THEY PLAY — YOU WIN! Join now
MAIN / / Jinsi ya kubeti virtual sports na Parimatch.co.tz

Umechoka kupanga foleni ya kusubiria ku-book michezo ya ndani? Je umeshindwa kupata michezo mizuri au mashindano katika michezo unayopenda? Kwanini usijaribu kucheza virtual sports bettingi na Parimatch.

Ikiwa unatafuta sehemu ya kucheza virtual sports, basi hapa ndipo sehemu sahihi ya kucheza pesa halisi. App ya Parimatch ni namba 1 Tanzania kwa kuchezesha virtual sports hapa nchini kwasababu — tunakupa uwezo mkubwa wa kuchagua michezo tofauti na kwa urahisi. Huwezi amini kwasasa ilivyokuwa rahisi kuweka beti kwenye michezo ya virtual sports kutoka Parimatch.

Uko tayari kucheza? Nzuri! Unaweza kufuata muongozo huu mzuri wa kwenda na kutengeneza beti yako ya virtual sports kwenye Parimatch. Huu hapa chini ni muongozo wa jinsi unavyofanya bet kwenye Parimatch, na ni michezo gani ambayo inapatikana kubeti.

Jinsi ya kufanya kubeti virtual sport

Ikiwa wewe haupo vizuri katika masuala ya kiufundi lakini unahitaji urahisishaji wa michezo ya virtual sport kutoka Parimatch basi usiwe na hofu juu ya hilo. Parimatch inaamini kwenye kuweka beti kiurahisi kwa wateja wake wakati wanaobeti pesa halisi, hivyo basi muonekano wa virtual sports wetu umetengenezwa kiurahisi na rafiki kwa kila mteja katika kutumia.

Fuata hatua hizi za moja kwa moja na utabeti virtual sports kwa wakati wowote:

 • Ingia kwenye tovuti ya Parimatch — www.parimatch.co.tz
 • Ikiwa haujafungua akaunti hapo awali, unahitaji kujisajili
 • Ingia katika akaunti yako na uweke pesa katika akaunti yako na uanze kuweka beti yako ya kwanza
 • Bonyeza “Virtuals”
 • Chagua mchezo na ubingwa / ligi unayopenda kubeti
 • Chagua odds ya beti yako, ambayo itaongezewa kama coupon
 • Bonyeza coupon ili kuweka beti
 • Chagua kiasi ungependa kuweka dau lako na aina ya beti

Ni michezo ipi ya virtual inayopatikana Parimatch?

Parimatch inajivunia kwa kuweza kutoa huduma bora ya kubeti mtandaoni michezo ya virtual yenye machaguo mengi barani Afrika.

Hii hapa chini ni michezo ya virtual inayopatikana kwenye mtandao wa Parimatch betting.

Beti soka virtual

Ikiwa uko kwenye mpira wa miguu, unaweza kubeti matukio tofauti yanayofana na virtual soka. Mtumiaji anaweza kubeti Italia, Uingereza, Ligi ya Mabingwa Ulaya, au wanaweza kuchagua michuano ya kombe la kimataifa, virtual ya ligi au virtual ya michuano ya kombe la dunia.

 • Ni rahisi, bonyeza na uendelee kuchagua orodha ya matukio, ubingwa, cups pamoja na matokeo.
 • Ili kuweka bet, bonyeza tu mchezo na odds unazotaka kubeti
 • Chagua kiwango chako cha dau kwa kubonyeza coupon na uweke bet yako

Beti kwenye virtual basketball

Ni rahisi kucheza Odds katika virtual basketball kwa kutumia Parimatch, Ikiwa upo kwenye mashindano ya Dunia ya FIBA au kila mchezo wa NBA, Parimatch imeorodhesha michezo mingi ya virtual basketball na mashindano ili kukufanya upate msisimko kama kweli upo kwenye uwanja.

 • Bonyeza “Virtuals”
 • Chagua nchi yako, ubingwa, na michezo
 • Bonyeza odds na dau
 • Weka bet yako

Beti virtual tenisi

Parimatch wanasimamia mashindano ya virtual tenisi ya kweli, yanayopatikana kwa wateja wote wa Tanzania na Afrika. Kupitia muonekano rahisi wa kutumia wa betting ya Parimatch, watumiaji wanaweza kupiga pesa halisi kwenye virtual tennis yetu wakati wowote wanahisi kama hiyo.

 • Ingia kwenye tovuti ya Parimatch au kwenye app ya Parimatch
 • Bonyezan “Virtuals” mara tu unapoingia na uweke pesa yako kwa mara ya kwanza
 • Bonyeza “Virtual Tennis” na ubonyeze michezo unayotaka kuweka beti yako
 • Chagua odds, dau na uweke mkeka wako

Beti kwenye mashindano ya virtual greyhound

Kuna siku mbwa atakuwa amekuchosha, sasa kwanini usiweke beti yako kwenye greyhounds na ukafarijika kabisa. Shukrani kwa mashindano yetu ya greyhounds, sasa unaweza kufurahia kuchea michezo ya mbwa kupitia simu yako au computer, ni rahisi ingia kwenye tovuti ya Parimatch au katika app.

 • Ingia katika app ya Parimatch au tovuti
 • Chagua “Virtuals” chini ya skrini
 • Bonyeza “Greyhound” na uwanja, na mashindano unayotaka kubeti
 • Chagua odds, dau kisha weka mkeka wako

Kubeti mashindano ya farasi

Watumiaji wa Parimatch wanaweza kufurahia utajiri wa mbio tofauti za farasi kwenye jukwaa letu kuu la waendeshaji.

 • Chagua “Virtuals” kwenye tovuti ya Parimatch
 • Chagua mchezo, farasi, na odds
 • Weka bet yako na uweke mkeka

Kubeti michezo ya Motorbike Virtual na Speedway kwenye Parimatch

Watumiaji watapata fursa ya kuchagua Motorbike nzuri katika mashindano ya virtual betting ya Parimatch. Tazama virtual Speedway kwenye uwanja wa Gorton au mbio za Motorbike karibu na mzunguko wa Hamamatsu.

 • Nenda kwenye tovuti ya Parimatch ili uingie katika akaunti
 • Bonyeza “Virtuals” na utafute speedway au motorbike racing
 • Chagua mchezo, weka bet yako, na uchague odds

Kwa kifupi…

Ni rahisi mnoo kubashiri michezo kupitia tovuti ya Parimatch au kwenye app. Hakuna haja tena ya kupanga foleni ya kutaka kutolewa mkeka wako au kulalamikia mifumo migumu ya kompyuta- Parimatch imefanya mitandao yake kuwa rahisi kucheza mtandaoni.

Ikiwa unataka kuchagua au kuona michezo yote ya ulimwenguni basi ingia kwenye tovuti yetu na ujisajili. Unaweza kupakua programu au kuweka mkeka wako wa kwanza moja kwa moja kupitia kwenye tovuti.

Chagua tu mchezo wako, chagua mchezo wako, uchague odds zako, na uendele kubeti na Parimatch.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.