Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kubeti Tenisi kwa Kutumia Parimatch

Je! wewe ni mmoja wa wapenzi wa tenisi wenye bidii ambao hupata maumivu ya shingo kutokana na kuangalia huku na kule pindi mechi inapokuwa inaendelea huko Wimbledon? Je huwa unafuatilia Serena Wiliams muda wote wakati anapofika kwenye Court? Labda unashindwa kusubiri kumuona Federer anapopata matokeo yake!

Tumekuletea njia bora ya kubeti mtandaoni michezo ya tenisi ya aina yote ulimwenguni unayopendelea. Tunakukaribisha kwenye app yetu ya Parimatch — nenda ukaweke mikeka yako ya tenisi unayofikiria yoyote ile.

Tunaelewa kwamba mwaka 2024 michezo ya kubashiri (betting) inapaswa kuwa rahisi. Wakati wa kupanga foleni kwa mtoaji mikeka umepitwa. Katika karne hii ya 21 tumeleta mchezo wa tenisi katika majukwaa yetu ili uweze kubashiri kwa wepesi. Parimatch imewapa fursa watumiaji kwa kuwapa app inayotumia mfumo wa Android/iOS kwaajili ya kubeti tenisi kwa kutumia vidole vyako kwenye simu za smartphone. Pia Parimatch inakupa fursa ya kufanya ubashiri wako mtandaoni kwa wepesi michezo yote ya tenisi katika eneo moja linalofaa.

Je, unaweza kusubiri ujue zaidi? Kuna sababu ya msingi! Parimatch ina uwanja mpana wa kubeti tenisi barani Afrika na kwa Tanzania ni ya kwanza kampuni yenye app bora ya kubashiri, tumejitolea kuwapa watumiaji wetu njia bora za kubashiri tenisi na zenye chaguzi nyingi.

Anza leo kubeti tenisi kwa kujisajili Parimatch kwa kupitia tovuti yetu — parimatch.co.tz. Soma zaidi ili kufahamu namna utakavyoweza kubeti tenisi mtandaoni.

Nawezaje kubeti tenisi kwa kutumia Parimatch

Huenda teknolojia ikawa ngumu kwa baadhi ya watu na rahisi kwa wengine. Usiweke na shaka — miongoni mwa malengo ya Parimatch ni kukupa wewe uzoefu wa hali ya juu bila ya kupata usumbufu wa aina yeyote pindi unapotaka kuweka mikeka yako kwa kutumia vidole vyako.

Ili kupata uzoefu, tumeifanya mitandao yetu kuwa rahisi kufikika kwa watumiaji wa kompyuta na hata kwenye simu za mkononi ili kuweza kubeti. Unaweza kuweka mkeka wako moja kwa moja kupitia tovuti yetu — www.parimatch.co.tz — au ukapakua app kutoka kwenye tovuti yetu.

Hata hivyo, endapo utahitaji kubeti tenisi mtandaoni, unaweza kuweka kupitia Parimatch. Hii hapa chini ni namna ya kuweka mikeka yako ya kwanza ya tenisi kupitia Parimatch.

 • Ingia kwenye tovuti yetu ya Parimatch — parimatch.co.tz.
 • Utahitajika kujisajili kabla ya kuweka mikeka. Fanya hivyo kwa kubonyeza “Jiunge” katika kona ya juu ya kulia.
 • Ikiwa utapenda kupakua programu ya Parimatch, unaweza kubonyeza upande wako wa kulia juu programu itakuruhusu kujisajili katika simu yako smartphone.
 • Ingia katika akaunti yako ya Parimatch na uweke pesa.
 • Chagua aina ya bet ya tenisi ambayo ungependa kuweka — live, virtual au pre-match. Unaweza kufanya uchaguzi wako kwa kuchagua ama “Sports” za pre-match, “Live”, au “Virtual” kutoka kwenye orodha ya michezo.
 • Chochote utakachochagua, bonyeza “Tennis” kwenye orodha ya skrini ili iweze kukuruhusu kufikia safu yetu ya mikeka ya tenisi.
 • Chagua mechi ya tenisi au ubingwa ambao ungependa kuweka wager. Parimatch inaonesha mikeka maarufu chini ya michezo ili kusindika haraka.
 • Kuchagua odds, ni rahisi, bonyeza tu odds unazozitaka kubeti chini la jina la mchezo. Mchezo huu utaongezwa kwenye sehemu ya “Betslip” na utaona namba ya njano ikiongezeka idadi ya mikeka.
 • Ikiwa unatafuta odds nyingi zaidi za tenisi, unaweza kubonyeza mchezo huo ili uelekea kwenye orodha nzima ya odds na option mbalimbali.
 • Mara tu utakapochagua mikeka yako, zitaonekana kwenye kipengele cha “Betslip”.
 • Bonyeza kwenye kitufe cha “Betslip” ili kuona mikeka yako zote za tenisi.
 • Parlay na mikeka imetolewa. System mikeka zinapatikana tu ikiwa una mikeka kwenye mechi 2 au zaidi za tenisi.
 • Bonyeza “Place bet” ukiwa upo tayari kuweka mkeka wako.

Ni mikeka ya aina gani ya tennis zinazotolewa na Parimatch

Kuna sababu maalum iliyopelekea Parimatch kuendelea kushika nafasi ya kwanza kwa kampuni yenye app bora ya kubashiri michezo mtandaoni — ni kwasababu tunatoa wigo mpana wa mechi za tenisi, ubingwa na michuano inayobetiwa.

Ikiwa unapenda bet wakati mchezo ukiendelea, Parimatch inakupa fursa ya kucheza live tenisi kupitia tovuti yetu pamoja na app. Pia tunakupa fursa ya kubeti mechi za utangulizi (pre-match) utazipata ndani ya kipengele cha”Sports”, kwa wale wanaopenda kubeti michezo ya tenisi kabla ya kuanza. Ikiwa upo kwenye virtual tenisi au unatamani kuweka kubeti tenisi msimu mzima, unaweza kuingia Parimatch virtual tenisi kuona michezo yote ya mwaka mzima.

Haijalishi ni chaguo gani unapenda kubeti — live, virtual au pre-match kwa mikeka ya tenisi — utapata kila kitu kiganjani mwako na wigo mpana wa mechi za tenisi kwa mashabiki wote barani Afrika kufurahia pesa halisi. Tunakupa mashindano yote ya tenisi ya kimataifa kutoka kote ulimwenguni, tuna kila kitu kutoka Wimbledon na Australian Open hadi Kombe la Davis, kutoka kwenye ITF Women’s Singles hadi Men’s Doubles.

Kwa wateja wetu, Parimatch betting platform inakupa fursa ya kutengeneza mikeka ya tenisi kwa kutumia maarifa yako pamoja na utafiti wako, sambamba na chaguzi mbalimbali za kubeti. Fahamu zaidi kuhusiana mchezo wa tenisi unaopendwa zaidi kwa kusoma hapa!

Vidokezo bora 2024 kwenye mchezo wa kubetia tenisi

Parimatch imefanya iwe rahisi kucheza tennis betting. Majukwaa yetu yametengenezwa vizuri na kukuwezesha kubeti tenisi mtandaoni kwa mpangilio mzuri pamoja na chaguzi nyingi.

Unapokuwa unaelekea kwenye mechi za tenisi katika jukwaa la Parimatch, utaona odds mbalimbali za tenisi na michezo inayochezwa kwaajili yako, kama vile double results, clear winners pamoja na handicaps.

Weka mikeka ya tactical

Mara nyingi hujulikana kama “cherry-picking”, ni sehemu ambayo unaweza kuweka mikeka yako na kushinda malipo makubwa. Cherry-picking ina kujuza ni mechi ipi ubeti, ni mchezaji gani umuwekee mikeka pamoja na odds ambazo zitakuwa za kudumu unazopenda. Ili kupata hii, inakubidi ufanye utafiti wa ndani na nje wa historia ya tenisi na odds zake za hivi karibuni.

Mtu anayetamani kuona mbali kama macho ya eagle kwa cherry basi inambidi awe anafahamu kinachoendelea katika ulimwengu wa tenisi. Unapaswa kujua nani atafunga, wapi na lini na akishindana na nani. Pia unapaswa kufahamu ni nani atajeruhiwa, nani atacheza rafu na nani hatofikia kiwango katika msimu husika. Uelewa wa tenisi inayopewa uhakika wa kushinda na ile tenisi isiyoaminiwa ni muhimu, na pia kujipatia ujuzi wa kufahamu wapinzani wa zamani na wapya kwenye eneo la tukio.

Kama tu kusoma masoko ya hisa, tabia na ujuzi kwenye tenisi huathiri matokeo ya jumla. Kwa kufanya kazi yako, utakuwa na uwezo wa kuongeza ustadi wako wa kimaarifa kwenye jukwaa la Parimatch. Nenda kwenye orodha yetu ya mikeka ya tenisi, na utaona ni rahisi kuchagua mikeka yako ya kuahidi zaidi kutoka kwenye orodha yetu kamili.

Namna ya kubeti tenisi over/under

Wakati mwingine hujulikana kama “Totals” betting, over/under betting ni mkakati ambapo mbetishaji anafafanua alama kwa mechi ya tenisi au mashindano ya tenisi. Hii ni kutokana na maarifa aliyokuwa nayo mbetishaji kulingana na mchezaji wa tenisi pamoja na sababu zilizo tajiwa hapo juu. Haya ni maoni ya kitaalam ya mbetishaji kuhusu mchezaji wa tenisi alivyo na namna anavyoelekea.

Over/under hii humaanisha kuwa mikeka ya juu au chini ya alama ambayo mbetishaji ameiweka. Kikawaida mbetishaji ataweka takwimu za alama ambazo zitakufanya uweke mikeka ya tenisi ya juu au chini.

Ikiwa mikeka yako inalingana na alama za mwisho au alama za mashindano, utapata malipo.

Ni rahisi kupata over/under kwenye jukwaa la kubashiri michezo mtandaoni la Parimatch. Chakufanya ni kuingia tu kwenye sehemu ya “Tennis” ama live, virtual au pre-match betting kwa kubonyeza chaguo katika orodha ya chini.

Kuanzia hapo, unaweza kuchagua mechi ambayo ungependa kubeti na ubonyeze kupata chaguzi mbalimbali za betting.

Utaona over/under ya mikeka ya tenisi imeorodheshwa ili uchague. Unabonyeza mikeka itatokea “auto-magically” kwenye “Betslip” yako.

Huu ni mkakati madhubuti ambao unaweza kulipa sana, haswa ikiwa kitu kisichowezekana kwenye mechi na umewekiwekea mikeka. Kuongeza ufahamu wako wa tenisi katika kukuza wigo mpana over/under tenisi.

Namna ya kubeti live tenisi

Clonk, Clonk, Clonk, Clonk. Mapigo ya moyo yanaenda kasi. Upo kwenye mechi katikati, kuna ukimya kutoka kwa washangiliaji kwani kila kitu kiko juu ya hatua hii ya mwisho. Pamoja na mvutano wa hali uliyokuwa nayo, kufurahi ni jambo la msingi sana. Je, utapendelea kuweka mikeka sasa hivi, wakati mchezo ukiwa live ukiendelea?

Kwa bahati nzuri Parimatch inamiliki jukwaa la kubashiri mtandaoni, tunakupa ufikiaji wa ajabu wa kubeti live tenisi popote ulipo. Kwa kubonyeza kwa uchache, unaweza kubeti Live tenisi kupitia simu yako ya mkononi au kompyuta wakati mechi ikiwa inaendelea.

Jinsi ya kubeti live tenisi kupitia Parimatch

 • Elekea kwenye tovuti ya Parimatch na uingie katika akaunti yako.
 • Bonyeza “Live” kwenye orodha ya chini.
 • Chagua “Tenisi” kutoka orodha kamili.
 • Chagua mchezo wako kutoka kwenye michezo ya live inayopatikana.
 • Bonyeza odds.
 • Bonyeza betslip na uweke mikeka yako.

Live tenisi seti betting na Parimatch

Parimatch inakusudia kumfurahisha kila mdau wa tenisi kubeti tenisi kwa kutumia mikakati mizuri. Ndio sababu tunatoa idadi kubwa ya chaguo za betting kwa mashabiki wa tenisi.

Nenda kwenye mechi ya tenisi au mashindano unayopenda kubeti na kisha ubonyeze kwenye ukurasa wa mchezo ili kufikia chaguzi zote za kuweka betting ambazo zinapatikana Parimatch.

Imeorodheshwa katika chaguzi, utaona over/under kwa kila seti ya mikeka. Pia, kuna chaguzi za kubeti mbio za alama kwa seti, kubeti ni mchezaji gani wa tenisi atakuwa wa kwanza kufunga 1/2/3/4/ nk na kadri alama zinavyoongezeka. Unaweza pia kubeti dhidi ya idadi ya jumla ya alama katika seti.

Platform yetu ni ya kijanja ambayo inakupa matokeo kwa wakati husika kwenye michezo ya Live. Hii inamaanisha kuwa utakuwa una mikeka kwa seti kadri ufungaji unavyobadilika. Dashboard yetu inatumia vifaa vyenye teknlojia ya kutosha ambavyo vitakusaidia kukujuza kila yanavyobadilika kwenye Live tenisi kadri matokeo yanavyoongezeka.

Jumla ya mechi kwenye michezo ya tenisi ya live kupitia Parimatch

Kanuni zilizotumika kwenye mikeka ya tenisi seti inaweza pia kutumiwa wakati unataka kubeti michezo ya tenisi kupitia programu ya Parimatch au tovuti. Pia tunakupa wigo mpana wa jumla ya michezo ya kubeti ambayo umependelea kubeti kuliko mikeka ya tenisi seti.

Unaweza kuingia majukwaa ya kubashiri mtandaoni ya Parimatch kuweka mikeka yako ya tenisi over/under kwa mikeka ya jumla ya mchezo katika mechi. Parimatch pa hukupa nafasi wewe ya kubeti kuwa ni mchezaji gani atashinda kwenye mchezo fulani, kwa mikeka sahihi.

Kubeti game spread (handicap)

Kubeti game spread wakati mwingine huitwa kama “spreading the game” wakati wa kuweka mikeka yako kwenye tenisi. Kubeti kwenye mchezo husika au moja moja kwenye kubeti game spread ya tenisi ni miongoni mwa mkakati unaopendwa Parimatch.

Wazo ni kwamba wakati unaweka mikeka kwenye game spread, mikeka yako itacheza kama ulivyotarajia au kadiri ya makaridio hayo. Spread itategemeana na handicap kama odds zako zipo kati ya underdog na mechi inayotabiriwa kushinda kwenye tenisi.

Unapokuwa unabeti kwenye game spread, mbetishaji atakupa alama za underdog na favorite, ikionyesha game spread ambayo wanaweza kushinda au kupoteza. Kwa hivyo mkeka wako unaweza kuonekana kama hivi: Serena Williams (-4.5), Venus Williams (+4.5) saa 2.0.

Katika hali hii, na Serena Williams ni kama favorite, utahitaji Serena kushinda dhidi ya Venus na michezo 5 au zaidi kwa bet yako ya tenisi kulipwa. Ikiwa utabeti kwenye underdog katika kesi hii, Venus — utahitaji kuongeza 4.5 katika idadi ya mwisho ya michezo ya kushinda. Ikiwa jumla hii itakuwa zaidi ya alama ya mchezo wa mwisho wa Serena, mikeka yako ya Venus italipwa.

Unaweza kupata mikeka hii kwa over/under sehemu ya mikeka ya tenisi kwenye platform ya Parimatch.

Mikeka ya Playing Surface

Wacheza tenisi wa bingwa wanaweza kushinda viwanja vingi, pamoja na kiwanja cha eneo tofauti. Kwa wachezaji wa tenisi huang’a kiukweli, wanahitaji kuwa na uwezo wa kucheza kwenye nyasi, udongo, Courts yenye ugumu, na viwanja vya ndani.

Wakati wachezaji wabobezi wa tenisi wakiwa wanasafiri kwa tabu kuelekea mchezo wao, kama mkamalia, ni kazi yako kubaini ni nani atakayeweza kufanya vizuri katika kucheza na nani dhidi yake. Wakati Serena anaweza kumfunga Venus kwenye kiwanja cha nyasi, Je, ni nani atakuwa Malkia kwenye court ya mchangani?, Labda Murray ni whiz huko Wimbledon lakini anaendelea vipi huko US Open?

Hizi zinaweza kukurudisha nyuma kufanya utafiti wako wa mchezaji wako na mchezo katika maeneo tofauti tofauti. Sehemu ya kucheza inaweza kuongeza mchezo wa mchezaji au kuingilia kati yake, kusisitiza kwamba maarifa yanaweza kulipia vizuri.

Kuunganisha mikeka kunategemea na uwanja unaochezwa, unahitaji kujua ni wapi kila mashindano yanachezwa. Wakati Ufunguzi wa Australia uko kwenye korti ngumu, Ufunguzi wa Ufaransa inachezwa mchangani. Kwa muongozo huo, wakati wa kupata mikeka ya tenisi kwenye jukwaa la Parimatch, angalia ambapo mechi za tenisi zinafanyika vile vile ni nani anacheza. Kisha chagua kutoka kwenye orodha yetu ya matukio ya kimataifa ili kupata msaada wa mchezaji na kiwanja atakachokitumia.

Ni michezo ipi ya mikubwa ya kubeti tenisi Parimatch

Je, unaulizia michezo gani ya tenisi, unaulizia? Hii ni soko au aina ya mikeka ambayo ungependa kuweka mkeka wako kwenye mechi za tenisi. Tunapenda kukujulisha, Parimatch inajivunia binafsi kwa kuweza kuwa na wigo mpana zaidi wa mikeka ya tenisi barani Afrika.

Ikiwa unataka kuweka mikeka ya tenisi mtandaoni leo, basi ingia kwenye tovuti ya Parimatch au katika programu yao ya simu za mkononi ili kuweza kupata masoko ya tenisi yanayopatikana

Hizi ni baadhi tunayoitoa:

 • Match winner;
 • Set winner;
 • Correct score;
 • Over/unders;
 • Handicap;
 • na mengi zaidi.

Ni mashindano gani maarufu ya tenisi ninayoweza kubeti Parimatch

Parimatch inapenda kutoa wigo mpana kwa wateja wake na wigo mpana wa matukio ya kimataifa ya tenisi. Tunawapa watumiaji wetu ufikiaji wa ubingwa kutoka USA kwenda Australia, kutoka Uingereza hadi Ufilipino.

Hapa kuna mashindano maarufu ya tenisi yanayopatikana Parimatch:

 • ITF Men’s Singles and Doubles
 • ITF Women’s Singles and Doubles
 • WTA Singles and Doubles
 • ATP Singles and Doubles
 • Challenger International Singles and Doubles
 • Davis Cup
 • US Open
 • Wimbledon
 • na mingine zaidi

Taarifa muhimu kuhusu michezo nyingine:

Wager kwenye tennis na Parimatch sasa!

Ikiwa hatujaweka wazi kabisa hadi sasa, hatuja acha kitu linapokuja suala la tenisi. Parimatch inatoa chaguzi za kushangaza za mikeka ya tenisi kwa kila mtu, bila kujali kiwango cha ustadi wao.

Shukrani kwa jukwaa la kubahatisha la Parimatch, watumiaji kwa sasa wanaweza kupata live, pre-match pamoja na kubetia virtual tenisi kupitia moja kwa moja viganjani mwao. Unaweza kupakua programu ya Parimatch au furahia kuendelea kutumia tovuti yetu yenye muonekano wa kijanja.

Ingia Parimatch, utapata kila kitu unachokitafuta katika kubeti tenisi. Sio tu kwamba tunachaguzi mpana wa michuano ya tenisi na mechi za kubeti mtandaoni, lakini pia tunawawezesha mbinu mbalimbali katika kubeti kila mchezo na chaguzi nyingi.

Kama vidokezo na mikakati yetu ya kubeti tenisi 2024? Utapata kila kitu kutoka kwetu Parimatch kwa kubonyeza kitufe wakati unaweka salio lako la kwanza. Unangojea nini sasa? Furahia kubetia tenisi kutoka kote ulimwenguni leo kupitia Parimatch mtandaoni.

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, unabetiaje tenisi?

Ili kuweka dau kwenye tenisi kupitia Parimatch, fanya haya yafuatayo;

Jisajili Parimatch na kuweka pesa kwenye akaunti

 • Kwenye dashibodi yako ya akaunti yako, amua aina ya dau unalotaka kuweka – iwe moja kwa moja (kwenye menyu ya “Moja kwa Moja”), michezo ya mtandaoni (kwenye menyu ya “Virtual”), au mkeka wa kabla ya mechi (kwenye menyu ya “Michezo”).
 • Baada ya kuchagua chaguzi za menyu, utawasilishwa na uteuzi wa michezo, chagua Tenisi na utumie chaguzi za vichujio ili uchague mchezo unaoutaka.
 • Chagua mechi unayotaka ikiwa chini ya kichwa cha mechi/mchezo (au bofya kichwa cha mada kwa ajili ya kupata orodha kamili ya uwezekano na chaguzi) na chaguo litaongezwa moja kwa moja kwenye sehemu ya “Mkeka”, ambayo itasababisha idadi yako ya dau kuongezeka.
 • Mara tu unapoweka dau lako lote, bofya “Weka Dau” na unapaswa kumaliza mchezo wote.

Je, ni vizuri kuweka dau kwenye tenisi?

Kubetia tenisi ni kitu kizuri sana. Baada ya yote, ni moja ya michezo michache ya kutoa thamani kubwa kwa wale wanaobeti juu ya kushinda. Zaidi ya hayo, inatoa mbinu rahisi sana za kubetia, kama vile kuweka mkeka moja kwa moja kwa mchezaji unayeamini kuwa ana nguvu, hivyo basi, kuongeza nafasi zako za kushinda.

Ninaweza kuweka dau wapi kwenye tenisi?

Unaweza kuweka dau kwenye tenisi kupitia Parimatch. Faida ya kutumia Parimatch ni kwamba inatoa chaguzi mbalimbali za kubetia. Unaweza kuweka dau kwenye mechi nyingi za tenisi kutoka duniani kote kupitia dau la kabla ya mechi au kamari ya moja kwa moja. Vinginevyo, unaweza kuchagua michezo ya tenisi inayoendeshwa kwa kasi, inayozalishwa na kompyuta.

Je, tenisi ni dau la mchezo mgumu?

Tenisi sio njia rahisi kabisa ya kubetia. Baada ya yote, hakuna michezo mingi katika mwaka wa kalenda linapokuja suala la mechi kubwa za tenisi. Zaidi ya hayo, pamoja na wachezaji wachache waliochaguliwa wenye nguvu, michezo mingi si ya ushindani kama vile michezo wa mpira wa miguu au mpira wa vikapu.

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.