Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kubeti kwenye Volleyball Kupitia Parimatch

Japo soka, tennis na kikapu vinakujaga juu zaidi kwenye orodha ya michezo maarufu, volleyball ni mchezo wa tano kwa umaarufu duniani. Volleyball ina mashabiki zaidi ya ya milioni 900 duniani kote, umaarufu wake unazidi kuongezeka tangu utambulisho wa Volleyball kwenye michuano ya olympics mwaka 1964, na baadaye kuongezwa kwa beach volleyball mwaka 1996.

Je, ni kwanini volleyball inazidi kupata umaarufu? Na ni kwanini uwekeze kwenye kubeti kwenye kubeti kwenye volleyball?

Likija kwenye suala la burudani ya michezo, volleyball ni mchezo wa kuvutia sana kuangalia, unahitaji spidi na ubunifu mkubwa, utagundua mchezo huu pia unatumia mbinu nyingi kwenye “pasi, seti, hit na block” japo mchezo huu hauhusishi watu wengi sana kukimbi lakini bado unaleta amsha asmha ya kutosha.
Kitu kingine kinachofanya volleyball kuwa mchezo wa kuvutia zaidi ni kwamba hakuna draw, lazima mshindi apatikane kwenye mchezo wa voleyball, hii inaleta fursa kwa wakali wa mikeka kutokuwa na hofu ya draw.

Lakini ni michuano gani ya volleyball unatakiwa kubetia? Michuano gani ya volleyball inapatikana Tanzania? Lakini kwa bahati nzuri Parimatch imeshakuandalia mazingira ya kukuta michuano yote mizuri kutoka kila kona ya dunia. Odds zetu zinavutia na masoko ya kutosha yanakupa fursa kubwa ya kubeti na kushinda kiulaini kabisa.

volleyball betting

Kukiwa na nafasi nyingi za kuchagua unaweza kupata ugumu kujua unaanzia wapi kubeti kwenye michuano mbalimbali ya volleyball. Olympics ndiyo michuano mikubwa zaidi ya volleyball ikifuatiwa na michuano ya dunia na kombe la dunia, hapa mataifa mbalimbali huja pamoja kuafuta bingwa wa dunia. Michuano mingine mikubwa ya volleyball ni Nations League. Kwenye michuano ya vilabu ya FIVB, michuano ya CSV ya America ya kusini, na mashindano ya CEV Ulaya.

Usikubali kupitwa na nafasi ya kushinda mshiko wa kutosha kwa kubeti kwenye michuano hii ya ndani ya jukwaa la Parimatch, iwe unataka kuccheza kalba ya mechi au uwe unataka kucheza live, fursa zote hizi za kushinda zinapatikana ndani ya Parimatch.

Pakua Parimatch betting app leo au tembelea tovuti yetu kuchangamkia fursa ya kubeti na kushinda kwenye volleyball.

Jinsi ya Kuzichambua Odds za Volleyball Ukicheza na Parimatch

Haijalishi uwe unapenda volleyball inayochezwa ndani au beach volleyball, jukwaa la Parimach linakuletea michuano yote ya kuvutia ya volleyball, ikikupa nafasi ya kubeti kabla ya mchezo kuanza au kubeti Live mechi ikiendelea. Parimatch inajivunia kutoa odds za kibabe barani Africa.

Kama huwezi kuzisoma odds na kuelewa jinsi gani ya kuzitumia kwa faida yako, basi utapata shida kwenye kusuka mikeka yako, ukiweza kusoma odds za volleyball na kuzielewa, utaweza kutengeneza mbinu ambazo zitakuwa na faida kubwa kwa upande wako. Odds zinatofautiana kutokana na masoko utakayochagua.

Kiujumla, odds zikiwa ndogo zaidi zinamaanisha kua timu hiyo ina uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda kuliko timu yenye odds kubwa, matokeo ambayo hutokea kwa nadra sana ni odds kua kubwa na timu hiyo kushinda, odds za decimali zinazotumika na Parimatch zinakuonyesha pia unaweza kushinda kisasi fani na kama utapata faida au hasara.

Unahitaji taarifa zaidi kuhusu odds? Soma nakala hii yenye uchambuzi yakinifu kuhusu jinsi ya kusoma na kuelewa odds.

Kutengeneza mikeka ya kifundi kwenye volleyball, ni wazo zuri kuelewa aina mbali mbali za masoko yanayopatikana na kuelewa mpangilio wa odss kiujumla kwenye jukwaa la Parimatch. Kama unajiuliza “hivi unabetije kwenye volleyball?’’ basi nakala hii ni kwajili yako.

Kabla Hujaanza Kubeti kwenye Volleyball

Kwanza, unahitaji kufanya maamuzi kama unabeti kabla ya mchezo kwanzaa au kama unabeti mchezo ukiendelea maana yake unabeti live. Hivyo kama unataka kubeti kabla ya mchezo kuanza inabidi uwahi kabla mchezo haujanza ila kama unataka kubeti live basi unawea kusubiri tu.

Jinsi ya Kubeti Kabla ya Mchezo Kuanza kwenye Volleyball

Tembelea tovuti ya Parimatch au App kisha nenda kwenye volleyball na uchague “michezo inayofuatia”. Kisha bofya kwenye mchezo wa volleyball unaotaka kubeti na kisha utaona masoko mbalimbali unayoweza kucheza.

Jinsi ya Kubeti Live kwenye Volleyball

Ukitaka kubeti kwenye michezo ya volleyball ikiwa inaendelea, bofya kitufe kilichoandikwa “live” kwenye eneo la volleyball ndani ya kurasa au app ya Parimatch, kisha chagua mchezo unaotaka kubeti na baada ya hapo utaona options mbalimbali na unaweza kuchagua kisha kubeti na kushinda, faida kubwa pia ya kucheza na Parimatch ni unaweza kucheki mechi live

Maelekezo ya Kubeti kwenye Volleyball

Hivi watu Wanafungaje kwenye Volleyball?

Kuweka mikeka ya ushindi kwenye volleyball lazima ujue ni jinsi gani sheria za volleyball zinafanya kazi na moja ya vitu muhimu kujua ni jinsi magoli yanavyopatikana, kufunga kunatofautiana kutoka ligi moj kwenda nyingine, lakini kiujumla volleyball huchezwa kwenye seti tano, kila seti timu zinapambania kufunga pointi 25 kukiwa na utofauti wa pointi 2. Seti nne za kwanza kwenye volleyball zinachezwa hadi kufukisha pointi 25 lakini seti ya tano au seti ya mwisho inachezwa kufikisha pointi 15.

Nani Atashinda

Njia ya kwanza na rahisi kubeti kwenye volleyball ni kubashiri nani atashinda kwenye mchezo husika.

Odds za 1.32 kwa Saaremaa kushinda na 3.10 kwa Selver Tallinn kushinda. Iwe unacheza live au kabla ya mchezo kuanza, unawea kuchagua mshindi kwa kuchagua “1” kwa timu ya kwanza kushinda au “2” kwa timu ya pili kushinda raha ya volleyball ni kwamba hakuna sare.

Odds zinaonyeshwa kwa wino mweusi kwenye huo mfano hapo juu, odds za Selver Tallin kushinda ni 3.10,maana yake wana uwezekano mdogo wa kushinda.lakini ikitokea Selver Tallin wakashinda, na ulikuwa umeweka 10,000 TSH, utakuwa umejishindia 31,000 TSH.

Kubashiri Matokeo Sahihi ya Uhakika

Kama unajiamini utajua nani atashinda kwa kiasi gani basi hii ni kwajili yako, Parimatch inakupa fursa ya kujishindia mshiko wa kutosha kwa kubashiri matokeo sahihi ya mchezo husika.

Mikeka ya Matokeo Sahihi

3:0 2.50 3:1 3:25
3:2 5.60 2:3 7.00
1:3 7.40 0:3 12.00

Ili kushinda kwenye soko hili ni lazima uwe umebashiri matokeo ya mwisho kwa ushaihi, chuku mfano hapo juu, ungekuwa umebeti TSH 10,000 na matokeo yangekuwa 3:2 kwa timu ya kwanza, ungekuwa umebeti kwenye odds 5.60. Ikitokea haya ndio yakawa matokeo ya kweli ya mchezo filimbi ya mwisho ikilia, ungejishindia 56,000 TZS.

Kubeti kwenye Seti za Volleyball

Parimatch inawawezesha watumiaji wake kubeti kwenye matokeo mbalimbali kupitia masoko kibao yanayopatiakana ndani ya tovuti au app.

Mfano kwenye kubeti kabla ya mchezo kwanzaa, unaweza kubeti kama matokeo ya mwisho ya setu yatakuwa namba witiri au shufwaa. Vile vile unaweza kubeti nani atashinda kwenye kila seti.

Kubeti kabla ya mchezo pia kunamuwezesha mdau wetu kubeti kwenye idadi kamili ya seti zitakazochezwa kwenye mchezo husika, na vile vile kama kutakuwa na seti ya nne au ya tano. Na kama inavyofahamika odds za kabla ya mchezo huwa hazibadiliki.

Masoko ya Kubeti kwa Seti Kwenye Volleyball

Je,kutakuwa na seti ya 4?

Yes 1.55 No 2:30

Je,kutakuwa na seti ya 5?

Yes 3.40 No 1:27

Seti Sahihi

3 2.30
4 2.55
5 3.50

Kwa wale wanaopenda kubeti live kwenye volleyball, unaweza kubeti mchezo ukiwa unaendelea na kubashiri ni timu gani itashinda kila seti na nani atashinda mchezo kiujumla, bila kusahua ukiwa unabeti live kwenye volleyball odds zitakuwa zinabadilika kuendana na matukio yanayoendelea ndani ya mechi, hivyobasi watumiaji wa Parimatch wanaweza kutumia firsa hii kuusoma mchezo na kuweka mikeka ya ushindi.

Kubeti Matokeo ya Jumla na Parimatch

Matokeo ya jumla kuna muda yanatambulika kama kubeti over/under .Inakuwa hivi, bookmaker anatoa matokeo yake yanayoendana na hali ya mchezo kisha wadau wanapata nafasi kubeti kama matokeo ya mchezo huu yatakuwa juu ya au chini ya matokeo aliyotoa bookmaker.

Mikeka ya Jumla

Over Under
199.5 1.85 1.90
198.5 1.75 2.01
200.5 2.01 1.75

Hapa tunaona bookmaker ametuchagulia matokeo yenye nafasi tatu za kuchagua kutokana na idadi ya pointi kwa mchezo husika. Ukiamini matokeo yatakuwa chini ya 198 na ukabeti 10,000 TZS kwenye “Under 198.5” utapata odds za 2.01. Kama jumla ya matoeko yakiwa 197, utajishindia 20,1000 TZS.

Parimatch Jinsi ya Kubeti Live kwenye Volleyball

Volleyball ni mchezo wa kasi sana na unavutia mno kuangalia na kubeti mchezo ukiwa unaendelea mubashara kunaleta msisimko wa kipekee.

Japo kubeti kabla ya mchezo kuanza kunasisimua lakini mzuka wa kubeti live kwenye volleyball ni wa utofauti wa aina yake, yaani unajihisi uko kato kato ya tukio zima.

Kubeti live kunakusaidia kupata muelekeo wa mchezo mzima na kufanya maamuzi ya kifundi kwenye kuweka mikeka yako, embu fikiria uwe uliweka mkeka wa kuipa ushindi timu flani alafu mchezaji wanaemtegemea akaumia mchezo unavoanza.

Ukiwa mtaalamu wa kucheza volleyball na ukajua kuusoma mchezo vizuri, basi utakuwa na uwezekanao mkubwa sana wa kushinda mikeka yako.

Tofauti ya Kubeti Kabla ya Mchezo Kuanza na Kubeti Live

Kama tulivokwisha kusema awali kuwa unaweza kubeti kabla ya mchezo kwanzaa na vile vile unaweza kucheza live, masoko yanayopatikana kabla ya mchezo kuanza hufungwa pale kipenga cha kwanzaa mchezo kinapopulizwa. Kubeti kabla ya mchezo kwanzaa kunategemeana na uzoefu wako wa kuzijua historia ya timu mbili zinazocheza.

Kwa kujua historia ya timu zote mbili, takwimu za timu na matokeo yaliyopita mara ya mwisho timu hizo zilipokutana, kwa kuwa na taarifa zote hizi unaweza kubashiri matokeo na kuweka mkeka wako kabla ya mchezo kuanza.

Odds ulizobeti kabla ya mchezo kuanza zitabaki hivo hivo hadi mchezo utakapokwisha.

Chukua mfano ufuatao:

Gentofte Volley anapewa nafasi kubwa ya kushinda kwenye mchezo huu wa ligi ya Denmark, kuonyesha hili hapa unaona odds zake zipo chini. Hii inamaanisha ukibeti TZS 10,000 kwa Gentofte Volley kushinda, utapata TZS 10,100 kwa matokeo haya. Utapata faida ya TZS 100 tu.

Hebu fikiria ukiwa umebeti kwa Gentofte Volley kushinda,kisha fundi wao Christiansen akatolewa kwenye mchezo kwa utovu wa nidhamu kwenye seti ya pili. Hapa sasa Gentofte Volley wanakuwa na uwezo mdogo wa kushinda, hii itapelekea odds kua kubwa lakini kwasababu ulibeti kabla ya mchezo kuanza bado utabakia kupata faida ya 100 TZS.

Kubeti live kwenye volleyball ni kitu kingine. Odds zinabadilika kila baada ya muda kutegemeana na matukio ya mchezo.

Kitu kinachovutia zaidi kubeti live kwenye volleyball ni kwamba matukio yanaoyoendelea kwenye mchezo yanaadhiri odds hivo unaweza kupata nafasi ya kushinda mshiko mrefu.

Tutumie mfano ulel ule, hapa sasa Chrisitansen ametolewa kwa utovu wa nidhamu, Gentofte valley inazidi kupoteza matumaini ya kushinda. Kwasababu unacheza live basi na odds pia zinabadilika, kwasababu Christiansen hayupo tena odds zinabadilika na sasa zinakuwa 5.20 kwa Gentofte Volley kushinda, na 7.50 kwa Ishoj Volley kushinda.

Kama ushindi ukienda kwa Gentofte Volley, mkeka uliowekwa kabla ya mechi kuanza bado utaishia kupata faida ya TZS 100, lakini kwa mtu alibeti mchezo ukiwa unaendelea pale odds zilipokuwa 5.20 atapata faida kubwa zaidi, na kama ikiwa alibeti TZS 10,000 atashinda TZS 52,000 na kupata faida ya TZS 42,000.

Hivyo basi tunaona hapa kuwa kubeti live kuna faida sana ukiwa una uwezo wa kufanya maamuzi ya haraka kutegemeana na kinachotokea uwanjani, na ikitokea Ishoj Volley wangeshinda, aliyebeti kabla ya mechi kuanza angefaida odss 11.00 tofauti na aliyesubiri kucheza live.

Jinsi ya Kuweka Mkeka wa Volleyball Ukicheza na Parimatch

Kama unatafuta sehemu ya kucheza na kufurahia odds kubwa na masoko kibao kwenye volleyball barani Afrika, basi Parimatch ndiyo jukwaa lako sahihi, huku utafurahia kucheza kwenye tovuti na application za kisasa, unapata nafasi ya kubeti kwenye michuano yote mikubwa ukiwa nyumbani kwako.

Ukitaka kujua jinsi ya kucheza na Parimatch, hizi ni baadhi ya hatua unazoweza kufuata kuanza kufurahia kucheza na kushinda sasa:

 • Kabla hujaanza kufurahia michuano mbalimbali kwenye tovuti na app yetu, ni lazima uwe na akaunti, unaweza kutengeneza akaunti yako kwa kubofya kitufe kilichoandikwa “Sign Up” kulia kwenye simu yako. Maelekezo zaidi utayapata hapa jinsi ya kujisajili na Parimatch.
 • Baada ya kujisajili, ni muda sahihi wa kuweka salio kwenye akaunti yako ili uweze kuweka mkeka wako wa kwanza kwenye volleyball jinsi ya kuongeza pesa kwenye akaunti yako ya Parimatch.
 • Nenda kwenye eneo la volleyball kisha chagua kama unataka kubeti kabla ya mchezo au unataka kubeti live. Bofya “All upcoming” kubeti kabla na “Live” kama unataka kubeti kwenye michezo inayoendelea.
 • Kisha chagua michuano ya volleyball unayotaka kubeti.
 • Zaidi, chagua mechi gani unazotaka kubetia.
 • Baada ya hapo utaona masoko yote yanayopatikana kwenye mchezo huo, chagua kisha utaona mng’ao wa kuonyesha ulichochagua.
 • Mkeka wako utaonyesha chaguzi zako zote.
 • Ukiamliza kuchagua mikeka yako bofya “Betslip” kukamilisha
 • Ukiwa unacheza Multibets unaweza kuchagua kuweka parlay bets au system bets kwenye mkeka wako.
 • Ukikamilisha kila kitu shuka chini kisha bofya kitufe kinachosema “Place bet”.

Mbinu Zote za Kijanja za Kushinda kwenye Volleyball

Volleyball ni mchezo unaenda kwa kasi sana hivyo ni lazima ujikusanyie mbinu zako za kijanja mapema, tukiwa kampuni namba moja ya michezo ya ubashiri nchini, hizi ni baadhi ya mbinu tunazoziona kwa mafundi wengi.

Jinsi ya Kutengeneza Mbinu ya Ushindi wa Kudumu kwenye Volleyball

Ukitaka kubeti kama fundi na kushinda ni lazima utengeneze mfumo wako a ushindi ambao utakuongezea uhakika wa kushinda na kupata faida kubwa pia kwenye kubeti.

Kiujumla, ukiwa unatengeneza mkeka wako ni lazima ujue kuwa odds ndogo zinamaanisha timu husika ina uwezekano mkubwa wa kushinda.

Hivyo basi ukiwa unabeti kwenye volleyball ni lazima ujue kwanini odds ni kubwa kwa baadhi ya timu zina odds ndogo.

Ukiwa ni mtu wa kupenda tu burudani na hauko seriazi sana na kushinda hela nyingi sana, njia rahisi kwako ni kuipa timu unyoikubali zaidi kushinda, utakuwa na uwezekano mkubwa wa kushinda lakini faida yako haitakuwa kubwa sana.

Ukiwa unataka kupata faida kubwa sana, itakubidi utafute odds kubwa na za kutisha zaidi, odds kubwa zaidi zipo kwenye masoko magumu kama kubeti matokeo sahihi ya mchezo husika.

Mbinu nyingine ni kubalance odds zako kwa kucheza over/under. Huku odds kwa timu dhaifu zitakuwa hatari kwako, unaweza kucheza over/under kwenye matokeo ya mchezo mzima kujiongezea zaidi nafasi ya kushinda.

Kufanya maamuzi ya kuweka mkeka wako kabla ya mchezo kuanza au baada ya mchezo kwanzaa kwa maana nyingine kucheza live,watu wengi wanaamini kubeti kabla ya mchezo kuanza ni bora zaidi lakini unaweza kupoteza nafasi ya kushinda hela nyingi usipocheza live.

Kuweza kuwa fundi wa kubeti kwenye volleyball ni lazima uwe na uwezo wa kuvumilia ukipoteza na kujua jinsi ya kupangilia dau lako kwa umakini bila kusahau kufanya utafiti na kujua vizuri takwimu za timu kabla ya kubeti.

Iwe unabeti kabla ya mchezo kuanza au unataka kubeti live, kufanya utafiti ni jambo zuri mno kwani utaweza kujua nini hasa unachotaka kufanya.

Nini cha Kuzingatia Hasa ukibeti Kwenye Volleyball

Kuweka mikeka a kijanja, unahitaji kufanya utafiti kwenye michezo yako yote kabla haijachezwa, kama unabeti kwenye volleyball live, na kama unabeti live ni vizuri uwe unaangalia mchezo au kuufuatili ili ujua mabdiliko yoyote yatakayotokea.

Lakini ni nini hasa cha kuzingatia?

 • Ubora kwa msimu huo

Historia ya timu inaweza kukupa taarifa nzuri za kufanya utabiri wa matokeo lakini ubora wa timu hapo nyuma unaweza uziwazuie kuwa na msimu mbaya kwa wakati husika, hivyo ni muhumu kujua muendendo wa timu hiyo kwa msimu huu au kwa msimu husika kabla ya kuweka mkeka wako.

 • Majeruhi

Ni vizuri kufuatili kama kuna mtu kwenye timu hiyo amepata majeraha yoyote hasa kwa wale wachezaji wanaotegemewa kuleta mabadiliko kwenye timu, unaweza ukaangalia kama wamepata majeraha au kukumbukwa na matatizo ya kifamilia.

 • Historia za Wapinzani

Je, timu hizo zina historia ya ushindani kwa muda mrefu? Je kuna utani wa jadi kwa timu husika? Kama upo basi hii itaongeza ushindani kwenye mchezo husika na matokeo yatakuwa ya kukaribiana.

 • Kikosi

Siku ya mechi lazima uangalie kama kikosi kilichopangwa kina ubora wa hali ya juu na kinaweza kuleta ushindani na kupata matokeo chanya kwenye mchezo huo, lazima ujiulize hiki ndiyo kikosi bora? Je, ni kikali kuliko cha wapinzani wao?

 • Uchovu na Mushekeri za Uwanjani

Kwa wale wanaobeti live ni muhimu kufuatilia mchezo kuona upepo wa mchezo unaendaje? Ni muhimu kuwaangalia wote kuona nani anaanza kuchoka au timu gani ina makosa ya kizembe zaidi, ukiweza kuona makosa na kubeti kabla hawajapoteza kutakusaidia kushinda hela nyingi.

Ukiwa Unabeti Live acha App ya Parimatch Wazi

Ukiwa unabeti live kwenye volleyball, unahitaji kuwa na spidi kubwa na ya kufanya maamuzi pale ambapo tukio lolote la kukupa hela linapotokea, kwa kulitambua hili kuacha app ikiwa wazi muda wote ni jambo zuri.
Faida za Kubeti Volleyball kwenye App ya Parimatch

Tukiwa kwenye ulimwengu wa kidigitali, ni muda sahihi sasa wa kusahau kupanga mistari mirefu kwenye maduka ya kubeti, siku hizi mambo yote yapo viganjani mwetu tukiwa kokote kwa kutumia simu ya mkononi au simu janja, siku hizi kila kitu kipo kiganyani mwaka unaweza kupata app ya Parimatch kwa kubofya Parimatch sports betting app..

Je, ni nini kinaifanya app ya Parimatch kuwa nzuri kiasi hiki? Kwanini tunawazidi washindnai wetu wote barani Afrika? Zifuatazo ni sababu 10 za kupakua App ya Parimatch sasa hivi.

 • App ya Parimatch ina Spidi ya Ajabu

Volleyball ni mchezo unaohitaji kasi na hivo ndivyo ilivo App yetu , spidi ni kitu muhimu hasa kwa wale wanaocheza live sio kwenye volleyball tu bali kwenye michezo yote, ndiyo maana tumejizatiti kukupa burudani ya kuaminika kupitia App yetu yenye kasi ya kipekee.

 • App yetu ni ya Kuaminika

Timu yetu ya wataalamu wa teknolojia inatambua kuwa wateja wetu wanahitaji ubora wa kipekee, haijalishi kuwe na wateja wangapi wanacheza kwa wakati huo na wewe unabeti kwenye volleyball unahitaji kuwa na uhakika mitambo hitavurugika ukiwa bado unacheza kutokana na wingi wa watu au tatizo la kimatandano, kwa bahati nzuri app yetu inaweza kuhimili mitafaruko yote.

 • Haitumii Data Kwa Wingi

Kama umekuwa ukicheza na app au tovuti za zamani na zilizopitwa na wakati ni lazima utakuwa umegundua bando lako likitumika kwa wingi sana, hii inakuongezea gharama kubwa za kuweka bando kubwa na pia kukukosesha nafasi ya kushinda kwa kukwama kwama, lakini kwenye App ya Parimatch hakuna longo-longo kama hizo.

 • Haijazi Nafasi Kwenye Simu Yako

Hakuna kitu kibaya kama unataka kupiga picha halafu unaambiwa hakuna nafasi ya kutosha kwenye simu yako, huku App zingine zikichukua nafasi kubwa kwenye simu yako Parimatch ni kidogo tu, huku taarifa zingine muhimu zikihifadhiwa kwenye cloud kwa usalama wa kutosha na upatikanaji wa urahisi.

 • Parimatch Inakupa Nafasi ya Kubeti Kwenye Masoko Mengi Zaidi ya Volleyball barani Afrika

Pakua App ya Parimatch sasa kuanza kufaidi masoko kibao ya kubeti na kushinda kwenye volleyball, Chagua kubeti kwenye mechi nzima, seti au kubashiri matokeo ya mwisho kwa usahihi. Hapa ushindwe wewe tu!

 • Beti Volleyball Kimataifa

Furahia kucheza na kushinda kwenye michuano mbalimbali ya kimataifa ya volleyball kwenye App yetu ya Parimatch bila hata kutoka nyumbani kwako, beti kwenye mashindnao ya Ulaya, Amerika ya kusini, Asia na mashindano ya kombe la dunia!

 • Malipo ni Papo Hapo Kwenye App ya Parimatch

Kitu kingine cha kuvutia zaidi kwenye kubeti na Parimatch ni uharaka wa malipo yako baada ya ushindi, kama ilivyo rahisi kuweka pesa basi ndivyo ilivyo rahisi pia kutoa, yaani hakuna kuchelewa ukishinda tu mshiko unaingia.

 • Muonekano Angavu na wa Kipekee

Kukulete huduma bora na ya kipekee, mafundi wetu wamekutengenezea App yenye muonekano wa kipekee na wa kuvutia uzidi kufurahia unapocheza na Pariamatch muda wote, hata ukiwa mgeni huwezi kupata shida ya kuhangaika kutafuta kitu kwa muda mrefu kwenye App yetu.

 • Huduma kwa wateja

Tunaamini kukua kwa biashara yetu kunategemeana na furaha ya wateja wetu, ndiyo maana tumejizatiti kutoa huduma bora na ya kipekee kwa kila mteja wetu. Watoa hudma wetu wanapatikana siku zote saba za wiki iwe ni kwa simu au email, kwenye tovuti yetu pia kuna eneo la kuwasiliana na mtoa huduma wetu.

Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:

Maoni ya Mwisho

Ukitaka kuanza leo kucheza na kushinda kwenye volleyball pakua app ya Parimatch sasa

Tukiwa kampuni namba moja ya kubeti nchini Tanzania, tunatoa nafasi kwa wadau wetu kufaidi kubeti kwenye volleyball na kufurahia masoko kibao kwenye mfumo wetu wa kipekee na rafiki kwa mteja wetu.

Unataka kujaribu bahati yako? Beti kwenye michuano ya volleyball unayoipenda zaidi na ushinde donge nono!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.