safi ambazo zinabeba uzito fulani nyuma yake. Wakati inaweza mara nyingi kuonekana kuwa mwanamasumbwi anasukuma ngumi nyingi kwa mpinzani wake, kama ukiangalia kwa ukaribu, unaweza kuona kuwa nyingi kati ya ngumi hizi zinazuiliwa na mpinzani na hazitui vilivyo. Wazo lenyewe ni kuwa mwanamasumbwi kiukweli hutaka kufanya mguso wa nguvu na uliyojaa kwa mpinzani. Hivi ndivyo jinsi wanamasumbwi wana uwezekano zaidi wa kuwapiga na kuwadondosha wapinzani wao, lakini pia itapelekea kwenye mizunguko yenye alama kubwa zaidi.

Kwa upande wa kujilinda, wanamasumbwi wanahitaji kuhakikisha kuwa hawapokei mapigo. Wakati mwanamasumbwi anaweza kuwa anasukuma ngumi kadhaa za nguvu, kwa kupata mapigo kunaweza kumplekea akapigwa na kudondoshwa. Katika suala hili, ni muhimu sana kwa yeye kujilinda na kuonyesha utaratibu fanisi wa kujilinda. Kwa majaji, hupenda kuona upanguaji na uzuiaji mzuri wa ngumi kutoka kwa mpinzani, pamoja na wanamasumbwi wakiponyoka kutoka kwenye mashambulizi.

Dondoo Bora kwa ajili ya Kubeti Masumbwi

Kuweka beti kwenye masumbwi ni namna tofauti kabisa ya kubeti kuliko michezo mingine mingi. Kwa ujumla, kubeti michezo hurejelea kwenye timu ambayo una shauku nayo. Badala yake, unaweza kuwa unaangalia timu ambazo zina upinzani dhidi ya kila moja au timu ambazo hucheza vizuri ugenini kulinganisha na nyumbani. Unataka kujua mbinu bora baadhi za masumbwi kwa ajili ya kuweka beti makini ya masumbwi? Huu hapa ni ushauri baadhi kutoka kwa timu yetu ya wataalamu wa kubeti masumbwi hapa Parimatch:

  • Beti kwa akili sio roho

Wakati kubeti mpira wa miguu mara nyingi hukupelekea kubeti kwenye timu unayoijali zaidi, kubeti masumbwi hufanya kazi kwa utofauti. Kama unataka kuweka beti yenye akili ambayo itakufanya ushinde pesa, unahitaji kumuangalia mpiganaji mwenye nguvu zaidi, sio mpiganaji anayetokea kwenye mji unaoishi. Wakati unaweza kuhisi kujawa roho ya kumpigia kura mpiganaji ambaye anatokea kwenye nchi yako au anawakilisha mji ambao ulikulia, kiukweli unapaswa kumbetia mwanamasumbwi ambaye ana uwezekano zaidi kushinda. Kwa kawaida unaweza kulisema hili kutoka kwenye odds. Ni nadra kuwa mwanamasumbwi dhaifu kweli humudu kuitawala mechi ya masumbwi sana kivile.

  • Yajue mafunzo

Kama ilivyo michezo yote, unaweza kupata wazo la jinsi timu inavyofanya vizuri kwa mafunzo waliyo nayo. Kwa wanamasumbwi, mara nyingi ni jambo la uma hasa juu ya jinsi walivyojiandaa kwa ajili ya mechi. Daima ni wazo zuri kuzama katika taarifa hizi kupata uelewa wa kina zaidi wa jinsi wanamasumbwi wamejijenga. Wamekuwa wakitumia mbinu kuwa imara zaidi kiurahisi au wamekuwa wakiangalia mtindo wa kipekee wa wapinzani wao na kuendelea kuboresha maeneo hayo ya msingi?

  • Zingatia uzoefu wa mwanamasumbwi

Kama mwanamasumbwi hajawa ulingoni kwa muda, ana uwezekano mdogo wa kushinda. Wakati, ndio, kuna ukweli fulani kwenye msemo wa zamani kuhusu ukubwa wa mbwa katika pigano, utakuta kuwa wapiganaji wenye uzoefu zaidi ndio imara zaidi. Kama mpiganaji amekuwa nje ya ulingo kwa muda au ana uzoefu mdogo wa kupigana kwa utaalamu, mara nyingi ana uwezekano zaidi wa kuvurugwa na tamasha na mambo yote. Kwa maana hii, unaweza kukuta kuwa mpiganaji aliyefanya mazoezi zaidi atafanya vizuri zaidi pindi akiwa chini ya taa ya ulingo. Hilo likiwa limesemwa, weka umakini kwenye wapiganaji ambao walipigana hivi karibuni, kwa maana majeraha yao kutoka kwenye pigano la mwisho yanaweza kuathiri jinsi wanavyocheza muda huu.

  • Usiamini mhemko

Wadhamini wa masumbwi wanalipwa pesa nyingi sana kuujengea sifa nzuri uchezaji wa mwanamasumbwi. Jinsi mwanamasumbwi anavyocheza itategemea kwenye ujuzi, wepesi, nguvu, na uwezo wake. Sio kwa sababu tu mwanamasumbwi amekuwa kwenye mahojiano mengi kwenye TV au ametengeneza dili kubwa kuhusu upinzani uliyopo, haimaanishi kwamba atashinda mechi. Mara nyingi mwanamasumbwi anayejinyenyekeza atafanya vizuri zaidi.

  • Angalia wanamasumbwi maarufu walio na tabia mbaya

Moja kati ya matatizo makubwa ya wanamasumbwi wanaochipukia ni kuwa wanapenda maisha ya kufanya starehe. Pesa na umaarufu mara nyingi huzaa magari ya kasi, wanawake wasiojielewa, na kuwa na mihemko kupitiliza. Kama ukigundua kuwa mwanamasumbwi anatumia muda mwingi sana katika kutafuta umaarufu, nje kwenye starehe au kujiingiza katika matatizo, uwezekano ni kuwa hajikiti kwenye kazi yake ya uwanamasumbwi. Wanamasumbwi hawa wana uwezekano wa kuwa wenye mikwara na mihemko zaidi kuliko wasukuma ngumi na wapiganaji. Kutokana na hili, kwa kawaida ni wazo zuri kukaa mbali na wanamasumbwi ambao hawayachukulii haya kwa umakini kabisa.

  • Usikadirie umri pungufu

Cha kuvutia, wanamasumbwi baadhi ni wazee zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Wakati wanamasumbwi wanaweza kuwa wapiganaji wazuri hadi katika miaka yao ya arobaini, kasi na wepesi wao kwa hakika hutetereka. Wakati mwanamasumbwi wa miaka arobaini anaweza kumstahimili aliye katika miaka ya thelathini, utamuona kabisa akipata shida dhidi ya aliye katika miaka ya ishirini. Hii ni kwa sababu wapiganaji katika miaka yao ya ishirini huwa wana wepesi na kasi nzuri zaidi na wanaweza kujilinda wenyewe kwa kukwepa kwa haraka zaidi kuliko wanamasumbwi wazee na walio taratibu. Kasi hiyo haifanyi kazi vizuri tu kwa ajili ya kushambulia kwa haraka, lakini hufanya maajabu ya kuwalinda wanamasumbwi wadogo dhidi ya mapigo ya nguvu.

  • Linganisha dhidi ya mapigano yaliyopita

Mechi za masumbwi kwa kawaida huratibiwa kwa ajili ya mwanamasumbwi mmoja kupora taji au daraja la mwingine. Kwa maana hii, pindi ukimfikiria mwanamasumbwi ambaye amepigana na kupiga watu wengi sana kupanda daraja, utakuta ana uwezekano zaidi wa kuibuka kidedea katika mechi inayokuja. Waangalie wapiganaji halisi ambao amekuwa akipambana dhidi yao ukilinganisha na mpinzani wake. Sawia, angalia amepanda hayo madaraja kiurahisi kiasi gani ukilinganisha na mtu anayepigana naye.

  • Tafuta udhaifu kwa mpiganaji

Kuna msemo mkongwe katika masumbwi kuwa mtindo humtengeneza mpiganaji. Kuna wapiganaji baadhi ambao huwa wanafanya vizuri kwenye chochote wanachotupiwa wakati kuna wapiganaji wengine ambao hupata shida dhidi ya wapinzani wenye mtindo ambao hauendani na wao. Kwa mfano, wanamasumbwi baadhi hupata shida kweli dhidi ya wapinzani watumiao mashoto. Hawa ni wapinzani ambao husimama wakiwa na mkono wao wa kulia na mguu wao wa kulia mbele na huwa wanakuwa wapiganaji wanaotumia mkono wa kushoto. Wapiganaji baadhi hupata shida kujilinda dhidi ya wapiganaji wanaotumia mkono wa kushoto, wakati wapiganaji baadhi hukuta ni vigumu kupenya ulinzi wa wapiganaji wanaotumia mkono wa kushoto. Kama unajua hili na unajua wanacheza na mpinzani anayetumia mkono wa kushoto, unajua hawana uwezekano wa kufanya vizuri pia.

Jinsi ya Kuweka Beti kwenye Masumbwi kwenye Parimatch

Kama unatafuta kuweka beti kwenye masumbwi kwa kutumia tovuti ya Parimatch au app ya kubetia ya mtandaoni, ni mchakato rahisi sana. Kiurahisi, ingia na tafuta mechi ya masumbwi ambayo ungependa kuiwekea beti, na utakuwa uko vizuri.

Ni mpya kwenye jukwaa la kubeti michezo la Parimatch? Bado una shida kidogo jinsi ya kuvinjari app yetu? Kamwe usiogope! Fuata mwongozo wetu hapo chini wa hatua kwa hatua kukuonyesha jinsi ya kuweka beti ya masumbwi kwenye Parimatch.

  1. Nenda kwenye tovuti ya Parimatch au app na jisajili au ingia kwenye akaunti yako iliyopo.
  2. Hakikisha kuweka pesa kiasi kuwa tayari kuweka beti zako za masumbwi.
  3. Kinachofuata, amua kama unataka kuweka beti za masumbwi za kabla ya mechi au mubashara.
  4. Ili kuweka beti ya kabla ya mechi, nenda kwenye sehemu ya “Sport” katika menyu. Utaona michezo yote inayopatikana imeorodheshwa kwa ajili ya kuibetia. Chagua “Boxing” kutoka kwenye michezo iliyoorodheshwa.
  5. Kwa beti mubashara za masumbwi, bofya kitufe cha “Live” katika menyu.
  6. Ukurasa unaofuata utaonyesha orodha ndefu ya mechi za masumbwi kwa ajili ya wewe kuzibetia. Unaweza kupata machaguo yanayofaa zaidi kwa kutumia vichujio unavyoweza kuvipata katika sehemu hii.
  7. Tafuta mechi ya masumbwi ambayo ungependa kuibetia na utaona odds za kushinda za kila mwanamasumbwi zimeorodheshwa kwa chini.
  8. Unaweza aidha kumchagua mwanamasumbwi unayetaka ashinde kutoka kwenye maboksi yaliyo chini, au unaweza kuchagua kichwa cha mechi ya masumbwi ili kwenda kwenye ukurasa wa mchezo.
  9. Pindi upo kwenye ukurasa wa mchezo, unaweza kumchagua mwanamasumbwi unayetaka ashinde kutokea hapa. Kwa kubofya boksi la beti katika ukurasa wa mchezo au kwenye ukurasa uliyopita, utaliona boksi limewekewa rangi na beti itatokea katika tiketi yako ya ubashiri.
  10. Kama unaweka beti moja tu, ni muda wa kwenda kwenye tiketi ya ubashiri kumalizia beti yako.
  11. Pindi ukiwa kwenye tiketi ya ubashiri, angalia taarifa za beti yako kama ni za kweli. Ingiza dau ambalo ungependa kulibetia katika boksi husika. Pindi una uhakika kila kitu kiko sahihi, bonyeza “Place bet”.
  12. Kama unaweka beti nyingi kwa mara moja, unaweza kuchagua beti za parlay au system. Rudia hatua 1-8 kwa beti zote za masumbwi ambazo ungependa kuziweka, pamoja na beti nyingine zozote za michezo ambazo ungependa kuziweka.
  13. Kinachofuata, nenda kwenye tiketi ya ubashiri kumalizia beti zako.
    Utaona “Parlay” na “System” katika menyu ya juu. Chagua aidha kuweka beti ya parlay au beti ya system na bofya sehemu husika.
  14. Kwa beti za parlay, angalia kama taarifa zote ni sahihi kwenye beti zote ambazo ungependa kuziwekea beti ya accumulator. Kinachofauata, ongeza dau lako katika boksi. Dau la kiwango cha chini ni TZS 300. Pindi ukiwa tayari, bofya “Place Bet” kumalizia beti yako.
  15. Kwa beti za system, bofya sehemu ya system. Kinachofuata angalia kwamba beti zako zote kama ni sahihi na nenda chini kuchagua system ambayo ungependa kuitumia kutoka kwenye menyu ya mdondoko wa chini. Pindi umechagua system yako, ongeza dau lako katika boksi. Kinachofuata, bofya “Place Bet” kumalizia kila kitu na weka beti yako.

Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:

Kufupisha Kubeti kwenye Masumbwi

Kwa wale wanaotafuta kubeti kwenye masumbwi ya kiulimwengu, mnaweza kukuta kuwa Afrika ina machaguo machache ya kubeti kwa ajili ya masumbwi. Hili ni kweli hasa kama ukiwatembelea mameneja ubashiri wako katika eneo unaloishi. Kwa wale ambao wangependa kubeti dhidi ya matukio haya ya kimataifa, msiwe na wasiwasi: Parimatch inawasaidia.

Parimatch imebuni jukwaa la kubeti michezo mtandaoni lenye hali ya kisanaa ambalo hutoa ufikiaji kwa ajili ya kubeti michezo kwa wale wote wanaotafuta kuweka beti nchini Tanzania na Afrika kote. Jukwaa letu la kisasa la kubeti michezo mtandaoni huwapa watumiaji mkusanyiko mpana zaidi wa matukio ya kubeti barani Afrika kote, kufanya kuwe rahisi sana kuingia na kuweka beti kwenye wanamasumbwi wako pendwa ulimwenguni kote.

La zaidi, kwenye Parimatch, tumejitoa kufanya iwe rahisi kadri inavyowezekana kuweka beti za masumbwi. Hii ndio maana timu yetu ya wataalamu wa kiufundi imeunda app hii ya kizazi kinachokuja ya kubeti michezo ambayo humpa kipaumbele mtumiaji kwanza. Asante kwa jukwaa letu hisivu na kujivinjari kwa moja kwa moja, unaweza kuweka beti katika namna rahisi zaidi, moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako janja. Zimeshapitwa zile siku za foleni ndefu kwa mameneja ubashiri — unaweza kubeti kwenye masumbwi moja kwa moja kutoka kwenye simu yako.

Hivyo, unasubiria nini? Jiunge kwenye jukwaa la Parimatch leo kuanza kuweka beti za masumbwi bila shida. Jukwaa letu lililo rahisi kutumia huwezesha beti za masumbwi za parlay kwa wale wanaopenda accumulator nzuri, beti za system kwa wale ambao hupendelea kufikiri katika systems, na beti za moja moja kwa beti ya haraka kwenye “Pigano Kubwa”. Jisajili kwenye Parimatch leo na kamwe usikose kubeti masumbwi tena.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.