Wanacheza – Unashinda Jiunge sasa
Mwanzo / / Jinsi ya Kubeti kwenye Baseball

Bila shaka baseball ni maarufu zaidi Marekani. Lakini nje ya Marekani, mchezo wa baseball pia una ufuasi mkubwa. Nchi kama Kanada, Meksiko, Cuba, Jamhuri ya Dominika, Japani, na Korea Kusini zote zina ligi za kulipwa za baseball. Inakadiriwa kuwa baseball ina zaidi ya mashabiki milioni 500 ulimwenguni kote!

Ndio maana, kwenye Parimatch, tunahakikisha tuna machaguo yote ya kubeti baseball ambayo kamwe hukuwa na ndoto nayo. Wabetie wapiga mpira wenye nguvu ili kuwashinda wachezaji hodari wenye nguvu. Hesabu batting averages na takwimu za uchezaji, kubeti kwenye mikeka ya moneyline na totals. Jifunze lugha ya kigeni na tumia Yogisms kama: “It’s déjà vu all over again”.

Baseball ni maarufu sio tu kwa ajili ya msisimko uwanjani, lakini pia kwa ajili ya ujuzi unaohusika katika kutumia takwimu kuweka mikeka yenye ahadi. Kama unapenda kufanya utafiti wako kabla ya kuweka mikeka, baseball ni mchezo mzuri kwa ajili yako.

Kwenye Parimatch, tunaamini kuwa mkusanyiko mpana wa mikeka ya baseball unapaswa kuwepo muda wote. Kama unataka kuingia katika mpango wa kutengeneza pesa, nenda kwenye tovuti yetu rasmi ya Parimatch kutumia jukwaa letu hisivu lililoboreshwa kwa kivinjari, au pakua app ya kubeti michezo yenye hali ya kisanaa kwa ajili ya simu janja za Android na iOS. Majukwaa yote mawili hutoa upatikanaji usiokuwa wa kawaida kwenye katalogi pana zaidi ya mikeka ya baseball katika Afrika yote!

Kwanza, pata uelewa juu ya odds za baseball na mbinu za kubeti kwa mwongozo huu rahisi kutumia.

Jinsi ya Kusoma Odds za Baseball kwenye Parimatch

Kama unataka kujua jinsi ya kubeti kwenye baseball, lazima ujifunze kusoma odds za kubeti baseball. Odds hukuwezesha kutengeneza mbinu ya kubeti michezo ya baseball. Kwa kuelewa jinsi odds za baseball zinavyofanya kazi, unaweza kupata wazo la uwezekano kuwa matukio fulani yatatokea. Hii itakusaidia kuelewa swali la msingi: “Kubeti baseball hufanya kazi vipi?”

Kwa wale wanaofanya utafiti wao, takwimu za baseball zitaashiria pia wapi unapaswa kuweka mikeka yako. Hizi sio kanuni ngumu na za haraka, lakini ukiwa umejithatiti na utafiti kidogo, utakuwa hauna shida kupata uelewa kwa kusoma odds za baseball kwenye jukwaa la Parimatch.

Mikeka ya 1X2 na za Mshindi katika Baseball

Kama unatafuta kuweka mikeka rahisi kwenye mshindi wa mechi ya besiboli, hii ni rahisi sana kwa kutumia jukwaa la Parimatch.

Chukulia mfano wa mchezo huu chini kati ya Washington Nationals na St.Louis Cardinals:

Betting on baseball on Parimatch

Kama ukiwabetia Washington Nationals kushinda kwenye mikeka ya “Winner” (moneyline), odds zako za besiboli zingekuwa 1.66. Hii inaonyesha kuwa Washington Nationals ni timu pendwa kushinda, kwa maana unashinda kidogo kama wakishinda. Kama ungeweka mikeka ya TZS 10,000 kwa Washington Nationals kushinda, ungelipwa TZS 16,600.

Kama ukibeti kwenye mikeka ya 1X2, hii uhusisha sare. Tokeo lenye uwezekano mdogo sana kutokea, odds kwa sare kwa kawaida ni kubwa zaidi. Katika mazingira haya, kama ukibeti kwenye sare kwa TZS 10,000, ungeshinda TZS 78,000 kwenye odds 7.80.

Jinsi ya Kuweka Mikeka ya Handicap kwenye Baseball

Mikeka ya handicap husaidia kusawazisha tena faida za timu pendwa. Kwa kuipa timu pendwa alama yenye handicap, aina hii ya kubeti uhitaji wewe kuchagua mshindi sahihi, na handicap ikiwa imezingatiwa.

Angalia mfano hapo chini:

Kipindi 1 hadi 5 — handicap

Washington Nationals (-1.5) 2.85
St. Louis Cardinals (+1.5) 1.35

Odds hizi ni kwa ajili ya kipindi 1 hadi 5 cha mchezo. Katika line ya kwanza, “(-1.5)” humaanisha Washington Nationals wana handicap ya runs 1.5. Katika hali hii, unabeti kuwa timu hii itaishinda St. Louis Cardinals, hata kwa runs 1.5 zikiwa zimeondolewa kutoka kwenye alama ya mwisho mwishoni mwa kipindi cha tano. Kinyume chake, katika line ya pili unaona chaguo la kuibetia St. Louis Cardinals limepewa faida ya runs 1.5. Utashinda kama wakishinda na hii namba ikiwa imeongezwa kwenye alama yao.

Katika kesi ya kwanza, kama ungeweka TZS 10,000 kwenye odds 2.85 na timu yako inashinda, ungelipwa TZS 28,500. Kwa kuwabetia Cardinals kwa handicap kwa mikeka hiyo hiyo, ungelipwa TZS 13,500 kama wakishinda.

Kubeti Totals kwenye Baseball Kupitia Parimatch

Jukwaa la Parimatch lenye hali ya kisanaa lina utajiri wa mikeka ya totals kwenye baseball. Muda mwingine zinajulikana kama mikeka ya ‘Unders/Overs’, mikeka ya totals ni rahisi sana. Unabeti kwenye ikiwa jumla ya runs wakati wa kipindi fulani ni juu ya au chini ya alama ya meneja ubashiri.
Kipindi cha 1 — jumla:

Under 2.5 1.08 Over 2.5 6:00

Kipindi cha 1 hadi 5 — jumla:

Under 2.5 2.70 Over 2.5 1:40
Under 3 2.33 Over 3 1.52
Under 3.5 1.92 Over 3.5 1.76
Under 4 1.68 Over 4 2.02

Kama unavyoweza kuona kutoka kwenye picha ya skrini ya jukwaa la kubeti la Parimatch, meneja ubashiri anatoa mfululizo wa alama kwa ajili ya wewe kuwa juu ya au chini ya. Chukulia line ya kwanza, kwa mfano. Hapa ungebeti kwenye ikiwa idadi ya jumla ya runs kwa timu zote mbili ni chini ya au juu ya 2.5 mwishoni mwa kipindi cha kwanza.

Kuhukumu kwa odds, ingeweza kuonekana kuwa hakuna uwezekano kwamba jumla ya runs itaipita alama 2.5. Ndio maana odds ni 6.00 kulinganisha na 1.08 kwa chini ya 2.5. Kama ungebeti TZS 10,000 kwenye zaidi ya runs 2.5 katika kipindi cha kwanza, na jumla ya runs ilikuwa sawa na 3, ungelipwa TZS 60,000.

Kubeti Baseball Mubashara Kumeelezewa

Kubeti kabla ya mechi hukuwezesha kuweka mikeka kabla ya mchezo kuanza. Kubeti baseball mubashara kunasisimua kidogo zaidi, kwa maana mikeka inawekwa katika mchezo wote kutegemeana na hatua. Kwenye ukingo wa kiti chako, ukiwa na ganzi ya matarajio, kubeti mubashara hukuruhusu kuweka mikeka huku run ya nyumbani ikifungwa.

Kama ungependa kubeti kwenye besiboli wakati mpira uko katika uchezwaji, kubeti mubashara kunaweza kuwa ndio unachohitaji tu.

Sasa, kuna tofauti gani kati ya odds za kubeti kabla ya mechi na mubashara katika besiboli?

Kubeti kabla ya mechi mara nyingi hufikirika kuwa njia salama ya kubeti. Kwa kutumia historia za mchezaji, historia za timu, na uchezaji wa karibuni, mashabiki wa besiboli hupendelea kuweka mikeka kwa kutumia kadi za alama na takwimu.

Tatizo la kubeti kabla ya mechi ni kuwa hakubadiliki. Haijalishi kinachotokea katika mchezo wote, odds zinabakia sawa. Kinyume chake, odds za kubeti besiboli mubashara hubadilika kutokana na mienendo ya mchezo.

Chukulia mchezo huu kati ya Washington Nationals na St. Louis Cardinals tena.

Wakati Washington Nationals ni timu pendwa kushinda, odds haziko mbali mbali kivile, hivyo ungeweza kuwa mchezo mgumu. Sasa fikiria kuwa Jack Flaherty, mchezaji bora hodari wa St. Louis Cardinals, anategua bega lake katika mchezo. St Louis Cardinals wana hata nafasi zaidi ya kupoteza.

Kama uliweka mikeka ya kabla ya mechi kwenye Washington Nationals kushinda, unacheka. Sasa kwamba St. Louis Cardinals wana hata uwezekano wa kupoteza, odds za Washington Nationals zinakuwa mbaya zaidi kwa wabashiri mubashara. Zinabakia sawia kwa mikeka ya kabla ya mechi.

Hata hivyo, ukisema kuwa St. Louis Cardinals walishinda, licha ya kuumia mchezaji hodari. Kama uliwawekea mikeka ya kabla ya mechi St. Louis Cardinals kushinda, odds zako bado zingekuwa 2.01. Mikeka ya TZS 10,000 ya kabla ya mechi ingerudisha TZS 20,100.

Kama ulikuwa ukibeti kwenye huu mchezo mubashara, odds zingekuwa na uwezekano wa kubadilika pindi majeraha yalipotokea. Sema odds zilikwenda kutoka 2.01 hadi 5.60. Mikeka ya kabla ya mechi kwa TZS 10,000 bado zingepata TZS 20,100 tu kwa ushindi wa Cardinals, wakati mikeka mubashara zilizowekwa baada tu ya majeraha zingelipa TZS 56,000 kwenye mikeka ya TZS 10,000.

Jinsi ya Kuweka Mikeka kwenye Jukwaa la Kubeti Michezo la Parimatch

Kama ungependa kufaidika na mweneo mpana zaidi wa mikeka ya besiboli Afrika, jaribu jukwaa la kubeti michezo la Parimatch. Tunawapa watumiaji wote huduma bora kwa wateja, pamoja na app imara yenye hali ya kisanaa, na upatikanaji wa katalogi nzuri ya mikeka ya besiboli.

Kuna sababu kwanini sisi ni app namba moja ya kubeti michezo Tanzania!

Unashangaa mwenyewe “Kubeti besiboli kwenye jukwaa la Parimatch hufanya kazi vipi?” Huu hapa ni mwongozo wetu rahisi kuufuata.

 • Kama tayari una akaunti ya Parimatch, unaweza kuingia kwa kubofya “Ingia” kwenye kona ya juu kulia. Vinginevyo, bofya “Jiunge” na ingiza taarifa zako kujisajili. Hizi hapa ni taarifa zaidi juu ya kusajili akaunti ya Parimatch.
 • Hakikisha umeweka pesa.
 • Amua ikiwa unataka kuweka mikeka ya besiboli kabla ya mechi au mikeka ya besiboli mubashara na chagua sehemu inayohusika.
 • Kutoka kwenye orodha ya michezo, chagua “Baseball”.
 • Kinachofuata, chagua nchi ambayo mchezo ambao ungependa kuubetia unachezwa.
 • Menyu itatokea, kukupa chaguo la mashindano na ligi.
 • Ndani ya mashindano, unaweza kuona michezo yote iliyopo kwa ajili ya kubeti.
 • Chagua mchezo unaoutaka. Utaona orodha ya odds zote zilizopo.
 • Pindi ukichagua mikeka ambayo ungependa kuweka, boksi litabadilika kuwa jeusi. Mikeka yako itatokea kwenye tiketi ya ubashiri.
 • Pindi umeweka mikeka yote, bofya kwenye tiketi ya ubashiri kumalizia mikeka yako.
 • Katika tiketi ya ubashiri, unaweza kuweka mikeka ya system au parlay kama unaweka mikeka 2 au zaidi.
 • Angalia mikeka yote kama ni sahihi na nenda chini kubofya kitufe cha “Weka Mikeka” kumalizia mchakato.

Dondoo Kali za Parimatch juu ya Kubeti Baseball

Baseball hujulikana kwa kubeti michezo kulikokithiri. Wale mashabiki ambao kiukweli wananufaika kwenye baseball hutumia takwimu za kihistoria kuzisoma timu za baseball. Hii husaidia kutengeneza mbinu imara zaidi kwa ajili ya kuweka mikeka ya baseball zenye mafanikio. Hii inawezekana ingekuwa rahisi pindi tulipokuwa tumezuiwa kwenye penseli na karatasi na mistari mirefu kwa mameneja ubashiri, hata hivyo teknolojia hulifanya hili kuwa gumu zaidi! Hii inaweza kuwa inagharikisha.
Hivyo, unafanyaje kubuni mbinu yako mwenyewe ya kubeti baseball?

Jinsi ya Kuunda Mbinu ya Kubeti Baseball

Hizi hapa ni dondoo bora za Parimatch kwa ajili ya kutengeneza mbinu ya kubeti baseball yenye mafanikio:

 • Zikate Timu Pendwa

Usizibetie timu kubwa pendwa. Ni kupoteza muda. Mameneja ubashiri wanajua kuwa odds za timu dhaifu kushinda ni finyu hivyo ni nadra utatengeneza faida. Pindi ukiona michezo, ambapo timu kubwa kama Dodgers au Red Sox zinashindana na timu ndogo sana, kuibetia timu pendwa, hakutakuwa kwenye faida.

Badala yake, jaribu kuzichezea odds kwa kubeti kwenye timu dhaifu, wakati ukiiwekea handicap timu pendwa. Kwa kucheza odds za unders/overs, unaweza kujaribu kusawazisha upya faida kwa manufaa yako.

Vinginevyo, jaribu kubeti kwenye totals. Totals uhitaji wewe kukisia jumla ya runs za timu zote mbili. Kwa njia hiyo unazibetia zote mbili kushinda, ukizilenga odds upya kwa utofauti.

 • Panga Parlay Mbili

Kuunganisha parlay na timu dhaifu mbalimbali kutaongeza nafasi ya shindi kubwa zaidi. Chagua timu pendwa yenye nguvu ambayo ina uhakika sana kushinda. Ipange hii katika kadi ya parlay na timu dhaifu ambayo ina odds nzuri. Ipange timu pendwa hiyo hiyo na timu dhaifu tofauti tofauti kwenye kadi za parlay tofauti kila wakati. Kwa njia hiyo, kama yoyote kati ya timu dhaifu ikishinda, parlay italipa zaidi kuliko timu pendwa moja kwa moja.

 • Jua Upepo Unavuma Upande Gani

Wakati ni rahisi kujikunyata chumbani kwako ukisoma batting averages, hakuna kati ya hayo linalojalisha kwenye siku kama kuna upepo mkali unavuma. Hali ya hewa kwenye siku ya tukio inaweza kuwa na athari kubwa kwenye timu. Hii ni kawaida kutokana na upepo kwa maana unaweza kwenda kinyume na mpira na kubadilisha uelekeo wake.

 • Joto Likoje?

Baadhi ya timu, kama Arizona Wildcats, hufanya mazoezi kwa bidii katika joto la jangwani. Pindi timu kama Yankees zikishindana dhidi yao, joto mara nyingi linaweza kuichosha timu. Hii pia hufanya kazi kwa njia nyingine pindi timu zilizozoea hali ya hewa ya jua zinapotakiwa kukumbana na baridi kali au pepo kali.

 • Tafiti Waamuzi

Wakati waamuzi wanatakiwa kutopendelea, mara nyingi huonyesha mielekeo kwenye tabia fulani. Baadhi wanaweza kuwa wazembe kupita kiasi, wakati baadhi wakali. Baadhi wanaweza kuwa haraka kuamuru mashuti, wakati wengine hupendelea hatua fulani za kutoa adhabu. Kwa kulinganisha mtindo wa mwamuzi na wachezaji fulani uwanjani itakwambia nani anaweza kufanya kosa kutokana na tabia isiyopendeza, na timu gani inaweza kupendelewa.

 • Tawanya Mikeka Yako

Takwimu huonyesha wazi kuwa kutawanya mikeka yako huwa ni kwenye faida zaidi katika kubeti baseball. Pindi ukiwa unafikiria mchezo gani wa kuubetia, kwanini usigawanye pesa hii kuweka mikeka mingi. Kwa kutumia mikeka ya system na parlay, unaweza kuongeza faida ya rejesho lako linalowezekana.

 • Dhibiti Pesa Zako

Kwa mafanikio ya muda mrefu ya kubeti baseball, hutataka kulipua vipande vyako vyote kwenye mkono mmoja. Mbinu thabiti, iliyodhibitiwa mara nyingi ni yenye faida zaidi. Fanya hili kwa kuchukua kiasi ambacho ungependa kukibetia na kukigawanya katika mafungu madogo zaidi.

Kutegemeana na yenye hatari kiasi gani unavyohisi, mafungu haya yanaweza kuwa 2%, 3%, au 5%. Kama ungekuwa na TZS 2,000,000 kubeti na ungekuwa unahisi tahadhari, ungebeti TZS 40,000 kwenye kila mzunguko. Kama ungekuwa unahisi hatari kidogo zaidi, ungeweza kubeti hadi TZS 100,000 kwa mzunguko.

Mwongozo mzuri wa kwenda nao ni kubeti kwenye 3%. Kama ulianza na TZS 230,000, ungekuwa unabeti TZS 6,900 kila wakati. Utabakia mwenye nidhamu kwa njia hii, na kupata ROI nzuri zaidi kwa muda mrefu.

Unataka mawazo zaidi? Angalia mwongozo wetu wa mbinu za kubeti baseball!

Kipi cha Kuwekea Umakini Wakati wa Kubeti kwenye Baseball

Kama unaweka mikeka kwenye baseball, hakikisha unaangalia vitu hivi vya msingi ⁠— hasa kama unabeti kwenye baseball mubashara.

 • Takwimu za Mchezaji Hodari wa Baseball

Kuna aina zote za takwimu, ikihusisha jinsi mchezaji hodari anavyorusha na alivyorusha kipindi cha nyuma. Mashabiki hutumia takwimu hizi kutafuta wachezaji hodari ambao wana Run Average kubwa, na Field Independent Pitching score ndogo. Skill-Interactive Earned Run Average ni kipimo kingine maarufu kwa wachezaji hodari, kwa maana kinachambua Swinging Strike Rate na uwezo wa kupiga.

 • Batting Average ya Baseball

Takwimu nyingine maarufu ambayo hushawishi mchezo ni Batting Average ya mchezaji. Hii hupimwa kama BABIP.

 • Angalia wOBA

Takwimu hii huangazia uwezo wa kweli wa timu kupata runs moja, mbili, tatu, na za nyumbani. Hii hukupa wazo wazi zaidi la jinsi timu inavyofanya kazi kwenye upinzani.

 • Tazama Hand Splits

Timu baadhi hufanya vizuri dhidi ya timu zenye wachezaji wanaotumia mashoto wakati timu nyingine huboronga mbele yao. Juwa lipi ni lipi na tafuta timu zozote zenye wachezaji nyota ambao huwika dhidi ya wachezaji watumiao mashoto.

 • Amua Raw Power

Kilijulikanacho kama ISO, hiki ni kipimo cha slugging percentage kutoa batting average. Huonyesha raw power ya timu kwenye kupiga mpira na kupata runs.

 • Kiwango Thabiti

Majedwali na makadirio ya ligi yanaweza tu kutuonyesha mengi sana. Wakati timu inaweza kubakia juu ya majedwali, inaweza kuwa ni mwanzo wa msimu au wanaweza kuwa kwenye shindi mfululizo. Timu nyingi hucheza juu na chini ya madaraja, bila uthabiti. Hizi zinaweza kuwa timu zisizotabirika inapokuja kwenye kubeti baseball. Aidha angalia timu za nyuma zenye kiwango thabiti, ili uweze kukadiria runs vizuri zaidi, au jaribu kusawazisha timu zisizothabiti kwa kutumia kubeti kwa totals.

 • Mashujaa wa Nyumbani/Ugenini

Wachezaji na timu baadhi hucheza vizuri kweli pindi wakiwa mbali na nyumbani. Wachezaji wengine hupata shida. Wachezaji hodari baadhi hupendelea mwinuko wao wa nyumbani, wakati wengine huzoea kwa urahisi. Kujua jinsi timu inavyoshuka kunaweza kuweka utofauti mkubwa kama watapandisha dhidi ya timu yenye nguvu wakati wakiwa ugenini.

 • Matukio ya Karibuni

Kuna yoyote kati ya wachezaji wako hivi karibuni amerudi kutoka kwenye upasuaji au amepata majeraha? Kama hii ndio kesi, inaweza kuathiri kwa kiasi kikubwa kiwango chao kwenye siku hiyo. Wakati wa kubeti kwenye michezo ya baseball, unahitaji kuzingatia hili. Inaweza kuwa ngumu kuamua matukio haya kama unabeti kabla ya mechi, hasa kama mchezaji anavunjika mkono wake siku moja kabla ya mchezo.

 • Umbali wa Kusafiri

Si mashabiki wengi wanaozingatia umbali na muda wa kusafiri wakati wakifikiria mikeka ya mpira wa kikapu. Hata kama timu zinasafiri ndani ya Marekani, mara nyingi uhitaji safari ndefu za basi au ndege ndogo. Hiki huwachosha wachezaji, ambacho huweza kuwaacha wametumika hata kabla ya kuingia uwanjani.

 • Mazoezi na Desturi

Utakuta kuwa timu kubwa huwa zinacheza katika misimu yote na kwenye hali zote mchana na usiku. Timu ndogo zaidi zinaweza zisiwe na muda au rasilimali kufanya hili. Katika michezo ya ugenini yenye viwanja vyenye giza au mwanga wa tofauti, timu zenye uzoefu kidogo hupata shida.

 • Pinzani za Kihistoria

Kujua timu zipi zinapambana kutakusaidia kuelewa shinikizo ambalo wachezaji wanahisi kwenye hiyo siku. Wakati timu zinaweza kujaribu kucheza vizuri ziwezavyo, mara nyingi timu pinzani zina nguvu sawia. Katika kesi hizi, tofauti za alama zinaweza kuwa karibu na ushindi unaweza kwenda upande wowote. Kama hiyo ndio kesi, badilika kwenda kwenye kubetia runs za jumla kuunganisha alama za timu zote mbili.

 • Zifahamu Hisia za Nguvu

Wakati kuna mbinu ya muda mrefu ya kubeti kwenye timu thabiti, pia kuna nafasi ya kuweka mtaji kwenye timu ambazo ziko kwenye shindi mfululizo. Kama ukiona timu tofauti inakaribia, inamaliza vyema mkondo wa michezo katika mstari, inafaa kuibetia bahati yao. Wakati timu hizi mwishowe kwa kawaida huchoka, inafaa kujipatia pesa kwenye nyota inayowaka haraka wakati ikipotea!

Dondoo ya Ziada kwa ajili ya Kubeti Baseball Mubashara

Mashabiki wengi husahau kuhusu sehemu za kufanyia mazoezi. Hii inahuzunisha hasa wakati wa kubeti mubashara kwa maana hurejelea kwenye mabadiliko ya mchezaji. Thamani ya WAR ya mchezaji huamuliwa na idadi za shindi za ziada ambazo timu imepata, ambazo wasingeshinda bila mchezaji. Kama wachezaji wanabadilishwa, thamani hii hubadilika, na huathiri odd za timu kwa ujumla.

Faida za App ya Parimatch ya Kubeti Michezo kwa ajili ya Kubeti Mpira wa Kikapu

Unataka upatikanaji wa kubeti besiboli ulimwenguni moja kwa moja kutoka kwenye simu yako janja? Bila shaka, unataka, ni karne ya 21!

Kwa bahati, timu ya Parimatch yenye kujitoa imeunda app ya kisasa ya kubeti michezo yenye kiolesura hisivu na uchakataji wa haraka. Kuwezesha ufikiaji rahisi kwenye mikeka ya besiboli zenye pesa ya ukweli, app yetu yenye hali ya kisanaa hukupa uhuru wa kuweka mikeka ya besiboli kutoka kwenye utulivu wa nyumba yako. Hizi hapa ni baadhi ya faida nyingine:

 • Ni Bure Kujisajili

Ni rahisi kujisajili Parimatch na haigharimu hata senti moja. Kwa urahisi nenda kwenye tovuti yetu kusajili akaunti ya bure. Bofya kitufe cha “Jiunge” katika kona ya juu mkono wa kulia na ingiza taarifa zako kwa ajili ya ufikiaji wa papo hapo wa jukwaa letu la kivumbuzi la kubeti michezo kupitia chombo chako cha mkononi au kompyuta.

 • Ufikiaji Rahisi

Kwenye Parimatch, tumejitoa kufanya iwe rahisi kwa watumiaji. Ndio maana mchakato wetu wa upakuaji hauchukui muda kabisa. Kwa urahisi pakua app ya kubeti ya Parimatch kwenye simu yako janja na utakuwa na ufikiaji wa wigo wetu mpana wa mikeka ya besiboli moja kwa moja kutoka kwenye vidole vyako. Pamoja na machaguo rahisi ya malipo kupitia simu ya mkononi, utakuta ni rahisi sana kuweka pesa na kulipwa.

 • Haraka na Imara

Iliyoundwa na timu yetu ya wataalamu wa teknolojia, app yetu ya kisasa ya Android/iOS hutoa uzoefu wa kijanja kwa watumiaji. Yenye uwezo wa kuhimili watembeleaji wengi, app ya Parimatch ya kubeti michezo hutumia mbinu za uchakataji zenye kasi kuhakikisha uzoefu wako wa kubeti kamwe haupungui kasi au kufa.

 • Kiolesura Rafiki kwa Mtumiaji

Iliyoundwa kwa ajili ya urahisi, tunaamini watumiaji wetu hawapaswi kupitia ugumu wowote wakati wa kuweka mikeka kwenye app ya kubeti ya Parimatch. Tangu mwanzo, dashibodi yetu hisivu hufanya rahisi kupitia jukwaa la kubeti la Parimatch. Iliyoundwa kwa kuzingatia wanaoanza akilini, app yetu ni rahisi sana na ya wazi, yenye umaliziaji angavu, wa kisasa kwa ajili ya kubeti mtandaoni kwa kizazi kinachokuja.

 • Jukwaa la Kubeti Lenye Lugha Mbili

Tukiwa tumejitoa kuwapa wateja wetu huduma bora, tunaitoa app yetu ya kubeti katika lugha mbili, Kiswahili na Kiingereza. Hii humaanisha unaweza kufurahia mikeka ya besiboli za kiulimwengu katika lugha yoyote uliyoridhika nayo zaidi. Kujitoa kwetu kwenye kutoa upatikanaji wa kiulimwengu wa mikeka ya besiboli kutoka ulimwenguni kote ndio kinachotufanya app bora ya kubeti Tanzania.

 • Mkusanyiko Anuwai wa Mikeka ya Michezo kutoka Ulimwenguni Kote

Asante kwa mwavuli wetu wa mikeka ya besiboli ya kiulimwengu, unaweza kufikia mikeka ya besiboli ulimwenguni kutoka nyumbani kwako barani Afrika. Jukwaa letu limebuniwa kutoa ufikiaji usiokuwa wa kawaida kwa ligi za besiboli za kimataifa, vikombe, na mashindano mengi iwezekanavyo. Hii uhakikisha watumiaji wetu wanaweza kutumia app ya Parimatch ya kubeti michezo kama duka pekee kwa ajili ya mahitaji yako yote ya kubeti besiboli.

 • Mkusanyiko Mpana wa Mbinu za Kubeti Michezo

Kama wewe ni mwanambinu makini, Parimatch ndio sehemu kwa ajili yako. Tukiwaunga mkono watumiaji wenye mbinu, tunatoa mbinu nyingi za kubeti ambazo utaweza kuchagua. Odds zetu shindani hukuwezesha kuchagua kati ya totals, shindi, handicaps, parlays, na zaidi.

 • Changanya Mikeka kwa ajili ya Kuzidisha

Mfumo wetu wa kisasa huwezesha watumiaji kuchanganya michezo yao. Wakati ukiweka mikeka kwenye besiboli, unaweza kufikiria msisimko kwenye tenisi au mikeka ya kwenye mpira wa magongo wa kwenye barafu wakati huo huo. Kama hiyo ndio kesi, unaweza kufikia machaguo ya mikeka ya parlay na system kama unaweka mikeka miwili au zaidi. Kwa njia hiyo unaweza kuongeza shindi zako zinazowezekana!

 • Huduma Sikivu kwa Wateja

Tukijivunia kujitoa kwa wateja wetu, tunatoa huduma bora kwa wateja mwaka mzima. Ndio maana tunawapa watumiaji wetu fursa ya kuwasiliana nasi kwa barua pepe au simu siku 7 za wiki. Sio ya haraka kutosha, nenda kwenye mazungumzo yetu mubashara kwenye tovuti rasmi ya Parimatch. Daima kuna mtu yuko tayari kusaidia!

Taarifa Muhimu kuhusu Michezo Nyingine:

Kufupisha

Kubeti kwenye baseball kamwe hakujawahi kuwa rahisi zaidi. Kama unataka ufikiaji ambao haujasikika kabla wenye mkusanyiko mpana zaida wa michezo ya baseball na mbinu za kubeti barani Afrika, tembelea Parimatch. Unataka kuweka mikeka kwenye baseball leo? Ni muda wa kuchukua hatua!

Je, unahitaji kuwa wa kwanza kupata taarifa mbalimbali?

Subscription was successfully completed.