Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Dondoo na Mbinu za Kubeti Mpira wa Meza

Kubeti mpira wa meza kunapata umaarufu ulimwenguni kote, hasa barani Africa. Kama mikeka ya mpira wa meza zimechukua fikra zako, inawezekana unatafuta ushauri wa kubeti mpira wa meza.

Isitoshe, sio tu kwamba mpira wa meza ni mchezo wa haraka unaosisimua kutazama, lakini pia ni moja ya njia rahisi zaidi kushinda malipo makubwa. Na hakuna sportsbook ya mtandaoni yenye mikeka mingi zaidi za mpira wa meza kwenye ofa kuliko Parimatch.

Unaweza ukawa unashangaa jinsi ya kushinda mikeka ya mpira wa meza au pengine unatafuta ushauri fulani wa kubeti mpira wa meza. Umekuja kwenye sehemu sahihi. Kwenye app ya kubeti ya Parimatch inayoeleweka, kiukweli utaona jinsi ilivyo rahisi kuanza kubeti na kushinda pesa kubwa.

Endelea kusoma kupata dondoo za kitaalamu za kubeti mpira wa meza, mbinu bora za mpira wa meza, na maelekezo ya hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuweka mikeka ya mtandaoni ndani ya dakika chache kwa Parimatch.

Jinsi ya Kutafiti Mbinu ya Mpira wa Meza Kabla ya Kubeti

Wabashiri wenye mafanikio daima hufanya utafiti wao. Kama hutofanya utafiti wako, ni kama kuendesha gari huku umevaa kitambaa cha kufunika macho — hutaona nini kinakuja. Kubeti kwenye mpira wa meza hakuna tofauti.

Yasome matukio ya mpira wa meza

Pindi ukiweka mikeka ya mpira wa meza, unajaribu ujuzi wako wa hali hiyo. Kama tu shuleni, usingetegemea kuwa na matokeo mazuri kwenye jaribio kama haukusoma.

Kubeti kwenye mpira wa meza hakuna tofauti. Unaweza kuwa na uelewa wa jumla wa mchezo, lakini ushauri bora wa kubeti mpira wa meza ni kuelewa kikamilifu muktadha wa tukio. Hii itakusaidia kuweka mikeka makini zaidi.

Kwa mfano, fikiria mawazo ya washindani katika mechi ya medali ya dhahabu ya Olimpiki dhidi ya mechi ya onyesho nchini Tanzania. Ukubwa wa tukio la kifahari kama hilo kama michezo ya kidunia litaathiri jinsi wachezaji wanavyocheza. Inaathiri vipi kiwango chao? Na matukio gani yana athari?

Jifunze kuhusu wachezaji wa mpira wa meza

Baada ya kuwa umelisoma tukio, wasome wachezaji. Kama unataka kujua jinsi ya kushinda mikeka ya mpira wa meza, jiulize mwenyewe, tukio hili litaathiri vipi mchezaji huyu dhidi ya mchezaji mwingine? Njia pekee ya kufanya hivyo ni kwa kujifunza kuhusu wachezaji.

Hii hapa ni mbinu nyingine nzuri ya kubeti mpira wa meza: elewa mtindo wa uchezaji wa kila mchezaji. Hii itakusaidia kuamua ikiwa mtindo huo utampa faida au hasara juu ya mpinzani wake.

Vutia picha hili. Una mechi kati ya mchezaji mmoja ambaye nguvu yake ni kuokoa mpira kwa kiwango cha mzunguko kilichopita kiasi, na yeye anacheza mechi dhidi ya mtu ambaye kihistoria hupambana kurudisha mipira iliyookolewa kwa mzunguko wa kupindukia. Jiulize mwenyewe, nani ana faida katika mazingira haya?

Jaribu unavyoweza kufikiria mazingira yote katika mechi ya kawaida ya mpira wa meza, na pima nani ana faida katika kila mazingira. Pindi umefanya hivyo, utakuwa na wazo zuri sana zaidi la jinsi ya kushinda mikeka ya mpira wa meza hasa kati ya wachezaji hawa wawili.

Zielewe kanuni

Kwenye mtazamo wa kwanza, mpira wa meza ni mchezo rahisi sana kuelewa. Kupiga mpira mbele na nyuma mpaka mtu akose alama yake — pointi inatolewa.

Lakini kuna ya zaidi sana kwenye hilo. Kwa wale wanaoelewa tofauti ndogo za kanuni hizi sio tu watafurahia vitu bora vya mchezo huu, lakini pia watakuwa na uwezo wa kutumia ujuzi wao kwa kuweka mikeka yenye werevu zaidi.

Kwa mfano, kanuni za mechi ya wawili wawili (2V2), hutofautiana na zile za mechi za mmoja mmoja. Jiulize mwenyewe, hilo litaathiri vipi mikeka yako?

Ulijua kwamba ili mechi iishe, unatakiwa kushinda kwa walau pointi 2? Kanuni hii humaanisha kuwa kinadharia mechi inaweza kamwe isiishe. Kama unatarajia mechi ya alama za karibu karibu, fikiria kuhusu jinsi nguvu ya kila mchezaji inavyoweza kufanya kazi. Isitoshe, wachezaji wataalamu wa mpira wa meza ni wanariadha, wako kwenye hatari ya kiwango kuzorota kadri muda unavyokwenda.

Juwa Aina za Mikeka ya Mpira wa Meza

Sababu moja kwanini mpira wa meza umekuja kuwa mchezo pendwa kwa haraka miongoni mwa wabashiri barani Afrika ni mkusanyiko mkubwa wa machaguo ya kubeti — na Parimatch inayo yote. Hapa tunaangalia njia maarufu zaidi kuzingatia.

Mikeka ya moneyline ya njia mbili kwenye mpira wa meza

Kama wewe ni mwanafunzi unayetafuta ushauri wa kubeti mpira wa meza, jaribu kuweka mikeka ya moneyline za njia mbili — ni rahisi sana.

Kwenye mikeka ya mpira wa meza ya moneyline za njia mbili, unatakiwa kujibu swali moja, nani atashinda? Kama ukichagua kiusahihi, utapata malipo. Kiukweli ni rahisi kama hivyo.

Katika mpira wa meza, daima kutakuwa na mshindi wa mechi hivyo tofauti na mikeka ya moneyline za njia tatu, hakuna chaguo la sare kuchezesha odds.

Hivi ndivyo mikeka ya moneyline ya njia mbili inavyoonekana kwenye Parimatch:

Betting on table tennis winner on Parimatch

Chagua mshindi, chagua kiusahihi, shinda pesa. Hayo ndio yote yaliyopo kwenye hilo — rahisi sana.

Kumbuka kuwa kwa chaguo-msingi Parimatch hutumia odds za desimali, lakini kwenye app yetu ya kubeti ya simu ya mkononi unaweza kubadilisha kwenda kwenye odds za sehemu au American.

Kubeti kwa Handicap kwenye Mpira wa Meza

Wakati wa kubeti kwenye mpira wa meza, unaweza pia kwenda kwenye mikeka ya handicap. Wazo lenyewe ni kumpa faida au hasara ya virtual moja ya washindani. Hebu tuangalie jinsi inavyofanya kazi kwenye mfano kutoka Parimatch:

Table tennis betting on handicap market

Fikiria unambetia Dmitriy Ignatiev na handicap ya +7.5. Inamaanisha, unaamini kama Dmitriy alipewa alama 7.5 za nyongeza katika mizunguko yote iliyochezwa, angeshinda juu ya Sergey Ogay.

Kwa mfano, wachezaji hawa walikuwa na mizunguko mitatu yenye matokeo yafuatayo:
Ignatiev vs Ogay

  • 7-11
  • 11-9
  • 8-11

Kabla ya kutumia handicap, Sergey Ogay atashinda. Dmitriy Ignatiev anahitaji alama 4 katika mzunguko wa 1 na alama 3 katika mzunguko wa 3 kuwa sawia na Sergey Ogay, ambazo ni 7 kwa ujumla. Kama tungempa alama 7.5, angeshinda juu ya Sergey kwa alama 0.5. Kwa njia hii, mikeka yetu ya handicap itakuwa ya ushindi.

Mikeka ya parlay ya mpira wa meza

Je, unatafuta malipo makubwa? Basi mikeka ya parlay ni sahihi kwa ajili yako. Mbinu hii ya mpira wa meza ni kwa ajili ya wale walio tayari kubeba hatari zaidi katika matumaini ya malipo makubwa.

Kwa kifupi, parlay ni mikeka ya ulimbikizaji ambapo mbashiri huweka machaguo mengi kwa dau moja. Kwa mikeka hii kulipa, kila chaguo lazima liwe sahihi.

Kwa mfano, kama ulibeti kwenye parlay ya njia 4, hiyo inamaanisha ulichagua mechi nne tofauti kuzibetia na kama matatu kati ya machaguo manne yalikuwa sahihi, usingepata malipo. Ni wazi inaweza kuwa ngumu zaidi kushinda aina hii ya mikeka, lakini malipo yanayoambatana nayo huifanya kuwa chaguo maarufu sana.

Kila mikeka ya nyongeza unayoiweka kwenye parlay yako huwa kama kizidishi kwenye malipo yako — kupelekea kwenye marejesho kadhaa makubwa kwenye dau lako la awali.

Aina zote za mikeka ya mpira wa meza (handicap, moneyline, n.k…) zinazotolewa kwenye Parimatch ni michezo isiyo na upendeleo ya kuweka katika parlay yako, ili mradi haitoki kwenye tukio hilo hilo.

Vizuri zaidi bado, unaweza hata kutengeneza parlay yenye mikeka katika michezo mingi.

Kumbuka kuwa kwa mkeka mmoja wa TZS 10,000 unaweza kushinda zaidi ya TZS 80,000!

Dondoo Bora za Kubeti Mpira wa Meza

Inapokuja kwenye mbinu ya mpira wa meza kwa ajili ya kubeti, kuna tambuzi fulani za msingi ambazo unapaswa kuzingatia. Hizi hapa ni dondoo baadhi za kubeti mpira wa meza ziletazo matokeo ambazo zina uhakika wa kukupa nguvu.

Fanya utafiti wako

Kama ilivyotajwa awali, kufanya kazi yako ndio kanuni ya msingi ambayo kila mbashiri mwenye mafanikio huiiga. Kama huelewi kikamilifu muktadha wa mechi ni upi, hutaweza kuweka mikeka makini zaidi zinazowezekana.

Wasomaji ni viongozi, viongozi ni wanafunzi, na wanafunzi ndio watengenezao pesa. Kama unashangaa jinsi ya kushinda mikeka ya mpira wa meza, hakikisha unafanya utafiti wako.

Weka umakini kwenye kiwango cha hivi karibuni cha wachezaji

Kama tu katika michezo yote, wachezaji wa mpira wa meza wanaweza kuwa na siku mbaya au wanaweza kuwa kwenye kipindi cha mafanikio. Angalia mechi za hivi karibuni kutoka kwa wachezaji unaofikiria kuwabetia na fahamu mwelekeo upi wanaoelekea.

Ushauri baadhi wa kubeti mpira wa meza utakwambia umuunge mkono mtu anayefanikiwa. Lakini, ni muhimu kuchimba kwa kina zaidi na kuelewa kwanini anavuma kwenye kufanikiwa au kutokufanikiwa? Je! Anarudi kutoka kwenye kipindi cha kupoteza? Je! Yeye ni mchezaji pendwa katika tukio bora? Je! Anaucheza mchezo kwenye uwanja wake wa nyumbani?

Usilenge sana kwenye viwango

Inaweza kuwa ngumu kubeti dhidi ya mshindani wa kiwango cha juu. Hata hivyo, kiwango cha mchezaji si kiashiria kinachomwelezea kwa kina kama anakwenda kushinda.

Fikiria kuhusu mara ngapi umeshuhudia mchezaji dhaifu anamshinda goliati. Mashabiki hupenda kumuona mchezaji dhaifu akishinda na uungwaji mkono unaoongezewa na umati unaweza kumsaidia kuelekea kileleni.

Kuliko kuweka umakini kwenye namba ya kiwango ambayo mchezaji yupo, weka umakini kwenye jinsi alivyofika kwenye kiwango hicho

Fikiria hili, wa namba 9 anacheza mechi na wa namba 7 kidunia lakini mchezaji aliyepewa kiwango kidogo amekuwa akicheza kwa kifundo cha mkono kilichoumia sehemu kubwa ya msimu. Kifundo hiki cha mkono kisicho vizuri kimeathiri vibaya uwezo wake wa kupiga mzunguko wa juu kwenye mpira.

Lakini, wa namba 9 alichukuwa wiki kadhaa za mapumziko na sasa ana afya kikamilifu. Unafikiri bado atacheza kwenye chini ya kiwango ambako kulimpa kiwango hafifu sana katika sehemu ya kwanza? Inawezekana sio.

Kwanini unapaswa kubeti kwenye mpira wa meza kwa Parimatch?

Kuchagua sportsbook ya mtandaoni sahihi inaweza kuwa mbinu muhimu zaidi ya mpira wa meza. Watu wengi zaidi kuliko kabla wanaweka mikeka kwa Parimatch, na iwapo ulikuwa hujui, hii ndio kwanini:

  • Mikeka ya chini ndogo zenye malipo makubwa (ikihusisha chaguo la jakpoti);
  • Huduma bora kwa wateja 24/7;
  • Machaguo ya kubeti ya mubashara, kabla ya mechi, virtual, na esports yanapatikana;
  • Inapatikana kwenye iOS na Android;
  • Programu yenye hali ya kisanaa yenye kiolesura rafiki kwa mtumiaji chenye lugha mbili;
  • Odds nzuri zaidi kuliko utakazokuta sehemu nyingine yoyote;
  • Chapa ya kimataifa yenye kuheshimika vizuri yenye miaka 29 ya mafanikio.

Jinsi ya kuweka mikeka kwenye mpira wa meza kwenye Parimatch

  1. Tembelea ukurasa wa nyumbani wa Parimatch.
  2. Kulia juu ya skrini, chagua ingia au jiunge. Hivi ndivyo jinsi ya kusajili akaunti yako.
  3. Baada ya kuwa umeingia, weka pesa kwenye akaunti yako.
  4. Ukishaweka pesa kwenye akaunti yako, rudi kwenye ukurasa wa nyumbani na bofya kwenye Table Tennis.
  5. Chagua ikiwa unataka kubeti kwenye mechi Live (Mubashara) au Upcoming (Zinazokuja).
  6. Chagua ligi/shindano unalotamani kulibetia kutoka kwenye menyu ya mdondoko wa chini.
  7. Baada ya kuwa umechagua ligi/shindano gani la kulibetia, chagua mechi maalum unayotaka kuibetia.
  8. Kinachofuata, tembea kupitia ukurasa na chagua mikeka yako unayotaka.
  9. Baada ya kuwa umefanya chaguo lako, angalia kulia mwa skrini kwenye tiketi ya ubashiri na ingiza kiasi gani unachotaka kubeti.
  10. Kama unaridhishwa na mikeka yako na uko tayari kuiweka, chagua “weka mikeka”.
  11. Kuweka mikeka mingi, rudia hatua ya 4 hadi ya 10.
  12. Pindi uko tayari kuweka mikeka yako, nenda kwenye tiketi ya ubashiri.
  13. Bofya “Parlay” kuweka mikeka ya parlay. Ongeza mikeka yako na bofya kuweka mikeka yako.

Unahitaji habari zaidi? Angalia mwongozo huu wa kina juu ya jinsi ya kubeti kwenye tenisi ya meza!

Taarifa muhimu kuhusu michezo nyingine:

Hitimisho

Mpira wa meza unakuwa sana sasa hivi katika ulimwengu wa kubeti. Wabashiri magwiji nchini Tanzania wamegundua na wanashinda pesa zaidi kwa Parimatch kuliko sportsbook nyingine yoyote mtandaoni.

Kubeti mtandaoni kwa Parimatch ni njia inayosisimua ya kufurahia mchezo ambao tayari una msisimko. Kama umekuwa hauuangalii, tazama video baadhi kwenye youtube. Hawa watu sio wanariadha wako wa kawaida.

Sasa kwa kuwa umepata ushauri kadhaa wa thamani wa kubeti mpira wa meza, unaweza kuanza kuingiza pesa kwa Parimatch. Tazama mkusanyiko wetu mzuri wa mikeka ya mpira wa meza leo!

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, huwa unashinda vipi katika kubetia tenisi ya mezani?

Chukua muda wako kufanya utafiti wa kutosha kuhusu mchezo na wachezaji. Hasa, unatakiwa kuzingatia fomu ya hivi karibuni ya mchezaji. Walakini, usizingatie sana viwango kwani wakati mwingine huwa matokeo yanashangaza wakati.

Njia ipi ni bora ya kuweka dau kwenye tenisi?

Njia bora ya kuweka dau kwenye tenisi ni kucheza kweye ushindi wa kawaida. Kubetia ushindi wa kawaida kunamaanisha tu kuweka dau moja kwa moja kwa mchezaji ashinde mechi yake. Tena, unapaswa kuangalia odds. Kwa mfano, kama mchezaji unayempenda ana uwezekano wa 1.6 kwenye mstari wa pesa dhidi ya mpinzani wake mwenye 8.3, ana uwezekano wa chini unaoonesha kuwa ni mchezaji shupavu. Hii ina maana kuwa kushinda, kwa mfano, TSh.10000 + kwa dau lako, mchezaji umpendaye akishinda utalazimika kulipa pia TSh.15, 000.

Je, mechi za tenisi zinatabiriwaje?

Kwa kawaida, mechi za tenisi hutabiriwa kwa kutumia mbinu kuu tatu. Hizi ni pamoja na viwango vya juu/alama, ulinganisho uliooanishwa, au mbinu za urejeshi. Mbinu ya ngazi ya juu inalenga kwenye makadirio ya uwezekano wa mchezaji kushinda kwa alama moja kwenye mechi huku ulinganisho wa pea ukiwalinganisha wachezaji hao wawili. Kwa upande mwingine, mbinu ya urejeshi inatabiri uwezekano wa ushindi wa jumla kwenye mchezo.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.